- 41
- 42 220
Ian Metili : Uza Kitajiri Mtandaoni
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 20 ธ.ค. 2010
Habari Tajiri,
Karibu kwenye channel hii. Channel hii inadhumuni moja kuu na dhumuni hilo ni KUTAJIRISHA MAISHA YAKO.
Binafsi sipendi umaskini na niliamuakuwa sipo tayari kuishi maisha ya kawaida wala sipo tayari kukubaliana na hali niliyokuwa nayo. Hivyo nilianza safari yangu ya kuelekea kwenye maisha ya UTAJIRI NA UKWASI.
Bado sijafika lengo hilo ila safari ndo imeshaanza na nimeshaanza kujifunza mengi na kugundua mambo mengin ambayo yanaweza kumsaidia mtu mwingine kutoka hapo ulio kuelekea kwenye yale maisha unayoyaona tu kwenye ndoto au fikra zako.
Jiunge nami kwenye safari hii. Hii sio kwaajili ya kila mtu bali ni kwaajili ya wale wachache waliochoshwa na hali ya UMASIKINI, HABA, SHIDA au MAISHA YA KAWAIDA na sasa wanataka kufanya mabadiliko na kuanza kutembea kwenye maisha ya UTAJIRI, UKWASI, RAHA, na MAISHA YA UTOFAUTI.
Ni mimi TAJIRI mwenzenu IAN METILI.
Hakuna kisichowezekana.
#Uzakitajiri

Wanauliza maswali ila hawanuni kwasababu hujajua siri hizi. Zishughulikie uone maajabu!
Habari Tajiri,
Kama unatafuta suluhisho la tatizo la kutokuaminika Instagram au TikTok basi video hii ni kwaajili yako.
Kupata kozi kamili ambapo humo ndani nimeshiriki siri zinazofanya biashara unazoona zimefanikiwa Instagram & TikTok bonyeza kiunguo hapo chini.
Kozi hii ipo tayari online na ni 100% BURE kwa support kutoka kwa VijanaTech wanaosimamia jukwa la FiQra.
Bonyeza link sasa tukutane darasani!
fiqra.vijanatech.com/course/Uza-Kitajiri-Instagram-Kichocheo-cha-Kukuza-Account-na-Mauzo-yako-Instagram

มุมมอง: 66
วีดีโอ
Uza Kitajiri Anthem (Official Music Audio)
มุมมอง 326 หลายเดือนก่อน
Uza Kitajiri Anthem (Official Music Audio)
JIFUNZE NAMNA YA KUANZISHA BIASHARA BAKERY (TANURI MIKATE) HARAKA KWA MTAJI MDOGO
มุมมอง 8K2 ปีที่แล้ว
JIFUNZE NAMNA YA KUANZISHA BIASHARA BAKERY (TANURI MIKATE) HARAKA KWA MTAJI MDOGO
UANDISHI WA BIO INAYONASA WATEJA - BIASHARA YA KUUZA CHAKULA
มุมมอง 962 ปีที่แล้ว
UANDISHI WA BIO INAYONASA WATEJA - BIASHARA YA KUUZA CHAKULA
NAMNA YA KUANDIKA BIO INAYONASA WATEJA KIURAHISI
มุมมอง 1162 ปีที่แล้ว
NAMNA YA KUANDIKA BIO INAYONASA WATEJA KIURAHISI
HATUA KWA HATUA: LIPIA MATANGAZO YA INSTAGRAM KWA KUTUMIA VODACOM VISACARD AU AIRTEL MASTERCARD
มุมมอง 2.4K2 ปีที่แล้ว
HATUA KWA HATUA: LIPIA MATANGAZO YA INSTAGRAM KWA KUTUMIA VODACOM VISACARD AU AIRTEL MASTERCARD
Hatua Kwa Hatua - Namna ya Kutumia Akaunti Mbili Instagram (Kiurahisi)
มุมมอง 1.6K2 ปีที่แล้ว
Hatua Kwa Hatua - Namna ya Kutumia Akaunti Mbili Instagram (Kiurahisi)
UANDISHI WA BIO ZINAZONASA WATEJA NA KUZOLETA PESA (MC)
มุมมอง 1363 ปีที่แล้ว
UANDISHI WA BIO ZINAZONASA WATEJA NA KUZOLETA PESA (MC)
EPUKA MAKOSA HAYA KAMA UNATAKA KUNASA WATEJA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII.
มุมมอง 1753 ปีที่แล้ว
EPUKA MAKOSA HAYA KAMA UNATAKA KUNASA WATEJA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII.
Hatua Kwa Hatua : Jinsi ya Kufungua Akaunti ya Kibiashara Instagram Haraka
มุมมอง 16K3 ปีที่แล้ว
Hatua Kwa Hatua : Jinsi ya Kufungua Akaunti ya Kibiashara Instagram Haraka
TAKWIMU MUHIMU ZA WATUMIAJI WA MITANDAO YA KIJAMII.
มุมมอง 313 ปีที่แล้ว
TAKWIMU MUHIMU ZA WATUMIAJI WA MITANDAO YA KIJAMII.
Nini maana ya Masoko ya mitandao ya kijamii
มุมมอง 703 ปีที่แล้ว
Nini maana ya Masoko ya mitandao ya kijamii
TIZAMA VIDEO HII KAMA UNATAMANI KUELEWA ZAIDI MITANDAO YA KIJAMII KWAAJILI YA BIASHARA YAKO
มุมมอง 563 ปีที่แล้ว
TIZAMA VIDEO HII KAMA UNATAMANI KUELEWA ZAIDI MITANDAO YA KIJAMII KWAAJILI YA BIASHARA YAKO
🔴Aina Tofauti Za Masoko ya Kidigitali na ni Jinsi Gani Unavyoweza Kuzitumia Kwenye Biashara Yako.
มุมมอง 793 ปีที่แล้ว
🔴Aina Tofauti Za Masoko ya Kidigitali na ni Jinsi Gani Unavyoweza Kuzitumia Kwenye Biashara Yako.
Kama Haufahamu Hii, Usitegemee Biashara yako Itafanikiwa Mtandaoni
มุมมอง 503 ปีที่แล้ว
Kama Haufahamu Hii, Usitegemee Biashara yako Itafanikiwa Mtandaoni
DARASA KAMILI! JUU YA MASOKO YA KIDIGITALI 'DIGITAL MARKETING'
มุมมอง 9793 ปีที่แล้ว
DARASA KAMILI! JUU YA MASOKO YA KIDIGITALI 'DIGITAL MARKETING'
JIFUNZE HIVI VITU VITATU MUHIMU KABLA HUJAANZISHA BIASHARA YAKO MTANDAONI
มุมมอง 873 ปีที่แล้ว
JIFUNZE HIVI VITU VITATU MUHIMU KABLA HUJAANZISHA BIASHARA YAKO MTANDAONI
2021! UNAPOTEZA WATEJA WENGI KWASABABU AKAUNTI INAONEKANA IMEKAA KIHOLELA HOLELA
มุมมอง 1425 ปีที่แล้ว
2021! UNAPOTEZA WATEJA WENGI KWASABABU AKAUNTI INAONEKANA IMEKAA KIHOLELA HOLELA
TIZAMA HII! SABABU 6 ZINAZOFANYA USIFANIKIWE KIUCHUMI 2020
มุมมอง 1K6 ปีที่แล้ว
TIZAMA HII! SABABU 6 ZINAZOFANYA USIFANIKIWE KIUCHUMI 2020
TIZAMA! NJIA 5 UNAZOWEZA KUTENGENEZA PESA MTANDAONI
มุมมอง 4K6 ปีที่แล้ว
TIZAMA! NJIA 5 UNAZOWEZA KUTENGENEZA PESA MTANDAONI
Mi nikibonyeza vile vimistari vitatu haileti setting pale chini nashindwa kuendelea kuifikia account,nifanyaje kaka nisaidie
Unaweza kuangalia ukurasa kama nime ukamilisha inavo takiwa
Kazi nzuri
Unajua ila tumia action kwenda kimataifa mkuu
Umetisha kk
Asante maelezo yako mafupi na yanaeleweka Kwa urahisi 👍
👍👍👍
Mimi hata unielekez vip siwezi kuelewa kwahiyo naomba namba yako
Mbn unakuwa msengee unafundisha mtu haraka hvo
We mpuuzi acha kumtuka ivo matusi haya saidii chocho sawa acha izo mambo mchawi nini
Naomba naomba zake niwasiliane nae
Asante kaka nimefanikiwa
Waooo imake dream this work
Kinachoboa ni kwamba unamix kisahili na kiingereza,km vile wau wote wanajua
Kwa Zanzbar nshitaji hii huduma tuonane
Nakubali bro
Safi sana
Asante brother
Nomba linki yako ya watsap
Nielekeze
Ongea kiswahili fara wewe
uko vizuri kijana
Una boesha unaulizwa kwa.kiswahili unajibu kizungu
Anaongea kiingereza Ili tusimchukulie Poa.
Nzurii san
Alafu unaweza kupokea malipo online kwa kutumia m pesa visa card au haiwezekani
Naomba namba za huyu dada, nahitaji msaada wake zaidi
NICE BROTHER,
Naitaji kujua zaid
Kwan lazima uconnect na Facebook
Mbona haimalizi moj mwisho
Mpk mwisho
Ivi kutengeneza visa card wanakata hela
Inategemea na mtandao. Mitandao mingine inakata kama 2000 hivi zingine hawakati
Kiswahili ni kizuri zaidi.
Kwakweli ni kizuri🙂
Hongera sana
🙏
Be blessed
Exactly what I needed to hear .. asante sana Ian na Doreen🤗
Glad to hear that. Karibu Tajiri 🙂
Naomba unielekeze kutengeneza bio
Waooo good nimejifunza sana
Naomba ushauri
Habari Tajiri. Ulihitaji ushauri kuhusiana na nini?
Sauti iko chini sana kaka
Nzuri
Asante tajiri
Nashkuru sana nimeelewa uko vizuri kwenye kuelekeza kaka.
Kaka embu nisaidie jaman Instagram yangu inaandika I'm not a robot Haifanyi kitu chochote kila kitu kime goma
Habari Tajiri, samahani nilichelewa kuona comment hii. Je! Umeshalitatua tatizo hili?
Naomba kuuliza je ukichagua categories tofauti na yako je neno linakuta iloilo promotion au linabadilika kulingana na categories ulochagua?
Mm mbona nikitaka nifungue page nikifika kwa kuchagua category unaniambia something wrong
Umefollower watu wengi kwa siku moja
Mbona mimi yangu inaishia tu apo ukisha connect kitu unachofanya basi 😩😩
Hello Sia, samahani nilichelewa kuona comment yako. Je! Umeshalitatua tatizo hili?
Vp
Thank you sir
Ni namna gani naweza kutegesha post kwenye Instagram baada ya masaa kadhaa ikajipost yenyewe?
Hello Tajiri sorry nilichelewa kuona hii comment. Unaweza tumia Creator Studio by Facebook
Why mimi sioni hio button ya promotion bali inatokea insight
Hello Tajiri. Sorry nilichelewa kuona comment yako, je ulifanikiwa kupata suluhisho?
I like your information
Asante tajiri
Naomba number yako
0746381961
Vizuri sana. Ahsante kwa elimu👏
karibu sana Tajiri
Oi bro,big up sana ....I'd like kama ungetengeneza content about cryptocurrency and nft smart contacts na ni kwa vipi mbongo anaweza kuwekeza kwenye hii aspect.
Thank you so much for this,, hopefully it is going to be very helpful to most of us