Bernard John
Bernard John
  • 5
  • 1 421 982
MALAIKA WA BWANA
THE PRECIOUS CATHOLIC PRAISERS MWANZA
มุมมอง: 20 339

วีดีโอ

UJE ROHO MTAKATIFU (SIKWENSIA)UJE ROHO MTAKATIFU (SIKWENSIA)
UJE ROHO MTAKATIFU (SIKWENSIA)
มุมมอง 1.2M7 ปีที่แล้ว
THE PRECIOUS CATHOLIC PRAISERS MWANZA, TANZANIA
MPIGIENI MUNGU KELELE ZA SHANGWEMPIGIENI MUNGU KELELE ZA SHANGWE
MPIGIENI MUNGU KELELE ZA SHANGWE
มุมมอง 67K7 ปีที่แล้ว
THE PRECIOUS CATHOLIC PRAISERS. MWANZA.
SALA YANGU NA IPAESALA YANGU NA IPAE
SALA YANGU NA IPAE
มุมมอง 125K7 ปีที่แล้ว
KWAYA YA MT. PETRO KIGANGO CHA MKANYEYE PAROKIA YA BUGANDO JIMBO KUU KATOLIKI LA MWANZA
EE VIUMBE KARIBUNIEE VIUMBE KARIBUNI
EE VIUMBE KARIBUNI
มุมมอง 6K8 ปีที่แล้ว
THE PRECIOUS CATHOLIC PRAISERS. MWANZA

ความคิดเห็น

  • @JosephMuindi-hi7xe
    @JosephMuindi-hi7xe 17 วันที่ผ่านมา

    Angaza ndoa yangu

  • @JosephMuindi-hi7xe
    @JosephMuindi-hi7xe 17 วันที่ผ่านมา

    Uje roho uje kwa familia yangu

  • @enatharweyemamu3688
    @enatharweyemamu3688 25 วันที่ผ่านมา

    Uje Roho Mtakatifu umuangazie Mzee Justin apone magonjwa yanayo msumbua.Amina

  • @LouangeKyakimwa
    @LouangeKyakimwa หลายเดือนก่อน

    uje roho mtakatifu uangazie jamaa yangu

  • @celesyine-e5k
    @celesyine-e5k หลายเดือนก่อน

    Uje roho mutakatifu uilinda famille yetu bazazi yanguu naba kakangu na badongo zanguu utupatiye amani moyen mwetu

  • @annafocus4231
    @annafocus4231 2 หลายเดือนก่อน

    Roho mtakatifu bariki familia yangu

  • @SharonDavis-v6n
    @SharonDavis-v6n 3 หลายเดือนก่อน

    Smith Deborah Thompson Charles Smith Barbara

  • @edithakiondo4158
    @edithakiondo4158 3 หลายเดือนก่อน

    Roho mtakatifu bariki familia yangu,panyeshee pakavu petu

  • @estherlushinta9956
    @estherlushinta9956 4 หลายเดือนก่อน

    Napokea

  • @ResamoRayg
    @ResamoRayg 4 หลายเดือนก่อน

    Jamn huu wimbo naupàtaje

  • @SwithinShayo
    @SwithinShayo 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu ni muweza wa yote, atamponya mdogo wako

  • @felicianarwiza7929
    @felicianarwiza7929 5 หลายเดือนก่อน

    Uje roho mtakatifu uangazie mahisha yetu ya jayo watoto wako

  • @HabakukiMbagala
    @HabakukiMbagala 5 หลายเดือนก่อน

    Wimbo naupenda sana

  • @passionatequeenofhrt5252
    @passionatequeenofhrt5252 5 หลายเดือนก่อน

    Uje roho Mtakatifu unijaze mapaji yako

  • @odethadismas1410
    @odethadismas1410 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu nijaze roho mt.uniponye magonjwa ninayopitia!hujawahi shindwa'nafuta roho chafu zinazonifuatilia.

  • @marymillicentnjeru43
    @marymillicentnjeru43 6 หลายเดือนก่อน

    this song is very nice, it leads to a deep contemplation. someone share the score

  • @missflorah2122
    @missflorah2122 7 หลายเดือนก่อน

    Uje roho mtakatifu unisaidie kwa haya ninayopitia kipindi hiki.. Uje roho mfutaji wa machozi.. 🙏

  • @ElijahNdiritu-bk5xp
    @ElijahNdiritu-bk5xp 7 หลายเดือนก่อน

    Niangazie 😊

  • @WitnessBoniphace-hl8ob
    @WitnessBoniphace-hl8ob 7 หลายเดือนก่อน

    Uje kwa KAZI ang

  • @kaijagekironde
    @kaijagekironde 7 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @GetrudaMosha-bb7qw
    @GetrudaMosha-bb7qw 7 หลายเดือนก่อน

    Roho Mtakatifu bila wewe Mimi siwezi kitu

  • @GeradinaJohn-xh8pw
    @GeradinaJohn-xh8pw 8 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤

  • @SwithinShayo
    @SwithinShayo 11 หลายเดือนก่อน

    Njoo Roho Mtakatifu utupe Hekima

  • @SalumKileka
    @SalumKileka 11 หลายเดือนก่อน

    Uje roho mtakatifu toka mbinguni niongoze ktk utaftaji wangu wa maisha iinue na familia yangu amina❤❤❤

  • @gsalim19
    @gsalim19 11 หลายเดือนก่อน

  • @fideliskabunyi5293
    @fideliskabunyi5293 ปีที่แล้ว

    Come Holy Spirit help me.

  • @emanuelaemanuel3793
    @emanuelaemanuel3793 ปีที่แล้ว

    Nakuhitaji roho mtakatifu

  • @JuliethChilonzi
    @JuliethChilonzi ปีที่แล้ว

    Uje roho mtakatifu panyeshee pakavu petu

  • @reu.mathematicsacademy8566
    @reu.mathematicsacademy8566 ปีที่แล้ว

    Tamu

  • @shimmnjagi6866
    @shimmnjagi6866 ปีที่แล้ว

    Come holy spirit in my life and be with my son fidel and njagis family 🙏🙏🙏

  • @godfreylugson
    @godfreylugson ปีที่แล้ว

    Daah huu wimbo huu🙌🙌🙏🙏

  • @margaretoyugi7137
    @margaretoyugi7137 ปีที่แล้ว

    wimbo huu unihuisha ajabu "yafichikayo machoni Imani huyaona"

  • @constancengoto25
    @constancengoto25 ปีที่แล้ว

    Original song, touches my heart ❤

  • @FMUKAMI
    @FMUKAMI ปีที่แล้ว

    Uje Roho Mtakatifu uje Mfariji wangu

  • @ireneirene9834
    @ireneirene9834 ปีที่แล้ว

    Happy happy pentecost🕊🕊

  • @Aimable-pu6hc
    @Aimable-pu6hc ปีที่แล้ว

    Roho, roho, roho mutagatifu nakuomba njoni kwangu uniponye ugonjwa waroho yangu. Cukuza shitani ndini mwangu! Njoni roho!

  • @elizabethgachimu2756
    @elizabethgachimu2756 ปีที่แล้ว

    I feel the Holy spirit coming when I listen to this song. I love it.

  • @georgekimboka9821
    @georgekimboka9821 ปีที่แล้ว

    Miss my young time

  • @susanabby2129
    @susanabby2129 ปีที่แล้ว

    Great song✨✨✨Be blessed all

  • @Bintimrembo-y1v
    @Bintimrembo-y1v 2 ปีที่แล้ว

    🥰🥰

  • @aysharamadhani941
    @aysharamadhani941 2 ปีที่แล้ว

    Uje roho mtakatifu unisaidie Mimi katika maisha yangu yote

  • @Jokimuventures
    @Jokimuventures 2 ปีที่แล้ว

    I love this song 🎵 🎶

  • @pdglikuyanimichael1563
    @pdglikuyanimichael1563 2 ปีที่แล้ว

    Tamu

  • @esterngowi3411
    @esterngowi3411 2 ปีที่แล้ว

    EKARISTI TAKATIFU NI fumbo la ajabu, uwezo uliopo kwenye SAKRAMENTI hiyo ni mkubwa mno. Kwangu mimi Sina la kusema maana majibu ya matatizo yangu yapo kwenye EKARISTI TAKATIFU.

  • @auleriannjeri3725
    @auleriannjeri3725 2 ปีที่แล้ว

    Awesome ❤

  • @uncleframer
    @uncleframer 2 ปีที่แล้ว

    Blessed 💙💙

  • @mercykiarie9028
    @mercykiarie9028 2 ปีที่แล้ว

    Nawexa download aje

    • @bernardjohn8788
      @bernardjohn8788 2 ปีที่แล้ว

      Tafuta application ya videoder ipo playstore

  • @Hannahbanana353
    @Hannahbanana353 2 ปีที่แล้ว

    1. Uje Roho Mtakatifu, tuangaze toka mbingu Roho zetu kwa mwangao 2. Uje Baba wa maskini, uje mtoa wa vipaji Uje mwanga wa mioyo 3. Ee Mfariji mwema sana, ee rafiki mwanana Ewe raha mustarehe 4. Kwenye kazi u pumziko, kwenye joto, burudiko U mfutaji wa machozi 5. Ewe mwanga wenye heri, uwajaze waamini Neema yako mioyoni 6. Bila nguvu yako wewe, mwanadamu hana kitu Kwake yote yana kosa 7. Osha machafuko yetu, panyeshee pakavu petu Na kuponya majeraha 8. Ulegeze ukaidi, washa moto wa uadili Nyoosha upotevu wote 9. Wape waumini wako, wenye tumaini kwako Paji zako zote saba 10. Wape tuzo ya fadhila, wape mwisho bila hila Wape heri ya milele 11. Amina aleluya, amina aleluya, Amina aleluya

  • @Mike_Mugendy
    @Mike_Mugendy 2 ปีที่แล้ว

    this song cuts deep. may God bless your voices and your lives

  • @richardson8827
    @richardson8827 2 ปีที่แล้ว

    I love a song