Obie Africa
Obie Africa
  • 87
  • 499 121
MAKAMU WA RAIS ASISITIZA MAADILI KWA WATUMISHI WA UMMA NCHINI.
Makamu wa Rais wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango ameiagiza Taasisi ua Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU pamoja na watanzania kwa ujumla kuongeza jitihada katika mapambano dhidi ya Vitendo vya rushwa kwani bado Rushwa ipo na inaminya haki za watanzania wengi.
Akifungua Mkutano wa Mwaka wa TAKUKURU jijini Arusha kwenye ukumbi wa mikutano wa AICC, Makamu wa Rais aliyemuwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan, amesisitiza pia kuhusu uadilifu wa Watumishi wa Umma, akisema taarifa nyingi za maadili kwa Viongozi wa umma zimekuwa sio sahihi.
Ameitaka TAKUKURU kufuatilia Nyaraka za mali kwa watumishi wa umma, akisema Kiongozi anapaswa kuwa mtu asiyetiliwa mashaka katika utekelezaji wa majukumu yake kwa umma, akiwataka Maafisa wa TAKUKURU kuwa Viongozi wa kupigiwa mfano katika maadili ya utumishi wa umma na kutoa taarifa za kweli za mali, madeni na jinsi yanavyopatikana kila mwaka.
มุมมอง: 131

วีดีโอ

RC MAKONDA, VIONGOZI WA DINI KUONGOZA MAOMBI MAALUM KWA MKOA WA ARUSHA
มุมมอง 322หลายเดือนก่อน
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda anakualika wewe mwananchi wa Mkoa wa Arusha tarehe 09 Disemba 2024, kushiriki pamoja kwenye Siku maalum ya kuuombea Mkoa wa Arusha dhidi ya changamoto mbalimbali zinazoukabili mkoa huu pamoja na watu wake kwa ujumla. Ratiba ya siku hiyo maalum kwaajili ya kujifungamanisha na Mwenyenzi Mungu itafanyika kuanzia saa Mbili kamili asubuhi, ambapo Mh...
HAKUTAKUWA NA SHEREHE ZA MIAKA 63 YA UHURU, FEDHA ZITUMIKE KUFANYA MAENDELEO - MAJALIWA
มุมมอง 972หลายเดือนก่อน
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kuwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameelekeza Maadhimisho ya Miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania Bara kwa Mwaka 2024 yafanyike katika ngazi ya mikoa na Fedha zilizotengwa katika kila taasisi kwa ajili ya Maadhimisho hayo zielekezwe katika kutoa huduma za kijamii. Amesema kuwa kila mkoa uhakikishe Wilaya zake zinafanya shughuli za kijamii ikiwemo upandaji miti, usaf...
BITEKO APONGEZA KANISA KATOLIKI KWA KUIUNGA MKONO SERIKALI UTOAJI UDUMA ZA AFYA
มุมมอง 992 หลายเดือนก่อน
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa Serikali imeendelea kutekeleza miradi mingi katika sekta ya afya inayolenga kuongeza ufanisi katika huduma za afya na kuboresha maisha ya Watanzania. Sambamba na kulipongeza Kanisa Katoliki kwa juhudi zake za kutoa huduma za afya katika maeneo mbalimbali wakati ambao Serikali pia imeendelea kufanya uwekezaji mkubwa katika sek...
GACHAGWA ANG'OLEWA MADARAKANI BUNGE LAPIGA KURA
มุมมอง 2352 หลายเดือนก่อน
GACHAGWA ANG'OLEWA MADARAKANI BUNGE LAPIGA KURA
RAIS SAMIA AMALIZA MGOGORO WA KANISA NA SERIKALI ULIODUMU KWA ZAIDI YA MIAKA 30 JIJINI ARUSHA.
มุมมอง 17K3 หลายเดือนก่อน
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameelekeza kurejeshwa kwa Eneo la takribani Mita za Mraba 7503 na Shilingi Milioni 500 zilizokuwa mali ya Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Arusha, Parokia ya Mtakatifu Theresia wa Mtoto wa Yesu Linalopatikana Jijini Arusha. Kwaniaba ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan, Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda amesema hatua...
MAKONDA AMETUTENGENEZEA DILI, WAJASIRIAMALI WAMSHUKURU MAKONDA LAND ROVER FESTIVAL
มุมมอง 1143 หลายเดือนก่อน
MAKONDA AMETUTENGENEZEA DILI, WAJASIRIAMALI WAMSHUKURU MAKONDA LAND ROVER FESTIVAL
WAZIRI MCHENGERWA AAGIZA TAMISEMI KUJENGA MADARASA NANE SHULE YA SEKONDARI KIUTU ARUSHA.
มุมมอง 2443 หลายเดือนก่อน
Akimpongeza Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Makonda kwa kuwaunganisha wananchi na kuwafanya kujitolea kwenye shughuli za Maendeleo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa ameahidi kuomba fedha kwa Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwaajili ya Ujenzi wa madarasa nane kwenye shule ya Sekondari Kiutu iliyopo Halmashauri ya W...
HIFADHI YA TAIFA ARUSHA TAYARI KUHUDUMIA WASHIRIKI WA LAND ROVER FESTIVAL 2024.
มุมมอง 3643 หลายเดือนก่อน
Mamlaka ya Hifadhi ya Arusha mkoani Arusha, imesema maandalizi yote kuelekea Land Rover Festival 2024 yamekamilika na wamejipanga vyema kuwahudumia kikamilifu washiriki wote wa Tamasha hilo linalotarajiwa kufanyika kuanzia tarehe 12-14 mwezi huu wa Oktoba mwaka 2024. Mkuu wa Hifadhi ya Arusha, Kamishna Msaidizi wa uhifadhi Bi. Eva Malya akiwa sambamba na Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Ta...
DED HOKORORO AWATIA MORALI DARASA LA SABA KUELEKEA MTIHANI WAO WA MWISHO
มุมมอง 674 หลายเดือนก่อน
DED HOKORORO AWATIA MORALI DARASA LA SABA KUELEKEA MTIHANI WAO WA MWISHO
HAKUNA MTU KUHAMA NGORONGORO RC MAKONDA APIGILIA MSUMARI
มุมมอง 2564 หลายเดือนก่อน
HAKUNA MTU KUHAMA NGORONGORO RC MAKONDA APIGILIA MSUMARI
FRIENDS OF NAIBALA WAVUNJA KAMATI KIBABE WATOLEWA "OUT" NGORONGORO NA MKURUGENZI
มุมมอง 1.6K5 หลายเดือนก่อน
FRIENDS OF NAIBALA WAVUNJA KAMATI KIBABE WATOLEWA "OUT" NGORONGORO NA MKURUGENZI
UZINDUZI WA NAIBALA LORGE YA MTO WA MBU VIONGOZI WAMWAGIA SIFA KISIOKI
มุมมอง 1K5 หลายเดือนก่อน
UZINDUZI WA NAIBALA LORGE YA MTO WA MBU VIONGOZI WAMWAGIA SIFA KISIOKI
SHUHUDIA SAMIA WAZAZI CUP YAFANA JAGWANI MTO WA MBU..
มุมมอง 1375 หลายเดือนก่อน
SHUHUDIA SAMIA WAZAZI CUP YAFANA JAGWANI MTO WA MBU..
SHIRIKA LA MAASAI STOVE LAAMUA KUBADILI UFUGAJI WILAYANI MONDULI WATOA SEMINA KWA WAFUGAJI
มุมมอง 4836 หลายเดือนก่อน
SHIRIKA LA MAASAI STOVE LAAMUA KUBADILI UFUGAJI WILAYANI MONDULI WATOA SEMINA KWA WAFUGAJI
MWENYEKIITI WA WAZAZI MONDULI NI MWANAUME NA NUSU APONGEZWA KWA UCHAPAKAZI, AWEKA ATOA TAMKO.
มุมมอง 2.7K6 หลายเดือนก่อน
MWENYEKIITI WA WAZAZI MONDULI NI MWANAUME NA NUSU APONGEZWA KWA UCHAPAKAZI, AWEKA ATOA TAMKO.
RC MAKONDA ATANGAZA SIKU SITA ZA MOTO MKOANI ARUSHA
มุมมอง 2857 หลายเดือนก่อน
RC MAKONDA ATANGAZA SIKU SITA ZA MOTO MKOANI ARUSHA
RAIS WA IRAN IBRAHIM RAIS ARIPOTIWA KUFA KATIKA AJALI YA HELKOPTA
มุมมอง 1.1K7 หลายเดือนก่อน
RAIS WA IRAN IBRAHIM RAIS ARIPOTIWA KUFA KATIKA AJALI YA HELKOPTA
SHIRIKA LA MASAI STOVE NA PWDT LATOA MSAADA KWA WAHANGA WA MAFURIKO MTO WA MBU NA KARATU
มุมมอง 2248 หลายเดือนก่อน
SHIRIKA LA MASAI STOVE NA PWDT LATOA MSAADA KWA WAHANGA WA MAFURIKO MTO WA MBU NA KARATU
CCM KARATU WATOA TAMKO RASMI KHALI YA MAFURIKO WILAYANI HAPO
มุมมอง 2019 หลายเดือนก่อน
CCM KARATU WATOA TAMKO RASMI KHALI YA MAFURIKO WILAYANI HAPO
MASHINDANO YA UJIRANI MWEMA YAPAMBA MOTO KARATU,TIMU 8 KUCHUANA
มุมมอง 8310 หลายเดือนก่อน
MASHINDANO YA UJIRANI MWEMA YAPAMBA MOTO KARATU,TIMU 8 KUCHUANA
UTAPENDA PACOME DAY KARATU WAPANIA MECHI YA YANGA DHIDI YA RC BELOUIZDAD
มุมมอง 1.9K10 หลายเดือนก่อน
UTAPENDA PACOME DAY KARATU WAPANIA MECHI YA YANGA DHIDI YA RC BELOUIZDAD
HAO ASEC MBONA WATAKOMA MZIKI WA SIMBA BALAA, SHUHUDIA UCHAMBUZI WA KIUFUNDI
มุมมอง 10910 หลายเดือนก่อน
HAO ASEC MBONA WATAKOMA MZIKI WA SIMBA BALAA, SHUHUDIA UCHAMBUZI WA KIUFUNDI
MBUNGE WA JIMBO LA MONDULI MHE. LOWASSA AGAWA VIFAA VYA SHULE KWA WATOTO WALIOSHINDWA KWENDA SHULE
มุมมอง 458ปีที่แล้ว
MBUNGE WA JIMBO LA MONDULI MHE. LOWASSA AGAWA VIFAA VYA SHULE KWA WATOTO WALIOSHINDWA KWENDA SHULE
UTAPENDA MAPOKEZI YA KATIBU MKUU JUMUIYA YA WAZAZI TAIFA, ALIPO WASILI MONDULI, KISIOKI ANG'ARA
มุมมอง 2.7Kปีที่แล้ว
UTAPENDA MAPOKEZI YA KATIBU MKUU JUMUIYA YA WAZAZI TAIFA, ALIPO WASILI MONDULI, KISIOKI ANG'ARA
JUMUIYA YA WAZAZI CCM WILAYA YA MONDULI WAFUNGA MWAKA KIBABE SHUHUDIA MAFANIKIO KWENYE BARAZA
มุมมอง 547ปีที่แล้ว
JUMUIYA YA WAZAZI CCM WILAYA YA MONDULI WAFUNGA MWAKA KIBABE SHUHUDIA MAFANIKIO KWENYE BARAZA
SHUHUDIA MAHAFALI YA KIPEKEE SHULE YA NASHIPAY MAKUYUNI UTAPENDA
มุมมอง 502ปีที่แล้ว
SHUHUDIA MAHAFALI YA KIPEKEE SHULE YA NASHIPAY MAKUYUNI UTAPENDA
MIL.500 KUBADILISHA MAISHA YA WAKAZI WA LEPURKO, UJENZI WA BWAWA JIPYA LAANZA
มุมมอง 198ปีที่แล้ว
MIL.500 KUBADILISHA MAISHA YA WAKAZI WA LEPURKO, UJENZI WA BWAWA JIPYA LAANZA
SIKIA USHAURI WA DIWANI WA MOITA KWA MAMLAKA YA MAJI RUWASA
มุมมอง 73ปีที่แล้ว
SIKIA USHAURI WA DIWANI WA MOITA KWA MAMLAKA YA MAJI RUWASA
RUWASA WAANDAA MKUTANO MKUU WA MWAKA WA VYOMBO VYA WATOA HUDUMA YA MAJI NGAZI YA JAMII
มุมมอง 251ปีที่แล้ว
RUWASA WAANDAA MKUTANO MKUU WA MWAKA WA VYOMBO VYA WATOA HUDUMA YA MAJI NGAZI YA JAMII