ELISHA DEUS
ELISHA DEUS
  • 14
  • 6 772
ELISHA DEUS (Peniel worship) - NI PENDO LA NAMNA GANI? (Yesu nakupenda milele)
1 YOHANA 4:10
Hili ndilo pendo, si kwamba sisi tulimpenda Mungu, bali kwamba yeye alitupenda sisi, akamtuma Mwanawe kuwa kipatanisho kwa dhambi zetu.
Hakuna upendo mkuu kuliko wa Mungu kumtoa Mwanawe wa pekee YESU KRISTO aje alipe gharama ya dhambi tulizokuwa tumezifanya.
Mungu hakuangalia madhaifu yetu, alitupenda hivohivo. Mimi na wewe yatupasa tumpenda na kumtumikia milele
มุมมอง: 358

วีดีโอ

Elisha Deus (Peniel Worship Team): YESU NAKUPENDA MILELE (OFFICIAL AUDIO) #worship #kuabudu.
มุมมอง 273ปีที่แล้ว
PENDO LA NAMNA GANI ? Hakuna Upendo mkuu kuliko wa BWANA YESU kuja kufa msalabani Kwa ajili Ya Dhambi zetu. Tunampenda YESU si kwamba tulimchagua, BALI yeye alitupenda Kwanza. Hatutaacha Kumpenda YESU kwani anatupenda zaidi. #NyimboZaKuabudu @boazdanken @gwamakamwakalinga6705 @essenceofworshipministries @EliyaMwantondo @patrickkubuya
PUPPETS BIBLE LESSON
มุมมอง 1222 ปีที่แล้ว
Puppets show and Bible lessons
ELISHA DEUS ( PENUELI WORSHIP); MOYO WANGU UMEJAWA SIFA (Official lyric video)
มุมมอง 2133 ปีที่แล้ว
wimbo wa shukurani. Katika maisha kuna vitu vingi ambavyo Mungu anatutendea, hivo yatupasa kumshukuru kwa kuimba hata kwa sadaka
Somo kwa watoto; UTATU MTAKATIFU
มุมมอง 923 ปีที่แล้ว
kumekuwa na utata na mafundisho potofu kuhusu UTATU mtakatifu. wengi wanapuuzia uwepo wa UTATU. Ni muhimu kuwafundisha watoto kuhusu hili maana ndiyo msingi wa ukristo
SOMO KWA WATOTO; KUNA MUNGU MMOJA TU!
มุมมอง 413 ปีที่แล้ว
Ni vema watoto wetu wakajua kwamba tunaye Mungu mmoja tu ambaye ameumba mbingu na nchi
Shuhudia WATOTO na Ngonjera, FPCT Uyole Mbeya.
มุมมอง 6354 ปีที่แล้ว
Watoto wakisema jambo kupitia Ngonjera..
Michezo ya Watoto, SAIMON SAYS Game,
มุมมอง 2864 ปีที่แล้ว
Hii inamfanya mtoto awe msikivu sana.
Michezo ya Watoto, hasa Wanafunzi, inayolenga Kumjenga Mwanafunzi kiakili.( Watoto)
มุมมอง 3364 ปีที่แล้ว
Watoto wakifundishwa Umakini.
NYIMBO ZA WOKOVU ( juu ya mlima) video clip,
มุมมอง 3065 ปีที่แล้ว
Video from FPCT Bagamoyo
WAFIPA wakiwashauri Vijana Wao KIFIPA
มุมมอง 4605 ปีที่แล้ว
Wakati wa Harusi, Wanasema Kuputila ....
CASFETA MARUCO....
มุมมอง 566 ปีที่แล้ว
Mwenyekiti akilifunga kambi LA KAOLE tarehe 02/03/2018
CASFETA-MARUCO wakiwa KAOLE
มุมมอง 756 ปีที่แล้ว
Wakiwa na Mchungaji NDIMANGA
FPCT kwaya ya Tumaini Chanji Sumbawanga
มุมมอง 3.5K6 ปีที่แล้ว
Elisha Mbalazi Deus