- 9
- 35 483
KWAYA YA MT.YOHANE MBATIZAJI PAROKIA YA BAHI
เข้าร่วมเมื่อ 20 เม.ย. 2022
MT. YOHANE MBATIZAJI BAHI NA BMI CHAMWINO
TAZAMA WANAKWAYA WA KWAYA YA MT. YOHANE MBATIZAJI PAROKIA YA BAHI NA WANAKWAYA WA KWAYA YA BMI PAROKIA YA CHAMWINO WAKIIMBA PAMOJA NA POROKO WA CHAMWINO PD. GODIAN SIMPINGE
มุมมอง: 371
วีดีโอ
Sasa Tupo Huru Kwaya Ya Mt Yohane MbatizajiOfficial Music Video
มุมมอง 8Kปีที่แล้ว
Sasa Tupo Huru Kwaya Ya Mt Yohane MbatizajiOfficial Music Video
Ushindi tumeupa
¡Hongereni sana wanakwaya ya Mt. Yohane Mbatizaji Parokia ya Bahi kwa ujumbe mzuri wa wimbo wenu mpya 'Sasa Tupo Huru'! Umetimiza hisia za uhuru na imani kwa ufanisi mkubwa. Asanteni kwa kutoa mchango wenu wa kiroho kwa jamii yetu. Mungu awabariki na awape nguvu zaidi katika huduma yenu.
Waziri unakitendea haki hicho kinanda
The smiles and joy is beautiful. 😅. God bless you
Nafurahia sana kuwaona ninyi watu
Hongereni sana kwaya yangu
Mama mengi amekuwa kwaya masta mungu amuongoze
Kwaya yangu pendwa
Duh wimbo mzuri kweli. Kazi nzuri
Mungu awabariki katìka utume wenu
Waoooh amen kwa uinjilishaji namuona father godic smupingee 🙏🙏🙏🙏
Hongereni sana wimbo mzuri sana nimefarijika kwa hatua hii mliyofikia.
Asante sana ndugu yetu
Utume uendelee ❤❤
Asante sana Da Thed
Hongereni sana ndugu zangu kwa utume. Wimbo mzuri sana.
Asante sana
Mbalikiwe sana pia hongeleni kwa utume ili watu wamjue mungu asanteni
Asamte sana ndugu
Hongeleni kwaya ya yohana mbatizaji mungu awabariki sana
Mnastahi pongezi nyingi sana mungu awabariki
Hongereni mpo vizuri
Hongereni sana kwa kumienzi Mungu kwamba Yeye ni mweza wa yote🎉❤
Hakika sichoki kuusikiliza wimbo mzuri mno nimeupenda heshima kwako mpiga kinanda umekitendea hakika nota zimepagwa vizuri
Tuimbie bwana Hongereni kwa utume Nyimbo nzuri sana Tunapaje nota zake
Mko vizur sanaaa
Hongereni sana wanakwaya wa Parokia yangu mpo juu kwa kiwango chenu Mungu azidi kuwategemeza katika utume wenu wa uinjilishaji
Боже очень красиво
??
Tamu tu sana
Amina kaka
❤
Mung awe nanyi siku zote 😘
Mungu akabariki
Amina
Mungu awatetetee wote asnten
Amina
Hongeleni sana tuzidi kumutumikiya muwenyezi mungu bilakuchoka
Amina da Happy
👏👏👏👏 kwa mtunzi na waimbaji kwa ujumla. 👏👏👏👏 Kwa 🎹
🙏🙏
Hongera sana Kwaya ya Mt. Yohane Mbatizaji Bahi. Mungu awajalie mwendelee mbele zaidi
Asante sana Mwl Shija tuendelee kushurikiana katika kumtukuza Mungu nasi tunaamini kupitia kazi hii Mungu atatukuzwa nasi tutatakatifuzwa.
ongelen sana kwautume
Asante sana tuendelee kushirikiana pamoja
Ilikuwa kazi kweli namna ya kupiga ala za kinanda tulifuta kama mara tano hivi hahaa mpaka tukaenda kukaa sehemu na waziri vichwa vipoe kwanza hahaa, hongereni wanakwaya mbarikiwe huko mliko
😁😁😁😁🎶🎶⚓🔥🔥🔥🔥
Hahaha asante baba na poleni yalifanyika yote hayo kwaajili ya utukufu wa Mungu.
@@kwayayamt.yohanembatizajip5132 Amina
Poleni yote ni sifa na Utukufu kwa Mungu wetu aliyewezesha yote
Ahsanteni sana 🙏. Mnaniburudisha vizuri saana mwana wamukaye. Mbarikiwe sana!!
Asante sana baba
Safi sana kwaya ya Mt. Yohane Mbatiza-Bahi. Nawapenda sana🙏😍👍🇹🇿! "La música, la buena música, relaja la mente, despierta sentimientos profundos y es, por así decirlo, una invitación natural a elevar la mente y el corazón a Dios en cada situación de la existencia humana, tanto alegre como triste. La música puede convertirse en oración". (=“Muziki, muziki mzuri, hutuliza akili, huamsha hisia kubwa na ni kana kwamba ni mwaliko wa asili wa kuinua akili na moyo wa mtu kwa Mungu katika kila hali ya maisha ya mwanadamu, yenye furaha na huzuni. Muziki unaweza kuwa sala.”)
Hakika
Asante sana Pd Samike. Nasi tunakupenda sana na tunakumiss sana Tanzania na Bahi kwa ujumla
Nyakati zote Mungu ni mwema
Hakika ni mwema kwa kila kiumbe dada Teddy
Hongereni sana wimbo ni mzuri mnoo na wenye tafakari nzuri ndani yake hongera pia kwa mtunzi
😊 4:58 😊 5:01
😊😊😊
😊😊😊😊😊😊😊😊😊
😊😊
😊😊😊😊😊
Teta nao Ee Bwana ni wimbo mzuri sana wenye tafakari hongereni sana waimbaji kwaya ya Mt.Yohane Mbatizaji Bahi kwa uinjilishaji mzuri pamoja mtunzi Pd.Abel Mlandali
Asante sana da Mary
Safi sana hakika kazi ni nzuri kabisa tuendelee kumtukuza Mungu wetu
Amina dada yetu
Safi sana hakika kazi ni nzuri kabisa tuendelee kumtukuza Mungu wetu
Safi sana hakika kazi ni nzuri kabisa tuendelee kumtukuza Mungu wetu
ASANTEE DA MARY
Inapendeza sana.
Amina mama
Mungu awabariki sana na awaongoze vema katik utume wenu
Amina nawe ubarikiwe kupitia wimbo huu
Hongereni sana kwaya ya Mt.Yohane Mbatizaji Bahi kwa uinjilishaji mzuri nawapenda sana mpo vizuri
Asante sana dada yetu Maria nasi tunakupenda sana.
Hongereni sana kwaya ya Mt.Yohane Mbatizaji Bahi kwa uinjilishaji mzuri nawapenda sana mpo vizuri
Asante sana nasi tunakupenda sana.
Asante sana da Maria tunakupenda sana
@@kwayayamt.yohanembatizajip5132 amina
Hongereni sana wapendwa katika kristo
Amina mpendwa
Hongereni sana Wana Yohane
Asante sana broo
Hongereni Sana Mungu awabariki
Amina. Nawe zidi kubarikiwa kupitia wimbo huu.
Hongereni Sana Mungu awabariki
Nimefurahi Sana kuwaona ndugu zangu,, Bwana wetu YESU KRISTO awabariki na kuwatunza
Amina kaka Charles