Seni Daniel
Seni Daniel
  • 99
  • 58 454

วีดีโอ

MIFANO MIWILI YA WABABA WALIOWAHI KUUMIZWA NA WAKE ZAO KATIKA BIBLIA
มุมมอง 45หลายเดือนก่อน
Wababa wengi wanapitia vipindi vigumu katika maisha yao; huku wakikabiliwa na mashinikizo ya kifamilia na matarajio mengi yasiyofikiwa. Mchungaji Daktari Daniel John Seni anafafanua kuhusu hoja hizi kupitia watumishi wawili 1) AYUBU 2) DAUDI.
MBINU ZA KUKUFANYA UOMBE MUDA MREFU
มุมมอง 61หลายเดือนก่อน
MBINU ZA KUKUFANYA UOMBE MUDA MREFU
JINSI YA KUFANIKIWA KATIKA HALI NGUMU
มุมมอง 48หลายเดือนก่อน
JINSI YA KUFANIKIWA KATIKA HALI NGUMU
MAFANIKIO NA UPINZANI. MDO 14:1-7
มุมมอง 294 หลายเดือนก่อน
MAFANIKIO NA UPINZANI. MDO 14:1-7
MAFANIKIO NA UPINZANI KATIKA HUDUMA// Rev. Dr. Seni Daniel, Shekinah Church
มุมมอง 574 หลายเดือนก่อน
MAFANIKIO NA UPINZANI KATIKA HUDUMA// Rev. Dr. Seni Daniel, Shekinah Church
MAMBO 5 MUHIMU YANAYOWAFAA WATU HAWA. REV. DR. SENI
มุมมอง 274 หลายเดือนก่อน
MAMBO 5 MUHIMU YANAYOWAFAA WATU HAWA. REV. DR. SENI
KUSHINDANA NA UPINZANI WA BAR-YESU (ELIMA) MCH. DKT. DANIEL SENI
มุมมอง 244 หลายเดือนก่อน
KUSHINDANA NA UPINZANI WA BAR-YESU (ELIMA) MCH. DKT. DANIEL SENI
UZINDUZI WA MFUKO MAALUMU WA UJENZI
มุมมอง 95 หลายเดือนก่อน
UZINDUZI WA MFUKO MAALUMU WA UJENZI
UTOAJI SADAKA YA KWANZA YA UJENZI WA KANISA TAR. 4.8.2024 SHEKINAH MADALE
มุมมอง 855 หลายเดือนก่อน
UTOAJI SADAKA YA KWANZA YA UJENZI WA KANISA TAR. 4.8.2024 SHEKINAH MADALE
HISTORIA YA KANISA LA SHEKINAH PRESBYTERIAN CHURCH TANZANIA
มุมมอง 545 หลายเดือนก่อน
HISTORIA YA KANISA LA SHEKINAH PRESBYTERIAN CHURCH TANZANIA
IBADA LIVEㅣㅣNAMNA UWAJIBIKAJI UNAVYOWEZA KUWA BARAKA KWA WENGINE/ Tar. 14.7.2024
มุมมอง 165 หลายเดือนก่อน
IBADA LIVEㅣㅣNAMNA UWAJIBIKAJI UNAVYOWEZA KUWA BARAKA KWA WENGINE/ Tar. 14.7.2024
IBADA LIVE// UNABII// Rev. Dr. Seni
มุมมอง 325 หลายเดือนก่อน
IBADA LIVE// UNABII// Rev. Dr. Seni
Ziara ya Kitume 2024 with Rev. Dr. SENI DANIEL
มุมมอง 596 หลายเดือนก่อน
Ziara ya Kitume 2024 with Rev. Dr. SENI DANIEL
Maelezo ya safari ya Kimisheni, Shekinah PCT 2024
มุมมอง 476 หลายเดือนก่อน
Maelezo ya safari ya Kimisheni, Shekinah PCT 2024
WANAOKATALIWA WANAPOKELEWA
มุมมอง 597 หลายเดือนก่อน
WANAOKATALIWA WANAPOKELEWA
Hatua 7 za kuishi maisha ya Kikristo
มุมมอง 967 หลายเดือนก่อน
Hatua 7 za kuishi maisha ya Kikristo
MAMBO 10 KWA MWANAMKE KUMZIDI MWANAUME. SEMINA YA WANAWAKE 2024 SHEKINAH MADALE
มุมมอง 1578 หลายเดือนก่อน
MAMBO 10 KWA MWANAMKE KUMZIDI MWANAUME. SEMINA YA WANAWAKE 2024 SHEKINAH MADALE
KUREJEA MISRI KIROHO
มุมมอง 328 หลายเดือนก่อน
KUREJEA MISRI KIROHO
Short clip
มุมมอง 910 หลายเดือนก่อน
Short clip
PENTEKOSTE NA UNENAJI WA LUGHA MPYA
มุมมอง 11011 หลายเดือนก่อน
PENTEKOSTE NA UNENAJI WA LUGHA MPYA
NYIMBO ZA VITABUNI 1 HADI 10
มุมมอง 67ปีที่แล้ว
NYIMBO ZA VITABUNI 1 HADI 10
Nyimbo za vitabuni miziki
มุมมอง 47ปีที่แล้ว
Nyimbo za vitabuni miziki
Usichanganye mbegu
มุมมอง 49ปีที่แล้ว
Usichanganye mbegu
Aibu Haijawahi Kumlipa Mtu
มุมมอง 102ปีที่แล้ว
Aibu Haijawahi Kumlipa Mtu
Maneno mengi
มุมมอง 81ปีที่แล้ว
Maneno mengi
Unahitaji kuwa mvumilivu sana
มุมมอง 18ปีที่แล้ว
Unahitaji kuwa mvumilivu sana
KUEPUKA MSONGO WA MAWAZO
มุมมอง 36ปีที่แล้ว
KUEPUKA MSONGO WA MAWAZO
Pale watu
มุมมอง 5ปีที่แล้ว
Pale watu
Kazi za wazungu tu
มุมมอง 31ปีที่แล้ว
Kazi za wazungu tu

ความคิดเห็น

  • @JustinaJohn-xb5iq
    @JustinaJohn-xb5iq หลายเดือนก่อน

    Naomb unisaidie kuhubili neno

  • @catherineonyamo-vb3zd
    @catherineonyamo-vb3zd 2 หลายเดือนก่อน

    Asante sana kwa mafunzo mzuri

  • @YohanaMwakaje
    @YohanaMwakaje 3 หลายเดือนก่อน

    Amina 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @israeltitus3797
    @israeltitus3797 3 หลายเดือนก่อน

    Absolutely true pastor

  • @jefwakalama4336
    @jefwakalama4336 4 หลายเดือนก่อน

    MUNGU akubariki sana mtumishi kwa kzi nzuri Emmanuel Jefwa kutka Lamu Kenya

  • @aswilekibona9861
    @aswilekibona9861 4 หลายเดือนก่อน

    Kuna mahal umesema wenye wake weng Kuna uwezekano mkubwa wa kuwa mkengeufu,ss pale Eden ,je,Adam alikuwa na mitala😊

  • @aswilekibona9861
    @aswilekibona9861 4 หลายเดือนก่อน

    Kwa namna flan unioongezea kitu zaid

  • @MalemiGodifrey
    @MalemiGodifrey 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubarki mtumshi

  • @InnocentMabiki-p1q
    @InnocentMabiki-p1q 5 หลายเดือนก่อน

    Ameeeen nimebarikiwa sana

  • @GasperSandfordMlahagwa
    @GasperSandfordMlahagwa 6 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @Joelykauzeni
    @Joelykauzeni 7 หลายเดือนก่อน

    Jamani naombeni Namba za uyu Mtumishi naombeni sana sana

  • @SAAYAUZIMAWAROHO
    @SAAYAUZIMAWAROHO 7 หลายเดือนก่อน

    Mimi katika hili nisiseme mengi ila nashauri kwamba,Uongo huu wa kuhubiri kwamba mkristo akiongeza mke wa pili au watatu ni dhambi usiendelee kuhubiriwa maana ni kumsaidia kazi shetani. Ukisema kwamba ni dhambi mkristo kuongeza mke wa pili au watatu unamtukana Mungu moja kwa moja kwasababu unakuwa unamaanisha kwamba MUNGU aliwapeleka mbinguni watu walio kuwa na dhambi,maana tunaona kwamba wale wote walio kuwa na wake zaidi ya mmoja wako mbinguni. Nashauri watu watemnelee pia chaner yetu ya You Tube kwa jina la SAA YA UZIMA WA ROHO

  • @michaelmurigu9713
    @michaelmurigu9713 7 หลายเดือนก่อน

    Be blessed am pastor michael from kenya.

  • @MAUREENKNIGHT-qs8cx
    @MAUREENKNIGHT-qs8cx 7 หลายเดือนก่อน

    Asante sana kwa kutufunza mungu akubariki

  • @ZakayoYohana
    @ZakayoYohana 7 หลายเดือนก่อน

    Sio msimamo wakanisa nimsimamo wako

  • @BlessedEmmanuel-tt3ce
    @BlessedEmmanuel-tt3ce 7 หลายเดือนก่อน

    MAFUNDISHO MAZURI

  • @BlessedEmmanuel-tt3ce
    @BlessedEmmanuel-tt3ce 7 หลายเดือนก่อน

    UBARIKIWE SANA MUTUMISHI WAMUNGU NABARIKIWA KWANENO

  • @silveriusfungilwa5995
    @silveriusfungilwa5995 7 หลายเดือนก่อน

    Wee mwongo hujui hata kufafanua wapi biblia au mungu anasema mke zaidi ya mmoja nidhambi. Msilete shiria za kishetani huku. Huo ni mpango wa shetani kuua ukristo biblia inasema yafaa askofu awe mume wa mke mmoja. Sio wakristo wawe na mke mmoja.

    • @revdrseni
      @revdrseni 7 หลายเดือนก่อน

      Ndugu, kama unataka kuoa wake wengi, oa tu

  • @GodwinBuberwa
    @GodwinBuberwa 7 หลายเดือนก่อน

    Akuna mwanA ume mwenye mke moja ni uongo tu,wanasema kwa midomo tu,miyoni ni uhongo tu,Wana mahawala kibao,je kipi kizuri kuoa wake zako au kuwa na mahawala?

    • @odilomwemeziernest646
      @odilomwemeziernest646 7 หลายเดือนก่อน

      Huo ni mtazamo wako kulingana na udhaifu wako,ila mimi nipo nimeokoka,sina hawala ninaishi na mke wangu na watoto wangu.hilo wazo lako ni la wale watetea tamaa.

  • @MSOMBAAlon-gh3ps
    @MSOMBAAlon-gh3ps 8 หลายเดือนก่อน

    Kuoa mke wa pili ni zambi ila ndo za jinsia moja hizo ndo hakuna shida

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 8 หลายเดือนก่อน

    Kwanza ukioa wanawake wengi lazima wakufundishe uchawi na uganga na ufreemasoni wanaume yeye Mungu anasema lakini mke mwema Mungu ndie anaemjua ko msifikili kila mke nikuowa noooo

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 8 หลายเดือนก่อน

    Jaman lakin mbona Yesu agano jipya ametoa maamuzi na msimamo wa Mungu mathayo 19 Yesu anasema ni kwa ugumu wa mioyo yenu aliyeumba aliumba mke na mume na.anasema na hao wawili hawatakuwa wawili watakuwa mwili mmoja kuoa mke.zaidi ya mmoja ni ugumu.wa moyo wanaume acheni.tamaa ndio mAana mnakufa haraka mnasingizia majukumu machozi ya.wamama.na.watoto ni.mengi.kila.sehemu tulien.mheshimuni Mungu na neno lake na ukioa mke sio kwamba majukumu yameisha kuna majukumu ya familia mbili.haya ukioa wanawake sita utahudumia familia saba ndo mnaingliwaga na maloho mabaya mnaanza kuombewa mfe wanaume nawashauri mkioa.mke zaidi ya mmoja.sio kwamba Mungu awaue ila mnamchukiza

    • @williamogal2840
      @williamogal2840 7 หลายเดือนก่อน

      Festina mwakipale,Yesu anasema kwa ugumu wa moyoyenu yakupenda Talaka haikua hivio tangu mwanzo.Mtu ashikamane na mkeo,Kutoka 23:21mke apate huduma sawa,si Talaka.

    • @festinamwakipale3919
      @festinamwakipale3919 7 หลายเดือนก่อน

      @@williamogal2840 ndio logo wa bwana akitaka uhubili.watu mambo ni mengi kuhusu.ugumu wa mioyo Moja Musa.aliwaona Wana mioyo migumu ma'ana waliishi.kwenye makambi lakini waliachana kwA talaka jaman hivi umewahi linyumbulisha neno mioyo migumu lakini yeye aliyeumba aliumba mume na mke nao hawatakuwa wawili bali mwili mmoja hapo.sasa.wenye.mioyo migumu hawakubali

  • @faustinconrad2554
    @faustinconrad2554 8 หลายเดือนก่อน

    Hakuna kifungu ndani ya Biblia kinacho mzuia mtu kuoa wake wengi.

    • @Wamisangi
      @Wamisangi 7 หลายเดือนก่อน

      Hujakutana na huu mstari Mathayo 19:9. Ukimuacha Mke wako wa ndoa ukao mwengine umezini. Hapo hamna uwingi ni umoja. Lakini ukisoma hapo hapo Mathayo 19:1-12 ambapo Bwana Yesu alikuwa akifundisha kuhusu baada ya kutaka kujarubiwa na Mafarisayo, utaona mstari/aya wa 4 na 5 utaelewa tangu manzoni mungu aliumba mtu mke na mtu. Na kama haitoshi watakuwa mwili mmoja wakiona. Sasa ni ukuulize mwanamune atakuwaje mwili mmoja na wakened zaidi ya mmoja? Ama mwanamke anakuahe mwili mmoja na mumewe wakati wako wengine wanaochangia naye huyo mume? Hosea 4:6a.😢

  • @faustinconrad2554
    @faustinconrad2554 8 หลายเดือนก่อน

    Nashukuru kwa ufafanuzi, ila nimegundua kuwa wazungu walituathiri sisi Wakristo.

  • @chrisshonga
    @chrisshonga 8 หลายเดือนก่อน

    Tatizo la hivyo vitabu vya Agano jipya hakuna anaejua ni nini kilifanyika na ndio maana nadhani ingekuwa vyema zaidi mngekuwa mnafafanua hili jambo kupitia kitabu cha KUMBUKUMBU LA TORATI 21:15-17 sababu hayo maandiko nina uhakika wa asilimia 100% kwamba hayajachakachuliwa. Sasa kanisa linasema ndoa ya mke mmoja hapo hapo tena limegeuza tena mahesabu kuwa ndoa ya mwanaume na mwanaume tena ruksa sasa hapo ipi dhambi kulala mwanaume kwa mwanaume ambae hakuna mwenye huo uke ama kuoa mke zaidi ya mmoja wenye huo uke ambao ndio uliothibitishwa na ndio uliotengenezwa kwa makusudi ya kuleta uzao duniani?? Tunakwama wapi sisi wanadamu tulioumbwa kwa mfano wa MUNGU? mbona njama na ujinga wa shetani unajionyesha wazi tu wala hata huna haja ya hizo hesabu zako mtumishi za 1+1 sijui? manaake sasa hivi sio tena 1+1 bali - 0+-0 Naomba nikwambie kitu Ugomvi kati ya MUNGU na shetani ambae kajitangazia huu ulimwengu kuwa ni milki yake uko katika ile MATHAYO 6:9-10 YESU alisema muombe hivi UFALME WAKO UJE NA MAPENZI YAKO YATIMIZWE (HAPA DUNIANI KAMA HUKO MBINGUNI) 👆 Sasa hebu funguka macho kidogo hapa, aliposema (Ufalme) ili huo Ufalme ufanyike hapa duniani kama huko mbinguni hakuna kitu kingine kinachoweza kuleta huo ufalme wa mbinguni hapa duniani zaidi ya kupitia uzao wa kiumbe huyu huyu aitwae mwanadamu ambae ndie pekee anaeweza kushusha hao wafalme (wanadamu) waje duniani kwa kupitia njia moja tu ya mwnaume na mwanamke na sio mwanaume na mwanaume ama mwanamke na mwanamke, Sasa pale shetani alipooona anazidiwa kete na MUNGU pale alipojaribu kuharibu kuvuruga kusudi la MUNGU katika kuzuia hilo alipolazimisha hiyo ndoa ya mke mmoja halafu (kumbuka) huyo huyo mke mmoja tayari shetani keshamzungushia vitanzi kibao, kuna Vidonge vya mpango wa uzazi, vijiti na sindano za mpango wa majira sijui, Condom za kuzuia mimba na alipoona bado watu wanaendelea tu kuongezeka na kutaka kuleta huo ufalme wa mbinguni ndo sasa kaamua kujifunua makucha yake kwa kuhalalisha ndoa za huu uchafu wa wanaume kwa wanaume na ndoa za wanawake kwa wanawake ambazo ukiongeza na hiyo ndoa ya hako kamke kamoja mchungaji jibu naamini utalipata mwenyewe la hiyo hesabu yako ya 1+1. Na kwa maana hiyo unataka kutuambia kwamba ndoa ya wake wengi ambayo tunaisoma katika Kutabu cha KUMBUKUMBU LA TORATI 21:15-17 sio ya Ki BIBLIA ila ndoa ya mwanaume kwa mwanaume na mwanamke kwa mwanamke ni ya Ki BIBILIA "duuuh" MUNGU akubariki sana mtumishi

  • @mmasaalonda499
    @mmasaalonda499 8 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe nimekuelewa mimi Wegine hawakuelewa nakutowa matusi nimewatambua

  • @Miriamwainaina-g1y
    @Miriamwainaina-g1y 8 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏🙏

  • @herbertbathlomeo4650
    @herbertbathlomeo4650 8 หลายเดือนก่อน

    swali la msingi sio visingizio onesha wapi Mungu kazuia kuoa wake wengi msimamo wa Mungu ni upi? ukianza kusema ohhh walikuwa wanauawa vitani ndo maana Mungu aliruhusu wapi aliruhusu kwa kauli yake? kama hajaweka msimamo waambieni watu wawe huru kuoa muhimu watimize mahitaji ya wake zao maana wanaume hawajawahi kukosa wanawake wa kuoa ila wanawake wanakosa wanaume wa kuwaoa kisa ratio yao kuwa kubwa kuliko ya wanaume

  • @JumaManyama-c8j
    @JumaManyama-c8j 9 หลายเดือนก่อน

    Hujui chochote usilukie mada fundisha ushoga na usagaji Huna lolote

  • @KasmiryKados
    @KasmiryKados 9 หลายเดือนก่อน

    Mitala sio dhambi kwa mungu.ila ni dhambi kwako.toka na ushetani wako.kwanza nimegundua hujui kanisa nini nenda darasani upya.😂😢

  • @KasmiryKados
    @KasmiryKados 9 หลายเดือนก่อน

    Mitala sio dhambi kwa mungu.ila ni dhambi kwako.toka na ushetani wako.kwanza nimegundua hujui kanisa nini nenda darasani upya.

  • @KasmiryKados
    @KasmiryKados 9 หลายเดือนก่อน

    Mitala sio dhambi kwa mungu.ila ni dhambi kwako.toka na ushetani wako.kwanza nimegundua hujui kanisa nini nenda darasani upya.

    • @revdrseni
      @revdrseni 7 หลายเดือนก่อน

      basi mpendwa, oa mke mwingine

  • @KasmiryKados
    @KasmiryKados 9 หลายเดือนก่อน

    Wachungaji wa kiafrika mmerogwa na nani? .hivi mnamjua alie andika agano jipya?umewahi kujiuliza kwanini Israel hawana .tafuteni vitabu vya mungu acheni kufwata tamaduni za kimagharibi.amka mwafrika toka katika utumwa wa kifikla.

  • @MRHURUMAHuruma
    @MRHURUMAHuruma 9 หลายเดือนก่อน

    Agano jipya ilichakachuliwa na warumi haiwezekan agano jipya liwe na sheria ngumu kuliko agano la kale ambalo halina neema maana neema ninafuu iweje iwe kwenye ndoa ya kikrsto iwe ngumu adi mkifunga ndoa kanisan mnaapiana alafu kwa biblia hakuna ndoa ya kanisa ndoa ipo ya kimila ndoa za kanisan ni za kutunga,kama wanawake ni weng dunian ina maana Mungu anakosea mahesabu ,katka uzao wa adamu iliwezaje kwenda kwa usawa inaingia akilin kwamba watoto wakike na wakiume waje sawa hiz sheria za ndoa ni ya mzungu na mzungu haoi wake wengi kwa utamaduni yake lakin huoa kwa mkataba ,na kwann biblia haina utamaduni ya kiyahudi iwe na tamaduni ya mzungu mfano siku ya ibada ni jumamos kiyahud adi leo ila wakrsto wanaabudu jumapili tofauti na wayahudi na kwa vile nia ya mungu tuoe tuongezeke ni vibaya sana kuwaka tamaa oa unavyoweza hii ya mke mmoja inawapa wanawake kiburi

  • @williamogal2840
    @williamogal2840 9 หลายเดือนก่อน

    Daudi /Solomoni Jehova aliwapa wake kulingana na uwezo aliwapa na huduma.Tunona Mungu akisema ukioa mke wapili mpe sawa na yule wakwanza.

  • @williamogal2840
    @williamogal2840 9 หลายเดือนก่อน

    Mume ni Askofu mkuu nyumbani mwake, basi mutu asie na mke achukue huduma aama awe na mke Moja.Tmoth 3:1_ .

  • @williamogal2840
    @williamogal2840 9 หลายเดือนก่อน

    Tusiache neno ndoa kuwa fumbo.Mungu alimanisha mume kuwa(mbegu) mke kuwa(shamba).Nina semanini? Uwe na shamba Moja hau mbili Niya mtu Moja.

  • @JeromeBuretta
    @JeromeBuretta 9 หลายเดือนก่อน

    Kwenye hiyo hesabu sijaelewa. Swali: NI NANI ANAYEENDA KUUNGANA? NI MKE AU MUME? Maana kama mke anaenda kuungana na mume basi yaweza kuwa hivi: 1+1=1 1+1=1 1+1=1 Maana 1=Mume na 1=Mke Yaani kila mke anaolewa kivyake

  • @ramadhanmwandambotuntufye5972
    @ramadhanmwandambotuntufye5972 9 หลายเดือนก่อน

    Yaani wewe mchungaji ni muongo, ukifa jahannam inakuhusu utakuwa ni kuni katika kuni za watu

  • @BM_Smart2-6
    @BM_Smart2-6 9 หลายเดือนก่อน

    Ukristo ni mzuri sana ila naamini wazungu walituchakachua mahali kwenye dini ya Kikristo kulazimisha kuwa Kikristo; mume anapaswa kuoa mke mmoja tu, hili halikuwekwa sawa. Kwa sababu hiyo wanaume wanakufa mapema na kuziacha familia na wajane wengi, wanaume wengi wamekosa furaha na kuwa na msongo wa mawazo ya mke mmoja na kufa kimya kimya. Dunia hii ni ngumu hivi sasa ukahaba na ushoga ndiyo umeshika kasi balaa, hilo jambo la kuoa bado ni fumbo

    • @JumaManyama-c8j
      @JumaManyama-c8j 9 หลายเดือนก่อน

      Wake wengi ndio mpango wa Mungu tuache kupotosha ukweli mume mke ndio kiwanda cha Mungu mkubali ushoga mujengee nyumba

    • @mathiasmuhochi435
      @mathiasmuhochi435 8 หลายเดือนก่อน

      Wazungu wamelisha watu matango pori.....baba wa Imani Ibrahim, Jackobo, daudi, suleman , Musa aliyekabidhiwa amri kumi na Mungu ....wote hao walikuwa na wake zaidi ya Moja...lakini Mungu hakuwaonya kuwa Hilo ni kosa.......Pia Mungu hakosei Kwa kuumba wanawake wengi kuliko wanaume... Ili waje kuteseka duniani Kwa kukosa waume wa kuwaoa....alijua Mwanaume ataoa mke zaidi ya mmoja

    • @nassoroyahaya821
      @nassoroyahaya821 4 หลายเดือนก่อน

      Hapa Wakristo wamelishwa matango pori vipenzi wote wa Mungu wameruhusowa kuoa wake wengi,Lameki,Ibrahim,Musa,Daudi,Seleman na Yakobo wote wameoa zaidi ya mke mmoja.Kuoa mke mmoja ni mpango wa Shetani katika kupinga kuzaana na kuongezeka [ Depopulation] ambao ni mpango wa kupinga ongezeko ili watu wake wacheche waweze kuitawala Dunia yenye watu wachache na ndio maana kwa sasa was hao waabudu shetani na kuutekeleza mpango huo,Kanisa linarusuhu ndoa za jinsia moja mwanau kwa mwanaume na mwanamke kwa mwanamke hapo wanasema ni haki za binadamu,lakini ukioa mke wa pili utaitwa gaidi muislamu n.k Je,Mungu ansema nini katika Biblia Kumb 21:15 Akiwa mtu yuna wake wawili,mmoja ampenda ,mmoja hampendi nao wamemzalia watoto ........

  • @sosmakanya4901
    @sosmakanya4901 9 หลายเดือนก่อน

    Inashindikanaje kama moja jumlisha moja, ni moja kama hesabu hiyo ipo sawa basi moja jumlisha mbili ni sawa na, moja hadi hapo utakapi nipa logic ya 1+1= 1. Logically chungwa, moja ukiongeza machungwa mawili jibu sio limao Bali ni chungwa tu. Kwa hiyo mtu mme ongeza mtu mke jibu ni mtu

  • @constantinebugingo5988
    @constantinebugingo5988 9 หลายเดือนก่อน

    Fundisha kwa mwongozo wa biblia si kwa mawazo yako.

  • @HenrickMhema
    @HenrickMhema 9 หลายเดือนก่อน

    Sisi wakristo ndo tumesababisha kuwe na makahaba wengi,ubakaji,na hata ushoga na usagaji.

  • @HenrickMhema
    @HenrickMhema 9 หลายเดือนก่อน

    Mi nahisi sisi wakristo tunaenda kinyume Sana na biblia kwasabu Katka mitume walioandikwa kwa biblia wote walikua na wake Weng isipokua isaka Tu yeye ndo alikua na mke mmoja

    • @mathiasmuhochi435
      @mathiasmuhochi435 9 หลายเดือนก่อน

      Abraham, Jackob, Mfalme Suleiman, Daudi na hata Musa aliyewatoa wana wa Israel utumwani Misri.... Wote walioa wake zaidi ya mmoja

  • @festusodhiambo7017
    @festusodhiambo7017 9 หลายเดือนก่อน

    Nipenda mafundisho yako

  • @ayubutwalbu6594
    @ayubutwalbu6594 9 หลายเดือนก่อน

    Wewe huna elimu kabsa unapga kelele tu

  • @NdayiSililo
    @NdayiSililo 9 หลายเดือนก่อน

    Mwenye wake wengi,afundishwe na achaguwe nini?Kama ameingiya kanisani akiwa na wake wengi apokelewe hivo na aendeleye alivyoitwa.kufukuza mke Kwa mujibu wa mafundisho ya kanisa ni uongo,

  • @nimrodfredinand351
    @nimrodfredinand351 10 หลายเดือนก่อน

    Mtu wa maana kabisa

  • @JosephKivaya-n3c
    @JosephKivaya-n3c 10 หลายเดือนก่อน

    Asante sana mtumishi na mungu akubariki.

  • @AliSalim-yu4mo
    @AliSalim-yu4mo 10 หลายเดือนก่อน

    Nimekuelewa mchungaji yeye haitaki Bibilia kama muongozo wake Bali yeye anafuata utaratibu wa Kikristo,na kama amechambuwa Kwa mujibu wa Bibilia basi itabidi akakae Chino aiangslie vizuri maana ktk bibilia sio Tu ni matala Bali kuwa watu walioa wake mia❤🎉