MHETE MEDIA
MHETE MEDIA
  • 14
  • 58 427

วีดีโอ

GB 64:KIPIGO CHA MWARABU NI SALAMU KWA WATU FLANI TUNA USONGO NAO SANA
มุมมอง 4854 ชั่วโมงที่ผ่านมา
GB 64:KIPIGO CHA MWARABU NI SALAMU KWA WATU FLANI TUNA USONGO NAO SANA
DR MO AVIMBA MBELE YA WAANDISHI YANGA NDIO NANI MLETENI AZALILIKE VIBAYA
มุมมอง 1414 ชั่วโมงที่ผ่านมา
DR MO AVIMBA MBELE YA WAANDISHI YANGA NDIO NANI MLETENI AZALILIKE VIBAYA
OTHMAN KAZI AMALIZA UTATA WA GORI LA ATEBA/KUMBE KESI NI KUVUA JEZI NDANI YA UWANJA AU LAA
มุมมอง 53K4 ชั่วโมงที่ผ่านมา
OTHMAN KAZI AMALIZA UTATA WA GORI LA ATEBA/KUMBE KESI NI KUVUA JEZI NDANI YA UWANJA AU LAA
MZARAMO WA SIMBA AWAKEJERI YANGA BAADA YA KUMUKAANGA MWARABU BAO TATU KINACHOFUATA NI KUKATA SHOMBO
มุมมอง 5K4 ชั่วโมงที่ผ่านมา
MZARAMO WA SIMBA AWAKEJERI YANGA BAADA YA KUMUKAANGA MWARABU BAO TATU KINACHOFUATA NI KUKATA SHOMBO
HASHIMU IBWE AWAPIGA KIJEMBE SIMBA MUMENUSURIKA KIFO HUKO UWARABUNI KWANGU NITAWACHAKAZA VIBAYA
มุมมอง 4K19 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Msemaji wa klabu ya Azam Fc Hashimu Ibwe kueleka mchezo wao na klabu ya Simba Sc amesema kuwa watahakikisha wanapata matokeo ya alama tatu katika mchezo huo kwani wao ni bora kwa sasa ukilinganisha na mpinzani wao simba
MCHUNGAJI ISSA:AWATIKISA YANGA KISA KAULI YA KOCHA GAMOND KUTOLIDHISHWA NAMATOKEO YA CBE
มุมมอง 3321 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Shabiki na mpenzi wa pira wa miguu mchungaji ambaye pia ni shabiki wa klabu ya simba sc amesemakuwa mwenendo wa klabu ya yanga si mzuri kwa sababu wamejiona kuwa wakubwa jambo ambalo ni sumu kwao kwani kunawaza kuwapelekea kupoteza michezo mhimu kwa kosa la kujiona wakubwa
DOMINICK SALAMBA AFAFANUA KWA KINA SABABU YA CLEMENT MZIZE KUNG'ANG'ANIWA NA YANGA/HUENDI WAYDAD
มุมมอง 6114 วันที่ผ่านมา
DOMINICK SALAMBA AFAFANUA KWA KINA SABABU YA CLEMENT MZIZE KUNG'ANG'ANIWA NA YANGA/HUENDI WAYDAD
MZIZE AZIDI KUKOLEA UTAMU AIBWA KILA KONA KISA BILIONI MOJA YA WAYDAD NA KAIZER CHIEF
มุมมอง 4314 วันที่ผ่านมา
MZIZE AZIDI KUKOLEA UTAMU AIBWA KILA KONA KISA BILIONI MOJA YA WAYDAD NA KAIZER CHIEF
MAMA YAKE NA MAMA YANGU YANGA HII SIJUI SIMBA WAFICHE WAPI NYUSO
มุมมอง 16428 วันที่ผ่านมา
Maada ya kumkanyaga vital'o' bao sita kwa nunge mashabiki wa waibuka na kuwabeza wapinzani wao
YANGA WAIKIMBIA VITALO/YAFANYA MKUTANO NA WANAHABARI BIRA YA YANGA KUWEPO
มุมมอง 12หลายเดือนก่อน
Yanga imeshindwa kufika katika mkutano wake na waandishi wa habari pamoja na klabu ya vitalo
TAZAMA VIBE LA MISO MISONDO WAZEE WA MAKOTI WALIVYOKIWASHA SINGIDA DAY
มุมมอง 470หลายเดือนก่อน
#ayo #football #mpenjatv #simba
AYOUB LYANGA AFUNGUKA KWA MARA YA KWANZA BAADA YA KUACHANA NA AZAM NA KUITUMIKIA KLABU YA NYUMBANI
มุมมอง 24หลายเดือนก่อน
Mchezaji wa zamani wa klabu ya azam fc Ayoub lyanga amesema kwa sasa anajisikia amani akiwa na timu ya nyumbani kwao singida black stars na kuahidi kufanya vizuri kama alivyokuwa azam
MAANDALIZI YA DABI NI MOTO/SHABIKI WA SIMBA AWATOLEA UVIVU WANAJANGWANI
มุมมอง 52หลายเดือนก่อน
#ayo #mpenjatv @Mawengitv

ความคิดเห็น

  • @fahadfahmy
    @fahadfahmy 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    ungeandika kipyenga chamwishow 🤣

  • @AdamMakasi-p1l
    @AdamMakasi-p1l 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤❤

  • @EliaNyangira
    @EliaNyangira 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sio tatizo kuvua jezi waamuzi wawe makini

  • @HerryLazaro
    @HerryLazaro 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Siku nyingine mzaramo mwaga kizaramo mwanzo mwisho tufrahi huku.

  • @MakameSalim-q5p
    @MakameSalim-q5p วันที่ผ่านมา

    tuambiwe kwa nini goli lilikataliwa

  • @davidmichaelbalohho3727
    @davidmichaelbalohho3727 วันที่ผ่านมา

    Kwani huyo msenge Hans Rafael hasikii hizi chambuzi za wasomi??????

  • @vicenttarimo2203
    @vicenttarimo2203 วันที่ผ่านมา

    Mbona goli la All ahal tripol lilikua kama Of Saidi na goli kukataliwa la Simba

  • @AugeniaSteven
    @AugeniaSteven วันที่ผ่านมา

    Othman kazi wachambuzi wa Tz akina Hance ndiyo wanaharibi soka la nchi hii,anawaaminisha watu kuwa ile ilikuwa penelt.

  • @dubai8594
    @dubai8594 วันที่ผ่านมา

    Huyu mzee kafa ana na mzee mjegejo

  • @MshamMsham-u3w
    @MshamMsham-u3w วันที่ผ่านมา

    Cut

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 วันที่ผ่านมา

    NA WEWE KIPENGA CHA MWISHO MBONA UKICHAMBUA GOLI HATA KM NI GOLI LA HALALI HUWA HAMRUDISHI KWENYE TIMU ILIYOSHINDA? KM NI HVY BASI HAKUNA LA MAANA. SASA UNACHAMBUA ILI IWEJE? UWE UNAWAPA WENYE TIMU ILIYOSHINDA ILIYOKUWA NA UHALALI WA GOLI

    • @kapingumpologo3964
      @kapingumpologo3964 วันที่ผ่านมา

      aisee 😀😀😀

    • @chotark1881
      @chotark1881 วันที่ผ่านมา

      Ila kweli

    • @chotark1881
      @chotark1881 วันที่ผ่านมา

      Huyu mzee anazeeka aisee Nina muda sijamuona

    • @MrishoMindu-zq7mz
      @MrishoMindu-zq7mz วันที่ผ่านมา

      Hata wewe unazeeka bila kujijua hauwezi miaka yote ukawa unanyonya tu ziwa la mama ukiona unaweza kuujiuliza mz huyu anazeeka ujue sasa umeacha ziwa sasa unaelekea alipo huyo unae muona anazeeka kila kiumbe kitapitia njia zote alizo ziweka Mungu tuzipitie hakuna atakae ziruka nyingine hizo zenu mbwembwe tu.​@@chotark1881

  • @RehemaBresa-pg5bj
    @RehemaBresa-pg5bj 2 วันที่ผ่านมา

    Dua nene Kwa Wana simba

  • @AjaraSaidi
    @AjaraSaidi 2 วันที่ผ่านมา

    Hashimu nakushangaa ulilo liomba kwa simba halikuwa pole sana na mechi ya simba na azamu tutawagonga

  • @R0my1-b2z
    @R0my1-b2z 2 วันที่ผ่านมา

    Sawa bwana😮

  • @MussaFabian-n1h
    @MussaFabian-n1h 12 วันที่ผ่านมา

    Sisi piah tunaomb mziz asitol yanga bad tunamhitaj

  • @RehemaBresa-pg5bj
    @RehemaBresa-pg5bj 12 วันที่ผ่านมา

    maoni ya shabiki yako sahihi

  • @CAROLINESESAWANGA
    @CAROLINESESAWANGA หลายเดือนก่อน

    Safiii

  • @CAROLINESESAWANGA
    @CAROLINESESAWANGA หลายเดือนก่อน

    Waaoooh KEEP IT UP