AL IHSAAN GIRLS SECONDARY SCHOOL ZANZIBAR
AL IHSAAN GIRLS SECONDARY SCHOOL ZANZIBAR
  • 94
  • 302 139

วีดีโอ

SHEIKH HAFIDH WA AHLUL MADINA AWAPONGEZA WAHITIMU AL IHSAAN GIRLS.
มุมมอง 72921 วันที่ผ่านมา
Sikiliza pongezi maridhawa za Sheikh Hafidh kwenda kwa wahitimu wa Kidato cha Sita. Kwa Elimu na Malezi bora mlete mtoto wako Al Ihsaan Girls. Usisahau kusubscribe, kulike na kushare video zetu kupitia channel yetu ya Al Ihsaan Girls.
UST. AHMAD SAID AWA GUMZO KUBWA MITAANI KWA ALICHOKIFANYA AL IHSAAN
มุมมอง 884หลายเดือนก่อน
Angalia Shangwe la kibabe lililosababishwa na Ust. Ahmad Said katika mahafali ya Kidato cha Sita 2024 Al Ihsaan Girls. Kuwa wa mwanzo kujua yanayoendelea Al Ihsaan Girls kwa kusubscribe youtube channel yetu. Ahsanteni
AL IHSAAN GIRLS WAIVAMIA "TULIA RESTAURANT". WATU WACHANGANYIKIWA. MLO SAFI SANA
มุมมอง 425หลายเดือนก่อน
Baada ya kumaliza mitihani yao ya Kidato cha Nne wanafunzi wamefanya ziara katika Restaurant ya TULIA na kujipatia msosi wa maana. Ili kuwa wa mwanzo kupata taarifa zetu naomba usubscribe youtube channel yetu ya Al Ihsaan Girls. Ahsante
KASWIDA MPYA YA UKHTY MWANACHA 2024, "NI HAKI KUJIPONGEZA AL IHSAAN GIRLS". HATARI WEE!!!
มุมมอง 1.3Kหลายเดือนก่อน
Ukhty Mwanacha akiwa na Wanafunzi wa Kidato cha Sita 2024. Shangwe kama lote. Kuwa wa kwanza kupata kazi zote zinazotumwa kupitia youtube channel ya Al Ihsaa Girls kwa kusubscribe na kubonyeza alama ya kengele. Kwa mawasliano 0777 874 355. Ahsanteni
NATASHA NA ARKINA WAMSHANGAZA AZIZA HASSAN WA ZBC. SHEIKH ABDEL AAL ASHINDWA KUJIZUIA.
มุมมอง 2.1Kหลายเดือนก่อน
Wanafunzi wa Al Ihsaan utadhani waandishi wa habari. Wana vipaji vya kutosha kabisa. Usiache kusubscribe channel yetu ili uwe wa mwanzo kuona matukio mbali mbali yanayotokea Al Ihsaan Girls. Ahsante.
HUU SI UCHAWI BALI NI WATAALAMU WA SCIENCE KUTOKA AL IHSAAN GIRLS. AL IHSAAN KIVITENDO ZAIDI
มุมมอง 444หลายเดือนก่อน
Wanafunzi Wa Al Ihsaan Girls wakionyesha onesho la Kisayansi liliondaliwa kwa ustadi na Wataalamu wetu Madam Fatma Juma na Madam Khadija Hassan. Al Ihsaan Girls kwa Elimu na Malezi Bora. 0777 874 355
MVUTANO MKALI WA MAMA NA BABA WAIBUKA AL IHSAAN GIRLS. NANI SHUJAA?
มุมมอง 457หลายเดือนก่อน
Sikiliza mjadala huu kati ya mama na baba yupi bora zaidi. Hii ni khiwari ya aina yake kuwahi kutokea Al Ihsaan. Fuatilia TH-cam channe ya Al Ihsaan Girls, usiache kusubscribe, kulike na kushare video zetu. Ahsanteni
WASICHANA WA AL IHSAAN WAJIGAMBA MCHANA KWEUPE, WANA MANENO.
มุมมอง 9572 หลายเดือนก่อน
Hebu sikiliza majigambo ya wadada wa Al ihsaan Girls katika mahafali ya Kidato cha Sita 2024. Usisahau kusubscribe, kulike na kushare video zetu kupitia channel hii ya Al Ihsaan Girls.
WADADA WANATISHA, WE HUOGOPI? WAGHANI UTENZI WA KUFUNGIA MWAKA AL IHSAAN GIRLS 2024.
มุมมอง 12K2 หลายเดือนก่อน
Ukhty Adhra na Ukhty Amina waghani utenzi wa aina yake. Viti ni vya moto. Ni katika mahafali ya Kidato cha Sita 2024. Usiache kusubscribe youtube channel ya Al Ihsaan Girls na kushare video zetu. Kwa mawasiliano zaidi piga 0777 874 355.
HAWA MABINTI WANAJUA HADI WANAKERA, WASIKILIZE WANAVYOIMBA NASHEEDKWA SAUTI BORA KABISA
มุมมอง 2.9K2 หลายเดือนก่อน
Wanafunzi wa Al Ihsaan Girls wameimba nasheed nzuri sana juu ya walimu wao. Usiache kusubscribe youtube channel yetu ya Al Ihsaan Girls. Ahsanteni
PACHA YA UKHTY AZMINA NA MWANACHA YANOGESHA AL IHSAAN GIRLS 2024. _AL IHSAAN TUNAWEZA, TUNAJUA_
มุมมอง 1.7K2 หลายเดือนก่อน
Hebu angalia Shangwe la Ukhty Azmina alivyowanyanyua wahitimu na Wanafunzi wa Al Ihsaan Girls. Ni Mahafali ya Kidato cha Sita 2024. Usiache kusubscribe youtube channel yetu ya Al Ihsaan Girls, kulike, kushare na Kukoment kwenye video zetu. Ahsanteni.
SH.HAFIDH WA AHLUL MADINA AJA NA NGALAWA AL IHSAAN. MKURUGENZI ASHINDWA KUJIZUIA. SHANGWE KAMA LOTE
มุมมอง 14K2 หลายเดือนก่อน
SHEIKH HAFIDH WA AHLUL MADINA AWAFURAHISHA WANAFUNZI WA AL IHSAAN GIRLS KWA KASIDA NZURI SANA. SHANGWE LAKE NI BALAA TUPU. USISACHE KUSUBSCRIBE TH-cam CHANNEL YETU YA AL IHSAAN GIRLS, KUSHARE NA KULIKE
VIJANA WAMEPIKWA WAMEWIVA KISAWASAWA
มุมมอง 1.9K2 หลายเดือนก่อน
Wanafunzi Al Ihsaan Girls, Zanzibar kutoka Kidato cha Kwanza na Tatu wakicheza halaiki katika sherehe ya Mahahafali ya Kidato cha Sita 2024. Usisahau kusubscribe youtube channel yetu na kushare video zetu.
AHMAD SAID AKINUKISHA AL IHSAAN GIRLS 2024. " HATUTORUDI NYUMA" TUTAPAMBANA KISAWA SAWA.
มุมมอง 3.9K2 หลายเดือนก่อน
Ust. Ahmad Said awapa ujumbe mzito wana Ihsaan Girls. Mahafali ya aina yake. Haijawahi kutokea. Usaiche KUSUBSCRIBE youtube channel yetu pamoja na kulike, kushare na kucoment
JEE MATITI YAKO YAPO SALAMA? HEBU MSIKILIZE MTAALAM RAYYAN NOUFAL KASSIM
มุมมอง 1973 หลายเดือนก่อน
JEE MATITI YAKO YAPO SALAMA? HEBU MSIKILIZE MTAALAM RAYYAN NOUFAL KASSIM
CHUKI ZA NINI SASA. HUU NDIO UUNGWANA
มุมมอง 2063 หลายเดือนก่อน
CHUKI ZA NINI SASA. HUU NDIO UUNGWANA
HAYAWI HAYAWI YAMEKUWA. HATIMAYE AAPISHWA KUITUMIKIA SERIKALI YA WANAFUNZI YA AL IHSAAN GIRLS
มุมมอง 2503 หลายเดือนก่อน
HAYAWI HAYAWI YAMEKUWA. HATIMAYE AAPISHWA KUITUMIKIA SERIKALI YA WANAFUNZI YA AL IHSAAN GIRLS
NUHAILA AONGEA KWA MARA YA KWANZA
มุมมอง 1613 หลายเดือนก่อน
NUHAILA AONGEA KWA MARA YA KWANZA
AHADI IMETIMIZWA, FURAHA KEDEKEDE
มุมมอง 1633 หลายเดือนก่อน
AHADI IMETIMIZWA, FURAHA KEDEKEDE
MSICHANA WA SHOKA, HAHITAJI KUWEZESHWA, NI MOTO WA KUWAKIA MBALI. CONFIDENCE YA KUTOSHA KABISA.
มุมมอง 4454 หลายเดือนก่อน
MSICHANA WA SHOKA, HAHITAJI KUWEZESHWA, NI MOTO WA KUWAKIA MBALI. CONFIDENCE YA KUTOSHA KABISA.
UWE HUJALA, UWE UNA MAWAZO, BASI UTAKAA SAWA. HICHI KIPAJI CHA KUTUNZWA KWA DHAHABU NA FEDHWA.
มุมมอง 5505 หลายเดือนก่อน
UWE HUJALA, UWE UNA MAWAZO, BASI UTAKAA SAWA. HICHI KIPAJI CHA KUTUNZWA KWA DHAHABU NA FEDHWA.
PATA MADINI KUTOKA KWA MADAM MASTURA. HAYO NI MATUNDA YA AL IHSAAN GIRLS.
มุมมอง 2165 หลายเดือนก่อน
PATA MADINI KUTOKA KWA MADAM MASTURA. HAYO NI MATUNDA YA AL IHSAAN GIRLS.
HAYA NDIO MAANDALIZI YA UFAULU BORA WA AL IHSAAN GIRLS, ZANZIBAR
มุมมอง 3485 หลายเดือนก่อน
HAYA NDIO MAANDALIZI YA UFAULU BORA WA AL IHSAAN GIRLS, ZANZIBAR
JAMBO HILI LINAFANYIKA AL IHSAAN GIRLS ZANZIBAR PEKEEE.
มุมมอง 2877 หลายเดือนก่อน
JAMBO HILI LINAFANYIKA AL IHSAAN GIRLS ZANZIBAR PEKEEE.
Uzalendo wa Kishujaa wa watoto wadogo wa Daru Onaiz ya Direct Aid Zanzibar.
มุมมอง 1327 หลายเดือนก่อน
Uzalendo wa Kishujaa wa watoto wadogo wa Daru Onaiz ya Direct Aid Zanzibar.
MAKAMO WA RAISI, AL IHSAAN GIRLS ATOA YA MOYONI
มุมมอง 1559 หลายเดือนก่อน
MAKAMO WA RAISI, AL IHSAAN GIRLS ATOA YA MOYONI
MIPANGO MIKAKATI YA UFAULU SHULE BINAFSI ZANZIBAR YAANIKWA. WIZARA YATIA NENO.
มุมมอง 2359 หลายเดือนก่อน
MIPANGO MIKAKATI YA UFAULU SHULE BINAFSI ZANZIBAR YAANIKWA. WIZARA YATIA NENO.
HAYA NDIO ALIYOYASEMA RAIS WA HIGH VIEW SCHOOL OF ZANZIBAR, KUTOKA FEZA SCHOOL.
มุมมอง 5049 หลายเดือนก่อน
HAYA NDIO ALIYOYASEMA RAIS WA HIGH VIEW SCHOOL OF ZANZIBAR, KUTOKA FEZA SCHOOL.
KWA UFADHILI WA MASOMO NCHINI INDIA NA CYPRUS. SIKILIZA VIDEO HII HADI MWISHO.
มุมมอง 1639 หลายเดือนก่อน
KWA UFADHILI WA MASOMO NCHINI INDIA NA CYPRUS. SIKILIZA VIDEO HII HADI MWISHO.

ความคิดเห็น

  • @MuhammedFoum
    @MuhammedFoum 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Upepo utakua mbolea!!!!!!😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @BiyMommy
    @BiyMommy 2 วันที่ผ่านมา

    Wow🎉🎉 kazi nzuri

  • @BiyMommy
    @BiyMommy 2 วันที่ผ่านมา

    Wow❤❤ wanawake kwa maaendeleoo❤❤❤❤

  • @RehemaYusuph-j3s
    @RehemaYusuph-j3s 7 วันที่ผ่านมา

    Mashaallah allah awap mafanikio mema❤

  • @MohammedNassorAbdalla
    @MohammedNassorAbdalla 7 วันที่ผ่านมา

    Muko sawa yaani ...........

  • @MohammedNassorAbdalla
    @MohammedNassorAbdalla 7 วันที่ผ่านมา

    Mungu amuweke Ticha Dula na amkinge na maadui na uadui wao na shari na hasadi zao na ampandishe cheo na kipaji zaid ili shule hii ipate nawir zaid na mafanikio . Aamin

  • @MohammedNassorAbdalla
    @MohammedNassorAbdalla 7 วันที่ผ่านมา

    Hongera ticha dula

  • @islamfatuma-q7s
    @islamfatuma-q7s 9 วันที่ผ่านมา

    Mashallah

  • @zuleikhakhamis3303
    @zuleikhakhamis3303 13 วันที่ผ่านมา

    🎉🎉🎉🎉🎉

  • @zuleikhakhamis3303
    @zuleikhakhamis3303 13 วันที่ผ่านมา

    Allah ampe umri mrefu teacher Dullah ndoto yng itimie nije kumuona mwenyewe🎉❤

  • @zuleikhakhamis3303
    @zuleikhakhamis3303 13 วันที่ผ่านมา

    Teacher Dulla pambeeeee au si pambeee sema ww unaonaje mie naona yuko Pambeeeeeeeeeee tuu anaweza na anawezaa sana haswa Teacher Dulla🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @zuleikhakhamis3303
    @zuleikhakhamis3303 13 วันที่ผ่านมา

    Mashallah×3 pambeee sanaaa tuuu hakuna anaebisha kabisa 100%❤

  • @zuleikhakhamis3303
    @zuleikhakhamis3303 13 วันที่ผ่านมา

    Al-Ihsaan iko juu jamani hakuna anaebisha mbona pambee jamani hongera sana Teacher Dulla maua yako ayo🎉🎉🎉🎉🎉

  • @zuleikhakhamis3303
    @zuleikhakhamis3303 13 วันที่ผ่านมา

    Allah aniwezeshe mara hii nikija Zanzibar nije kukuona Teacher Dulla nina zawadi yk yaani nafurahi jinc wanafunzi wanavyokupenda na kukucfia yaani maghafali yote ya Al-Ihisan nayafurahia munajiandaa vizuri sana Allah akupe umri mrefu Teacher Dulla maua yako chukua🎉🎉🎉🎉🎉🇺🇲🇺🇲🇺🇲🇺🇲❤

  • @mwajumahamada-u6z
    @mwajumahamada-u6z 15 วันที่ผ่านมา

    ❤❤

  • @mwajumahamada-u6z
    @mwajumahamada-u6z 15 วันที่ผ่านมา

    Mashaallah mng akuzidishieni miwe na kipaji🌼🌼🌼🌼🥰🥰🥰

  • @ahmadsaid526
    @ahmadsaid526 22 วันที่ผ่านมา

    Mashallah 🥰

  • @ahmadsaid526
    @ahmadsaid526 22 วันที่ผ่านมา

    🙏🙏

  • @IbrahimIbrahim-r2x
    @IbrahimIbrahim-r2x 23 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤ penda sana She Afidh ila umepotea sana ust Afidh Ally

  • @MulhatAbeid-y8b
    @MulhatAbeid-y8b 24 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @ZainabAhmed-l9c
    @ZainabAhmed-l9c 24 วันที่ผ่านมา

    Mashaallah

  • @khairatchum2796
    @khairatchum2796 25 วันที่ผ่านมา

    MashaAllah ❤❤

  • @nuweyrahmohamed1557
    @nuweyrahmohamed1557 25 วันที่ผ่านมา

    🔥🔥🔥🔥

  • @AbouAbou-v6l
    @AbouAbou-v6l 25 วันที่ผ่านมา

    Iko p sana

  • @wardakhamis3526
    @wardakhamis3526 25 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤

  • @Qaswidazanzibar441
    @Qaswidazanzibar441 26 วันที่ผ่านมา

    😅😅sauti noo mashairi ❤❤

  • @ZaiyanaAbdallah
    @ZaiyanaAbdallah 27 วันที่ผ่านมา

    Mashaawah yan n nzur❤

  • @سالمالبرواني-ش3ع
    @سالمالبرواني-ش3ع 27 วันที่ผ่านมา

    mashallah

  • @FatmaKhamis6353
    @FatmaKhamis6353 28 วันที่ผ่านมา

    Hii ni zaidi ya pambe nakupeni mauwa yenu 🎉🌹🌹

  • @saudaame1326
    @saudaame1326 28 วันที่ผ่านมา

    Hongera kaka

  • @hamadfakhi3195
    @hamadfakhi3195 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah wajna

  • @naymashasareva7863
    @naymashasareva7863 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah mashaallah mashaallah mashaallah mashaallah mashaallah mashaallah mashaallah mashaallah mashaallah mashaallah mashaallah mashaallah mashaallah mashaallah mashaallah mashaallah mashaallah mashaallah mashaallah mashaallah mashaallah mashaallah mashaallah mashaallah mashaallah mashaallah mashaallah mashaallah mashaallah mashaallah mashaallah mashaallah mashaallah mashaallah mashaallah mashaallah mashaallah mashaallah mashaallah mashaallah mashaallah mashaallah mashaallah mashaallah mashaallah mashaallah mashaallah mashaallah mashaallah Ahmedy Wangu uyo❤

  • @BimkubwaSaleh-x1v
    @BimkubwaSaleh-x1v หลายเดือนก่อน

    Masha allah 💯🤝🤝🎉pambee👏👏

  • @sumayyahmohammed-k3c
    @sumayyahmohammed-k3c หลายเดือนก่อน

    Wallh unajua Ahmed allh akuongoz katk kipaj chak inxhallh

  • @sumayyahmohammed-k3c
    @sumayyahmohammed-k3c หลายเดือนก่อน

    Nakuba San kaz zako

  • @sumayyahmohammed-k3c
    @sumayyahmohammed-k3c หลายเดือนก่อน

    Mashallh kaz nzur unajua kaka allh akujaalie kila leny kher inxhallh

  • @YakubuMuhamed-k3y
    @YakubuMuhamed-k3y หลายเดือนก่อน

    Mm nimekubali san🎉🎉

  • @YakubuMuhamed-k3y
    @YakubuMuhamed-k3y หลายเดือนก่อน

    Da hatari sana kk ❤❤🎉🎉🎉😊

  • @RashadJuma-g5t
    @RashadJuma-g5t หลายเดือนก่อน

    ❤🎓

  • @RashadJuma-g5t
    @RashadJuma-g5t หลายเดือนก่อน

    Mashallah ❤

  • @NeemaMohammed-s1o
    @NeemaMohammed-s1o หลายเดือนก่อน

    Mashaallah

  • @FatmaHabibu-y5i
    @FatmaHabibu-y5i หลายเดือนก่อน

    Mashallah al ihsan nawapenda bure❤❤❤

  • @MwanaMmmm
    @MwanaMmmm หลายเดือนก่อน

    Nimependa kiziki wasomaji pambe kwa kusheza😊😊😂😂😂😂 kibonge kina jimwaya tu mashallah

  • @saudaame1326
    @saudaame1326 หลายเดือนก่อน

    Full of sorrow. 😢 Allah ampe mazuri kwenye kabri lake

  • @saudaame1326
    @saudaame1326 หลายเดือนก่อน

    Full of sorrow. 😢 Allah ampe mazuri kwenye kabri lake

  • @MwanaidAli-d1v
    @MwanaidAli-d1v หลายเดือนก่อน

    vituko vitupu

  • @NassorRashid-g9y
    @NassorRashid-g9y หลายเดือนก่อน

    Ni Mwalimu mkuu kutoka skuli ya Sure Start Academy. Utenzi wenu nimekupenda sanaaa. Nawakaribisheni na mm ktk graduation ya watoto wetu. ITAFANYIKA ktk viwanja vya JAZIRA ,BUBUBU

    • @ALIHSAANGIRLSSECONDARYSCHOOLZA
      @ALIHSAANGIRLSSECONDARYSCHOOLZA หลายเดือนก่อน

      Ahsante Mkuu, Na ww karibu sana Al Ihsaan Girls

    • @NassorRashid-g9y
      @NassorRashid-g9y หลายเดือนก่อน

      @@ALIHSAANGIRLSSECONDARYSCHOOLZA AL IHSAN NIMEWALETA WATOTO AMBAO NI YATIMA JUZI KWA HIYO MSAADA WENU NA NDIO HAO WANAOGRADUATE NA HATUNA MALIPO JUU YAO.

  • @BakarJuma-d9z
    @BakarJuma-d9z หลายเดือนก่อน

    👍

  • @zuwenanahoda350
    @zuwenanahoda350 หลายเดือนก่อน

    mashallah ❤❤❤

  • @RaraBaby-i6f
    @RaraBaby-i6f หลายเดือนก่อน

    Fantastic 👌💞💞💞