- 572
- 491 704
Come Tv Tanzania
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 12 ก.ค. 2014
Tuongee! Tanzania
MBULU YAVUNJA REKODI JOGGING YA PAMOJA "SAMIA NA MAENDELEO" JAN 25, 2025
MBULU YAVUNJA REKODI JOGGING YA PAMOJA "SAMIA NA MAENDELEO" JAN 25, 2025
มุมมอง: 118
วีดีโอ
MAHAKAMA (W) WAZINDUA WIKI YA SHERIA 2025 KIPEKEE TAZAMA | JAN 25, 2025
มุมมอง 10621 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Wiki ya Sheria imekuwa ikiadhimishwa kila mwaka kitaifa ambapo kwa upande wa wilaya ya Mbulu wameadhimisha leo Jn 25, 2025 kwa kuwaomba wananchi wajitokeze kwa wingi ili kuweza kusaidika katika changamoto za kisheria “Maadhimisho haya ya Wiki ya Sheria ni muhimu sana kwa wananchi, kwani kuna watu wengi wanashindwa kupata haki zao kutokana na kutokujua sheria. Hivyo, ni vyema wakajitokeza kwa wi...
#CHADEMA SONGWE: "HATUHITAJI TENA BUSARA ZA MBOWE" MTIFUANO MIKOANI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU CHADEMA
มุมมอง 4.7K21 วันที่ผ่านมา
Muktasari: Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Songwe Ndugu.Isakwise Lupembe amezungumza leo na vyombo vya habari akielezea juu ya Uchaguzi mkuu wa Chadema ambao utafanyika hivi karibuni zaidi amesema kwa sasa Chadema Inahitaji kiongozi mwenye maamuzi magumu kama Lisu na ameweka bayana kuwa kwa sasa Mkoa wa Songwe hawamuhitaji tena Menyekiti Mbowe "Busara zake hazihitajiki tena".. #subscribe
MBUNGE WA MBULU MJI AKABIDHI GARI LA KUBEBEA WAGOJWA | KITUO CHA AFYA DAUD, MORINGA | DEC 30,2024
มุมมอง 18121 วันที่ผ่านมา
MBUNGE WA MBULU MJI AKABIDHI GARI LA KUBEBEA WAGOJWA | KITUO CHA AFYA DAUD, MORINGA | DEC 30,2024
POLISI MBULU WAFANYA TUKIO HILI | CHECHE ZA VIJANA WA BARGISH CUP 2024 | 26.12.2024
มุมมอง 25328 วันที่ผ่านมา
///Bargish Vijana Cup 22024 imefikia tamati tarehe 26.12.2024 ikiwa imemalizika kwa mchuano mkali kati ya BARGISH UWA 1:2 MANISPAA Kwa matokeo hayo bigwa ametangazwa kuwa Manispaa FC huku Bargish Uwa akiwa ni mshindi wa pili. Mgeni rasmi ni Ndugu. Afande Wahabi kutoka kituo cha polisi Wilaya ya Mbulu.
SALAMU ZA SIKUKUU YA KRISMASI NA MWAKA MPYA🌹 EP 3
มุมมอง 71หลายเดือนก่อน
SALAMU ZA SIKUKUU YA KRISMASI NA MWAKA MPYA🌹 TAASISI YA COME MEDIA TZ TUMEKUANDALIA MREJESHO WA SHUGHULI MBALIMBALI AMBAZO ZIMEFANYIKA NDANI YA MWAKA 2024, VILE VILE TUMETOA SALAMU NA PONGEZI MBALIMBALI KWA WOTE WALIOSHIKI KUFANYA KAZI NA ComeMedia Tz ComeTv TanzaniaDirectorMr Come Back . NI FURAHA YETU KUONA TUNAUMALIZA MWAKA TUKIWA PAMOJA HATA HIVYO TUNAO NDUGU JAMAA NA MARAFIKI AMBAO HAKUFAN...
SALAMU ZA SIKUKUU YA KRISMASI NA MWAKA MPYA🌹EP 2
มุมมอง 18หลายเดือนก่อน
SALAMU ZA SIKUKUU YA KRISMASI NA MWAKA MPYA🌹 TAASISI YA COME MEDIA TZ TUMEKUANDALIA MREJESHO WA SHUGHULI MBALIMBALI AMBAZO ZIMEFANYIKA NDANI YA MWAKA 2024, VILE VILE TUMETOA SALAMU NA PONGEZI MBALIMBALI KWA WOTE WALIOSHIKI KUFANYA KAZI NA ComeMedia Tz ComeTv TanzaniaDirectorMr Come Back . NI FURAHA YETU KUONA TUNAUMALIZA MWAKA TUKIWA PAMOJA HATA HIVYO TUNAO NDUGU JAMAA NA MARAFIKI AMBAO HAKUFAN...
SALAMU ZA SIKUKUU YA KRISMASI NA MWAKA MPYA🌹 EP 1
มุมมอง 161หลายเดือนก่อน
SALAMU ZA SIKUKUU YA KRISMASI NA MWAKA MPYA🌹 TAASISI YA COME MEDIA TZ TUMEKUANDALIA MREJESHO WA SHUGHULI MBALIMBALI AMBAZO ZIMEFANYIKA NDANI YA MWAKA 2024, VILE VILE TUMETOA SALAMU NA PONGEZI MBALIMBALI KWA WOTE WALIOSHIKI KUFANYA KAZI NA ComeMedia Tz ComeTv TanzaniaDirectorMr Come Back . NI FURAHA YETU KUONA TUNAUMALIZA MWAKA TUKIWA PAMOJA HATA HIVYO TUNAO NDUGU JAMAA NA MARAFIKI AMBAO HAKUFAN...
MAKALA MAALUMU KUHUSU ELIMU YA #MIRADHI NA WOSIA | KISHERIA | KIDINI NA KIMILA
มุมมอง 66หลายเดือนก่อน
...Jamii zetu zimekuwa zikipata Changamoto mbalimbali kuhusiana na miradhi ambapo hupelekea kutokea ugomvi mkubwa baina ya ndungu na ndugu hivyo Come Tv Tanzania tumekuletea makala hii ya Elimu kuhusu Miradhi na Uandikaji wa Wosia.... karibu kusikiliza | wakati unatizama video hii tafadhali usisahau ku subscibe | Like | Share | Commet.
#MBULU YAFANYA MDAHALO MKUBWA | NINI KIFANYIKE KWENDANA NA KASI YA MAENDELEO | MIAKA 63 YA UHURU
มุมมอง 190หลายเดือนก่อน
#MBULU YAFANYA MDAHALO MKUBWA | NINI KIFANYIKE KWENDANA NA KASI YA MAENDELEO | MIAKA 63 YA UHURU
UIMBAJI WA GOSPEL UMENIFANYA NIJITAMBUE | EXCLUSIVE INTERVIEW NA #MELISA CR
มุมมอง 381หลายเดือนก่อน
TAZAMA NYIMBO YAKE LINK HAPA CHINI 👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇 th-cam.com/video/hdMuGCfURZU/w-d-xo.htmlsi=8C5dBow-RwzPD-dO
#CHAKUHAWATA SASA KUWAVUTIA WAALIMU KUJIUNGA KWA WINGI | MKUTANO MKUU WILAYA YA MBULU 30, NOV 2024
มุมมอง 317หลายเดือนก่อน
COME TV NEWS: CHAMA CHA KULINDA NA KUTETEA HAKI ZA WALIMU TANZANIA ( CHAKUHAWATA ) WAMEFANYA MKUTANO WAO WA KWANZA HALMASHAURI YA MBULU MJI. 🗓️ 30.11.2024 📍 HALMASHAURI YA MBULU MJI. Katika mkutano huo ambao uliongozwa na mwenyekiti wa CHAKUHAWATA Halmashauri ya Mbulu Mji Ndg Ernest Zakaria Dirangw na katibu Wake Fabian chiwa Chiwa na viongozi Mbalimbali wa Chama hicho na Wajumbe na mkutano uli...
#SMAUJATA MBULU WAFANYA NA KONGAMANO LA KUPINGA UKATILI DHIDI YA WANAUME "MWANAUMBE FUNGUKA"
มุมมอง 212หลายเดือนก่อน
#SMAUJATA MBULU WAFANYA NA KONGAMANO LA KUPINGA UKATILI DHIDI YA WANAUME "MWANAUMBE FUNGUKA"
JUKWAA LA SMAUJATA MKOA WA MANYARA KUELEKEA KONGAMANO 30.11.2024
มุมมอง 110หลายเดือนก่อน
JUKWAA LA SMAUJATA MKOA WA MANYARA KUELEKEA KONGAMANO 30.11.2024
UJUE UGOJWA WA #TEZI DUME | DALILI ZAKE | NAMNA YA KUJIKINGA
มุมมอง 1262 หลายเดือนก่อน
UJUE UGOJWA WA #TEZI DUME | DALILI ZAKE | NAMNA YA KUJIKINGA
#NINI MAANA YA MAADHIMISHO YA SIKU 16 | KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA 2024
มุมมอง 1272 หลายเดือนก่อน
#NINI MAANA YA MAADHIMISHO YA SIKU 16 | KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA 2024
#MWENYEKITI WA UVCCM MKOA WA MANYARA "CHAGUA VIONGOZI WENYE UWEZO WA KUSIMAMIWA"
มุมมอง 1732 หลายเดือนก่อน
#MWENYEKITI WA UVCCM MKOA WA MANYARA "CHAGUA VIONGOZI WENYE UWEZO WA KUSIMAMIWA"
#WAZEE WA MBULU KUANZIA MIAKA 60 HADI 100 WAFANYIA KITU HIKI | MAKALA MAALUMU
มุมมอง 2452 หลายเดือนก่อน
#WAZEE WA MBULU KUANZIA MIAKA 60 HADI 100 WAFANYIA KITU HIKI | MAKALA MAALUMU
#KARIAKOO: 2013 TUKIO KAMA HILI LILITOKEA | GOROFA 64 ZILITAKIWA KUBOMOLEWA?
มุมมอง 8352 หลายเดือนก่อน
#KARIAKOO: 2013 TUKIO KAMA HILI LILITOKEA | GOROFA 64 ZILITAKIWA KUBOMOLEWA?
Vyama vya #Upinzani vyazungumza kuungana kupambana na uenguaji wa wagombea | Serikali za Mitaa 2024
มุมมอง 3582 หลายเดือนก่อน
Vyama vya #Upinzani vyazungumza kuungana kupambana na uenguaji wa wagombea | Serikali za Mitaa 2024
#Viongozi wa nchi za Kiarabu na Kiislam wakutana Saudi Arabia
มุมมอง 1.1K2 หลายเดือนก่อน
#Viongozi wa nchi za Kiarabu na Kiislam wakutana Saudi Arabia
#URUSI YAKANUSHA KUPIGIWA SIMU YA RAIS MTEULE WA MAREKANI "DONALD TRUMP" | SIKU YA JUMATATU
มุมมอง 6842 หลายเดือนก่อน
#URUSI YAKANUSHA KUPIGIWA SIMU YA RAIS MTEULE WA MAREKANI "DONALD TRUMP" | SIKU YA JUMATATU
#INTERVIEW: MZIKI WA KASKAZINI "ANTE DM" TUNAPANA SANA ILI KUFIKIA MALENGO
มุมมอง 1662 หลายเดือนก่อน
#INTERVIEW: MZIKI WA KASKAZINI "ANTE DM" TUNAPANA SANA ILI KUFIKIA MALENGO
#MAKALA: Kwanini Wamarekani wamempa Trump nafasi nyingine?
มุมมอง 4612 หลายเดือนก่อน
#MAKALA: Kwanini Wamarekani wamempa Trump nafasi nyingine?
UCHAMBUZI: DONALD TRUMP | MAREKANI ITAIPATIA AFRIKA MISAADA | VIPI KUHUSU CHINA NA KOREA KUSINI
มุมมอง 1.1K2 หลายเดือนก่อน
UCHAMBUZI: DONALD TRUMP | MAREKANI ITAIPATIA AFRIKA MISAADA | VIPI KUHUSU CHINA NA KOREA KUSINI
UCHAMBUZI: USHINDI WA DONALD TRUMP | JE! NI MUDA WA DUNIA KUPATA UTULIVU?
มุมมอง 5222 หลายเดือนก่อน
UCHAMBUZI: USHINDI WA DONALD TRUMP | JE! NI MUDA WA DUNIA KUPATA UTULIVU?
#MBULUWINNERS SEC. YAJA KIVINGINE TENA | MAHAFALI YA KIDATO CHA NNE (4) | OCTOBA 2024
มุมมอง 7312 หลายเดือนก่อน
#MBULUWINNERS SEC. YAJA KIVINGINE TENA | MAHAFALI YA KIDATO CHA NNE (4) | OCTOBA 2024
#BREAKINGNEWS: ISRAEL YAIJIBU IRAN KWA MAKOMBORA HATARI | MZOZO UNAZIDI KUCHUKUA SURA MPYA
มุมมอง 1.2K3 หลายเดือนก่อน
#BREAKINGNEWS: ISRAEL YAIJIBU IRAN KWA MAKOMBORA HATARI | MZOZO UNAZIDI KUCHUKUA SURA MPYA
#BREAKINGNEWS: NAIBU RAIS WA KENYA AUGUA GHAFLA!! "RIGATHI GACHAGUA" HALI SI SHWARI TENA.
มุมมอง 1.3K3 หลายเดือนก่อน
#BREAKINGNEWS: NAIBU RAIS WA KENYA AUGUA GHAFLA!! "RIGATHI GACHAGUA" HALI SI SHWARI TENA.
Dkt.TULIA AKSON ABANWA NA WAJUMBEWA #IPU BAADA YA YEYE KUKUTANA NA PUTIN
มุมมอง 1.7K3 หลายเดือนก่อน
Dkt.TULIA AKSON ABANWA NA WAJUMBEWA #IPU BAADA YA YEYE KUKUTANA NA PUTIN
Hii kali
Ooohhh
Tulifrah sana wadau
❤❤❤ Watu wangu
We hezron wewe,
@@OmbeniLorry naaam
Nipo nakusikiliza Mkuu
Amen apostle
Hii imeenda ❤❤❤
Sante baba twendeni na lisu
Songwe songwe hiyo imeenda mbowe akwende huko na hizo siri za chama...kweli inatuweka huru...
Mmeshina dona nyie
Anzisheni chama chenu muone ugumu wake mnadandia juu kwa juu mbowe kaza buti wakiondoks na wsondoke eatanzania wapenda amani utulivu na haki tupo tunahitaji watanzania wenye maono siyo kumtegemea mtu mmoja kwa misimamo yake
Hakuna vita hapa ninyi mnachanganyikiws na uchu wa madaraka tutawaogopa kama ukoma
Huna jipya nchi uichukue uipeleke wapi mtu anayetembea na risasi ameathirika kisaikilojia kama taifa hatumtaki wala si fadhila kupitia hayo vinginevyo,,,
MUNGU ni mwema
Umesema vizuri sana mwana SONGWE. Tanganyika nzima ikusikie na kutekeleza kama tunataka mabadiliko makubwa. Mungu Inatikisika CHADEMA.
Mko sahihi. Kabisa tulikofika tunataka lissu
Sasa Lisu atafanya nn? Sikiliza hamjui! Wanao leta mabadiliko ni wananxhi na cyo kiongozi! Watanzani ndio wajinga! Hawana mwamko wa haki kama Kenya!
Huyu ndugu arudishwe Mbulu ❤❤
Kazi nzuri sana💯
Very good
KAZI IENDELEEE
Maneno kuntu
Congratulations! Best and Best. I believe in Come Tv Tanzania🤝🙏🏻🙏🏻🙏🏻💯
❤❤❤❤❤❤ Mr Come we ni mtu na nusu
@@UpendojohnTango ...Thanks, Mungu awe pamoja kwa kila hatua
Mungu akutie nguvu Mfanye vizuri mwaka ujao
...Amina mtumishi
Mungu ata kuinua 🎉🎉
Imekaa sawa
...Kazi iendee
Honger tich bonday mung akuinue zaid
Mdahalo wa muhimu sana.. tafadhali urudiwe
Hongera bro
Asanteee sanaaaa
Mungu akufikishe kwenye ndoto zako
Barikiwe Sana mtumishi viwango vingine twakuombea
Mungu akuinue akupe viwango🎉🎉🎉
Hongera
...Thanks
Good job. Move forward you're near your destiny. God bless you
Thank you so much!
🙏
TAZAMA NYIMBO YAKE LINK HAPA CHINI 👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇 th-cam.com/video/hdMuGCfURZU/w-d-xo.htmlsi=8C5dBow-RwzPD-dO
Melisa cr
Mnafanya poa sanaaa👍👍👊👊
Pia wachungaji wamekuwa hawaruhusu wale wenye huduma kwenda kuonyesha walichonacho huwabania pale madhabahunii
Amen amen Nimebarikiwa
Mungu amfikishe viwango vingine ❤❤❤❤❤
Wengi miongoni mwa wanaojifanya watetezi ndio hatari
HONGERAAA SANA PRODUCTION
@@USTAWIWAJAMIITZ ...Shukran sna Comrd
saw
Nina kinasababisha prostate gland cancer
Hii location ni mzuri sana
Huyu dada mzima sana
Wewe mchambuzi unachochote unatuliya ambii
Elimu nzriiiiii 🔥🔥🔥