- 111
- 50 433
WIZARA YA KILIMO ZANZIBAR
เข้าร่วมเมื่อ 9 ส.ค. 2021
Huu ni ukurasa rasmin kwa ajili ya habar na matukio kutoka Wizara ya Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo
วีดีโอ
Ujumbe wa Mradi wa Uhimimilivu wa Mifumo ya Chakula wafanya ziara katika Mabonde ya Unguja
มุมมอง 129 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Ujumbe wa Mradi wa Uhimimilivu wa Mifumo ya Chakula wafanya ziara katika Mabonde ya Unguja
MINISTER OF AGRICULTURE, IRRIGATION, NATURAL RESOURCES AND LIVESTOCK VISITS FARMERS' VALLEYS
มุมมอง 3719 ชั่วโมงที่ผ่านมา
MINISTER OF AGRICULTURE, IRRIGATION, NATURAL RESOURCES AND LIVESTOCK VISITS FARMERS' VALLEYS
WAZIRI WA KILIMO AKIJUBU MASUALA BARAZA LA WAWAKILISHI - MKUTANO WA 17
มุมมอง 3121 วันที่ผ่านมา
WAZIRI WA KILIMO AKIJUBU MASUALA BARAZA LA WAWAKILISHI - MKUTANO WA 17
KUPANDA MICHE JOZANI
มุมมอง 16หลายเดือนก่อน
MICHE 1000 KUPANDWA MSITU WA HIFADHI YA JOZANI KWA AJILI YA KULINDA MASHAMBA YA WAKULIMA.
FAO WIZARA KILIMO NA WIZARA AFYA KWA PAMOJA WAJA NA KAMPENI YA LISHE KWA NJIA DALADALA PEMBA
มุมมอง 1412 หลายเดือนก่อน
FAO WIZARA KILIMO NA WIZARA AFYA KWA PAMOJA WAJA NA KAMPENI YA LISHE KWA NJIA DALADALA PEMBA
TAHA YAJA NA SULUHISHO LA KUHIFADHI VITUNGUU MAJI
มุมมอง 1262 หลายเดือนก่อน
TAHA YAJA NA SULUHISHO LA KUHIFADHI VITUNGUU MAJI
TARI WAPO CHAMANANGWE NA TEKNOLOJIA YA MAKAPI YA MIWA
มุมมอง 1992 หลายเดือนก่อน
TARI WAPO CHAMANANGWE NA TEKNOLOJIA YA MAKAPI YA MIWA
MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR AFUNGUA MAONESHO YA SIKU YA CHAKULA - CHAMANANGWE PEMBA
มุมมอง 1K2 หลายเดือนก่อน
MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR AFUNGUA MAONESHO YA SIKU YA CHAKULA - CHAMANANGWE PEMBA
KUELEKEA MAADHIMISHO YA SIKU YA CHAKULA KIKOSI KAZI CHA WIZARA KILIMO KINAELEKEA PEMBA
มุมมอง 1012 หลายเดือนก่อน
KUELEKEA MAADHIMISHO YA SIKU YA CHAKULA KIKOSI KAZI CHA WIZARA KILIMO KINAELEKEA PEMBA
TEKNOLOJIA KIGANJANI KWA MAAFISA KILIMO
มุมมอง 312 หลายเดือนก่อน
TEKNOLOJIA KIGANJANI KWA MAAFISA KILIMO
Ni jukumu letu kutunza Rasilimali za Misitu
มุมมอง 402 หลายเดือนก่อน
Ni jukumu letu kutunza Rasilimali za Misitu
UGONJWA WA KICHAA CHA MBWA UMEDHIBITIWA ZANZIBAR
มุมมอง 362 หลายเดือนก่อน
UGONJWA WA KICHAA CHA MBWA UMEDHIBITIWA ZANZIBAR
MATAYARISHO YA SIKU YA CHAKULA CHAMANANGWE
มุมมอง 593 หลายเดือนก่อน
MATAYARISHO YA SIKU YA CHAKULA CHAMANANGWE
TAARIFA MAALUMU JUU YA HAKI ZA WANYAMA
มุมมอง 233 หลายเดือนก่อน
TAARIFA MAALUMU JUU YA HAKI ZA WANYAMA
WhatsApp Video 2024 07 30 at 9 48 21 PM
มุมมอง 524 หลายเดือนก่อน
WhatsApp Video 2024 07 30 at 9 48 21 PM
KAZI YA MAGEUZI YA KILIMO IMESHIKA KASI
มุมมอง 834 หลายเดือนก่อน
KAZI YA MAGEUZI YA KILIMO IMESHIKA KASI
TANGAZO LA MAONESHO YA KILIMO NANENANE
มุมมอง 694 หลายเดือนก่อน
TANGAZO LA MAONESHO YA KILIMO NANENANE
Mimi nipo dar es salaam nawezaje kupata mawasiliano yako kwa ajili ya ushauli ninapojiandaa kufanya kilimo hiki cha cabage
Ndaba fund
sawa sawa umenena vema ufatiliaji ndio jambo muhimu
Rabies as a viral zoonosis, we have to be careful.
Big up ZNZ, big up USAID.
Nzuri kabisa pia somo nzuri.
Hawa chatu ni wa nini
huyo chatu aliumwa siku ya Maonesho ya kilimo. hapo anatibiwa
Haswa s
saf sana😊
Hongera sana ukitka kujifunza zaid inkuajee
Big up umenisaidia sana
I dont care but waziri hapa umeongea sio reality, to be honest idara ya misitu imekufa kabisa haina mbinu mpya na misitu mengi inahifadhiwa na private sector eg Jane ball, na wafanyakazi wengi idara ya misitu wamehamia kwenye michanga na maliasili zisizorejesheka na bandarini na pemba ndio imekufa kabisa pale kizimbani utadhani sio idara na ngezi ndio kabisaaa (ninaushahidi wa hili). Mkurugenzi huyu kazi yake kila fursa anampa mwanae alimtoa uchumi wa blue. na pia profesional wengi wameenda sector binafsi hii ni ushahidi tosha misitu pemba ni nothing. Kwenye maendeleo tupunguze siasa at Mkuu wa hifadh misitu ni HR (simtaji jina). In short we should to open our mind and focus on development and not story telling
Hongera sana MH wangu Tekeleza kile tulokutuma wana micheweni
Kwa wafugaji
Migomba inastawi vizuri ikiwekewa mbolea ya samadi/mboki. Sasa huko zanzibar Samadi inapatikana wapi?
Kwa wafugaji
HONGERENI SANA TIMU YETU
Hongera serekali yetu mungu awabarimi
Watching from Kenya
What is the average acreage of a shamba in Zanzibar ??
Mbegu zinapatiksnaje Niko mtwara natamani kulima miwa pia soko lake likoje na mbolea gani zinatumika
nimeipenda
Heka moja inachukua miche minga ya cabbage
Naomba namba ako ya simu
🇧🇮🇧🇮🇧🇮🙏🙏🙏❤❤🇹🇿🇹🇿Love burundi 💪🙏
Mimi ninaekaa mkoan wa KAGERA ambako siyo baridi na siyo joto natakiwa nitumie mbegu ipi sahihi lakini iwe ni kabiji yenye kutoa tundra kubwa
leo nimejifunza meng sanaa kuhusu kilimo cha kabej Allah awazidishie nyote mleo tuletea elimu hii
🥊
ahsante
Hongereni Zanzibar 🙏
Ahsante
Safi
Aina ya migomba kimwari bado haizalishwi kwa vingi sana.....
Safi sana tujitahidi kutoa elimu kwa wakulima ili tuzidishe uzalishaji wenye tija...
Good job vijana
Good
thanks WIZARA YA KILIMO UMWAGILIAJI MALIASILI NA MIFUGO kwa kazi yenu nzuriii
♥️🤝
thanks for watch please subscribe for get new education
Asante sana
Mnatumia mbolea ganii ktk mua?
Nice... Hii ni kilimo organic kabisa hiki hakitumii madawa makali ya viwandani. Kudos!
Hiyo migomba huko nyoma yenu ,bona haikatiwi na badala yake imeaa makuti tena hata ndizi zenyewe zitazaliwa hafifu kwa makuti hayo. Kwani watu wa Wizara ya kilimo hamuoni hiyo mkawashauri wenye migomba hiyo walime migomba kwa tija?
tulime pamoja, kudos
Good juma mama
👍
Subhanallah Shukran ukhty kwa ufafanuzi 😍😍😍allah akuhifadhi mtaalam wetu