- 5
- 23 768
Kwaya Kuu Duluti
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 7 มี.ค. 2022
Karibuni Kusikiliza Nyimbo za Kikristo za Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) zilizoimbwa na Kwaya Kuu Dayosisi Ya Meru (DME) Jimbo la Magharibi, Usharika wa Duluti.
วีดีโอ
NYOTA YENYE NURU,KWAYA KUU USHARIKA WA DULUTI, DAYOSISI YA MERU KKKT.
มุมมอง 2.7K5 หลายเดือนก่อน
NYOTA YENYE NURU,KWAYA KUU USHARIKA WA DULUTI, DAYOSISI YA MERU KKKT.
Tumaini langu ndiwe Bwanangu................Nyota yenye nuru
God bless you all 🙏🙌❤
Kwa kweli nimefurahi kusikia hizi nyimbo. Bwana awabariki sana.
Mungu amjalie sana Mchg Msangi kwani alikuwa na kipaji sana cha kutunga nyimbo zenye utulivu . Kizazi chake huku ugweno bado kinaendelea kufanya maajabu ya utungaji wa nyimbo. Barikiwa sana Mchg Habart Msangi
Hizi ndizo nyimbo zinazompa mungu utukufu na imani kwa mkristo! Siyo ndombolooo,mpaka chini! Vyote tufanye kwa kiasi! Kwa utukufu wa mungu!
Mungu awabariki
Mungu awabariki
Wawooooh hongereni sana kwaya yangu pendwa
Kwaya gani
Nimewaona hadi ninefurahi kwa kweli
Wimbo huu unabariki sana, Mungu wetu ni mwaminifu kwa wnaomcha
mmeimba vizuri, sauti zimetulia
Hongereni.kwa.kanzi.ya.mungu
Napenda sana kwaya ya wazee
Mungu awabariki wanakwaya, angalia wazee wanavyopiga mzk
Mungu awabariki 5:00
Mwenyezi Mungu awabariki zaidi
kazi nzurii
Ni wimbo namba ngapi katika Tumwabudu Mungu wetu
Yona karibu upate flash ni sh 15000 inanyimbo 15
Hongereni sana... Hakika Roho Mtakatifu anatuhudumia kupitia nyimbo.
Mbarikiwe sana waimbaji
Wapendwa Mshukuruni Mungu kwa neema ya Uimbaji mliyonayo. Mshikeni sana Kristo. Songeni mbele. Huwezi kujua kazi hiyo ilivyo njema na wengi tunabarikiwa. JONAS ALFRED.
Nmshukuru Mungu sana kuniza hapo Duluti. Bado mnaendelea kunipa malezi ya kiroho popote nilipo. Machozi ya furaha yamenitoka kukumbuka nyakati nzuri tulizokuwa nazo hapo Tengeru.
Hongereni sana. Mnanikumbusha tulipokuwa tukiimba wote. JONAS ALFRED. Nimemtambua Christina, Lema, Mr. Mariki, Mama Jonson, Mwl. Reuben Muine, Hongereni Sana kwa Utumishi uliotukuka.
Hongereni sana kwa utumishi WATUMISHI WA MUNGU
Hongereni kwa ujumbe mzuri
Amen
asanteeeeeee
Mbarikiwe sana waimbaji kwa kumtangaza kristo wetu mwokozi.
Mbarikiwe sana waimbaji kwa kumtangaza kristo wetu mwokozi.
Wapendwa katika Bwana wetu Yesu aliye Hai Hongereni sana kwa kazi nzuri iliyotukuka ya kuimba.
Hongereni sana kwa utumishi WATUMISHI WA MUNGU
Hongereni sana kwa utumishi Hongera mcheza kinanda Joshua
Mungu awabariki sana WATUMISHI Mcheza kinanda Joshua Lukonge barikiwa sana
👍👍👍👍💯
Mnanibariki mno. Hongereni
Hakika MUNGU yupo upande wetu na hatatuacha yatima