- 30
- 41 214
DMI TV TANZANIA
เข้าร่วมเมื่อ 8 มิ.ย. 2022
TANGAZO LA MAHAFALI YA 20 DMI
Wahitimu wote wa mwaka 2024 mnakumbushwa kuzingatia muda wa kuanza mahafali.
Tunawakaribisha sana DMI Alumni na Wadau wa usafirishaji kwa njia ya maji kushiriki kongamano hili la kitaaluma.
Tunawakaribisha sana DMI Alumni na Wadau wa usafirishaji kwa njia ya maji kushiriki kongamano hili la kitaaluma.
มุมมอง: 185
วีดีโอ
TANGAZO LA KONGAMANO LA TATU LA KITAALUMA (CONVOCATION) DMI
มุมมอง 83หลายเดือนก่อน
Tunawakaribisha Alumni wote na wadau wa sekta ya bahari kushiriki kongamano hili muhimu kwa maendele ya Chuo na Taaluma yote ya ubaharia na fursa zake Jisajili kupitia tsms.dmi.ac.tz ili kuthibitisha ushiriki wako
TANZANIA KUPITIA WANAFUNZI WA DMI YAIBUKA KIDEDEA MAFUNZO KWA VITENDO MELINI KOREA YA KUSINI
มุมมอง 900หลายเดือนก่อน
Wanafunzi wa Chuo cha Bahari Dar es Salaam walioshiriki mafunzo kwa vitendo melini katika Chuo cha Bahari na Teknolojia ya Uvuvi cha Korea ya Kusini wameibuka na ushindi wa Timu bora ya mwaka 2024 kwa kuzingatia uwezo wa Kitaaluma na ushirikiano katika eneo la Unahodha wa meli na Uhandisi wa meli kati ya nchi 13 zilizoshiriki mafunzo hayo. Kati ya vijana hawa wapo waliopata tuzo binafsi za Uong...
TANGAZO LA KITUO CHA ENGLISH MARLINS TEST KWA MABAHARIA
มุมมอง 66หลายเดือนก่อน
Chuo cha Bahari Dar es Salaam kinakaribisha Mabaharia wote
TANGAZO LA KUFUNGULIWA KWA DIRISHA LA USAJILI KWA MWAKA WA MASOMO 2024/2025
มุมมอง 2173 หลายเดือนก่อน
Karibu ujiunge na DMI kwa Mwaka wa masomo 2024/2025 Dirisha la Certificate, Diploma na Masters lipo wazi hadi tarehe 18 Septemba . Dilisha la Bachelor limefunguliwa tarehe 03 Septemba. DMI - Kituo cha Ubora cha Elimu na Mafunzo ya Bahari.
ELIMU YA UVUVI SALAMA YAWAFIKIA WAVUVI WA LINDI
มุมมอง 1404 หลายเดือนก่อน
Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI) tarehe 19 Agosti kimezindua kampeni inayolenga kutoa elimu ya usalama baharini na shughuli za uvuvi kwa wavuvi wa Lindi ikiwa imebebwa na kauli mbiu ya “Uvuvi Salama kwa Ustawi wa Jamii” kozi za uvuvi zitakazotolewa ni za aina tatu yaani Kozi za usalama baharini kwa wavuvi, Kozi za unahodha wa vyombo vya uvuvi vyenye ukubwa tofauti na Kozi ya usalama katika s...
UPO TAYARI KUSHIRIKI KONGAMANO LA TATU LA UCHUMI WA BULUU
มุมมอง 1195 หลายเดือนก่อน
Jisajili sasa kupitia tovuti yetu ya www.dmi.ac.tz uwe miongoni moa washiriki.
DMI NA GHANA WAJIPANGA KUTOA ELIMU YA UCHUMI WA BULUU KATIKA KONGAMANO LA TATU LA KIMATAIFA
มุมมอง 3755 หลายเดือนก่อน
Kongamano hili linatarajiwa kufanyika Julai 4 na 5, 2024 Katika ukumbi wa mikutano wa Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam na kufunguliwa rasmi tarehe 4 kuanzia saa tatu asubuhi na Mgeni rasmi Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko. Kongamano hili limeandaliwa kwa ushirikiano wa Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI) na Chuo cha Bahari cha Ghana (RMU) Jisajili sasa kup...
CHUO CHA BAHARI DAR ES SALAAM (DMI) KIMEENDELEA KUTOA ELIMU MAADHIMISHO SIKU YA MABAHARIA DUNIANI.
มุมมอง 4605 หลายเดือนก่อน
Mkuu wa Chuo cha Bahari Dar es Salaam awapongeza mabaharia kwa utendaji kazi wao mbali na changamoto mbalimbali wanazokutana nazo
JUKUMU KUU LA CHUO CHA BAHARI
มุมมอง 1636 หลายเดือนก่อน
Tunaangazia jukumu la Chuo cha Bahari Dar es salaam (DMI) Ikiwa ni kituo pekée Nchini Tanzania kinachotoa Elimu na Mafunzo ya Bahari.
ZIFAHAMU TAALUMA ZINAZOTOLEWA NA CHUO CHA BAHARI DAR ES SALAAM (DMI)
มุมมอง 1.6K6 หลายเดือนก่อน
DIRISHA LA MAOMBI LIMEFUNGULIWA KWA NGAZI YA CHETI, DIPLOMA NA SHAHADA YA UZAMILI Tuma maombi yako kupitia kiunganishi cha www.oas.dmi.ac.tz
IFAHAMU DMI KATIKA KUCHOCHEA UCHUMI WA TANZANIA
มุมมอง 4266 หลายเดือนก่อน
Karibu mpenzi mtazamaji wa DMI TV kutazama kipindi cha Ifahamu DMI katika kuchochea Uchumi wa Tanzania.
HUU NI UJIO MPYA KATIKA CHUO CHA BAHARI DMI,BARAZA LA WAFANYAKAZI LAZINDULIWA,WITO WATOLEWA KUJITUMA
มุมมอง 7552 ปีที่แล้ว
HUU NI UJIO MPYA KATIKA CHUO CHA BAHARI DMI,BARAZA LA WAFANYAKAZI LAZINDULIWA,WITO WATOLEWA KUJITUMA
#RADA ILIYOFUNGWA CHUO CHA BAHARI DMI YAANZA KUFANYA KAZI KWA MAJARIBIO,WANAFUNZI KUSOMA KWA VITENDO
มุมมอง 7332 ปีที่แล้ว
#RADA ILIYOFUNGWA CHUO CHA BAHARI DMI YAANZA KUFANYA KAZI KWA MAJARIBIO,WANAFUNZI KUSOMA KWA VITENDO
GOOD NEWZ-RADA YA KISASA KWAAJILI YA MAFUNZO YAFUNGWA CHUO CHA BAHARI DMI,KUONA VIFAA VYOTE MAJINI
มุมมอง 1.4K2 ปีที่แล้ว
GOOD NEWZ-RADA YA KISASA KWAAJILI YA MAFUNZO YAFUNGWA CHUO CHA BAHARI DMI,KUONA VIFAA VYOTE MAJINI
#HAYA HAYA KUMEKUCHA-TAZAMA NAMNA YA KUJIUNGA NA CHUO CHA BAHARI #DMI KWA WENYE NDOTO ZA UBAHARIA
มุมมอง 9K2 ปีที่แล้ว
#HAYA HAYA KUMEKUCHA-TAZAMA NAMNA YA KUJIUNGA NA CHUO CHA BAHARI #DMI KWA WENYE NDOTO ZA UBAHARIA
MKUU WA CHUO CHA BAHARI DMI,AFUNGUKA KUHUSU UBORA WA CHUO,AZUNGUMZA NA WATANZANIA AKIWA TBC1 LIVE.
มุมมอง 1.2K2 ปีที่แล้ว
MKUU WA CHUO CHA BAHARI DMI,AFUNGUKA KUHUSU UBORA WA CHUO,AZUNGUMZA NA WATANZANIA AKIWA TBC1 LIVE.
#ITAZAME ENGINE ROOM YA CHUO CHA BAHARI DMI, NI KAMA UPO NDANI YA MELI,MAFUNZO KWA VITENDO YANOGA
มุมมอง 4.6K2 ปีที่แล้ว
#ITAZAME ENGINE ROOM YA CHUO CHA BAHARI DMI, NI KAMA UPO NDANI YA MELI,MAFUNZO KWA VITENDO YANOGA
CHUO KILICHOANZISHWA NA BABA WA TAIFA,KIMEKUWA KIMBILIO KWA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI,TAZAMA MAFUNZO
มุมมอง 9682 ปีที่แล้ว
CHUO KILICHOANZISHWA NA BABA WA TAIFA,KIMEKUWA KIMBILIO KWA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI,TAZAMA MAFUNZO
UCHUMI WA BULUU-DMI YAFANIKISHA KONGAMANO KUBWA LA KIHISTORIA NCHINI,MELI KUBWA KUJENGWA AJIRA ZAIDI
มุมมอง 1.1K2 ปีที่แล้ว
UCHUMI WA BULUU-DMI YAFANIKISHA KONGAMANO KUBWA LA KIHISTORIA NCHINI,MELI KUBWA KUJENGWA AJIRA ZAIDI
#DMI# MPYA-KONGAMANO LA KIHISTORIA LINAKUJA,KUANGAZIA FURSA UCHUMI WA BLUE
มุมมอง 1952 ปีที่แล้ว
#DMI# MPYA-KONGAMANO LA KIHISTORIA LINAKUJA,KUANGAZIA FURSA UCHUMI WA BLUE
UJENZI WA MELI YA MWANZA NI MRADI MKUBWA KWENYE NCHI YETU,CHUO CHA DMI KIMEJIANDAA KUTUMIA FURSA HII
มุมมอง 6K2 ปีที่แล้ว
UJENZI WA MELI YA MWANZA NI MRADI MKUBWA KWENYE NCHI YETU,CHUO CHA DMI KIMEJIANDAA KUTUMIA FURSA HII
#UCHUMI WA BLUE:BOTI ZA KISASA CHUO CHA BAHARI DMI, KILIVYOJIPANGA KUTOA ELIMU YA BAHARI KI VITENDO
มุมมอง 1.4K2 ปีที่แล้ว
#UCHUMI WA BLUE:BOTI ZA KISASA CHUO CHA BAHARI DMI, KILIVYOJIPANGA KUTOA ELIMU YA BAHARI KI VITENDO
NDOTO ZA BABA WA TAIFA ZINAVYOISHI KWENYE CHUO CHA BAHARI DMI,CHAZALISHA WATAALAMU ZAIDI YA 5000
มุมมอง 6712 ปีที่แล้ว
NDOTO ZA BABA WA TAIFA ZINAVYOISHI KWENYE CHUO CHA BAHARI DMI,CHAZALISHA WATAALAMU ZAIDI YA 5000
#UCHUMI WA BLUE:DMI KUKUTANISHA WADAU WA BAHARI KUJADILI FURSA ZA BAHARI
มุมมอง 6642 ปีที่แล้ว
#UCHUMI WA BLUE:DMI KUKUTANISHA WADAU WA BAHARI KUJADILI FURSA ZA BAHARI
INJINIA WA KWANZA MWANAMKE KUSOMEA MAMBO YA BAHARI TANZANIA AELEZA SIFA ZA CHUO CHA DMI
มุมมอง 5K2 ปีที่แล้ว
INJINIA WA KWANZA MWANAMKE KUSOMEA MAMBO YA BAHARI TANZANIA AELEZA SIFA ZA CHUO CHA DMI
USIKOSE KIPINDI CHA BAMBO LA MTAA,KITARUKA KUTOKA CHUO CHA DMI,WANAFUNZI WAFUNGUKA
มุมมอง 6792 ปีที่แล้ว
USIKOSE KIPINDI CHA BAMBO LA MTAA,KITARUKA KUTOKA CHUO CHA DMI,WANAFUNZI WAFUNGUKA
MKUU WA CHUO CHA DMI DKT.TUMAINI GURUMO AMEJIANDAA KUHESABIWA KATIKA SENSA YA WATU NA MAKAZI
มุมมอง 4332 ปีที่แล้ว
MKUU WA CHUO CHA DMI DKT.TUMAINI GURUMO AMEJIANDAA KUHESABIWA KATIKA SENSA YA WATU NA MAKAZI
Hongera sana my college dmi, long live.
Hongera sana.
DMI For Lifeeee🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kweli mnaupiga mwingi Mungu awalinde na kuwatunza
Ameen🙏🏿
Poleni sana mabaharia ila aibu kwetu ,,mbina ile meli ya mafunzo mbegani vp ishapimwa srepa
Sio wote ambao tumeweza kuuzuria mkutano huo hata sisi watu wa kanda ziwa tutaka kufahamu kuhusiana na fulsa hizo maana hata maziwa nayo ni sehemu ya uchumi wa blue
Mashallah mungu azidi kutuwezesha watanzania
Mm nasoma diploma ya clinical officers je inawezekana kuchukua degree ya marine engineering
Soon am coming
M nimepata D moja na E mbil nawez soma degree
Eti walio chsguwa na tqmisemi 2023/2024 tunaaza sartificate or diploma?
❤
Cbg anaweza kusoma transport and nautical science
Vipi hiko kiwanda cha kutengeneza meri kinakuka lini???
Je, wenye divition four4 ya 31 yaani D2 na C1 tunaruhusiwa kujiunga?
Naomba mawasiliano ya Mtaalamu please.
Natamaan san kusoma d.m.i
Mkuu naomba kuulza ada ya kujifunza engine room na nimepata four form four naweza kujiunga na chuo
Je mnasesha I.t
Kinapatikan dar es salaam sehem gani
Iko chuo kip wp
Nina miaka kumi na nane nina D tatu inakuwaje
Nina miaka kumi na nane nina D tatu inakuwaje
Asante Eng Regina, binafsi ulinifundisha 2009, na kukubali, barikiwa sana
Hongera sana DMI kwa hatua hizo mlizopiga, binafsi nilisoma hapo mwaka wa 2009, big up
ASante Sana Kwa ufafanuzi wenu
Mimi naomba kuuliza hivi kama mtu amemaliza from two nikuwaje
Habari za usiku
Hongera Sana
HATA MIMI MAMA SAMIA KWA HILI LA ANUWANI , NAKUPA HONGERA SANAA. MAMA YETU. UMEWEZA.
Naku hishimu sana umenipa yianlimu nyigi sana 🙏
Watu walikuwa hawakijui.
TUNSCHO OMBA WIZARA IACHE KUWEKA MASHART MENGI YANAYOKATISHA TAMAA. HILI NDO LINASABABISHA TANZANIA TUKO NYUMA KIELIMU. OO MPAKA USOME SAYANSI, HIYO WALA HAINA MAANA KABISA. NNCHI ZA ULAYA WATU WANABADILISHA CARIA KILA KUKICHA . SABABU M ASHARITI NI MADOGO. BOLA AKILI YAKO TUU. UKITAKA UNAACHA UDOKTA UNAFANYA ACCOUNTS, UNATOKA ACCOUNTS UNAENDA KUPAKA RANGI, YAANI KAMA NILIVYOSEMA NI AKILI YAKO.TU. NA MUDA.
Mama anajitahd kukitangaza Chuo haijapata kutokea
Hongera sana Lusajo; kuwajuza watu kuhusu DMI
th-cam.com/video/4yY3TT3EVyQ/w-d-xo.html taarifa iliyotufikia hivi karibuni ni kuhusu msemaji mpya wa yanga sc , Alikamwe
Aseee womesa oyeeeeee tunamkumbuk uyu
Nakukubali malikia ndio Jina lako nakuheshinu mkuu
Samahani fomu tunazipataje...🤦
⚓🔥
very interested wid DMI
Mashaallah allah ibariki tanzania 👏❤️❤️❤️
Kwenye diploma hapo sijaelewa
RIP jpm, kazi zako zitaishi siku zote, achana na wapumbavu wanao kuponda.
Nzuri sana hii
Sasa kwann kuapply kulifungwa kabla ya tarehe 30 agost au kuna second round
Ahsante kwa maelezo mazuri boss 🙌🙏
Mtoto wa Mama yet Brother Azan
Mnapokea wanafunzi waliomaliza kidato cha nne tu? Vip hawa walioishia darasa la Saba hawezi kuja pata kozi yeyote ya majini?
Watengeneze au wanunue boti mpya ya wanafunzi wanaosoma somo la Rescue,kuna waliomaliza na hawakupelekwa majini kisa boti betri mbovu na watoto wamelipa ada 700K
Watanzania ni wao get unafiki. KASI ilikuwa ya JPM, hawa wengine MIDEBWEDO tu