- 62
- 239 780
Chomvu Toto TV
เข้าร่วมเมื่อ 5 ม.ค. 2016
Visa vya Biblia, Nyimbo,Maigizo,Masomo ya watoto Cartoons zenye maadili ya ki Kristo,vipaji,Vipindi vya Televisheni na matukio Mchanganyiko yahusuyo watoto.
Tupigie simu tukuhudumie.
Simu yetu: +255 717 294 401
Tupigie simu tukuhudumie.
Simu yetu: +255 717 294 401
วีดีโอ
Kisa cha Mtoto Samweli
มุมมอง 3127 หลายเดือนก่อน
Je waijua Sauti ya MUNGU? Mtoto Samweli hakuijua hadi alipofundishwa. Simulizi inasimuliwa na Dada Angel
Kisa cha Nabii Yona
มุมมอง 3567 หลายเดือนก่อน
Je wamjua Nabii mjanja mjanja aliedhani anaweza kumkimbia MUNGU? Jifunze kisa hiki na msimuliaji ni Mtoto Vanesa kutokea Makongorosi Chunya hukooo Mkoani Mbeya. Je nawewe unajua kusimulia kisa vizuuri? Tuambie tukufwate ulipo.
AGIZO
มุมมอง 9K9 หลายเดือนก่อน
Sema Nitakwenda kwa Lugha yako. Kwakipare Ninetonga. Kizungu I will Go
Global Youth Day #gyd24
มุมมอง 599 หลายเดือนก่อน
Siku ya vijana Ulimwenguni na Juma la maombi la Vijana
SINA HOFU
มุมมอง 86K2 ปีที่แล้ว
Sina hofu wala Mashaka katika Vita ninazopitia kwani YESU ni Jemedari wa vita yangu. Nihofu nini sasa!
Kisa Cha Samsoni
มุมมอง 5313 ปีที่แล้ว
Kisa cha Samsoni na Wafilisti, kikiadisiwa kwa Kiswahili. Hakika Samsonialikua mwamba.
Chakufanya Omba
มุมมอง 2.4K3 ปีที่แล้ว
Je una mashaka,Maswali na Matatizo? Jibu utalipata tu,kwenye Maombi. #ChomvuTotoTv #Watoto #Maombi
Shukrani kwa MUNGU
มุมมอง 1.8K3 ปีที่แล้ว
Je umeshafikiria kumshukuru MUNGU kwa Ulinzi wake kwako? Tazama watoto hawa "Chomvu Kids" wanavyotumia vipaji vyao vya kuigiza na kuimba kuhusu Kumshukuru MUngu. Tupo Facebook @Chomvu Toto Tv Tupo Istagram @EllyMchomvu Tupo hapa TH-cam @ChomvuTotoTv #Shukrani #Watoto #ChomvuTotoTv
Tamasha la Uimbaji la Watoto Kongowe
มุมมอง 2413 ปีที่แล้ว
Jionee Umahiri wa watoto katika uimbaji,Bible games,Michezo na kujielezea....
BUSTANI YA WANYAMA INAYOELEA
มุมมอง 3884 ปีที่แล้ว
Mzee Nuhu na Familia yake waliifurahia kazi ya kuwahudumia Wanyama kwa mwaka mzima Bila malipo na wala hawakununa. Ni Raha sana kwenda kushangaa sehemu walipo Wanyama, Ila ni kazi sana kuwahudumia Wanyama. Na hasa kama ikiwa huipiendi kazi hii.
Miaka 58 ya Uhuru wa Tanganyika na 57 ya Jamhuri ya Tanzania Bara
มุมมอง 445 ปีที่แล้ว
Miaka 58 ya Uhuru wa Tanganyika na 57 ya Jamhuri ya Tanzania Bara
❤❤❤❤❤❤
Mwalimu ufike mbali
Amina 🎉🎉 watoto
Thank you for a sweet song
Good,tia bidii Mungu atakumbuka kazi yako atakupea breakthrough ya ajabu.
@@ishmaelnyongesa1678 Amina
Ukawe chemichemi isiyo kauka maana chemichemi isiyo kauka ni msaada wa maji kwa watu walio katika Hali ya kiu hivyo wataitaji kuchota na kunywa hivyo rafik Yangu mzur usichoke kufanya kazi hii daima maana kunawatu wanahitaji neema .
@@IreneSamson-l3m Amen Amen Amen
Amina njoo buguruni sda utufundishe nyimbo hiyo🎉🎉
@@GetrudeMgaya Sawasawa asante kwa Mualiko rafiki🙂
😍
Barikiwa sana
@@LovenessAlphonce-k2i Amina. Barikiwa pia mpendwa
@@chomvutototv1965 natamani sikumoja mtutembelee kanisani kwetu
🎉🎉Amina kubwa
"Tutakwenda Popote Kwa Ujasiri Na Yesu Ndani Yetu." Ujumbe Adhimu kwetu sote.
Amina sanaaaaa kaz nzuri barikiwa saaaanaaaaaa❤❤❤ mwalim na waimbaj na wafanikushaji kwa ujumla
Amina. Kwa Utukufu wa BWANA😇
amazing song
Nmebarkiwa nna wimbo huu walimu Mungu awabariki sana Kwa ujumbe makini na sauti zilizopangiliwa #ujumbewamalaikawatatu
Haleluyah sifa na utukufu kwa BWANA
@@chomvutototv1965 Hakika ila hao sololist wako vzur sana watunzwe vyema 😂
Wimbo mzuri sana Nimebarikiwa sana😊
Hallelujah
Wow amazing
Mungu akubariki sana ujumbe mzuri wimbo mzuri
Amina,sifa kwa BWANA
Mungu akubariki sana ujumbe mzuri wimbo mzuri
Amen ❤
Nzuriiiii
Nyimbo zuri sana😊
Makini sanaaa aiseee
Tunashukuru sana kwa mafundisho mwalimu
Nyimbo huu unanibariki sana
@@TumusifuNelly Jina la BWANA lipewe sifa😊
th-cam.com/video/KIW_q_WRGuE/w-d-xo.htmlsi=WwAjMU0WmrP0y7RU
Tamu Sana mbarikiwe
Nimependa ❤❤❤🎉🎉🎉
Barkiwa sana
Amina Barikiwa zaidi ndugu
Waoh mbarikiwe
Amen
Wow! Amen 🙏
Amen
❤
❤
🙏🙏🙏🙏
Nice song
Good bless you all ❤❤❤❤
@@CamillaClemence Amen
❤
Kazi nzuri sana kwa wimbo wa kuwatia moyo watoto na kuwafuraisha, kuwachangamsha
Ni nzuri sana...
Utukufu kwa BWANA MWENYEZI. Barikiwa unaposikiliza nakuangalia rafki angu Elias. Nakukumbuka sana
asanteni kwakutu bariki nawimbo mzuri barikiwa sana
Hata sijaelewa hyo buku inpte tu kwa kwel 😂😂
😅😅😅😅 Tichaaa
Glory glory CHOMVU KIDS
Amen, GLORY TO THE ALMIGHTY GOD. 😇
Chomvu toto Tv ni mbaraka
Baraka nyingi sana zikushukie wewe mwalimu wetu uliyekirimiwa uwezo wa ajabu na KRISTO. Asante kutuonesha njia ya KRISTO na namna yakutumika. Najua unanielewa nisemayo.🤗😇 Tuendelee kujihusisha
Kazi mzuri sana ubarikiwe Na MUNGU azidi kukupa unyenyekevu wakuifanya kaziyake napia akuongezee nguvu nyingi nakazi yake hii ulioifanya ikaokowe wasio mjuwa yeye warejee zizini mwake ubarikiwe Bali usifemoyo unapo endelea kuifanya kazii hii ubarikiwe Na nikutakie SABATONJEMA
Utukufu kwa BWANA yeye atengenezaye nafasi na kuwapa watoto vipaji. Asante Madam
Nimeusubiri sana huu wimbo Mbarikiwe sana na karibuni GONGO LA MBOTO SDA🔥🔥🔥
Wow ndugu yetu tupo pamoja. Gomz ni ndugu zetu haswaa. Utukufu kwa BWANA.
Amina
Teacher eli can you remind me a song which you taught us ,i want to go and sing it on religion period
Do you mean follow you song?
Hi teacher eli do you remember mahe nge kids .when are you going to come at school
Hellow my friend. How can I posibly forget you Mahenge Kids. I miss you all so much. I will come to see you soon. Say hi to all
Amen 🙏🏽
Good job kijana
Amen. Utukufu kwa BWANA