- 352
- 123 627
Rev. Pascal Linus Mjili
เข้าร่วมเมื่อ 2 ส.ค. 2013
Maili sita Ngaramtoni Arusha
Utamtambuaje kama ni mtumishi wa Mungu wa uongo
Utamtambuaje kama ni mtumishi wa Mungu wa uongo
มุมมอง: 22
วีดีโอ
MAOMBI YA KUFUNGA
มุมมอง 4421 วันที่ผ่านมา
KUFUNGA HUKUATIA NGUVU ZA KUSHINDA NGUVU ZA GIZA, YAKIWEMO MAPEPO
SAA YA URITHI WA WOKOVU NA UZIMA WA MILELE
มุมมอง 592 หลายเดือนก่อน
SAA YA URITHI WA WOKOVU NA UZIMA WA MILELE
DALILI KUWA IMANI YAKO IKO CHINI YA UDHIBITI WA MAMLAKA ZA GIZA
มุมมอง 1373 หลายเดือนก่อน
DALILI KUWA IMANI YAKO IKO CHINI YA UDHIBITI WA MAMLAKA ZA GIZA
USIJIKAUSHE TIMIZA NADHIRI NA AHADI ULIZOAHIDI
มุมมอง 473 หลายเดือนก่อน
USIJIKAUSHE TIMIZA NADHIRI NA AHADI ULIZOAHIDI
IMANI NI NANGA NA NGUVU YA MATARAJIO YA MTAKATIFU
มุมมอง 874 หลายเดือนก่อน
IMANI NI NANGA NA NGUVU YA MATARAJIO YA MTAKATIFU
MAOMBI YA KINA CHIMBUKO LA NGUVU ZA ROHO MTAKATIFU
มุมมอง 558 หลายเดือนก่อน
MAOMBI YA KINA CHIMBUKO LA NGUVU ZA ROHO MTAKATIFU
MWINJILISTI AJITAMBUE ATAMBULIWE NA KUTAMBULISHWA
มุมมอง 748 หลายเดือนก่อน
MWINJILISTI AJITAMBUE ATAMBULIWE NA KUTAMBULISHWA
Kweli kabisa
Amen hakika ni sindano ya kiroho ubarikiwe mtumishi wa Mungu
Mungu awabariki sana
Nimeipenda hiyo
yani mungu mwache sites mungu
Sasa kama hapo ndo chanzo cha kuinuka kwake napaswa kuparekebisha hapo jengo lisiendelee kuwa hivyo
Nimekumiss kwetu mbeya jamani Ihombe hapo
Mungu atusaidie
Amina sana injili hai duniani...Nabarikiwa sana na injili unayohubiri,, tufundisheni na sisi vijana mapito ya zamani
Hata katika hii dhiki BWANA amenipa neema ya kuvuka salama🔥🔥🔥
Aict bujora
Amen
Amina sana
Barikiwa sana
Amen Baba yetu. Very powerful, Mungu wa mbinguni akuzidishe, akuinue zaidi, upako zaidi, neema zaidi, baraka zaidi na kila lililo jema.
@@AnnaAminiel Amina Asante mwanangu
Namkubali sana mtumushi wangu wa mungu,mungu aendelee kumpigania Zaidi na zaidi
May God continue expanding you my mentor
Nakupendaa Sana mchungaji wangu❤
Kufungua kanisa
Mungu abariki kaziyako mchungaji. Umenifungua ufahamu wangu ktk kumjua Mungu. E A G T Majengo Korogwe Tanga
Ubarikiwe mno
Pastor de que iglesia es usted.? Disculpe las molestias.
sio mchezo kweli
I hope sai it's a big church ama sio ,is it still his church ama aliiacha
Naomba nguzo ya unyakuo
Ameeen
Ah mutumishi Abiudi Mungu aendeleye na kukujogeza mbele
Neno la baraka ninaloinua.ubarikiwe sana mtumishi wa mungu
Kwanini ha jengi hili kanisa uyo siyo wa Mungu ule nitapeli waliyo okoka wana jenga kijijini kwawo
Hiyo wimbo ya mke wa Jeupe, naipenda sana, huwa inanitia nguvu sana. Sahi niko miaka mitatu nikihudumu full time na kuna wakati nakosa mapato kabisa lakini lakini kisikiza huo wimbo natiwa nguvu kabisa na naambia mke wangu tuvumilie Mungu atafungua njia. Nakupenda mtumishi Abiudi
watu wanatoka mbali
Amina baba. Ubarikiwe sana kwa ujumbe MUHIMU kwa watu wote, hasa wale WALIOITWA NA BWANA
Amina
Barikiwa Mtumishi wa Mungu
Amina nawe pia
Sie wanao tukupata vzr dodoma
Barikiwa sana baba
Sasa kapata pesa amehishindwa boresha kanisa lake la awali ama lazami Kweli 😂chungu Cha zamani akina thamani mbele ya chipya
Pastor tunakupenda Mugu aendele kuku jaza
Ubarikiwe Baba
Kunena kwa lugha ni karama za Roho Sio kila mtu anapewa hicho kipawa,
Huyu bado ni mchanga kiroho anatakiwa kuelekezwa kwa faragha,,,Roho mt yuko ndani yako isipokua tu hajakupa hiyo karama maana Roho hugawa kama apendacyo,,,Soma Matendo mitume 8:14.....
@@194summer Ndiyo unavyojidanganya. “Nami nataka ninyi nyote mnene kwa lugha, ....... - 1 Wakorintho 14:5 (Biblia Takatifu)
“Na ishara hizi zitafuatana na hao waaminio; kwa jina langu watatoa pepo; watasema kwa lugha mpya; ” - Marko 16:17 (Biblia Takatifu) Maisha yaliyojaa Roho mtakatifu hayakosi kunena kwa lugha
@@194summer hapo nimekuelewa brother kuwa Roho Mtakatifu yupo ,hugawa karama kama apendavyo Maana najiuliza mbona tuna jibiwa maombi yetu( Mimi kwenye Roho Mtakatifu nachanganywa kuelekezwa,Acha Roho Mtakatifu anifundishe mwenyewe )
Kama sineni kwa lugha na nafanya maombi nitakuwa sina Roho Mtakatifu?
Kama unakwama kunena kwa lugha, Ufahamu kiwango cha Roho mtakatifu ndani yako ni kidogo
Moja ya jambo muhimu unapaswa kufahamu nikuwa, mwanadamu yeyote ni dhaifu bila Roho mtakatifu Ndiyo sababu imeandikwa “Kadhalika Roho naye hutusaidia udhaifu wetu, kwa maana hatujui kuomba jinsi itupasavyo, lakini Roho mwenyewe hutuombea kwa kuugua kusikoweza kutamkwa. ” - Warumi 8:26 (Biblia Takatifu)
Mmh..🤔
@@rev.pascallinusmjiliRev Kuna mtihani hapo Sasa katika kuomba huku mbona maombi yanajibiwa?,
@@rev.pascallinusmjiliRev Amina Mimi naamini katika karama kama isemavyo neno
Bado mungu ni mwema kwako pastor
mungu aendelee kukupa uzima mchungaji napenda nyimbo zako na huduma yako pia Ila nilitaka kuuliza abiudi ni mtu wa mkoa gani
Nasikia sogea
Mbeya ndugu
Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu, napenda nyimbo zako, kutoka Kenya
Uvumilivu huo
Amen
Ameni Baba
Amina Mtumishi, nimejifunza kitu
Mungu akupe maisha marefu mtumishii tunakupenda sanaa ❤❤
Kazi nzuri mchungaji, barikiwa
Ongela sana mchungaji