- 922
- 147 632
KKKT DMP Msasani
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 16 ธ.ค. 2022
Kituo kinachokupatia mafundisho ya kiroho, kutoka Usharika wa Msasani wa KKKT, Dayosisi ya Mashariki na Pwani
TUZIFAHAMU NYIMBO ZETU || NIKISHIKA NJIA NAONA MBALI || TMW 355
Wimbo huu umetungwa na Mch. Sila F. Msangi (1918-1964); anaheshimika kwa mchango wake katika nyimbo za kiswahili, hasa katika kitabu cha TMW. Miongoni mwa nyimbo zake zilizovuma ni pamoja na; Nikishika Njia Naona Mbali, Haleluya Mataifa Yote Msifuni Bwana, na Tukutane Kila Upande.
Urithi wake wa kimuziki unaendelea kuathiri muziki wa kisasa wa Kanisa, huku nyimbo zake zikiwa bado zikiimbwa na kuthaminiwa katika ibada hasa za Kilutheri. Baadaye, mwanawe ambaye pia ni Mchungaji, Herbert S. Msangi, ametunga nyimbo za baba yake kwa ala, akihifadhi na kukuza zaidi urithi huu wa muziki.
Karibuni tusikilize Wimbo huu Nikishika Njia Naona Mbali (TMW 355) tunapouangalia mwaka 2025
#msasani #msasani #choir #gospel #injili #kkktkijitonyama #kkktkimara #upendomedia #upendotv #kkktmbezibeach @KKKTMBEZIBEACH @upendo_media @kkktmsasaniparish @kkkt-dmpusharikawakimara @KKKTKARIAKOO

มุมมอง: 211
วีดีโอ
IFAHAMU NGUVU ILIYO KATIKA JINA LA YESU || OMBENI KATIKA JINA LAKE NANYI MTAPATA ||
มุมมอง 1527 ชั่วโมงที่ผ่านมา
#msasani #gospel #injili #kkktkijitonyama #christmas #kkktmsasani #kkktmsasani #Yesu #mahubiri
UIMBAJI CHRISTMAS CAROL || MIMI NDIYE NJIA KWELI NA UZIMA; NYOTA YENYE NURU || KWAYA KUU KIMARA
มุมมอง 15214 ชั่วโมงที่ผ่านมา
#msasani #gospelmusic #gospel #upendomedia #upendotv #kkktkimara #kkktkijitonyama #kkktmbezibeach #injili #kkktmsasani Wasiliana nasi kupitia maombi@kkktmsasani.or.tz
Matangazo ya Usharika || Ratiba ya Ibada Kipindi cha Sikukuu ||
มุมมอง 12114 วันที่ผ่านมา
Matangazo ya Usharika || Ratiba ya Ibada Kipindi cha Sikukuu ||
MKUTANO MKUU WA 37 WA DAYOSISI YA MASHARIKI NA PWANI || ZIFAHAMU KAZI ZA DAYOSISI YETU
มุมมอง 19214 วันที่ผ่านมา
MKUTANO MKUU WA 37 WA DAYOSISI YA MASHARIKI NA PWANI || ZIFAHAMU KAZI ZA DAYOSISI YETU
Mkutano Mkuu wa 37 wa DMP || Hotuba ya Ufunguzi || TUZIDI KUKAZA MWENDO
มุมมอง 15514 วันที่ผ่านมา
Mkutano Mkuu wa 37 wa DMP || Hotuba ya Ufunguzi || TUZIDI KUKAZA MWENDO
Unafahamu Mwaka Mpya wa Kanisa Huanza Lini? || Tusikie Salaamu za Baba Dean ||
มุมมอง 28728 วันที่ผ่านมา
Unafahamu Mwaka Mpya wa Kanisa Huanza Lini? || Tusikie Salaamu za Baba Dean ||
TUMSIFU MUNGU WETU || Nani Kama Mungu Wetu? ||
มุมมอง 7128 วันที่ผ่านมา
TUMSIFU MUNGU WETU || Nani Kama Mungu Wetu? ||
Bwana Anakuja || Twendeni Tumlaki || TMW 10
มุมมอง 127หลายเดือนก่อน
Bwana Anakuja || Twendeni Tumlaki || TMW 10
TUZIFAHAMU NYIMBO ZETU || Chini ya Bawa Lako, ee Yesu Nifiche - TMW 149 ||
มุมมอง 40หลายเดือนก่อน
TUZIFAHAMU NYIMBO ZETU || Chini ya Bawa Lako, ee Yesu Nifiche - TMW 149 ||
TUZIFAHAMU NYIMBO ZETU || Bwana Nasikia Kwamba Umebariki Wengi; Nibariki na Mimi | TMW 135 ||
มุมมอง 94หลายเดือนก่อน
TUZIFAHAMU NYIMBO ZETU || Bwana Nasikia Kwamba Umebariki Wengi; Nibariki na Mimi | TMW 135 ||
TUZIFAHAMU NYIMBO ZETU | NJOONI TUIMBE WIMBO HUU - ATUPENDA |TMW 264
มุมมอง 245หลายเดือนก่อน
TUZIFAHAMU NYIMBO ZETU | NJOONI TUIMBE WIMBO HUU - ATUPENDA |TMW 264
Bwana Huwainua Walio Wanyonge na Wanyenyekevu
มุมมอง 93หลายเดือนก่อน
Bwana Huwainua Walio Wanyonge na Wanyenyekevu
UNAJUA NAMNA MAASKOFU WA KKKT WANAVYOWEKWA WAKFU? | Zifahamu Taratibu za Kanisa
มุมมอง 4.2Kหลายเดือนก่อน
UNAJUA NAMNA MAASKOFU WA KKKT WANAVYOWEKWA WAKFU? | Zifahamu Taratibu za Kanisa
MATANGAZO YA USHARIKA | Tarehe 17 Novemba 2024
มุมมอง 83หลายเดือนก่อน
MATANGAZO YA USHARIKA | Tarehe 17 Novemba 2024
MATANGAZO YA USHARIKA TAREHE 03 NOV. 2024
มุมมอง 119หลายเดือนก่อน
MATANGAZO YA USHARIKA TAREHE 03 NOV. 2024
KARIBU UJIUNGE NA KWAYA YA TARUMBETA YA USHARIKA
มุมมอง 131หลายเดือนก่อน
KARIBU UJIUNGE NA KWAYA YA TARUMBETA YA USHARIKA
Tarehe 27 Oktoba 2024 | Usharika wa Msasani | Moja Kamili Asubuhi | Karibuni Tumtolee Bwana Mavuno
มุมมอง 2922 หลายเดือนก่อน
Tarehe 27 Oktoba 2024 | Usharika wa Msasani | Moja Kamili Asubuhi | Karibuni Tumtolee Bwana Mavuno
Karibuni Nyote Katika Mashangilio ya Sikukuu ya Mavuno. Ibada Itaanza Saa Moja Kamili Asubuhi
มุมมอง 1762 หลายเดือนก่อน
Karibuni Nyote Katika Mashangilio ya Sikukuu ya Mavuno. Ibada Itaanza Saa Moja Kamili Asubuhi
Maandalizi ya Mashangilio ya Sikukuu ya Mavuno | Sehemu ya Mahubiri |
มุมมอง 522 หลายเดือนก่อน
Maandalizi ya Mashangilio ya Sikukuu ya Mavuno | Sehemu ya Mahubiri |
Maandalizi ya Mashangilio ya Sikukuu ya Mavuno | Tarehe 27 Oktoba 2024 |
มุมมอง 862 หลายเดือนก่อน
Maandalizi ya Mashangilio ya Sikukuu ya Mavuno | Tarehe 27 Oktoba 2024 |
Matangazo Ya Usharika Tarehe 13 Oktoba 2024
มุมมอง 1022 หลายเดือนก่อน
Matangazo Ya Usharika Tarehe 13 Oktoba 2024
Ibada ya Maadhimisho ya Miaka 60 ya Usharika
มุมมอง 1412 หลายเดือนก่อน
Ibada ya Maadhimisho ya Miaka 60 ya Usharika
Miaka 60 ya Usharika | Bwana alitutendea mambo makuu, Tulikuwa tukifurahi | Salaamu Kutoka UEM
มุมมอง 1152 หลายเดือนก่อน
Miaka 60 ya Usharika | Bwana alitutendea mambo makuu, Tulikuwa tukifurahi | Salaamu Kutoka UEM
Miaka 60 ya Usharika | Bwana alitutendea mambo makuu, Tulikuwa tukifurahi. | Salaamu Kutoka DarTU
มุมมอง 922 หลายเดือนก่อน
Miaka 60 ya Usharika | Bwana alitutendea mambo makuu, Tulikuwa tukifurahi. | Salaamu Kutoka DarTU
Tuziombee Ndoa Zetu - Mch. Dr. Ipyana
มุมมอง 1202 หลายเดือนก่อน
Tuziombee Ndoa Zetu - Mch. Dr. Ipyana
Maadhimisho ya Miaka 60 ya Usharika: Ni Tarehe 06/10/2024
มุมมอง 1722 หลายเดือนก่อน
Maadhimisho ya Miaka 60 ya Usharika: Ni Tarehe 06/10/2024
Chris na Flo Mungu pekee aendelee kuachilia baraka zake kwenu na kuimarisha ndoa yenu. Mbarikiwe sana kwa kurudi kwake kwa shukurani hii.
Hongereni sana pakiteng
Kwa kweli wazee wetu wa zamani walijua sana kutunga nyimbo.
Wimbo mzuri sana
Amen Amen
Ninajiunganisha NA MADHABAHU HII TAKATIFU - KATIKA JINA NA DAMU YA YESU KRISTO WA NAZARETH ALIYE HAI Milele.
Nzuri sana
Utukufu kwa MUNGU WANGU
Amina Amina
Barikiwa sana Mwl.
The₩ 0
Iende Mbele Injili
Kazi ya Bwana izidi kusonga mbele
Mungu aendelee kulilinda Kanisa lake
Mbona mnaiga kila kitu cha katoliki jamani akirudi Martin Luther mtamwambia mini?
Asante kwa maoni yako mtumishi. Ila ieleweke kwamba siyo kwamba Martini Luther alibadili kila kitu; yapo mambo kama 90 hivi ambayo wakati ule aliona Kanisa haliendi sawa, ndiyo akapingana nayo. Ukisoma Katekisimo ya Martin Luther utaona. Kama utahitaji ufafanuzi zaidi usisite kutuandikia barua pepe matika maombi@kkktmsasani.or.tz na Mchungaji Kiongozi atakupatia majibu kwa kina. Ubarikiwe ndugu
Amen
Amen tunazipokea kwa Jina la Yesu
Amen 🙏 🙏 🙏
Haleluya KUU ❤
Thank you Lord. Yes, we all need your protection all time
Amen
Hakika Mungu atupenda. Njooni tuimbe wimbo huu
❤
Kwanini majoho yanatofautiana kofia,skafu naomba kujua
Kuna tofauti kati ya kuwekwa wakfu na kuingizwa kazini
Amina Kwa kanisa letu ata kama mm n mkatoliki,, Askofu wetu Mungu akubariki sana
oh hivi kumbe hata mwanzilishi wenu alikuwa askofu ?
Malasusa unaliharibu kanisa,Kabudi naye anatambulika na litrujia??
Unawachosha waumini ila wanaogopa tu kukueleza
Kabudi mbona hapo kanisani unapeleka mambo ya kisiasa zaidi tofauti na ya kiroho.
Ameeen
Mbarikiwe saaana
UBARIKIWE SANA kwa Somo hili Mtumishi wa MUNGU.
😭😭😭
Hongereni watu wa tehama audio iko very clear!kama imepita studio ,filtered,and mastered. Hii setup nashauri team nzima inapaswa mui mention!
Ameeen
Leteni zaka kamili.
AMEN
watching from kenya you guys are our mentors.... how can we reach you?
Amen Asante sanaa
Hakika Mungu ni mwema
Asante MC kwa uamasishaji. Ubarikiwe.
Amen. Mungu atusaidie tumtolee Bwana mavuno yetu kwa ukarimu na uaminifu.
Amen Asante sanaa
Asante sana kwa ujumbe huu 🙏
Amen
Amen
MUNGU awabariki sana kwa utumishi