Pastor Msafiri
Pastor Msafiri
  • 20
  • 2 769
Fuata Biblia Siyo Watu (Kuukulia Wokovu)
Watu wengi wanaamini kwa kufuata mkumbo tu na siyo kufuata maandiko yasemavyo. Watu wajengao imani yao katika misingi ya maneno ya kundi, dini au watu, na siyo katika Neno la Mungu hawawezi kupokea lo lote katika ahadi za Mungu. Jitahidi kusoma Biblia mwenyewe na kujua isemavyo ili ujenge imani yako katika Neno la Mungu.
มุมมอง: 3

วีดีโอ

Unafanyaje Ukiwa na Baraka Ndogo
มุมมอง 2812 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Familia nzima ya Yakobo ilikuwa imebarikiwa, yaani wamebeba baraka, lakini Yusufu, mtoto wa Yakobo, alikuwa na baraka kubwa zaidi. Ndiyo kusema wanafamilia wengine walikuwa na baraka ndogo. Kundi lote la wana wa Israel kutoka Misri kwenda Kaanani walikuwa wabarikiwa lakini Musa alikuwa na baraka kubwa zaidi. Kwa hiyo wengine wote, taifa zima, walikuwa na baraka ndogo. Hivyo ndivyo hali ilivyo m...
Biblia ni Ufunuo (Kuukulia Wokovu)
มุมมอง 35วันที่ผ่านมา
Biblia siyo kitambulisho cha Mungu; Biblia ni ufunuo wa Mungu kwetu. Tofauti na kitambulisho, kwenye ufunuo mwenye mamlaka ni aliyeamua kujifunua; na usipoelewa ufunuo haimpunguzii kitu yule aliyetoa ufunuo, anayepoteza ni yule ambaye hajafunuliwa au hajaelewa ufunuo. Siku ukijisikia umeuliza "kama kweli nionyeshe imeandikwa wapi kwenye Biblia!" hapo ujue umeichukulia Biblia kuwa kitambulisho n...
Soma Biblia Yako (Kuukulia Wokovu)
มุมมอง 1914 วันที่ผ่านมา
Unaposikia mahubiri na mistari ya Biblia inatajwa, na wewe nenda kahakikishe kwa mapana na marefu na kimo ya kwamba mambo hayo ndivyo yalivyo. "Watu hawa walikuwa waungwana kuliko wale wa Thesalonike, kwa kuwa walilipokea lile neno kwa uelekevu wa moyo, wakayachunguza maandiko kila siku, waone kwamba mambo hayo ndivyo yalivyo." Matendo ya Mitume 17:11
Tumepataje Biblia (Kuukulia Wokovu)
มุมมอง 41หลายเดือนก่อน
Biblia imetokea wapi? Tumepataje Biblia? Nani ameandika Biblia? Somo hili ni historia fupi ya Biblia...
Kumwona Bwana ni Mapenzi ya Mungu
มุมมอง 34หลายเดือนก่อน
Kumwona BWANA kunakuza imani yako. Mara nyingine ili utoke hapo ulipo, ili utoke katika shida unayopitia ni mpaka umwone Bwana. Na Biblia inasema kwamba ametuweka hapa ili "tumtafute, ingawa ni kwa kupapasa-papasa, tukamwone" Matendo 17:27
Watu 5 ambao Maombi Yao Hayakujibiwa
มุมมอง 57หลายเดือนก่อน
Maombi kutojibiwa siyo lazima iwe ni kwa sababu hujui kuomba sawasawa. Kuna watu watano, watumishi wa Mungu kwa viwango lakini maombi yao hayakujibiwa. Angalia somo hili ili kujitia moyo katika maombi uliyodumu nayo au unayotaka kufanya.
Mafundisho ya Uponyaji 20 Oktoba 2024
มุมมอง 29หลายเดือนก่อน
Mafundisho ya Uponyaji yaliyokwenda mubashara kupitia Facebook siku ya jumapili tarehe 20-10-2024 Uponyaji kwa Neno la Mungu siyo lazima kwa ajili ya magonjwa ya kulogwa tu. Na nguvu za giza siyo uchawi peke yake.
Jinsi ya Kusoma Biblia (Kuukulia Wokovu)
มุมมอง 56หลายเดือนก่อน
kusoma Biblia ni muhimu. Kama hujawahi kusoma Biblia mwenyewe unaweza ukawa hujui uanze wapi na huna wa kumuuliza. Angalia hii video. Kama una swali uliza bila shida.
Je, Yesu ni Mungu?
มุมมอง 314 หลายเดือนก่อน
Kuna mistari katika Biblia ambayo inaonyesha kwamba Mungu ni mmoja, ndiye Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo. Je, Kwa mistari hiyo kuwepo inamaanisha Yesu Kristo si Mungu wala hapaswi kuabudiwa. Angalia video hii ili uwe na hakika na yule unayemwabudu.
Kugeuza Laana kuwa Baraka
มุมมอง 1984 หลายเดือนก่อน
Laana maishani huja mara nyingi kwa kupitia matamko. Kwa Mkristo, ni vema kujua ya kwamba iko nguvu kwa ajili yako ili kugeuza laana kuwa baraka.
Vifungo 7 Vinavyozuia Usiolewe
มุมมอง 8485 หลายเดือนก่อน
Mara nyingine kinachokufanya uendelee kuhangaika kupata mtu wa kukuoa inawezekana kuwa ni vifungo. Hata kama umeokoka na unampenda Yesu bado inawezekana vifungo vikakupa taabu. Angalia somo hili upate kuelewa zaidi. Washirikishe wengine pia ambao inawezekana video hii kuwa msaada kwao.
Inside Information to Make You Rich
มุมมอง 288 หลายเดือนก่อน
Inside Information to Make You Rich
4 Surprising Things about Prayer
มุมมอง 78 หลายเดือนก่อน
4 Surprising Things about Prayer
Jinsi ya Kutambua Mwenza kutoka kwa Mungu
มุมมอง 8358 หลายเดือนก่อน
Jinsi ya Kutambua Mwenza kutoka kwa Mungu
Is there Miracle Money?
มุมมอง 48 หลายเดือนก่อน
Is there Miracle Money?
Mambo 2 ya Kufanya 2024 ili Uchumbiwe
มุมมอง 4719 หลายเดือนก่อน
Mambo 2 ya Kufanya 2024 ili Uchumbiwe

ความคิดเห็น

  • @EzekielKiwoly
    @EzekielKiwoly หลายเดือนก่อน

    MUNGU NI MWEMA.

  • @ElizabethWasike-r3b
    @ElizabethWasike-r3b 4 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @EzekielKiwoly
    @EzekielKiwoly 4 หลายเดือนก่อน

    BARIKIWA SANA🙏

  • @JosephinaLeonard
    @JosephinaLeonard 4 หลายเดือนก่อน

    Asante🙏

  • @Lizzyktd
    @Lizzyktd 5 หลายเดือนก่อน

    Amen tunashukuru sana

  • @Lizzyktd
    @Lizzyktd 5 หลายเดือนก่อน

    Ahsante sana

  • @bernadettewamunzira9693
    @bernadettewamunzira9693 6 หลายเดือนก่อน

    Amen barikiwa sana mutumishi wa Mungu

  • @Seif-17-x7v
    @Seif-17-x7v 6 หลายเดือนก่อน

    Amina 🙏

  • @benignajosephwatendewao2065
    @benignajosephwatendewao2065 6 หลายเดือนก่อน

    MTUMISHI UMENIBARIKI SANA.NA UBARIKIWE SANA NA BWANA.

  • @victormkello9575
    @victormkello9575 6 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @victormkello9575
    @victormkello9575 6 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa Mtumwa wa BWANA

  • @EzekielKiwoly
    @EzekielKiwoly 7 หลายเดือนก่อน

    🙏

  • @EzekielKiwoly
    @EzekielKiwoly 7 หลายเดือนก่อน

    ❤🙏

  • @DamasAsanwisye
    @DamasAsanwisye 8 หลายเดือนก่อน

    🙏

  • @evalynependo3824
    @evalynependo3824 8 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @evalynependo3824
    @evalynependo3824 8 หลายเดือนก่อน

    From today I received my desire of my heart, Napokea mwanaume sahihi na wakuishi naye milele in jesus might name amen and Amen 🙏🏻🙌👏🏿❤

    • @pastormsafiri
      @pastormsafiri 8 หลายเดือนก่อน

      @evalynependo3824 there's a prayer session every Thursday night about getting Mr. Right. Kama uko na uhitaji serious kwenye hilo eneo nichek WhatsApp kwa +255717743560 Tuko 2nd Thursday so ntakutumia mafundisho yaliyotangulia na maelekezo ya maombi ili uje up to speed.

  • @MjakaziGladys
    @MjakaziGladys 8 หลายเดือนก่อน

    Haha i love this am blessed