DELAS CHIZA
DELAS CHIZA
  • 10
  • 8 391

วีดีโอ

HAUFANANISHWI [GOD] ~ Delas Chiza
มุมมอง 1.4K6 หลายเดือนก่อน
EXODUS (KUTOKA) 20:1-6 Absolutely nothing compares to Almighty Living God, on the Earth even in Heaven and elsewhere. HAUFANANISHWI ni wimbo wa kuabudu, kusifu na Kumtukuza Mungu kwa sababu ya Upekee wake, Ukuu wake, Nguvu zake na sifa zake nyingine zisizoweza kuelezeka kwa akili za kibinadamu. Napenda kukukaribisha kushiriki Ibada hii kwa wimbo huu na Mungu akubaliki sana. Pia unaweza sikiliza...
DELAS CHIZA ~ MWANA WA MUNGU ft Editha Sikabenga
มุมมอง 48611 หลายเดือนก่อน
Nakukaribisha sana kumsifu na kumtukuza Mungu kupitia wimbo huu. Mwana wa Mungu ni wimbo uliobeba sifa za Yesu Kristo baada ya kazi ya Ukombozi aliyoifanya pale msalabani kwa ajili ya wanadamu wote. Unaweza ku-subscribe channel yangu ili uweze kupata taarifa kwa urahisi kwa nyimbo nyingine nzuri zijazo za kumtukuza Mungu. Pia unaweza kupata nyimbo zingine kupitia link zifuatazo: th-cam.com/vide...
DELAS CHIZA ~ HATIMA YAKO; Official Video Music.
มุมมอง 1.1Kปีที่แล้ว
Hatima yako ni wimbo unaomtaja BWANA Mungu kuwa ndiye anayejua hatima ya maisha ya mwanadamu. Pia kumfariji mtu yeyote anayepita katika mazingira magumu ya kukatisha tamaa,, na kurejesha matumaini ndani ya moyo kuwa anaweza kusimama tena, kusonga mbele na kufanikiwwa tena kama atamwamini na kumtegemea Mungu. Kwa nyimbo zingine nzuri za Kumtukuza Mungu, unaweza subscribe channel hii ili uweze ku...
MWANA WA MUNGU: Delas Chiza ft Editha Sikabenga, official Audio Song.
มุมมอง 504ปีที่แล้ว
Mwana wa Mungu ni wimbo wa kumtukuza na kumsifu Yesu kristo kwa kazi ya kumwokoa mwanadamu aliyoifanya pale msalabani, karibuni sana na Mungu awabariki sana. Studio: Ymusic Artist: Delas Chiza Songwriter: Delas Chiza Vocals: Editha Sikabenga and Leo Msemwa
HATIMA YAKO [Official Audio]
มุมมอง 5092 ปีที่แล้ว
Shalom Mtu wa Mungu.Nakukaribisha sana uweze kubarikiwa na wimbo huu Unatukumbusha kuwa Hatima na maisha yetu yako mikononi mwa MUNGU. Mungu Akubariki sana.. #Hatima #Maisha #Yako
YESU NI BWANA {Delas Chiza} official audio song
มุมมอง 1.2K4 ปีที่แล้ว
YESU NI BWANA; its a song of giving praise to Jesus Christ as our only Lord Savior forever.

ความคิดเห็น

  • @felixmuzambele9031
    @felixmuzambele9031 25 วันที่ผ่านมา

    Kazi nzuri sanaa,nimebarikiwa

    • @delaschiza5611
      @delaschiza5611 25 วันที่ผ่านมา

      Ameeeeen, Glory to God

  • @jaredbangumwe7046
    @jaredbangumwe7046 29 วันที่ผ่านมา

    Mungu azidi kukuinua toka ufalme hadi ufalme.

    • @delaschiza5611
      @delaschiza5611 28 วันที่ผ่านมา

      Ameeeeen,, Asante sana 🙏

  • @MaryPeter-x6x
    @MaryPeter-x6x หลายเดือนก่อน

    Ongera kijana

  • @LilianBangumwe
    @LilianBangumwe หลายเดือนก่อน

    Ukweli kabisa

  • @WemaMwasote-eo5ry
    @WemaMwasote-eo5ry หลายเดือนก่อน

    Hongera nzuri

  • @prosperkenny
    @prosperkenny หลายเดือนก่อน

    Wimbo wangu tangu.... ubarikiwe san kaka 🔥🔥🔥

    • @delaschiza5611
      @delaschiza5611 หลายเดือนก่อน

      Ameeeeen brother mkubwa

  • @manasebenjamin6494
    @manasebenjamin6494 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri sana 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @editasikabenga3517
    @editasikabenga3517 หลายเดือนก่อน

    Asante kwa kujitoa kwa kazi njema ya bwana Yesu kiongozi wangu.... Mungu azidi kuinua hiki kipawa🎉

    • @delaschiza5611
      @delaschiza5611 หลายเดือนก่อน

      Ameeeeen mwalimu wangu 🙏

  • @barakapatroba5538
    @barakapatroba5538 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana master💪

  • @JohnsonMligo-t5l
    @JohnsonMligo-t5l หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 amina

  • @joramsengi9123
    @joramsengi9123 หลายเดือนก่อน

    Hongera mtumishi wa Mungu. Karama ikazidi kuwasha moto

  • @mwalimuleoh
    @mwalimuleoh หลายเดือนก่อน

    @seee ni hatari. Sasa nimejua ukweli kwamba, Yeye ndiye Bwana na Mwokozi wangu

  • @jovituspontion1147
    @jovituspontion1147 หลายเดือนก่อน

    Good job zaidi kusonga mbele

  • @victormakundi5476
    @victormakundi5476 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana kaka Dpc

  • @EdwinEmmanuel-j2o
    @EdwinEmmanuel-j2o หลายเดือนก่อน

    Saf sana kijana kazi nzur sana

  • @EdwinEmmanuel-j2o
    @EdwinEmmanuel-j2o หลายเดือนก่อน

    Saf sana kijana kazi nzur sana

  • @josephmgasi4973
    @josephmgasi4973 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri bro

  • @onesmokaduma5626
    @onesmokaduma5626 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana rafiki yangu!!!

  • @pambanohungwe8540
    @pambanohungwe8540 หลายเดือนก่อน

    Mungu ni Mwema😎

  • @onesmokaduma5626
    @onesmokaduma5626 หลายเดือนก่อน

    Be blessed

  • @veronicambuna
    @veronicambuna 2 หลายเดือนก่อน

    Nice kijana wa Mungu

    • @delaschiza5611
      @delaschiza5611 2 หลายเดือนก่อน

      Thank you thank you.

  • @manasebenjamin6494
    @manasebenjamin6494 6 หลายเดือนก่อน

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @DavidMsemla-zx9cv
    @DavidMsemla-zx9cv 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu azid kukuinua zaid kaka

  • @BonifacePaul-e8l
    @BonifacePaul-e8l 6 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri, Mungu azidi kukuinua!!

  • @BonifacePaul-e8l
    @BonifacePaul-e8l 6 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri, Mungu azidi kukuinua!!

  • @ediltrudakavishe8994
    @ediltrudakavishe8994 6 หลายเดือนก่อน

    Chief chief hongera sana🙌🙌

    • @delaschiza5611
      @delaschiza5611 6 หลายเดือนก่อน

      @@ediltrudakavishe8994 Asante sana chief 🙏

  • @JuliethSandam-l2v
    @JuliethSandam-l2v 6 หลายเดือนก่อน

    Hakika afananishwi na chochote 🙏

  • @prosperkenny
    @prosperkenny 6 หลายเดือนก่อน

    my brother my brother.. very nice song

    • @delaschiza5611
      @delaschiza5611 6 หลายเดือนก่อน

      Thank you brother 🙏🙏

  • @onesmokaduma5626
    @onesmokaduma5626 6 หลายเดือนก่อน

    Big up broo

  • @thekinglyremnant158
    @thekinglyremnant158 6 หลายเดือนก่อน

    Powerful song

  • @agripinapeter331
    @agripinapeter331 6 หลายเดือนก่อน

    Wooow❤. Amaizing DPC😊

  • @mwalimuleoh
    @mwalimuleoh 6 หลายเดือนก่อน

    Hafananishwi na Yeyote Mungu

  • @samwelmohabemarwa5316
    @samwelmohabemarwa5316 6 หลายเดือนก่อน

    This is annointed song,hakika Mungu hafananishwi,kuna majina yapo mengi ila Mungu ana baki peke yake kama Mungu,Ahsante sana Delas Petro Chiza Bwana akupe upako zaidi na hatua zaidi katika huduma hii,iam blessed. This is a song to listen.

    • @delaschiza5611
      @delaschiza5611 6 หลายเดือนก่อน

      Ameeen,, ubarikiwe pia mr Mohabe 🙏🙏🙏🙏

  • @ventureboniface7732
    @ventureboniface7732 6 หลายเดือนก่อน

    Keep on blessing kaka

  • @daudisailepu8878
    @daudisailepu8878 6 หลายเดือนก่อน

    This song 😊😊❤

  • @daudisailepu8878
    @daudisailepu8878 6 หลายเดือนก่อน

    be blessed brother..

  • @editasikabenga3517
    @editasikabenga3517 6 หลายเดือนก่อน

    Wow wow blessing my brother

  • @saiwrld9313
    @saiwrld9313 6 หลายเดือนก่อน

    Hafananishwi na yeyote, daima na milele…hallelujah 🙌🙌🙌

    • @delaschiza5611
      @delaschiza5611 6 หลายเดือนก่อน

      Hakika Mungu hafananishwi.

  • @nikodemmwaiseje2432
    @nikodemmwaiseje2432 6 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana daktari kwa huduma njema. Mungu akuinue zaidi..🙌🙌🙌

  • @emanueljesse4284
    @emanueljesse4284 6 หลายเดือนก่อน

    Big up

  • @barakapatroba5538
    @barakapatroba5538 6 หลายเดือนก่อน

    Big up master Delas

  • @eliyamollel237
    @eliyamollel237 6 หลายเดือนก่อน

    New Blessings

  • @munisi_joel
    @munisi_joel 6 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe Mtumishi

  • @GladnesPhilmon
    @GladnesPhilmon 9 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉

  • @NaumiEnock
    @NaumiEnock 10 หลายเดือนก่อน

    Inuliwa zaidiii Mr delasi Petro Hatua kubwa mno Mungu akulinde barikiwaaa

  • @owenholydrummer4458
    @owenholydrummer4458 10 หลายเดือนก่อน

    Hongera bro

  • @jackobombwaga
    @jackobombwaga 10 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki mtumishi wa Mungu.... Neema ya Mungu iendelee kuzidishwa juu yako katika utumishi wako huu.... Ameinuliwa na kutukuzwa kuliko vyote na anastahili sifa zetu❤

  • @victormakundi5476
    @victormakundi5476 10 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana kaka DPC.

  • @wasalipaharembo16
    @wasalipaharembo16 10 หลายเดือนก่อน

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @PeaceHassan-i7i
    @PeaceHassan-i7i 10 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤🎉🎉