KWAYA YA MT. DONASIAN PAROKIA YA MADUNGA , MBULU
KWAYA YA MT. DONASIAN PAROKIA YA MADUNGA , MBULU
  • 3
  • 28 875
CHUNGA ULIMI WAKO
มุมมอง: 4 681

วีดีโอ

KWA PUMZI YA UHAIKWA PUMZI YA UHAI
KWA PUMZI YA UHAI
มุมมอง 5Kปีที่แล้ว
Kwaya ya Mt. Donasian parokia ya Madunga JIMBO la MBULU pokeeni furahaKwaya ya Mt. Donasian parokia ya Madunga JIMBO la MBULU pokeeni furaha
Kwaya ya Mt. Donasian parokia ya Madunga JIMBO la MBULU pokeeni furaha
มุมมอง 19Kปีที่แล้ว

ความคิดเห็น

  • @BibianaSilas
    @BibianaSilas หลายเดือนก่อน

    Mungu awabariki jmn wapendwa

  • @AgnessSulle
    @AgnessSulle 3 หลายเดือนก่อน

    Mko vizuri mungu awape nguvu zaidi

  • @AgnessSulle
    @AgnessSulle 3 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

  • @simonlusiani3890
    @simonlusiani3890 10 หลายเดือนก่อน

    Kazi njema

  • @ElizabethShauri-hi3ut
    @ElizabethShauri-hi3ut 11 หลายเดือนก่อน

    Hongereni sanaaa Mungu awaongoze kwa hatua nyingine 👏

  • @FabianSulley-nn2ib
    @FabianSulley-nn2ib ปีที่แล้ว

    Hongereni ndugu

  • @SabinaMarcel-cm1rh
    @SabinaMarcel-cm1rh ปีที่แล้ว

    hongereni sana jaman mungu aendelee kuwabariki

  • @FelisterDuway
    @FelisterDuway ปีที่แล้ว

    Hongereni sana ndugu zangu ❤❤nawaona nikiwa arusha

  • @ChinyemiDaniel
    @ChinyemiDaniel ปีที่แล้ว

    Hongereni Sana mungu awaongezeeni nguvu🙏🙏🙏🙏

  • @MarseliKwaangw-pk1cy
    @MarseliKwaangw-pk1cy ปีที่แล้ว

    Hongereni sana Kwa utume wa uinjilishaji

  • @faustinefissoo
    @faustinefissoo ปีที่แล้ว

    Hongereni sana wanakwaya my Donasian . Huo ni mwanz tu msichoke kutangaza injili kwa njia ya uimbaji

  • @edwinjhilbajojo2429
    @edwinjhilbajojo2429 ปีที่แล้ว

    Hongereni sn kwaya ya Mt.Donasiani kwa kazi nzuri.Kazeni msiishie hapo,,,endeleeni na kutoa nyimbo nzuri kama hizi zaidi na zaidi,,,Mungu awabariki sn tudumu sote katika Kristo.Home sweet home,,,❤❤️💒💒😘😘🙏🙏

  • @paskalinaleopold3251
    @paskalinaleopold3251 ปีที่แล้ว

    Vizuri sana

  • @valerianmlay-bs6yk
    @valerianmlay-bs6yk ปีที่แล้ว

    You did well my besty

  • @peterbaran9944
    @peterbaran9944 ปีที่แล้ว

    Hongreni sana kazi nzuri wana kwaya na walimu

  • @johnhilbayuba-oq8vg
    @johnhilbayuba-oq8vg ปีที่แล้ว

    Hongereni sana mmeupiga mwingi sana msiishie tu hapo !!

  • @gabrieljacob3974
    @gabrieljacob3974 ปีที่แล้ว

    kazi nzuri naona Bashnet na Madunga Mambo so haba siku hizi big up

  • @emanuelinyas2624
    @emanuelinyas2624 ปีที่แล้ว

    Hongereni sana mungu awasaidie mtoe nyimbo zaidi by kosma

  • @selinaasanka430
    @selinaasanka430 ปีที่แล้ว

    Hongereni sn kw ujumbe mzuri,,, nmeenjoy sn na nmefurah kuona na sisi tumooo

  • @joshuasarutwe4354
    @joshuasarutwe4354 ปีที่แล้ว

    WIMBO nimeuelewa sana

  • @nataliacharles6955
    @nataliacharles6955 ปีที่แล้ว

    Shukran sana wanaparokia kwa Wimbo mzuri

  • @nataliacharles6955
    @nataliacharles6955 ปีที่แล้ว

    Hongereni sana wanaparokia hamkubali kubaki nyuma daima Mungu awabariki katika utume wenu

  • @veronicasyprianhilbajojo4977
    @veronicasyprianhilbajojo4977 ปีที่แล้ว

    Hongereni Sana

  • @kalistimalkiadi3724
    @kalistimalkiadi3724 ปีที่แล้ว

    Mungu ni mwema hongeren San kwa utume

  • @kalistimalkiadi3724
    @kalistimalkiadi3724 ปีที่แล้ว

    Waoooooooh mbarikiwe kwa utume

  • @ambrosethomas5922
    @ambrosethomas5922 ปีที่แล้ว

    Hongereni sana, Seba nakuona.

  • @felisterligwa
    @felisterligwa ปีที่แล้ว

    🙏🙏🙏🙏

  • @kwayaviwawaparokiayabashne9281
    @kwayaviwawaparokiayabashne9281 ปีที่แล้ว

    Mungu awabariki wote waimbaji

  • @emilsixberth908
    @emilsixberth908 ปีที่แล้ว

    Kazi nzr Sana Sana Sana.

  • @paulsanka7140
    @paulsanka7140 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri sana, be blessed 🙌

  • @reginaldhhayuma6907
    @reginaldhhayuma6907 ปีที่แล้ว

    Najisikia furaha sana kuona parokia yangu ya nyumbani mkifanya mambo mazuri hivo. Mwenyezi Mungu awabariki sana

  • @reginaldhhayuma6907
    @reginaldhhayuma6907 ปีที่แล้ว

    Much love from moshi. Hongera sana mwl. Fuastin Ombay kwa utunzi mzuri. Hongera mh sebastian Geay kwa kinanda kizuri. Hongereni wanakwaya wote

  • @mossesmbokoti3399
    @mossesmbokoti3399 ปีที่แล้ว

    Hongereni jmn

    • @jenivajacob7460
      @jenivajacob7460 ปีที่แล้ว

      Hongereni sana mungu awamiminie neema zake na awatie nguvu katika uijilishaji mbarikiwe sana

  • @felisterligwa
    @felisterligwa ปีที่แล้ว

    🙏🙏👏👏👏

  • @robertotippe5174
    @robertotippe5174 ปีที่แล้ว

    Ipo gudy kabisaaaa mungu awajalie afya njema siku zoteeeee na awatie nguvu

  • @teddyjubber1566
    @teddyjubber1566 ปีที่แล้ว

    Mko vizuri sana mwimbieni mungu katika roho na kweli

  • @sikuzanadoitaamnaay728
    @sikuzanadoitaamnaay728 ปีที่แล้ว

    Hongereni sana wanakwaya wenzangu

  • @veronicasafari600
    @veronicasafari600 ปีที่แล้ว

    ❤❤❤ my blood Ima nakuona mubarikiwe

  • @teddyjubber1566
    @teddyjubber1566 ปีที่แล้ว

    Hakika wameupiga mwingi mungu awangozi vyema katika kumsifu yeye kw njia ya uimbaji msiishia hapo tunatarijia kuona kazii nzuri zaidi ya hiyo

  • @reginaldhhayuma6907
    @reginaldhhayuma6907 ปีที่แล้ว

    Nimebarikiwa sana kuona na kusikia wimbo mtamu hivi kutoka kwa kwaya ya parokia yangu ya nyumbani na kuona ndugu zangu live. Hongereni sana,wimbo ni mzuri sana pia mmeutendea haki kuuimba kwa uchangamfu na tabasamu. Much love from this side