- 335
- 466 816
Kwaya ya Mt. Sesilia - Mavurunza
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 2 พ.ย. 2019
Kwaya ya Mt Sesilia Mavurunza- Makao ya Muziki Mtakatifu.
Channel hii inakupa fursa adhimu ya kusikiliza na kuangalia muziki mtakatifu unaogusa roho.
Karibuni wote. Tafadhali subscribe iliupate video zetu kwa wakati.
Instragram: mt.sesilia_mavurunza.
Facebook: Kwaya ya Mt. Sesilia - Mavurunza
Twitter: @mt_sesilia

Misa ya Mt. Anna - Fr. G. Kayeta (Kyrie & Gloria) - Live Performance #kwayakatoliki
Misa ya Mt. Anna - Fr. G. Kayeta (Kyrie & Gloria) - Live Performance #kwayakatoliki
มุมมอง: 293
วีดีโอ
Jongeeni Wakristo & Hodi Wachunga - Traditional Christmas Carols (Live Performance) #kwayakatoliki
มุมมอง 25614 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Jongeeni Wakristo & Hodi Wachunga - Traditional Christmas Carols (Live Performance) #kwayakatoliki
Bwana Aliniambia Ndiwe Mwanangu - J. Mgandu (Live Performance) #kwayakatoliki
มุมมอง 47814 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Bwana Aliniambia Ndiwe Mwanangu - J. Mgandu (Live Performance) #kwayakatoliki
Malaika Akawaambia Msiogope Aleluya - J. Mgandu #kwayakatoliki
มุมมอง 55014 วันที่ผ่านมา
Shangilio misa ya mkesha wa Noeli 2024 #kwayakatoliki
Nyimbo Mbalimbali za Noeli #kwayakatoliki
มุมมอง 59714 วันที่ผ่านมา
Nyimbo Mbalimbali za Noeli #kwayakatoliki
Siku Takatifu Imetung'aria Aleluya || John Mgandu #kwayakatoliki
มุมมอง 66814 วันที่ผ่านมา
Shangilio katika adhimisho la misa takatifu sherehe ya kuzaliwa Bwana 2024 misa ya mchana #kwaya #kwayakatoliki
Nyimbo za Matoleo Mkesha wa Noeli - Kwaya ya Mt. Sesilia Mavurunza #kwayakatoliki
มุมมอง 81714 วันที่ผ่านมา
Mtiririko wa nyimbo za matolieo katika adhimisho la misa takatifu mkesha wa Noeli (1) Tukatoe vipaji - F. Singo (2) Aleluya ee ndugu tufurahi - E. Kalluh (3) Hodi wachunga - V. Mabula (4) Uipokee sadaka - M. Syote #kwayakatoliki
Kwa Ajili Yetu Mtoto Amezaliwa || John Mgandu (Live Performance)#kwayakatoliki #krismas
มุมมอง 90314 วันที่ผ่านมา
Antifona ya kuingia sherehe ya kuzaliwa Bwana (Noeli) #kwayakatoliki
Miisho Yote ya Dunia Imeouona Wokovu wa Mungu - Joseph Makoye (Live Performance) #kwayakatoliki
มุมมอง 1.1K14 วันที่ผ่านมา
Miisho Yote ya Dunia Imeouona Wokovu wa Mungu - Joseph Makoye (Live Performance) #kwayakatoliki
Leo Amezaliwa Kwa Ajili Yetu || Lucas Mlingi (Live Performance) #kwayakatoliki
มุมมอง 1.6K14 วันที่ผ่านมา
Leo Amezaliwa Kwa Ajili Yetu || Lucas Mlingi (Live Performance) #kwayakatoliki
Tufurahi Sote Mwokozi Amezaliwa - J. Mgandu || Live Performance #christmas #krismas
มุมมอง 50314 วันที่ผ่านมา
Tufurahi Sote Mwokozi Amezaliwa - J. Mgandu || Live Performance #christmas #krismas
Vitu vyote (Sangu), Malaika Gabrieli (Mkomagu) & Pokea vipaji vyetu (Msigwa) #kwayakatoliki
มุมมอง 37621 วันที่ผ่านมา
Vitu vyote (Sangu), Malaika Gabrieli (Mkomagu) & Pokea vipaji vyetu (Msigwa) #kwayakatoliki
Njoo Masiha Tunakungoja - John Mgandu #kwayakatoliki
มุมมอง 16621 วันที่ผ่านมา
Njoo Masiha Tunakungoja - John Mgandu #kwayakatoliki
Aleluya (by J. Makoye) & Mimi ni Mtumishi (Fr. Kayeta) - Shangilio dominika ya 4 ya majilio mwaka C
มุมมอง 16521 วันที่ผ่านมา
Aleluya (by J. Makoye) & Mimi ni Mtumishi (Fr. Kayeta) - Shangilio dominika ya 4 ya majilio mwaka C
Dondokeni Enyi Mbingu Toka Juu || Florian Singo #kwayakatoliki
มุมมอง 34521 วันที่ผ่านมา
Dondokeni Enyi Mbingu Toka Juu || Florian Singo #kwayakatoliki
Tazama Bikira Atachukua Mimba (J. Mgandu) & Meza ya Mapendo (Fr. Malema) #trendingsong
มุมมอง 88421 วันที่ผ่านมา
Tazama Bikira Atachukua Mimba (J. Mgandu) & Meza ya Mapendo (Fr. Malema) #trendingsong
Ametamalaki - FAN || Maandamano baada ya adhimisho la misa takatifu #kwayakatoliki
มุมมอง 716หลายเดือนก่อน
Ametamalaki - FAN || Maandamano baada ya adhimisho la misa takatifu #kwayakatoliki
Nyimbo za komunio - sherehe ya Kristo Mfalme || Live Performance #kwayakatoliki
มุมมอง 1.1Kหลายเดือนก่อน
Nyimbo za komunio - sherehe ya Kristo Mfalme || Live Performance #kwayakatoliki
Mtiririko wa Nyimbo za Matoleo - Sherehe ya Kristo Mfalme | Live Performance #kwayakatoliki
มุมมอง 1.4Kหลายเดือนก่อน
Mtiririko wa Nyimbo za Matoleo - Sherehe ya Kristo Mfalme | Live Performance #kwayakatoliki
Worth is the Lamb (Astahili Mwanakondoo) - G. F. Handel || Live Performance #kwayakatoliki
มุมมอง 700หลายเดือนก่อน
Worth is the Lamb (Astahili Mwanakondoo) - G. F. Handel || Live Performance #kwayakatoliki
Huyu Ndiye Bikira Mwenye Akili - J. Makoye #kwayakatoliki
มุมมอง 404หลายเดือนก่อน
Huyu Ndiye Bikira Mwenye Akili - J. Makoye #kwayakatoliki
Bwana Asema Mawazo Ninayowawazia - J. Mgandu [Live Performance] #kwayakatoliki
มุมมอง 746หลายเดือนก่อน
Bwana Asema Mawazo Ninayowawazia - J. Mgandu [Live Performance] #kwayakatoliki
Nyimbo za Komunio Dominika ya 32B (Watunzi: F. Singo & F. Nyundo) #kwayakatoliki
มุมมอง 668หลายเดือนก่อน
Nyimbo za Komunio Dominika ya 32B (Watunzi: F. Singo & F. Nyundo) #kwayakatoliki
Nyimbo za Matoleo (Watunzi: NECHA, F. A. Nyundo & J. Makoye) #kwayakatoliki
มุมมอง 1.2Kหลายเดือนก่อน
Nyimbo za Matoleo (Watunzi: NECHA, F. A. Nyundo & J. Makoye) #kwayakatoliki
Astahili Mwanakondoo - Florian Singo || Live Performance #kwayakatoliki
มุมมอง 5912 หลายเดือนก่อน
Astahili Mwanakondoo - Florian Singo || Live Performance #kwayakatoliki
Maombi Yangu Yafike Mbele Zako || J. Mgandu (Live Performance) #kwayakatoliki
มุมมอง 1.3K2 หลายเดือนก่อน
Maombi Yangu Yafike Mbele Zako || J. Mgandu (Live Performance) #kwayakatoliki
Tunakushukuru Bwana || FAN (Live Performance) #kwayakatoliki
มุมมอง 6462 หลายเดือนก่อน
Tunakushukuru Bwana || FAN (Live Performance) #kwayakatoliki
Nyimbo za Komunio Dominika ya 30B (Watunzi: F. Singo, F. Kashumba & F. Nyundo) #kwayakatoliki
มุมมอง 7732 หลายเดือนก่อน
Nyimbo za Komunio Dominika ya 30B (Watunzi: F. Singo, F. Kashumba & F. Nyundo) #kwayakatoliki
Nyimbo za Matoleo (Watunzi: Simba Mabula, B. Idama & Stan Mujwahuki) #kwayakatoliki
มุมมอง 1K2 หลายเดือนก่อน
Nyimbo za Matoleo (Watunzi: Simba Mabula, B. Idama & Stan Mujwahuki) #kwayakatoliki
Salam Malkia - J. Mgandu || Live Performance (UKWAKATA Mavurunza Parish)
มุมมอง 7032 หลายเดือนก่อน
Salam Malkia - J. Mgandu || Live Performance (UKWAKATA Mavurunza Parish)
👏👏👏
❤❤❤❤❤ nawapenda saaanaa hongeren kwa uimbaji bora kabisa
Hongeren sana kwa mziki mtakatifu mmenikumbusha kitambo sana
✔️
🎉🎉🎉
❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Kazinsafi sana ingawa organist akaambiwe awe mbunifu zaidi katika voices za kinanda,voice moja wakati wote ni sawa ila sio sawa sana
❤
❤
🎉🎉🎉🎉🎉
🎉🎉❤❤🙏🙏
Nawakuabali ndugu
Hasa ndo nini shame on you kagueni video zenu kabla hamjatupostia MB zinaenda bila sababu
Well organized instrument,i can see the choirmaster doing his thing with passion ❤❤❤
Weee 🎉🎉🎉🎉❤
Safi sana ila kinanda mtafute kingine hiki sauti zake zimeachna sana knampa kazi sana mpigaji
🔥🔥😍
Utamu utokao mwambani hongereni sana Cecilia mnatufanya tunasali zaidi na zaidi
Wow wonderful amazing mbarikiwe Sana Cecilia
Hongereni mmependeza sana ❤
Sesilia yetu tunakupenda. Asante kwa kutusaidia kumleta kristo katika mazingira yetu.
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hongereni sana,, dadangu Agatha nakuona sopranos
@@LucasMasila Asante sana
What a master performance! It deserves 1 M views in a day🙌
Mungu awabariki mnoo watumishi wake...wimbo mzuri sana🤍🤍🤍🤍🤍🎉🎉🎉🎉🎉🎉🌹🌹🌹🌹
@@Misol003 Amina. Tubarikiwe sote
❤
❤
Que coral lindo 😊 Deus abençoe
Nakupendeni sana Mwl. Singo na kundi lenu lote. Mna heri na ni wakongwe katika nyakati za leo. Marry Christmas!
@@beatusidama6233 Heri ya Noeli na kwako mwalimu. Tunashukuru kwa upendo
Nimeiskia pararara😂😂
Nawataki heri ya Krismasi na mwaka mpya! Hongereni kwa zoezi zuri,Nawapenda sana Celina Sumbawanga
🎉🎉
Hongereni sana kwa kuimba vizuri na upigaji wa vyombo ulivyo classic kabisa. Napenda sana kwaya zetu za kikatoliki ambazo hazijatoka ktk uimbaji wa kiasili kama hivi. Hongereni sana!!!
@@robertkisiri1774 Amina. Tumshukuru Mungu
I wish ningekuwa kati yenu hio siku tushangilie pamoja...! Sauti za malaika.
@@MbathaKenneth-zc5pi Karibu
Lucas Mlingi, hatari sana. Mmeuimba vizuri.
Hongereni sana wimbo mzuri ❤
Safi 🎉🎉🎉🎉🎉
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Yesu ninakupenda....kaa ndani ya moyo wangu niishi na wewe milele .....a very sweet song
@@bridgitwaeni Hakika
Kongole Kwa uimbaji bora
Nice one
❤
Nzur🎉
Wow... Napenda huu wimbo sana
Hongereni mnaimba na mnafurahia!
🎉🎉🎉
Hatari hatari 🎉🎉🎉🎉 performance nzuri kuanzia kwenye kinanda mpaka kwenu nyote. Hapo mwili hadi unasisimka
Nice 🎉
Kwambalii namuona #LucasMlingiMaestro!!🙂
Amen 🙏. Wimbo mzuri sauti nzuri kinanda kizuri ❤👏