- 13
- 78 438
WAMARYA
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 9 พ.ค. 2017
Criss Wamarya is a new artist from Tanzania
CRISS WAMARYA _SONG -SORIDA
Matatizo kwa binadam ni kawaida japo nimepitia changamoto nyingi ambazo zilifanya nisitoe wimbo lakini MUNGU amesimama na mm adi Leo najua mashabiki wangu wanatamani kujua ni changamoto gani nilipitia nnachoaidi kwao ni nitatoa wimbo unaohusiana nayote yaliyonikuta mwaka 2018_2019 na nitafanya ivyo kwa kujua sio mm tu ata jamii zinazonizunguka wanakutana nazo au yamewatoke kifupi niseme tu naomba support yako ww shabiki yangu kwa sasa huu ndio wimbo wangu mpya SORIDA Asante. By $G
มุมมอง: 2 802
วีดีโอ
CRISS WAMARYA_SINA_officiaI videoHD
มุมมอง 65K7 ปีที่แล้ว
Video ya wimbo wangu mpya unaoitwa SINA imetoka leo tarehe 23/06/2017. Video ya wimbo huu imetengenezwa na director STEVE MANRIZO ......... KHASANTENI
CRISS WAMARYA_CHEUSI MANGALA
มุมมอง 1.3K7 ปีที่แล้ว
This song Cheusi mangala Has Been Produced By Mazuu from Tanzania and Writen by Criss Wamarya.The Video was Stoot in Morogoro Tanzania by GQ Video will be live at:
Brother 🤗, mwasauti wangu
Huyu jamaa alikuwa hatari sana namkubali mwasauti wangu ila kwenye tungo kanizidi
Ulienda wap jaman
Good burundi tunawapenda
Jamaha mkali sana respert for you brother
Uyu jamaha yoko wapi?? Mbona jamaha mkali ivi👍👍👍
❤❤
Kuna mmoja ansuza suraaa....aaahaaah
Ndo nashangaa jamani nyimbo ilivyo Kali alafu simjui nimeisikia kwa gari nimehangaika kumtafuta nijue nani nikamkosa yaani hadi nimemsumbua dereva hadi akanipa flashi...nikajua mpya kumbe ina miaka 5.....please naomba tufanye remix bro......aaaaaahaaaah
Good music like it!! Why umeacha music criss
sinaacha subiria mazuri sorry
Ngoma kaliii mjomba sema umepotea nazima
naja vitu vitam vyaja
Nice voice, wimbo mtamu go my pyaacha
Nakupenda Sana nafatilia Sana nyimbo zako
asane
Toa na bonge video Kama ilivyo ngoma kali
Kazi nzuri brooo Lukuledi standup👍👍👍
Fundiiiii
..goma kaliii sana mzee
..umetisha mzee
kaliii
bonge la wimbo
Nakubali sn kaka
Noma cna my blood ngoma kila cku tamu too
Sawa kaka kazi nzuri sana
Bossmtoto kaikubali
Nimekuwa wa Tano Kucomenti Hapa kwa Mchizi Wangu Chris's wa Mallya Wadau Mkuje Hapa
Safi sana ndugu mungu akupe nguvu na uwezoo full support from me I love ur music man am enjoying the beats the voice are awesome
Asante
hatariiiiii
hatariiiiii
Pamoja brother Ngoma Kali umeua
Kwa ubora
Fund wa masaut 🔥🔥🔥
Apo IPO good broo..
nakubali jeshi
Dogo kamsikilize Abdul Kiba na nyimbo yake mpya ya Shel Coco naona kachukua Melody huku please do it
Mziki huwa unafanana acha atumize malengo yake kama amefanya kupitia changu safi kwa maana ameelewa mziki mzuri
0719755144
Chris naomba wimbo wako wa sinyorita
📲*00212.645.75.23.01* *Whatapps*📲 شـبـاب🙋♂️ صـار لــي بــقــرأ كـثـيـر مــن الـكـومـنـتـات عـن صــغــر الـقـضـيـب وسـرعـة الـقـذف وأحـب أقــولــكــم بـمـعـلـومـة مـفـيـدة😉 أنــي حــصــلــت عــلــى وصـفـة رهـيـبـة مــن الــدكــتــور👨⚕️ الـلـي بــيــتــواصــل مـعـاه كـثـيـر مـن الــنــاس وبــصــدق جــربــتــو كــم أسـبـوع وصــار لـي قـضـيـب رهـيـب تـتـمـنـاه أي زوجــة😍 هــذا رقــم الــدكــتــور عــلــى الـواتـس *00212.645.75.23.01*📲
Nampendanga huyu jamaa
Bigap Sana
nkubali sana cris we noma
nivute kama kiko safi sana Wa kwetu ngoma Kali sana nimeielewa sana.
Mapambano Yaendelee Kaka Mkubwa
WCB hawa Ndio wanafit ili timu ikamilike
Mdogo wangu wimbo mtamu hata sikumbuki nimeurudia ngapi
Kijana wa kijiji cha pande nakupata sana
ngoma ipo poa sana.najiuliza kwanini hujawa staa..naisikia abood tu mara nyingi ndio wanaipiga jitahidi kuisambaza ni kaliiiiii vibaya
ongela dogo ila kaza uckate tamaa
Waue wamarya
ngoma #qali
Uwezo wa kuimba na kutunga nyimbo nzuri unao, ila tatizo1tu hunanyota babuu
Unaweza
nakubali mxee mzima
huyu jamaaa anajua sana yaaan
mambooo niii motooooooo