UREMBONIAJIRATV
UREMBONIAJIRATV
  • 38
  • 70 715

วีดีโอ

HAPA NDO OFISINI KWANGU, FANI MBILI FREM MOJA. MY TWO IN ONE OFFICE.
มุมมอง 104ปีที่แล้ว
HAPA NDO OFISINI KWANGU, FANI MBILI FREM MOJA. MY TWO IN ONE OFFICE.
BAJETI YA KUANZISHA SALUNI YA KIKE, KUPATA WATEJA WENGI NA BIASHARA ZA KUONGEZEA.
มุมมอง 12K2 ปีที่แล้ว
BAJETI YA KUANZISHA SALUNI YA KIKE, KUPATA WATEJA WENGI NA BIASHARA ZA KUONGEZEA.
#jinsi ya kuchoma #nywele #jifunze
มุมมอง 1062 ปีที่แล้ว
#jinsi ya kuchoma #nywele #jifunze
JIFUNZE KUSUKA NJIA TATU. NI RAHISI SANA
มุมมอง 1682 ปีที่แล้ว
JIFUNZE KUSUKA NJIA TATU. NI RAHISI SANA
#jinsi ya #kusuka #style hii.
มุมมอง 572 ปีที่แล้ว
#jinsi ya #kusuka #style hii.
#jinsi ya #kusuka #simple #knotlessbraids #style .Nimetumia #rasta bunda moja na nusu tu.
มุมมอง 4852 ปีที่แล้ว
#jinsi ya #kusuka #simple #knotlessbraids #style .Nimetumia #rasta bunda moja na nusu tu.
MAPACHA WASIOFANANA WAMEPENDEZA BAADA YA KUBLOWDRY NYWELE ZAO.
มุมมอง 3422 ปีที่แล้ว
MAPACHA WASIOFANANA WAMEPENDEZA BAADA YA KUBLOWDRY NYWELE ZAO.
#jifunze kuosha #nywele hatua kwa hatua
มุมมอง 2272 ปีที่แล้ว
#jifunze kuosha #nywele hatua kwa hatua
#mbinu mpya ya kukwangua #vocha #jifunze.
มุมมอง 402 ปีที่แล้ว
#mbinu mpya ya kukwangua #vocha #jifunze.
alikuja akaniambia nisuke unavyojua ila iwe ni nywele ya mkono. na hivi ndivyo nilivyomchomoa.
มุมมอง 2292 ปีที่แล้ว
alikuja akaniambia nisuke unavyojua ila iwe ni nywele ya mkono. na hivi ndivyo nilivyomchomoa.
ona jinsi ya kublowdry ujipatie kipato.
มุมมอง 11K2 ปีที่แล้ว
ona jinsi ya kublowdry ujipatie kipato.
#jinsi ya kutengeneza #kata #jifunze
มุมมอง 1662 ปีที่แล้ว
#jinsi ya kutengeneza #kata #jifunze
#jinsi ya #kusuka #yebo iliyochongoka kama #sindano mbele.
มุมมอง 2492 ปีที่แล้ว
#jinsi ya #kusuka #yebo iliyochongoka kama #sindano mbele.
#jifunze #kutengeza #wig #bobstyle
มุมมอง 1082 ปีที่แล้ว
#jifunze #kutengeza #wig #bobstyle
#jinsi ya #kunyoosha #nywele kwa #blowdryer #jifunze
มุมมอง 9K2 ปีที่แล้ว
#jinsi ya #kunyoosha #nywele kwa #blowdryer #jifunze
#jinsi ya #kutengeneza osheo la #nywele wewe #mwenyewe.(zero budget)
มุมมอง 1502 ปีที่แล้ว
#jinsi ya #kutengeneza osheo la #nywele wewe #mwenyewe.(zero budget)
HII ITAKUPA #KUPENDWA NA #WATEJA WAKO #saloon .DU!!!#jifunze KAZANA.
มุมมอง 2.7K2 ปีที่แล้ว
HII ITAKUPA #KUPENDWA NA #WATEJA WAKO #saloon .DU!!!#jifunze KAZANA.
Untitled video
มุมมอง 232 ปีที่แล้ว
Untitled video
MUOSHE #MTEJA #nywele VIZURI ARUDI NA KESHO. KABLA YA #blowdry
มุมมอง 1212 ปีที่แล้ว
MUOSHE #MTEJA #nywele VIZURI ARUDI NA KESHO. KABLA YA #blowdry
#SUKA #YEBO KWA #RASTA BUNDA MOJA TU.
มุมมอง 3732 ปีที่แล้ว
#SUKA #YEBO KWA #RASTA BUNDA MOJA TU.
#JIFUNZE KUBLOWDRY #NYWELE ZA KATI.
มุมมอง 592 ปีที่แล้ว
#JIFUNZE KUBLOWDRY #NYWELE ZA KATI.
#JIFUNZE #KUSUKA MWIBA WA #SAMAKI #VIZURI.
มุมมอง 5162 ปีที่แล้ว
#JIFUNZE #KUSUKA MWIBA WA #SAMAKI #VIZURI.
VIFAA NINAVYOTUMIA#KUBLOWDRY #NYWELE. #JIFUNZE
มุมมอง 9092 ปีที่แล้ว
VIFAA NINAVYOTUMIA#KUBLOWDRY #NYWELE. #JIFUNZE
#OSHA #NYWELE, #BLOWDRY, KISHA BANA#jifunze
มุมมอง 922 ปีที่แล้ว
#OSHA #NYWELE, #BLOWDRY, KISHA BANA#jifunze
#Jifunze #style hii #yakisasa(#ubunifu)
มุมมอง 1082 ปีที่แล้ว
#Jifunze #style hii #yakisasa(#ubunifu)
#jifunze #kusuka #mbenjuo #style #ujipatie #kipato
มุมมอง 1262 ปีที่แล้ว
#jifunze #kusuka #mbenjuo #style #ujipatie #kipato
Tazama jinsi ya kuweka #rollers kwenye #nywele ndefu.(#begginers #friendly )
มุมมอง 1.7K2 ปีที่แล้ว
Tazama jinsi ya kuweka #rollers kwenye #nywele ndefu.(#begginers #friendly )
jifunze #kunyoosha #nywele #natural (#begginers )
มุมมอง 10K2 ปีที่แล้ว
jifunze #kunyoosha #nywele #natural (#begginers )
#JIFUNZE #KUSUKA ZIGZAG YA MKONO. UJIPATIE KIPATO.
มุมมอง 932 ปีที่แล้ว
#JIFUNZE #KUSUKA ZIGZAG YA MKONO. UJIPATIE KIPATO.

ความคิดเห็น

  • @JemaMsangi
    @JemaMsangi หลายเดือนก่อน

    Ongeza sana kipenzi Dada wewe ni mtu na nusu nimekupenda sana mafundisho yako pia inaongeza vizuri

  • @HappynessSalapion
    @HappynessSalapion หลายเดือนก่อน

    Tunashukur sana hakik me nimeon mwanga Mungu akubariki

  • @HappynessSalapion
    @HappynessSalapion หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki kwa kutufungua akili usipungukiwe nimejifunza..

  • @neemaabrahamu9786
    @neemaabrahamu9786 2 หลายเดือนก่อน

    Naomba namba zako

  • @theresiasandungile
    @theresiasandungile 3 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe Sana,.nitaendelea kujifunza kwako ,Mwalimu mahiri Sana wewe.

  • @apollotee1929
    @apollotee1929 3 หลายเดือนก่อน

    Unaikata??

  • @AmaniMkumbwa
    @AmaniMkumbwa 4 หลายเดือนก่อน

    hellow dada naomb namba yKo maan m ndy natak nikuagze kama mzigo wote wa salon ndy natak kufungua

  • @SpartaLee-q5z
    @SpartaLee-q5z 5 หลายเดือนก่อน

    Najutia mb zang

  • @GeofreyMsesa
    @GeofreyMsesa 5 หลายเดือนก่อน

    Shingap

  • @tinamtega1892
    @tinamtega1892 5 หลายเดือนก่อน

    Je kama siwezi kusuka mitindo yote na na sijui kutumia ivo vafaa muhimu kama draya stima na iyo draya ya mkono na natamani kufungua saloon ya kike nafanyaje

  • @NasmaAboodu
    @NasmaAboodu 5 หลายเดือนก่อน

    Nimependa unapatika wap nije

  • @CatherineJoseph-s7r
    @CatherineJoseph-s7r 6 หลายเดือนก่อน

    Naomba nawasiliano Yako

  • @CatherineJoseph-s7r
    @CatherineJoseph-s7r 6 หลายเดือนก่อน

    Naitaj drya na stima mie teyar nishaanza kazi naomba namba tuwasiliane

  • @RAMLATHAJI-ig4pf
    @RAMLATHAJI-ig4pf 6 หลายเดือนก่อน

    mvivu

  • @EmmanuelZengo-q4o
    @EmmanuelZengo-q4o 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki nmepata SoMo zuri sana naomba mawasiliano yako Kwa ushaur zaidi nataka kufungia saloon

  • @ClarabelleWilliams-uw5pm
    @ClarabelleWilliams-uw5pm 6 หลายเดือนก่อน

    Sorry dr hizo bei 2024 ndio hizo hizo????

  • @rukiamgombayeka4757
    @rukiamgombayeka4757 6 หลายเดือนก่อน

    Haujala kipenzi mbona miayo

  • @hassanMohamed-cn7zc
    @hassanMohamed-cn7zc 7 หลายเดือนก่อน

    Habar dada ili niweze kufungua saloon ni lazma nijue nini zaidi naomba msaada nahitaji kumiliki saloon yangu ila nashindwa vip nianze

  • @ShabanAbdulrahman-b6r
    @ShabanAbdulrahman-b6r 7 หลายเดือนก่อน

    Hivi Kwa sisi ambao ni wanaume hatuwezi kusuka Wala kufanya kazi hii je tunweza kufungua salooni tukawaajiri wadada na tukatoboa kweli? Au kutoboa lazima sisi wenyewe ndo tuwe wafanya kazi wa salooni hiyo?

    • @PhinaNassoro
      @PhinaNassoro 6 หลายเดือนก่อน

      Unatoboa vizur Sanaa huji kujutia

  • @georgeshine4929
    @georgeshine4929 7 หลายเดือนก่อน

    naomba mawasilian yako tafadhali

  • @CareenKumario
    @CareenKumario 8 หลายเดือนก่อน

    Asantee sanaaaaa

  • @JudithAlbano
    @JudithAlbano 8 หลายเดือนก่อน

    Asante ila nipo hoi na bando likekata

  • @Pendoedward-ez6kk
    @Pendoedward-ez6kk 9 หลายเดือนก่อน

    Unauzaje?

  • @EvelinaFunga
    @EvelinaFunga 10 หลายเดือนก่อน

    Ahsante mamy ilaupo taratibu sana mb zinaisha kilichonisaidia natumia wifi ilandonimeskiliza had nimesinzia😂😂😂

  • @antonytogolani4017
    @antonytogolani4017 10 หลายเดือนก่อน

    Asante sana mm Niko mkoan ila namba yako hujatoa

  • @amneshi
    @amneshi 11 หลายเดือนก่อน

    Hongera unaelekeza vizuri

  • @briyanna8139
    @briyanna8139 ปีที่แล้ว

    😂😂

  • @RajabuKambi-j7g
    @RajabuKambi-j7g ปีที่แล้ว

    Mashine yake shingap

  • @NicodemusJ.Magesse
    @NicodemusJ.Magesse ปีที่แล้ว

    Good

  • @DottoMakeja-u9y
    @DottoMakeja-u9y ปีที่แล้ว

    Nimekupenda bure dada Mungu akubariki na kazi yako

  • @Asiyaminychopla
    @Asiyaminychopla ปีที่แล้ว

    Asante

  • @annastaziaathanas4813
    @annastaziaathanas4813 ปีที่แล้ว

    natamani kuangalia vidio adi mwisho ila unajivuta mno jamani yani bando lote linaishia hapo

    • @Dafetty
      @Dafetty หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

  • @florarejes825
    @florarejes825 ปีที่แล้ว

    Na(^^)(^^) Naomba kuuliza mbona me nikimnyoosha nywele mteja nywele hainyoki vizuri na nikikaa mudakidogo nywele inakuwa ngumu inajishindilia kwa china

  • @vumiliawambula1716
    @vumiliawambula1716 ปีที่แล้ว

    Asante Sana kwa somo

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib ปีที่แล้ว

    Nice mimi pia ni msusi nilikuwa tangu mdogo napenda kysuka sema napendaga kujifunza zaidi ata baba anapenda nijuwe zaidi

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib ปีที่แล้ว

    Kazi nzur sema hujatupa namba

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib ปีที่แล้ว

    Namba za simu

  • @HANESMBUGHI
    @HANESMBUGHI ปีที่แล้ว

    Naomba namba yako kuna vitu navitaka naushauli pia

  • @MariaSanka-bm2zc
    @MariaSanka-bm2zc ปีที่แล้ว

    Vip

  • @ReginaSimion-hc2wp
    @ReginaSimion-hc2wp ปีที่แล้ว

    Mnauza shingap rolla

  • @SitiHassan-z6g
    @SitiHassan-z6g ปีที่แล้ว

    Namba

  • @SitiHassan-z6g
    @SitiHassan-z6g ปีที่แล้ว

    Uko wp

  • @NyansikaWaitara-hg4px
    @NyansikaWaitara-hg4px ปีที่แล้ว

    Mawasliano plz

  • @marryceline
    @marryceline ปีที่แล้ว

    Asati bt mm naitaji unisadie nifunguwe saluni yangu

  • @EmmanuelMushombo-ov3fx
    @EmmanuelMushombo-ov3fx ปีที่แล้ว

    Mbona video fupi sana

  • @nakazibwerozy7500
    @nakazibwerozy7500 ปีที่แล้ว

    Good job 👍👍

  • @imaculathalibana9875
    @imaculathalibana9875 ปีที่แล้ว

    unapatikana wapii

  • @annakaboi8811
    @annakaboi8811 ปีที่แล้ว

    Wakati mwingine ukitoa video hakkisha ujachoka, hizo niyayoo zimezidi. But nashukuru sana nmeelewa

    • @AverinaShirati
      @AverinaShirati ปีที่แล้ว

      Fashen siku hiz

    • @Dafetty
      @Dafetty หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂 fashion miyayo

  • @IreneLoui
    @IreneLoui ปีที่แล้ว

    Naomba namba yko natak baadh ya vitu vy saloon

  • @mussamatondo4886
    @mussamatondo4886 ปีที่แล้ว

    Ahsante! Lakini Mimi nahitaji ushauri dada