- 459
- 1 493 734
SPORTS HQ
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 11 เม.ย. 2023
Karibu sana na tunafurahia upendo wako kwetu kwa kukubali kuwa mwanafamilia mwenzetu katika kujuzana habari mbalimbali za kimichezo. Tunaendelea kukupasha habari za uhakika za michezo na burudani, Endelea kuwa nasi
Subscribe, share, like and comment
Wasiliana nasi kwa
WhatsApp 0764888337
Welcome and we enjoy your love for us by agreeing to be our family member in sharing various sports news with each other. We continue to provide you with reliable sports and entertainment news, stay with us Subscribe, share, like and comment
Contact with us

🚨MAPYA YAINUKA HUKO SIMBA HAPA KWA LUIS MIQUISSONE MPONGEZWE KAZI KWAKE KIJANA MO ATIA NENO JUU YAKE
Luis Miquissone
MAPYA YAINUKA HUKO SIMBA HAPA KWA LUIS MIQUISSONE MPONGEZWE KAZI KWAKE KIJANA MO ATIA NENO JUU YAKE
MAPYA YAINUKA HUKO SIMBA HAPA KWA LUIS MIQUISSONE MPONGEZWE KAZI KWAKE KIJANA MO ATIA NENO JUU YAKE
มุมมอง: 658
วีดีโอ
🚨BREAKING SIMBA YAKAMILISHA USAJILI WA KOCHA STEVE KOMPHELA WA MAMELODI FILE LAKELINAJADILIWA SIMBA
มุมมอง 2695 หลายเดือนก่อน
Mnyama Simba BREAKING SIMBA YAKAMILISHA USAJILI WA KOCHA STEVE KOMPHELA WA MAMELODI FILE LAKELINAJADILIWA SIMBA th-cam.com/video/50lS_Lo1L-M/w-d-xo.html
🚨HUU HAPA UKWELI WOTE WA SERGE POKOU ANASA KUTUA SIMBA KILA KITU TAYARI MO ATOA PESA ZA USAJILI WAKE
มุมมอง 1.8K5 หลายเดือนก่อน
Serge Pokou HUU HAPA UKWELI WOTE WA SERGE POKOU ANASA KUTUA SIMBA KILA KITU TAYARI MO ATOA PESA ZA USAJILI WAKE
🚨LIVE HIKI HAPA KIKOSI CHA SIMBA SC VS TEMBO LEO FRED NDANI EDWIN BALUA WOTE WAMEANZA
มุมมอง 3929 หลายเดือนก่อน
🚨LIVE HIKI HAPA KIKOSI CHA SIMBA SC VS TEMBO LEO FRED NDANI EDWIN BALUA WOTE WAMEANZA
🚨KOCHA NABI AVIMBA NA USAJILI WA BEKI WA SIMBA KWENDA MOROCCO AMTAJA KWENYE KIKSI CHAKE CHA KWANZA
มุมมอง 1319 หลายเดือนก่อน
🚨KOCHA NABI AVIMBA NA USAJILI WA BEKI WA SIMBA KWENDA MOROCCO AMTAJA KWENYE KIKSI CHAKE CHA KWANZA
🚨TFF WATOA RASMI MAJIBU HAYA BAADA YA SIMBA KUOMBA KUTUMIA UWANJA WA AMANI COMPLEX ZANZIBAR
มุมมอง 3.3K9 หลายเดือนก่อน
🚨TFF WATOA RASMI MAJIBU HAYA BAADA YA SIMBA KUOMBA KUTUMIA UWANJA WA AMANI COMPLEX ZANZIBAR
🚨SIMBA MAMBO YAANZA KUJIPA HUKOOO BENCHIKHA KUONDOKA SIMBA SABABA HIZI HAPA AZITAJA MWENYEWE
มุมมอง 4019 หลายเดือนก่อน
🚨SIMBA MAMBO YAANZA KUJIPA HUKOOO BENCHIKHA KUONDOKA SIMBA SABABA HIZI HAPA AZITAJA MWENYEWE
🚨KOCHA BENCHIKHA AONDOA UTATA TETESI ZA KUONDOKA SIMBA/"NI FAMILIA YANGU/NI SHABIKI PIA WA SIMBA"
มุมมอง 2749 หลายเดือนก่อน
🚨KOCHA BENCHIKHA AONDOA UTATA TETESI ZA KUONDOKA SIMBA/"NI FAMILIA YANGU/NI SHABIKI PIA WA SIMBA"
🚨SIMBA YAMSJILI MSHAMBULIAJI MPYA BAKAMBU KOTOKA CONGO KWA DAU NONO ZAIDI LUIS KUONDOKA SIMBA MAZIMA
มุมมอง 8059 หลายเดือนก่อน
🚨SIMBA YAMSJILI MSHAMBULIAJI MPYA BAKAMBU KOTOKA CONGO KWA DAU NONO ZAIDI LUIS KUONDOKA SIMBA MAZIMA
🚨HUU MPYA SIMBA SC NI BALAA/ WASHUSHA VYUMA TISHIO MSIMBAZI/ SIMBA SC WAMEAMUA KUFANYA MABORESHO
มุมมอง 2469 หลายเดือนก่อน
🚨HUU MPYA SIMBA SC NI BALAA/ WASHUSHA VYUMA TISHIO MSIMBAZI/ SIMBA SC WAMEAMUA KUFANYA MABORESHO
🚨HUU HAPA USAJILI TISHIO KWA SIMBA SC KOCHA AMKUBALI KWA UWEZO HUU HAPA ATAJA SIFA ZA MCHEZAJI HUYU
มุมมอง 8589 หลายเดือนก่อน
🚨HUU HAPA USAJILI TISHIO KWA SIMBA SC KOCHA AMKUBALI KWA UWEZO HUU HAPA ATAJA SIFA ZA MCHEZAJI HUYU
🚨MURUTAZA MANGUNGU AWALETA WACHEZAJI HAWA SIMBA SC KUWANYAMAZISHA MASHABIKI WA SIMBA
มุมมอง 2409 หลายเดือนก่อน
🚨MURUTAZA MANGUNGU AWALETA WACHEZAJI HAWA SIMBA SC KUWANYAMAZISHA MASHABIKI WA SIMBA
🚨MAKUBWA YAIBUKA KWA AUBIN KRHAMO SIMBA WASAFI WAFICHUA UKWELI WOTE WA YEYE KUBAKI AU KUONDOKA SIMBA
มุมมอง 1.8K9 หลายเดือนก่อน
🚨MAKUBWA YAIBUKA KWA AUBIN KRHAMO SIMBA WASAFI WAFICHUA UKWELI WOTE WA YEYE KUBAKI AU KUONDOKA SIMBA
🚨BREAKING SIMBA YATOA MAAMUZI JUU YA HATIMA YA CHAMA SIMBA BECHIKHA ASHIKILIA MSIMAMO WAKE JUU YAKE
มุมมอง 1.1K10 หลายเดือนก่อน
🚨BREAKING SIMBA YATOA MAAMUZI JUU YA HATIMA YA CHAMA SIMBA BECHIKHA ASHIKILIA MSIMAMO WAKE JUU YAKE
🚨KISA TABIA ZA CHAMA….MABOSI SIMBA WAKIMBILIA KWA BENCHIKHA….KIBANO KIPYA HIKI HAPA
มุมมอง 4.9K10 หลายเดือนก่อน
🚨KISA TABIA ZA CHAMA….MABOSI SIMBA WAKIMBILIA KWA BENCHIKHA….KIBANO KIPYA HIKI HAPA
🚨USAJILI WA BEKI HUYU KUTUA SIMBA UMEKAMILIKA KWA 100%BECHIKHA AMTAJA KWENYE KIKOSI CHA KWANZA SSC
มุมมอง 49110 หลายเดือนก่อน
🚨USAJILI WA BEKI HUYU KUTUA SIMBA UMEKAMILIKA KWA 100CHIKHA AMTAJA KWENYE KIKOSI CHA KWANZA SSC
🚨BREAKING SIMBA SC YAMSAJILI BEKI LA KAZI KUTOKA ULAYA KUMTOA KAPOMBE SIMBA "KACHOKA MZEE"
มุมมอง 40010 หลายเดือนก่อน
🚨BREAKING SIMBA SC YAMSAJILI BEKI LA KAZI KUTOKA ULAYA KUMTOA KAPOMBE SIMBA "KACHOKA MZEE"
🚨MCHEZAJI WA VIPERS SC ATHIBITISHA KUSAJILI WA SIMBA DIRISHA DOGO HILI LA USAJILI KUCHUKUA NAFASI SS
มุมมอง 3.2K10 หลายเดือนก่อน
🚨MCHEZAJI WA VIPERS SC ATHIBITISHA KUSAJILI WA SIMBA DIRISHA DOGO HILI LA USAJILI KUCHUKUA NAFASI SS
🚨MAPYA YAIBUKA SAKATA LA CHAMA SIMBA KUWEKWA WAZI BAADA YA MKUTANO MKUU WA SIMBA JANA WATOA ONYOHILI
มุมมอง 37010 หลายเดือนก่อน
🚨MAPYA YAIBUKA SAKATA LA CHAMA SIMBA KUWEKWA WAZI BAADA YA MKUTANO MKUU WA SIMBA JANA WATOA ONYOHILI
🚨FUKUTO LA USAJILI SIMBA LA MIBUA MCHEZAJI HUYU KUSAJILI DIRISHA DOGO LA USAJILI MAKUBALIONO SIMBA
มุมมอง 2.3K10 หลายเดือนก่อน
🚨FUKUTO LA USAJILI SIMBA LA MIBUA MCHEZAJI HUYU KUSAJILI DIRISHA DOGO LA USAJILI MAKUBALIONO SIMBA
🚨HUKO SIMBA HAKUKALIKI KISA MABADILIKO YA KATIBA VIGOGO WAJIBIZANA KWA VIJEMBE KISA MWENYEKITI WATIM
มุมมอง 38110 หลายเดือนก่อน
🚨HUKO SIMBA HAKUKALIKI KISA MABADILIKO YA KATIBA VIGOGO WAJIBIZANA KWA VIJEMBE KISA MWENYEKITI WATIM
🚨KOCHA MKUU WA SIMBA BENCHIKHA ATAJA SIRI YA USAJILI HUU SIMBA SC KIMATAIFA MABEKI NA MSHAMBULIAJI
มุมมอง 30210 หลายเดือนก่อน
🚨KOCHA MKUU WA SIMBA BENCHIKHA ATAJA SIRI YA USAJILI HUU SIMBA SC KIMATAIFA MABEKI NA MSHAMBULIAJI
🚨KUHUSU KUMSAJILI BOBOSI SIMBA SC WAPIGILIA MSUMARI WATUMA VIGOGO WA KAZI KUMFUATILIA KUTUA NCHINI
มุมมอง 56010 หลายเดือนก่อน
🚨KUHUSU KUMSAJILI BOBOSI SIMBA SC WAPIGILIA MSUMARI WATUMA VIGOGO WA KAZI KUMFUATILIA KUTUA NCHINI
🚨RASMI SASA SIMBA KUMSAJILI MAROUF TCHAKEI KUTUA SIMBA DIRISHA KUBWA UKWELI UNAOFAA KUJUA HUU HAPA
มุมมอง 3.4K10 หลายเดือนก่อน
🚨RASMI SASA SIMBA KUMSAJILI MAROUF TCHAKEI KUTUA SIMBA DIRISHA KUBWA UKWELI UNAOFAA KUJUA HUU HAPA
🚨DILI LA MZAMBIA HUYU KUTUA SIMBA LIMEKAMILIKA SASA CV YAKE IKO HIVI ATACHUKUA NAFASI YA BOCCO SIMBA
มุมมอง 1.5K10 หลายเดือนก่อน
🚨DILI LA MZAMBIA HUYU KUTUA SIMBA LIMEKAMILIKA SASA CV YAKE IKO HIVI ATACHUKUA NAFASI YA BOCCO SIMBA
🚨BREAKING SIMBA YAKAMILISHA USAJILI WA MCHEZAJI HUYU NDANI YA SIMBA SC KWA MAKATABA WA MIAKA MIWILI
มุมมอง 2.2K10 หลายเดือนก่อน
🚨BREAKING SIMBA YAKAMILISHA USAJILI WA MCHEZAJI HUYU NDANI YA SIMBA SC KWA MAKATABA WA MIAKA MIWILI
🚨HUU HAPA USAJILI TISHIO KWA SIMBA SEMAJI AWEKA WAZI UJIO WA MCHEZAJI HUYU KUTUA SIMBA RASMI SASA
มุมมอง 1.3K10 หลายเดือนก่อน
🚨HUU HAPA USAJILI TISHIO KWA SIMBA SEMAJI AWEKA WAZI UJIO WA MCHEZAJI HUYU KUTUA SIMBA RASMI SASA
🚨MABOSS WA SIMBA WAITANA JUU YA MCHEZAJI HUYU MBADALA WA BALEKE SIMBA "KINDA KUTOKA MAMELOD BALAA"
มุมมอง 1.9K10 หลายเดือนก่อน
🚨MABOSS WA SIMBA WAITANA JUU YA MCHEZAJI HUYU MBADALA WA BALEKE SIMBA "KINDA KUTOKA MAMELOD BALAA"
🚨JEMBE LA BENCHIKHA NDANI YA SIMBA LATAJA SIKU KUTUA TZ KUKIWASHA SIMBA SC SIFA ZAKE HIZI HAPA
มุมมอง 1.9K10 หลายเดือนก่อน
🚨JEMBE LA BENCHIKHA NDANI YA SIMBA LATAJA SIKU KUTUA TZ KUKIWASHA SIMBA SC SIFA ZAKE HIZI HAPA
🚨HII HAPA SIMBA MPYA YA BENCHIKHA….INASTRAIKA ALIYECHEZA MECHI 80 NA KUFUNGA GOLI 10 TU KUMTOA CHAMA
มุมมอง 78010 หลายเดือนก่อน
🚨HII HAPA SIMBA MPYA YA BENCHIKHA….INASTRAIKA ALIYECHEZA MECHI 80 NA KUFUNGA GOLI 10 TU KUMTOA CHAMA
Game ishapoteza radha😊
Simba ubaya ubwele
naitwa mabara kutoka kahama budani karsana
Simba himeshinda ngap
Asante
Huyu ni sahihi kabisa
Naona chama kabaki
Mchezaji kama Poukou ndiyo wachezaji wazuri wa kuwagharamia na kuwaleta Simba hao ndio msaada mkubwa wa kuishindisha timu katika mashindano makubwa zumieni gharama kubwa kupata kitu cha faida
Aondoke
WEWE WASEMAJE? HUNA HAYA MBWA WEWE, YANGA HAINA UWANJA IMEFIKA, SIMBA YENYE MO SOORTS ATENA NA VIWANJA VIWILI WATUBANIA PUA ATI SIMBA HAIJAFIKA, WATAKA IFANYEJE NDIO UJUE INAJENGA UWANJA? UNAPENDA KUHONGWA HONGWA KAMA DEMU MZEE, ACHA KAZI HIYO UTAUMBUKA KIJANA
Huyo jamaa anasema ati yanga imeshafika huko simba bado!! Hahahaha. Yanga wameshafika? Wana uwanja? Si afadhali hata Simba wana viwanja viwili vya mazoezi. Hizo bahasha zitawafanya muwe vituko?
NAFUU ALIPOKATAA ULAYA WACHEZAJI WAKIENDA HUKOHUWA WANAWEKWA BENCHI WANAUBAGUZI SANA WAWAULIZE WALIOENDA HUKO.
Acheni uongo
Midia ya kikuma
Ninachoshangaa ni kuzungumzia mchezali wa kumsajili wakati muda wa kusajili umeshapita?
Chama alishaondoka kwenda Belcane mbona simba bado simba ilienda makurdi chama kaomba msamaha
Hivi ninyi wachambuzi uchwara mnaweza kuniambia ni kwanini 90% ya chambuzi zenu ni kwa Simba tu? Hivi Clabu ni moja tu Tanzania? Hao wengine hawastahili kuchambuliwa au ni malaika wao hawakosei?
hizo zingine hazina mvuto
S i m b a SC n i k u b w a
Ni kwa miezi sita tu ya msimu. Ulitaka wawe wamejenga stadium ya kuchezea mashindano ndiyo useme mafanikio? Acheni unafiki wenu. Ninyi mnapenda sana kuimba nyimbo za utopolo ili mlipwe. Jiangalieni na ninyi katika kipindi hicho mumefanya nini kama si umbeya tu.
Wachambuzi wetu bwana. Ati Baleke hatengenezewi nafasi za kufinga??? Kweli ? Baleke anabaki na kipa anampasia kipa na kijishuti au ana piga nje. Anapoteza clear chances nafasi hizo hizo mpe Perci Tau au Shelulile
Hata said asibaki bora tutafute kijana atakauechukua nafasi hiyo
Kama anazingua aondoke simba itakwepo na tutafika mbali bila yeye
Razima waseme kwakuwa waliotoka mapema
Ni lini Benchikka aliwaambia waandishi wa habari kuwa Chama si Chaguo lake acheni uongo ninyi si watu wakusema ukweli ni wachochezi tu
😅
Kuwa kocha kaka tukuone uhodari wako
Chama nimzuri Ila ufatha mwingi unfikria Simba wakimutema nitimu gani utamuvumili Sasa ivimpira umeshabadilika kwaiyo chama abadilike
Huyoo nguruwe aende tuuu
Nyoooppkooooo
Bado mmoja mzawa hajatangazwa. Yuko timu ya Taifa.😂
Mwl B. Usione chochote Chama na Papai tu. Achana na Chama mpige chini Chama amekuwa Msariti wa tarifa za simba nje ya Uwanja.
Bila chama Simba haiwez kupata matokeo
Yggff
Umefunga mjadala we kama nani?
Mnajadili ujinga mwenye makosa walikuwa Simba? Baada yapo mbona Singida hakupata goli. Y
Wandishi mnxingua eti jebe la bachika laja siku ys kutua wakati dirisha linafungwa leo 😂
Acha aende wa nn huy
Huwezi kuita ni full squad wakati Inonga hayupo, Mzamiru hayupo, Manula hayupo, Shabalala hayupo, Kibu hayupo na Chama hayupo. Hao ni wachezaji 6 siyo 4. Wachezaji 6 wakipungua huwezi kusema ni full squad nikakuelewa.
Unataka watu wajibu kwa fikra? Unauliza unafikiri kwani kufikiri kwako ndio hoja ?
Utakua wewe au nyinyi ni mashabiki wa yanga k nyinyi
una jipya Ali kamwe
Hatu hatu hatu hatu,hatueee,naona mpk nyema kumelegea
Kushindwa kubaya jamani kigugumizi hichooooo
Nyinyi hamsemi kweli
Chama ninchezaji mzuri anatakiwa aawenanizam
Hapana
Simba inakufaaa viongozi wanahalibu timu
Hayo yote ni maneno ya ziaka, kama unalijua hilo kwanini msimkalishe mukaongea nae, mpaka unaongea hivyo kwa uma ili iweje au unatafuta nn, mambo mengine sio yakutangazia uma, unasema anatoaga siri za simba kivipi,,,,,,,,,,,, nyie ndio munaohalibu timu munaigawa makundi, nawewe utoke tu hapo
Maneno ya kuziaki hayo
Atupishe aende yanga
Tatizo wote wanaomkaribisha Chama kwenda yanga siyo makocha na hawajamshirikisha Kocha. Huko yanga Engineer na wanachama ndiyo wanaosajili wachezaji wakati Simba anayependekeza wachezaji ni Kocha. Ni hapo mtakapomchukua Chama halafu kocha wenu amtolee nje au asimpange.
Muongo