IYAMBA LYETU TV
IYAMBA LYETU TV
  • 96
  • 607 756

วีดีโอ

KAGAME AMKIMBIA TSHISEKEDI
มุมมอง 4.2K21 วันที่ผ่านมา
KAGAME AMKIMBIA TSHISEKEDI
NI MSIBA WA NAMNA GANI HUU INCHINI DRCONGO ?
มุมมอง 1.6Kหลายเดือนก่อน
NI MSIBA WA NAMNA GANI HUU INCHINI DRCONGO ?
NANI ADUI WA KWELI WA DRCONGO ?
มุมมอง 1.9Kหลายเดือนก่อน
NANI ADUI WA KWELI WA DRCONGO ?
PENDEKEZO LA HARAKA LA KUMALIZA VITA CONGO LATOLEWA WAZI
มุมมอง 3.3Kหลายเดือนก่อน
PENDEKEZO LA HARAKA LA KUMALIZA VITA CONGO LATOLEWA WAZI
KIVUMBI NA JASHO KATI JOSEPH KABILA NA RAISI TSHISEKEDI
มุมมอง 2.9K2 หลายเดือนก่อน
KIVUMBI NA JASHO KATI JOSEPH KABILA NA RAISI TSHISEKEDI
MAKOBOLA: 01/08/2024: KUMBUKUMBU YA MAUWAJI YA ZAIDI YA RAIA 1000 YAANZISHWA TARAFANI FIZI.
มุมมอง 8482 หลายเดือนก่อน
MAKOBOLA: 01/08/2024: KUMBUKUMBU YA MAUWAJI YA ZAIDI YA RAIA 1000 YAANZISHWA TARAFANI FIZI.
KURA YA KUFUTA KIFARANSA CONGO IPO MLANGONI
มุมมอง 5007 หลายเดือนก่อน
KURA YA KUFUTA KIFARANSA CONGO IPO MLANGONI
KAGAME NA MAUWAJI MENGINE RWANDA
มุมมอง 1.4K7 หลายเดือนก่อน
KAGAME NA MAUWAJI MENGINE RWANDA
IKO WAPI KAULI YA RAIS TSHISEKEDI YAKUPIGA RWANDA? WATU WAULIWA OVYO LEO
มุมมอง 1.2K8 หลายเดือนก่อน
IKO WAPI KAULI YA RAIS TSHISEKEDI YAKUPIGA RWANDA? WATU WAULIWA OVYO LEO

ความคิดเห็น

  • @KandundaoMundeke
    @KandundaoMundeke 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Basi siku za bandia ni arbaini tu.Si tôt dit si tôt fait !

  • @KandundaoMundeke
    @KandundaoMundeke 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mpasha habari ,tunakuwa waastriwa hapa mashariki na muinci nzima ni sababu tunawasema wakamatike hawa watu wakubwa wakubwa watangulizi ili wafungwe na amani ipatikane incini na wenye siasa hawapendi muone na musikie vyakufanyika wakati wasasa nao,mfano Moïse Katumbi chapwe pa Katanga.Ninazungumuza kutoka Mugunga/ Nord - Kivu.

  • @BawiliKakozi-l6d
    @BawiliKakozi-l6d วันที่ผ่านมา

    Bawilikakozi mungu niwe tu siku zote ❤❤❤❤🎉🎉

  • @hamisstimu
    @hamisstimu วันที่ผ่านมา

    Iyamba lyetu TV huwa mnanifurahisha saana nyie jamaa kweli ni wanahabari professional kabisa

  • @PlamediOkitanga
    @PlamediOkitanga วันที่ผ่านมา

    Sauti ninzuri

  • @Yusoufussenibinmasimango
    @Yusoufussenibinmasimango วันที่ผ่านมา

    Asante sana mzee wa abari mbichi

  • @LuckMufungizi-c8i
    @LuckMufungizi-c8i วันที่ผ่านมา

    Uyunidemungapolewazawazayakotumbanafachi

  • @saidiamisiwilondja3999
    @saidiamisiwilondja3999 วันที่ผ่านมา

    Kwanini tununuwe sabuni kwa wafungwa hao si niwasaliti wahache wa fiye uko uko chawa xi w malize ivi moise baye akifungwa naye tu mnunuliye sabuni?

  • @baghumapaluku6776
    @baghumapaluku6776 วันที่ผ่านมา

    Jambo mtangazaji. Naipenda mno hii radio yangu Iyamba Lyetu TV. Sauti yako nyororo na ambayo imesikika kwamba unasema na roho ikiwa imrtulia. Endelea na Kazimierz yako hauna deni na mtu

  • @BonjoBisimwa
    @BonjoBisimwa วันที่ผ่านมา

    Aksanti sana mtangazaji tunakufwata tano ju ya tano.ni Bonjo nikiwa Bukavu

  • @boscobalukuadulebaluku837
    @boscobalukuadulebaluku837 วันที่ผ่านมา

    Vizuri Kwa at least D 4 sababu wastugaji wa theologie tuliwakimbiya tuna lazima ya wastugaji wa wanaye funuliwa na roho mtakatifu .ata vile tunamupenda Mutamba Mungu wetu amushunge mbali sana.

  • @DidierKasereka-lw5rf
    @DidierKasereka-lw5rf วันที่ผ่านมา

    Mzee ututilie hiyo vidéo kwenye groupe WhatsApp

  • @lewiselengabo9695
    @lewiselengabo9695 วันที่ผ่านมา

    Kabisa na Vyumba vya Maombi vinachangia kuleta njaa congo kama akipunguza ni nyeti ongera Mutamba😊

  • @DaruAssani-o5w
    @DaruAssani-o5w วันที่ผ่านมา

    Wafunge makanisaya wakatoliki nahuyo mukuu wakanisalakatoliki congo, uyoambongo nishetani mousi.

  • @gumbomgale-lo2pj
    @gumbomgale-lo2pj วันที่ผ่านมา

    Akmatwe.huyo.ktumbi

  • @nizigiyimanabaruani4590
    @nizigiyimanabaruani4590 วันที่ผ่านมา

    Mtangazaji kumbuka nilikwambia makanisa ni moja ya vitu vinavyo haribu Kongo, Wakati ule mlisema watu wakakusanyike uwanja wa taifa Kinshasa kwenda kuombea Kongo, nilikwambia kuwa maombi hayo hayatasaidia chochote katika Kongo, Cha muhimu ni kufuata muelekeo anaousema Mutamba, baadhi ya makanisa yafungwe na kuwepo Sheria ya kufunguka kanisa, siyo makanisa yawe kiholela na kupumbaza akili ya wakongomani.

  • @MuhamadTunuruga
    @MuhamadTunuruga วันที่ผ่านมา

    Muheshimiwa Président wetu Tshilombo Tshisekedi Félix wa RDC kupitia meeting aliofanya juzi pale kwa USA kuusu MONUSCO alisema waondoke muda yao imeisha,hapa Congo.Kwa maoni yangu kama hawapendi kuondoka,ikifika Mwenyezi wa kumi na mbili hawajaondoka; wapigwe na jeshi,Wazalendo,FRDC Waondolewe kwa kinguvu, Asante Mzee mbichi lyamba lyetu

  • @KambaleKipuni
    @KambaleKipuni วันที่ผ่านมา

    Sauti'nisawa.kipuni.kutoka.malonga.kasenye

  • @amisiblaise9234
    @amisiblaise9234 วันที่ผ่านมา

    Ni kweli ulisemaka na ku. Kubalingi sana uko saw kbs.l love this emission l am Blaise from USA.

  • @alfredmukwushi9103
    @alfredmukwushi9103 วันที่ผ่านมา

    Number tent tv

  • @IseKaph
    @IseKaph วันที่ผ่านมา

    Nakumbuka kile kipindi, uliongeaka habari ya vifaa vya vita vya KATUMBI.

  • @RiphinPacifique
    @RiphinPacifique วันที่ผ่านมา

    Jambo mutangazaji moize tumuchunge demili2027

  • @IseKaph
    @IseKaph วันที่ผ่านมา

    Maaadui wote watakia kua gerezani, watakaobahatika ku kimbia kama Akina J.K.KABANGE, J.NUMBI, AZ.RUBERWA KATUMBI, etc watakua wakimbizi inje ya inji ya 🇨🇩. Wengi watawaua vitani na gerezani. MUNGU AUNUSURU inji ya CONGO 🇨🇩 kutoka maadui

  • @PastormufiainjiliYesuyupo
    @PastormufiainjiliYesuyupo วันที่ผ่านมา

    Baba mpaka mwisho wasaliti wote wata banwa kwenye ndowano ambayo tumekwisha kuitega sehemu zote, Ni pastor Stephanois mufia injili Paulin depuis butembo drc

  • @JuvenalMurhula24
    @JuvenalMurhula24 วันที่ผ่านมา

    Amaandii wacongo waliingiya kwanjia moya watasabara kwa jiya samba kama aishipo Mungu wambinguni

  • @JustinVanny-cb5gm
    @JustinVanny-cb5gm วันที่ผ่านมา

    Tupo habari zilizo mbichi mzeee wetu tunakufata kumi kwa kumi tukisubiriya abari kutoka kwa iyamba lyetu. Natokea Bkv ville

  • @OscarNSomue
    @OscarNSomue วันที่ผ่านมา

    N'a publicité zimefanika nangapi?

  • @OscarNSomue
    @OscarNSomue วันที่ผ่านมา

    Tu mepata habari kuhusu publicité mututumiye namba ya simu juuyakutuma publicité

  • @ShabaniBalecar
    @ShabaniBalecar วันที่ผ่านมา

    Sauti iko sawa towa habari baba ni papa BALECAR SHABANI SELEMANI kutoka uvira

  • @OscarNSomue
    @OscarNSomue วันที่ผ่านมา

    Jambo baba Muchungaji, utupe mbinchi baba, sauti nipoa apa kwetu kasumbalesa

  • @DieumerciMulumbo
    @DieumerciMulumbo วันที่ผ่านมา

    Jambo

  • @elishamukambakishibisha7275
    @elishamukambakishibisha7275 2 วันที่ผ่านมา

    Jambo tena mtangazaji, je ni kweli kwamba Paul kagame ndiye aliye washawishi hao watu ao pia na wenyewe tuu walikuwa na uchu/uroho wa kutaka utawala kwa nguvu ?

  • @elishamukambakishibisha7275
    @elishamukambakishibisha7275 2 วันที่ผ่านมา

    Yamba Letu TV, munaongea toka sehemu gani za dunia, tafazali ??

  • @KandundaoMundeke
    @KandundaoMundeke 3 วันที่ผ่านมา

    Nipo pasake naninakusikia 5 juya 5 mpasha habari

  • @MushigoBalangaliza
    @MushigoBalangaliza 3 วันที่ผ่านมา

    Safisani RDC BKV

  • @KiraghoZawadimusubaho
    @KiraghoZawadimusubaho 3 วันที่ผ่านมา

    Djambo mzewambichi ulisahau wahema wako ituri hazielewe

  • @rashidikindu5434
    @rashidikindu5434 4 วันที่ผ่านมา

    Mtangazaji umezungumza vizuri,ila Katiba imekubaliyana nahilo.lakini katika vitambulisho Wawe wanaandika mkongo mwenye asili yasehemu fulani.

  • @nizigiyimanabaruani4590
    @nizigiyimanabaruani4590 4 วันที่ผ่านมา

    Hilo lilikuwepo katika akili yangu myaka mingi sana, nilikuwa nafikiria ni lini mkongomani alimchukia mnyarwanda? Maana ukiangalia Leo tuna ma jenero, viongozi wakubwa serikalini, kama kulikuwepo chuki kwa wanyarwanda, walifikaje huko kwenye hayo madaraka? Kwahiyo inaonekana Kuna upandikizi hapo kati kati ya maisha yaliyokuja kupandikizwa kutoka inje ambayo yalivuruga maisha ya wakongomani, fungueni macho wakongo, Kongo hakuna ubaguzi wa kikabila, achaneni na wapandikizi wa chuki za kikabila.

  • @PiloteKambo
    @PiloteKambo 4 วันที่ผ่านมา

    Nakufuata vizuri sana ni kamombo toka lugushwa

  • @EmmanuelMaendeleo
    @EmmanuelMaendeleo 4 วันที่ผ่านมา

    Jambo ndugu mutangaziji nakuomba Sana kufatiliya hii masambo ya uyu Mungu wa Rwanda n'a Congo n'a inchi zigine ili basi tulipata kwa hii iyamba yetu vizuri ni Emmanuel toka bkv kvm.

  • @josephbwanakweli-sg7wq
    @josephbwanakweli-sg7wq 4 วันที่ผ่านมา

    Sabuni tutazitiya wapi ? Iyi namba iko watsap utume ako numéro nituma sabuni ,,mpesa Ama airetel yenu

  • @josephbwanakweli-sg7wq
    @josephbwanakweli-sg7wq 4 วันที่ผ่านมา

    Chapa kazi mtoto wa mama tunakufata kwamakini nakufata kutoka dego APA ni joseph .

  • @reface6780
    @reface6780 4 วันที่ผ่านมา

    Inaweza saidiya ilo ikiwa wanyarwanda watapewa uhuru na kujitambuwa kwamba katika nchi ya Congo ni wageni inaweza kuwa safi sana. Uyo ni Kiza salumu toka 🇺🇸

  • @UmbaMwamba-y1j
    @UmbaMwamba-y1j 4 วันที่ผ่านมา

    Ivi wanya rwanda wote watrudi kwao maali wali toka rwanda wa kongo time choka na awa wasomalia nilotiaue Tutsi awataishi kongo Tena kwisha

  • @UmbaMwamba-y1j
    @UmbaMwamba-y1j 4 วันที่ผ่านมา

    😢 kagame ni mjinga muwaji shetani alisi mbona wazungu wame mutumiya kuuwa wa africa

  • @Akilioscar
    @Akilioscar 4 วันที่ผ่านมา

    Sasa Ndugu, iyi ujumbe wanya…wanya… wenyewe watufilishiye ukumbe huyu, waombe msamaha kwa wakongomani na kujitenga azarani na siasa za Kagome!

  • @kongolo4993
    @kongolo4993 4 วันที่ผ่านมา

    Mtangazaji hiyo ni wongo sio Mara kwanza kusema. Achana nao kongolo nikiwa burundi

  • @KizaYahya
    @KizaYahya 4 วันที่ผ่านมา

    Kiza YAHYA Burundi 5/5

  • @AntoineIrambona
    @AntoineIrambona 4 วันที่ผ่านมา

    Ni jambo la busara kwa wa kongomani wa asili ya Rwanda.wasimwu Nge mkono tena Kagame.

  • @jeromeutshudi
    @jeromeutshudi 4 วันที่ผ่านมา

    Bwana Mutangaji Balongela , Banyarwanda biko banjanja sana . Hakuna approche ya kawaida na Banyarwanda . Acharna naile habari