- 7
- 9 105
DRAFT KIPAJI
เข้าร่วมเมื่อ 6 ก.ย. 2020
วีดีโอ
MAKOSA NA MITEGO YA DRAFT
มุมมอง 1146 วันที่ผ่านมา
JIFUNZE MITEGO NA MAKOSA KUTOKA KWA WACHEZAJI
มุมมอง 1456 วันที่ผ่านมา
Duh! huu mtego balaa (samba)
มุมมอง 91118 วันที่ผ่านมา
meja, meja nne, sumu ya pandu, taa ya treni, nugza,tege, samba, mabano, kavimba, draft tanzania, kipande
MITEGO HATARI KWENYE MABANO.. HII BALAA!
มุมมอง 1.9Kหลายเดือนก่อน
MITEGO HATARI YA COPY YA KAVIMBA
มุมมอง 3K3 หลายเดือนก่อน
Sumu ya pandu ( draft la kushinda)
มุมมอง 2.7K5 หลายเดือนก่อน
Mkuu hiyo Ngoma mbovu sanaaaaa,,Labda humkute mtu hajui ila hiyo ngoma unafungwa
anakata palepale tuu,, ukipiga mbili ndio anakufunga
Mbona m nikdownload hyo game king hairuk vyumba????
Hujaweka sheria za tanzania
Hujaweka sheria za tanzania
Mtego huu ni mzuri kwa wanaojifunza draft. Ila wataalamu wanaukwepa bila shida na mwenye bluu ndo anaanza kuhangaika kutafuta sare
Sawa kaka
Kuna sare nyingi sana kwenye hiyo ngoma na anaepaswa kuzitafuta hizo sare ni mwenye kete za blue na hiyo ngoma ni mbovu
@@allymsukulu draft ni mchezo wa sare draft lisilo na sare ni draft lililoisha limebakisha kete mbovu
@@infinityhacker1599 Ndo hivyo michezo mingi ina muhatarisha wa bluee kwenye drafti hilo maana yake ana vizia mchezo mmoja ila move nyingi zina hatari kwake zina mlazimisha kutafuta droo yeye anae vizia
Nakubali
Noma sana
Usisahau ku subscribe kaka
Huu mchezo unatakiwa uufanyie mazoezi sana bingwa
3.05 kwanini njano asitoboe jipu hilo
Hapo boss kwenye dakika 1.05 hamna jipu wala kwenye dk 3.05 hamna jipu angalia kwa makini huo mchezo sifungi hata iwaje labda sare tu miguu yote imekaguliwa
Hapo pia ni goli kakosea , yan jibu lina toboka na limeisha
Cheki upya kwa makini hutaelewa makosa yake hila copy ndio ipo hivyo , anachokosea anacheza kete ya pili kabla ya kwanza
1.51 akitoboa jipu hapo inakuaje
Hapo kakosea stepu kawaisha, unaanza kupaki pembeni ndio unaweka kete , hakuna jipu
Samba
Kunamchezo kati ya simba na mwafyale ule wa miseto sasa siujui ulivyoanza tuoneshe ulivyo anza mbaka pale ulipofikia
Dakika ya 2.42 hapo huyo jamaa ilitakiwa akupige izo mbili ndo mchezo wake hachezi kama ulivocheza wewe
Hapana fundi kuna kete mwanzoni tu hapo unafungwa Hapo kwenye dakika 1.46 play current position na dalmax uone unafungwa kirahisi mno
Kopi nzuri ila kuna miguu mwishoni akikuona unafungwa ww
Huyo njano naona kama alikosea pale mwanzoni bora angelubali mgawane ule moja uiingie king yeye ale mbili......aingie king Sema inategemea utakubali ale mbili...usipokubali mchezo wake unakuwa mzuri tena
fundi fundi naomba namba yako kaka nimeapricciate copy yako
Huyo njano naona kama alikosea pale mwanzoni bora angelubali mgawane ule moja uiingie king yeye ale mbili......aingie king Sema inategemea utakubali ale mbili...usipokubali mchezo wake unakuwa mzuri tena
Ukibana hapo anakupigaje tatu mkuu
Nimekosea sio tatu anakupa ile kete alafu anaomba linakuwa sio zuri kwako ila sare unaweza toa
Yes na mi ndo najua hiyo hizo tatu nimezitafuta sana😂😂😂pamoja mkuu 🙏@@infinityhacker1599
Kuna watu mnajua aisee😅😅
Subscribe Kaka naachia tena ngoma kali nyingine
Nitoa video nyingine th-cam.com/video/LQI6buPsM8Q/w-d-xo.htmlsi=PsyzqqHT-6YTAOlk hiyo apo angalia mitego
Safi
Yu people
Wewe hutakuja kujua bao hata kidogo .... unacheza useng* mtupu ..... pimbi mkubwa wewe