Baba kiruwasha official
Baba kiruwasha official
  • 56
  • 91 213
KWELI MWENYEZIMUNGU HAMTUPI MJA WAKE KISA CHA DADA KUPATA ZAWADI YA UMRAH
KWELI MWENYEZIMUNGU HAMTUPI MJA WAKE KISA CHA DADA KUPATA ZAWADI YA UMRAH
มุมมอง: 26

วีดีโอ

JINI HAKUSUMBUI UKIFANYA HIVI
มุมมอง 4302 หลายเดือนก่อน
JINI HAKUSUMBUI UKIFANYA HIVI
WANAUME KIKAANGONI
มุมมอง 3562 หลายเดือนก่อน
WANAUME KIKAANGONI
ILI UDUMISHE NDOA YAKO FANYA HAYA
มุมมอง 2013 หลายเดือนก่อน
ILI UDUMISHE NDOA YAKO FANYA HAYA
UKITAKA KUPENDWA FANYA HIVI
มุมมอง 5163 หลายเดือนก่อน
UKITAKA KUPENDWA FANYA HIVI
SIKIA MANENO MATAM YA MAJINI
มุมมอง 9283 หลายเดือนก่อน
SIKIA MANENO MATAM YA MAJINI
UJUE UCHAWI WA HALALI NO NO.1
มุมมอง 3193 หลายเดือนก่อน
UJUE UCHAWI WA HALALI NO NO.1
UJUE UCHAWI WA HALALI
มุมมอง 2.4K3 หลายเดือนก่อน
UJUE UCHAWI WA HALALI
MSIWAFANYIE WAUME UCHAWI WA HARAM WAFANYIENI UCHAWI WA HALALI
มุมมอง 3894 หลายเดือนก่อน
MSIWAFANYIE WAUME UCHAWI WA HARAM WAFANYIENI UCHAWI WA HALALI
HATIMAE BABA KIRUWASHA ATIMIZA AHADI YAKE
มุมมอง 17K4 หลายเดือนก่อน
HATIMAE BABA KIRUWASHA ATIMIZA AHADI YAKE
KUMTUMIA JINI INASWIHI?(BABA kiruwasha)
มุมมอง 14K4 หลายเดือนก่อน
KUMTUMIA JINI INASWIHI?(BABA kiruwasha)
MIHEMKO YA KITANDANI
มุมมอง 1K8 หลายเดือนก่อน
MIHEMKO YA KITANDANI
EWE MWANAMKE HILI NDO JAMBO WALIPENDALO WANAUME
มุมมอง 5599 หลายเดือนก่อน
EWE MWANAMKE HILI NDO JAMBO WALIPENDALO WANAUME
UKILISHWA NA WEWE LISHA ( BABA KIRUWASHA)
มุมมอง 2989 หลายเดือนก่อน
UKILISHWA NA WEWE LISHA ( BABA KIRUWASHA)
MKE HUPIGWA NA KANGA
มุมมอง 1619 หลายเดือนก่อน
MKE HUPIGWA NA KANGA
HII NDIO ASILI YA NDOA
มุมมอง 2699 หลายเดือนก่อน
HII NDIO ASILI YA NDOA
MOYO WANGU UNAMAJERAHA (baba kiruwasha)
มุมมอง 28810 หลายเดือนก่อน
MOYO WANGU UNAMAJERAHA (baba kiruwasha)
UTAISHI NAO VIPI WANAUME HAWA(2) BABA KIRUWASHA
มุมมอง 20710 หลายเดือนก่อน
UTAISHI NAO VIPI WANAUME HAWA(2) BABA KIRUWASHA
UTAISHI NAO VIPI WANAUME HAWA(BABA KIRUWASHA)
มุมมอง 42411 หลายเดือนก่อน
UTAISHI NAO VIPI WANAUME HAWA(BABA KIRUWASHA)
ZIJUE AINA ZA WANAUME (BABA KIRUWASHA)
มุมมอง 78711 หลายเดือนก่อน
ZIJUE AINA ZA WANAUME (BABA KIRUWASHA)
ASUBUHI KUMEKUCHA ELIMIKA NA BABA KIRUWASHA
มุมมอง 25611 หลายเดือนก่อน
ASUBUHI KUMEKUCHA ELIMIKA NA BABA KIRUWASHA
HUYU NDIYE WAKUINGIA NAE KABURINI
มุมมอง 40511 หลายเดือนก่อน
HUYU NDIYE WAKUINGIA NAE KABURINI
HII NDIO JINSI YA KUCHAGUA JIKO
มุมมอง 418ปีที่แล้ว
HII NDIO JINSI YA KUCHAGUA JIKO
JAMBO LA KISHUJAA KATIKA NDOA
มุมมอง 297ปีที่แล้ว
JAMBO LA KISHUJAA KATIKA NDOA
UKIJUA KUPIKA UJUE NA KUPAKUA
มุมมอง 1Kปีที่แล้ว
UKIJUA KUPIKA UJUE NA KUPAKUA
haki za wana ndoa sehem ya pili
มุมมอง 342ปีที่แล้ว
haki za wana ndoa sehem ya pili
HAKI ZA WANA NDOA
มุมมอง 226ปีที่แล้ว
HAKI ZA WANA NDOA
Nasaha za diamond zamgusa baba kiruwasha
มุมมอง 502ปีที่แล้ว
Nasaha za diamond zamgusa baba kiruwasha
KWANINI AMEUMBWA MWANAMKE
มุมมอง 181ปีที่แล้ว
KWANINI AMEUMBWA MWANAMKE
Kwanini talaka zimekuwa nyingi (BABA KIRUWASHA)
มุมมอง 172ปีที่แล้ว
Kwanini talaka zimekuwa nyingi (BABA KIRUWASHA)

ความคิดเห็น

  • @bago-5
    @bago-5 หลายเดือนก่อน

    Mashallah

  • @saidmohd2931
    @saidmohd2931 หลายเดือนก่อน

    Assalam alykum sheikh baba kiruwasha mimi nimechelewa kuangalia haya maf-hum yako na pia nimeyaelewa vizur tu - tunanukuu maneno ya dr sule alisema inafaa kumtumia jini kwenye mambo ya mali (akuletee mali) katika fat-waah yako hujalizungumzia swala hili na mimi nahis swala hili ndio limeleta mtafaruku mkubwa katika jamii ya kiislam hivyo tunaomba ufafanuz wako kwenye hili pale tu utakapoona hii comment yangu,,Jee inafaa kumtumia jini kwenye mali (iwe kukuletee kwa namna unayoijua ama usioijua) wabillah tawfiq

  • @jolipaki
    @jolipaki 2 หลายเดือนก่อน

    Allah Baarik

  • @mamuamtoto
    @mamuamtoto 3 หลายเดือนก่อน

    Sadaqta

  • @shadyayussuf341
    @shadyayussuf341 3 หลายเดือนก่อน

    shukran shekh allah akulioe kila la khery

  • @MussaYusuf-fd8je
    @MussaYusuf-fd8je 3 หลายเดือนก่อน

    Kwani huyu BACHU hamumuelewi amaa mbona kashaafafanua yote lakin bado mnaleta mambo mengine,

  • @MrishoKibavu
    @MrishoKibavu 3 หลายเดือนก่อน

    Sikiza nyamaza kila mtu anasikia akitaka anasema kweli haya maneno ya mungu na mtume tuache miemko anatoa darsa Lilo haki kutoa hajamaliza ni namna tu njia utaipata atafika huko kote mshaanza kumuita mganga mtufafanulie mgnnga wa fani Gani huyu?

  • @Kasimukilua
    @Kasimukilua 3 หลายเดือนก่อน

    Ukweli useme ila asiongope tu juu ya kupotea kwa mtu ni mtu mwenyew ila kuongoka ni Allah hukuongoza amtakae

  • @TOJOONLINETV-lc2yd
    @TOJOONLINETV-lc2yd 3 หลายเดือนก่อน

    Ki akili ya sasa inafaa lakini kuna nia ya kutumia na mfumo sio unawatumia kwa mambo yasio faa, na je utamjuaje kama jini sio mchamungu? Na je kuna faida Gani ya kumtumia jini? Maana sure kasema mara umweke ktk Pete uvute hela sasa ayo sio makusudi ya watu wa zamani au manabii

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 3 หลายเดือนก่อน

    Shekh unaambiwaa 1- ukiona kitu kina faida 30%na madhara 70% Maulamaa wote wamrkubaliana kuacha hilo jamboo maana madhara n meng kuliko faida?? 2- sasa ww unakomaa na majini tu umeambiwa wanaprlekea kukufurisha haooo! hata kama n wazur wabaya mradi tu ni faıda chavhe achana nao 3- Fundsha watu Tawheed shekh Acha kupteza Mb zako ktk jambo lisilo na tija ktk jamiii 4- Au utakuwa mganga nini 😊we!!! mbona hutaki kuelewa!!

  • @twahamuhoro1656
    @twahamuhoro1656 3 หลายเดือนก่อน

    Hahaha dini ni dalili kwenye hili babu kiruwasha ana dalili zilizoshiba...

  • @AbuujureyjKhaniy
    @AbuujureyjKhaniy 3 หลายเดือนก่อน

    Uhuni tuuuu hamna kituuu

  • @MilesReileigh
    @MilesReileigh 3 หลายเดือนก่อน

    Hii ni markaz ipo wapi?

  • @hilalkhalfan1452
    @hilalkhalfan1452 4 หลายเดือนก่อน

    Mashairi mazuri lakini usifasiri utakavyo hio kullu mina lbayani lasihri. Haitafsiriwi kwa unavyopenda Bali Kwa inavyosema. Hakika katika kubaini Jambo Ni uchawi. SUALI. JEE Hivi Kuna uchawi mzuri na mbaya kumbe?!!!. kama hujui Nyamaza kwasababu......

    • @officialbabakiruwasha
      @officialbabakiruwasha 4 หลายเดือนก่อน

      Shukran kwa tafsiri ila jitahid kuelewa usikurupuke

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 4 หลายเดือนก่อน

    Ukiona shekhe analingania ushirikina nae miongoni mwao tuu wa Yale mambo kuna wtu siku ya kiama watapelekwa motoni na masijida yao makubwa kama balbu ya treni

    • @bago-5
      @bago-5 4 หลายเดือนก่อน

      Hiyo ni akili fupi yakuto elewa shekhe alichosema

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 4 หลายเดือนก่อน

      @@bago-5 we ndo mpambe wake Nini unae mjibia hoja mi kimesema huyu anapendaga kutetea mambo ya shirki Sasa ukiona shekhe wa Aina hii Ni katika wale wale Sasa ww kinachokukela Nini hapo kwani asikosolewe yeye Nani so hata sule alikuwa anaemtetea kuhusu majini ukiona mtu anaemtetea mushiriki. Nae Ni katika wao

    • @bago-5
      @bago-5 4 หลายเดือนก่อน

      @@AbdulIssa-o7e elewa usikurupuke shekhe

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@AbdulIssa-o7e kwani uchawi Ni shirki au UOVU?

    • @officialbabakiruwasha
      @officialbabakiruwasha 4 หลายเดือนก่อน

      Inaonekan umesoma tittle tu uka comment angalia video mpaka mwisho shekhe elewa

  • @lutfiamuhammed
    @lutfiamuhammed 4 หลายเดือนก่อน

    Mpeniiiiii mauwaaa yakeeee❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂 shekheeeeeee

  • @idrisamnyamisikhalifa4348
    @idrisamnyamisikhalifa4348 4 หลายเดือนก่อน

    Dah umenitoa chozi ostadhi sio wote wenye kukubali

  • @Ibrahimaliy-go9fz
    @Ibrahimaliy-go9fz 4 หลายเดือนก่อน

    Sadakta

  • @Ibrahimaliy-go9fz
    @Ibrahimaliy-go9fz 4 หลายเดือนก่อน

    Ss nimekuelewa ila mwanzo ulinichanganya kwel

  • @habajuashesema
    @habajuashesema 4 หลายเดือนก่อน

    Wasiokua waislam tangu lini wakaridhika na uislam?Uache kuangalia uislam wako unasemaje we unakaz ya kuridhisha wasio waislam.Huu ndo mtihan wa kutumia akili kwenye dini pasina dalili.

  • @Ibrahimaliy-go9fz
    @Ibrahimaliy-go9fz 4 หลายเดือนก่อน

    Uchawi wa hali ndio upi

  • @Ibrahimaliy-go9fz
    @Ibrahimaliy-go9fz 4 หลายเดือนก่อน

    Baba kiruwasha unajuwa kwa mtazam wang km naww upo miyongon wa kutetea hayo mambo au nawewe unafanya km hayo

  • @AhmedMohamedMadaiMadai
    @AhmedMohamedMadaiMadai 4 หลายเดือนก่อน

    MAwahab shekh wenu pia hamumuamin hv ungekuw kumtumia jini haifai nabii sleman ataenda motion vitu vipo wazi ikiw haifai ht mskiti wa bautul makdis waliujenga Majin kw hio haifai kusaliw ni kusoma tu

    • @sadih5333
      @sadih5333 3 หลายเดือนก่อน

      Nimakosa makubwa sisi kuongelea na kujifananisha na Nabii wa Allah Suleiman yeye ni mfalme pia ni Mtume alikua pia anawasiliana na wanyama na viumbe wengine Malaika na Majini , sasa kwa hayo machache si sahihi kupigia mfano na kujilinga Nisha nae, Allah atupe ufahamu mwema.

  • @MariamIddi-ui9wn
    @MariamIddi-ui9wn 4 หลายเดือนก่อน

    Haifai madhara mengi kwani jambo la msingi majin hatuwaoni hivyo itakua ngum kubaini nani mwema na nani anafanya khiana hivyo mambo yenye kutatiza ni vyema tukaachana nayo kama sheikh muhammad bacho asemavyo

  • @suleimansuleiman7947
    @suleimansuleiman7947 4 หลายเดือนก่อน

    Ma shaa Allaah, Allaah akupe wewe na sisi mwisho mwema , Wew ni sheikh wa kwanza kukuona hauna kibri katika elimu hasa yakumujua Allaah, Sheikh bachu kamalize kazi ili watu waelewe zaidi....Allaah awahifadhi masheikh wetu wenye kusimama katika haki tena bila kuws na vibri

  • @selewenger8323
    @selewenger8323 4 หลายเดือนก่อน

    Shekh, barakallah, mi naomba njia SAHIHI ya kumwita jini na kumtumia, Mana kumbe huu umaskini tynautak mwenyew

  • @MaryamYasmin-dp5md
    @MaryamYasmin-dp5md 4 หลายเดือนก่อน

    Mashallh

  • @drruhanitz8161
    @drruhanitz8161 4 หลายเดือนก่อน

    Mbona Mwalim Ameelewaka sana Alivyo Elezea na hakusapot Uchaw na pia kasema ataelezea ni uchaw gani unaoruhusiwa lakin sisi waisalam wa bongo hatuna subira tunamparamia shekh na maneno makali ya ovyo sivizur mwacheni shekh ameongea hivyo anamaana yake huyo ni msomi hajakurupuka kuja kusema hilo tuwe na subira

  • @Abdulrahmanhassan18
    @Abdulrahmanhassan18 4 หลายเดือนก่อน

    Naomba mwendelezo wa elimu ya majini

  • @issaabdallah1205
    @issaabdallah1205 4 หลายเดือนก่อน

    Hii tv kiliwash kesheikharibi sichangii shiigi moja siwezi kupoteza sadaka yagu akalipwa mtu anesapoti uchawi

  • @IssaSimbilla-hw9ev
    @IssaSimbilla-hw9ev 4 หลายเดือนก่อน

    Tv imaan inatia huruma sana hawa ndo mashekh wa tv imaan miongoni subhanallah kutete uchawi pia wamo maulid wamo eti tv ya watu wa sunna innalillah wainnaillahi rajoon

  • @IssaSimbilla-hw9ev
    @IssaSimbilla-hw9ev 4 หลายเดือนก่อน

    Yaani kauli yako inakufanya kua dalili ya kua umepinda ktk itikadi yako nilikua nakuamini sana enzi za ujahili lkn haq imefika alhamdulillah UTASEMAJE UCHAWI HALALI NANI AMEKUTANGUKIA HII KAULI YA UCHAWI WA HALALI NA UCHAWI WA BATWIR BALI HAKUNA JAMBO HILO BALI MBINU SIO KTK SIHIL YA SHEKH ITAQILLAH

    • @officialbabakiruwasha
      @officialbabakiruwasha 4 หลายเดือนก่อน

      Usiwe na haraka shekhe wangu kua na subra na ulicho sikiliza

  • @radjabumwamedi8641
    @radjabumwamedi8641 4 หลายเดือนก่อน

    Mm naon uyu sheikh maskio yake ayaskie sisi tuna mfata mtu Muhammad sww ajiuliz kwanz km mtu Muhammad aliwatumie majini? Tujuw km ni suna ama ni faradh kutumia jini?

  • @MateusPaulino-cf8hf
    @MateusPaulino-cf8hf 4 หลายเดือนก่อน

    Nyie watanzania mko busy kwa kupotosha uma wakiskam kwa ajili ya maslah yenu

  • @alhadajjmohammedsmith9042
    @alhadajjmohammedsmith9042 4 หลายเดือนก่อน

    Mtume aliusia kwamba Wana wa Zuoni watakuja iharibu Dini/Watauharibu Uislamu na ndo hayo/ahaya yanayotokea Sasa (Ishara/Daluli) Mwisho wa Dunia umekaribia.. Mtume aliposema anawakhofia Wana wa Zuoni watakuja iharibu Dini, Mtume hakuwataja Kwa Majina yao hao Wana wa Zuoni na Wala hakutaja Maeneo/MaTaifa watakayotokea/walipo(Wanapoishi) hao Wana wa Zuoni ni Tz, Kenya, ZNZ, Saudia nk.🙌

  • @jumankumilwa4139
    @jumankumilwa4139 4 หลายเดือนก่อน

    NAAM MWAMBA UPO SAWA

  • @HemedSerious
    @HemedSerious 4 หลายเดือนก่อน

    Kwa alicho zungumza sheikh ni haki bachu anapenda ushindani wa kijinga tu

  • @KhamisDaud-nz3rc
    @KhamisDaud-nz3rc 4 หลายเดือนก่อน

    Mimi namuusia Mzee wetu baba kiruasha akamsikilize tene Muhammad bachu vzr inawezekana hakumuelewa

  • @Sempreapostandonaverdade989
    @Sempreapostandonaverdade989 4 หลายเดือนก่อน

    Sheikh mimi ni mkristo, lakini nimekupenda

  • @mtindikoja8837
    @mtindikoja8837 4 หลายเดือนก่อน

    Hii madauiache inatuchafula dini yetu chaguenimoja mue waganga au masheikh toka zamani wapo masheikh nawaganga I'ma mkufuri I'ma muwe waalimu, mtachanganya wasiojua kutumia majini niushirikina, Kama sio shiriki wekekeni majini tuyaone nasisi hadharani

  • @swahilitherapytv3846
    @swahilitherapytv3846 4 หลายเดือนก่อน

    Sheikh hujafaham kauli za wanachuoni vizuri, hao wezako wanawatumia hao viumbe kwa ushirikina.

  • @azizihassan1613
    @azizihassan1613 4 หลายเดือนก่อน

    10:55

  • @azizihassan1613
    @azizihassan1613 4 หลายเดือนก่อน

    Kwani Allah na Mtume Muhammad s.a.w wanasemaje ktk quran na sunna? (HUO NDO MSIMAMO SAHIHI, NJE YA HAPO NI KUJITIA UJINGA)

  • @jabirinyoni823
    @jabirinyoni823 4 หลายเดือนก่อน

    Mashallah, ilmu ni bahari, usilolijua ni sawa na usiku wa giza, nimekuelewa sana babu kiluwasha, nimemuelewa mohamedi bachu kila mmoja kwa anachojua yuko vizuri. Hizi ilmu zipo isipokuwa hatuzijui tuu. Allah atujalie elimu zenye manufaa fiduniya wal akhera

    • @ommymo
      @ommymo 4 หลายเดือนก่อน

      Ameen,hainahaja ya kubishana , kila mtu katika hawa ukiangalia kunakitu kimoja muhimu,wamekigusia, KAMA KUMTUMIA KWANJIA YA HALALI NA WASILA ITAKAYO TUMIKA KUMFIKIA YEYE BASI NI HALAL YAFAA, KAMA MAMBO NIYA HARAMU NA NJIA ITAKAYO TUMIKA NI YA HARAMU BASI NIHARAM,

    • @ommymo
      @ommymo 4 หลายเดือนก่อน

      Alafu wengi ktk watu wanaenda kulingana na fikra na akilizao, kwakuwa hajazowea hilo basi yye anaona hata sheria imekataza, Kwaivo mtu azingatie, kama madhara ni mengi kuliko faida kwake haifai kutumia, kama faida nyingi na njia atakayoitumia niya halal basi yajuzu, asiambiwe ni shirki

  • @WaziriShabani-ie3nh
    @WaziriShabani-ie3nh 4 หลายเดือนก่อน

    Mimi binafsi shekh bachu nimemuelewa bila kigugumiz

  • @KitasaWaaction-gm9zr
    @KitasaWaaction-gm9zr 4 หลายเดือนก่อน

    Majini wanaulimwengu wao na wanaadam wanaulimwengu wao wewe usaidiwe na jinni kwani Allah hatoshi?

  • @anwary_sultan
    @anwary_sultan 4 หลายเดือนก่อน

    Me naona bdo ni ushirikina tu kwani ww Baba kiruwasha Uislam unakwambia umfuate ibn Uthaymeen tu, uenda alikosea ss kama inatia was was turud kwa mtume je? mtume mwenyew kasemaj juu ya hili swala au Quran yenyew inasemaje mm naona tu kiujanja ujanja unatetea shirki tofauti na hao scholars ulo wataja nan mwingne anatetea, hv mpaka muislam na iman yako unafkia atua ya kumtaka msaada jini ilihal Unaamin Allah ndo kila kitu ni shirki tosha hyo msituaadae bhna ttzo mlizaliwa mkakuta babu zenu bba zenu wanafanya so ni ngumu kuacha

  • @abdallahhuseinkabale7534
    @abdallahhuseinkabale7534 4 หลายเดือนก่อน

    Sasa unapotumia jini mfano shekh sule alivyokua akisimulia mtu anakesi ya kufungwa bila kuonewa anatumwa jini kwenda mahakanani kuiba file vipi hapo sio dhulma hiyo.

    • @officialbabakiruwasha
      @officialbabakiruwasha 4 หลายเดือนก่อน

      Hilo ni kosa na limezungumziwa katika maudhui sikiliza vizuri

  • @MahadBedui
    @MahadBedui 4 หลายเดือนก่อน

    Ww py nimgonjwaa

  • @jamesjackson8884
    @jamesjackson8884 4 หลายเดือนก่อน

    Tanzania hamna wa some Bali Kuna wa comedians