Zanzibar Today
Zanzibar Today
  • 81
  • 26 159

วีดีโอ

HABARI:-MANISPAA MJINI WAVUNJA MADUKA MAGOMENI MEYA MMILIKI AMESHALIPWA KAGOMA KUVUNJA MWENYEWE
มุมมอง 9K21 วันที่ผ่านมา
HABARI:-MANISPAA MJINI WAVUNJA MADUKA MAGOMENI MEYA MMILIKI AMESHALIPWA KAGOMA KUVUNJA MWENYEWE
WAZIRI SADA MKUYA AONGOZA ZOEZI LA USAFI.
มุมมอง 59021 วันที่ผ่านมา
Waziri Sada Mkuya aongoza zoezi la usafi Michenzani Akishirikiana na Afisi ya Meya wa jiji pamoja na Baraza la Manispaa Mjini magharibi ili kuhakikisha mji wa Zanzibar unakua safi na salama lengo kupunguza maradhi ya mripuko Zanzibar .
ALIETAPISHSHA CHOO CHA KINYESI ASHIKILIWA NA BARAZA LA MANISPAA AHATARISHA AFYA ZA WAKAAZI MITAANI
มุมมอง 51821 วันที่ผ่านมา
ALIETAPISHSHA CHOO CHA KINYESI ASHIKILIWA NA BARAZA LA MANISPAA AHATARISHA AFYA ZA WAKAAZI MITAANI
KUMEKUCHA:MANISPAA WAVUNJA CHOO CHA NJE YA NYUMBA UJENZI HOLELA BILA KUFATA TARATIBU ZA MIPANGO MIJI
มุมมอง 2.6K21 วันที่ผ่านมา
KUMEKUCHA:MANISPAA WAVUNJA CHOO CHA NJE YA NYUMBA UJENZI HOLELA BILA KUFATA TARATIBU ZA MIPANGO MIJI
JUMBA NA 5 KINYESI CHATAPAKAA MITAANI HARUFU KALI ZA KARO MARADHI YA KIPINDUPINDU HAYAKIMBILIKI
มุมมอง 41528 วันที่ผ่านมา
JUMBA NA 5 KINYESI CHATAPAKAA MITAANI HARUFU KALI ZA KARO MARADHI YA KIPINDUPINDU HAYAKIMBILIKI
WAHITIMU WA CHUO KIKUU CHA ZANZIBAR WAELEZA YAO KWA FURAHA
มุมมอง 698หลายเดือนก่อน
CHUO KIKUU CHA ZANZIBAR YAJIANDAA NA MAHAFALI YA 22 KWA KUELEZA MAFANIKIO PAMOJA NA MAENDELEO YA CHUO.
RAIS MWINYI AZINDUWA KAMPENI YA UPAKAJI RANGI MJI MKONGWE ZAID YA BILIONI 9 ZATENGWA
มุมมอง 1.9Kหลายเดือนก่อน
RAIS MWINYI AZINDUWA KAMPENI YA UPAKAJI RANGI MJI MKONGWE ZAID YA BILIONI 9 ZATENGWA
KUNA MENGI TUNAPITIA WAPANGAJI USAFI NI CHANGAMOTO KWA WAPANGAJI WA NYUMBA MOJA KODI INAPANDA
มุมมอง 317หลายเดือนก่อน
WAPANGAJI WANALAZIMIKA KURIPOTIWA KWA SHEHA ILI KUTAMBULIKA SEHEMU WANAYOTOKEA PAMOJA NA KUDUMISHA AMANI ILI KUJENGA UTAMADUNI NZURI WA JAMII.
AFISA: JAMII NI VYEMA KUJITOKEZA KWA WINGI ILI KUCHANGIA DAMU
มุมมอง 56หลายเดือนก่อน
MAHITAJI YA DAMU YANAZIDI KUONGEZEKA KATIKA JAMII KUTOKANA NA WINGI WA WAGONJWA NA UHITAJIKA WA DAMU
WAFADHILI JITOKEZENI KUWASAIDIA WATOTO YATIMA WAPATE HAKI KAMA WENGINE
มุมมอง 41หลายเดือนก่อน
WAFADHILI JITOKEZENI KUWASAIDIA WATOTO YATIMA WAPATE HAKI KAMA WENGINE
MUAKILISHI AHMADA: WAZAZI TOWENI MASHIRIKIANO KWA WALIMU WANAFUNZI WAFANIKIWE
มุมมอง 62หลายเดือนก่อน
MUAKILISHI AHMADA: WAZAZI TOWENI MASHIRIKIANO KWA WALIMU WANAFUNZI WAFANIKIWE
WEWE WA THAMANI FOUNDATION YAWAPIGA MSASA WAJASIRIAMALI WA MKOA WA KASKAZINI UNGUJA
มุมมอง 21หลายเดือนก่อน
WEWE WA THAMANI FOUNDATION YAWAPIGA MSASA WAJASIRIAMALI WA MKOA WA KASKAZINI UNGUJA
HABARI:MAKAMU WA PILI AHITIMISHA WIKI YA MAADHIMISHO YA USALAMA BARABARANI NA UZINDUZI WA MKAKATI
มุมมอง 90หลายเดือนก่อน
HABARI:MAKAMU WA PILI AHITIMISHA WIKI YA MAADHIMISHO YA USALAMA BARABARANI NA UZINDUZI WA MKAKATI
JESHI LA POLISI ZANZIBAR LAJIPANGA KUKABILIANA NA WAHALIFU WA BODABODA ZANZIBAR
มุมมอง 2.2Kหลายเดือนก่อน
JESHI LA POLISI ZANZIBAR LAJIPANGA KUKABILIANA NA WAHALIFU WA BODABODA ZANZIBAR
SAIKOLOJIA: HAKUNA AFYA BILA AFYA YA AKILI
มุมมอง 144หลายเดือนก่อน
SAIKOLOJIA: HAKUNA AFYA BILA AFYA YA AKILI
MAJENGO YA MJI MKONGWE YATAPAKWA RANGI YOTE BURE KUELEKEA KILELE CHA AAMDHIMISHO YA MJI MKONGWE
มุมมอง 1.1Kหลายเดือนก่อน
MAJENGO YA MJI MKONGWE YATAPAKWA RANGI YOTE BURE KUELEKEA KILELE CHA AAMDHIMISHO YA MJI MKONGWE
AJALI ZA BARABARANI ZINAEPUKIKA MADEREVA FATENI SHERIA ZA BARABARANI MWENDO KASI UNAUWA
มุมมอง 58หลายเดือนก่อน
AJALI ZA BARABARANI ZINAEPUKIKA MADEREVA FATENI SHERIA ZA BARABARANI MWENDO KASI UNAUWA
RC AYOUB ASISITIZA KUSIMAMIWA SHERIA ZA BARABARANI AAHIDI KUTOA MASHIRIKIANO NA MAMLAKA
มุมมอง 116หลายเดือนก่อน
RC AYOUB ASISITIZA KUSIMAMIWA SHERIA ZA BARABARANI AAHIDI KUTOA MASHIRIKIANO NA MAMLAKA
HABARI:-MADEREVA WASISITIZWA KUZINGATIA SHERIA NA ALAMA ZA BARABARANI AJALI ZINAEPUKIKA
มุมมอง 190หลายเดือนก่อน
HABARI:-MADEREVA WASISITIZWA KUZINGATIA SHERIA NA ALAMA ZA BARABARANI AJALI ZINAEPUKIKA
MAADHIMISHO YA WIKI YA USALAMA BARABARANI-ZANZIBAR BILA YA AJALI INAWEZEKANA TII SHERIA ZA BARABANI
มุมมอง 155หลายเดือนก่อน
MAADHIMISHO YA WIKI YA USALAMA BARABARANI-ZANZIBAR BILA YA AJALI INAWEZEKANA TII SHERIA ZA BARABANI
HABARI:-JUWALAZA YAADHIMISHISHA SIKU YA WATU WENYE ULEMAVU WA UZIWI
มุมมอง 234หลายเดือนก่อน
HABARI:-JUWALAZA YAADHIMISHISHA SIKU YA WATU WENYE ULEMAVU WA UZIWI
KITUO CHA DULLAH SUNDAY ACADEMY WAPEWA ELIMU YA UDHALILISHAJI KUTOKA ZAFELA
มุมมอง 49หลายเดือนก่อน
KITUO CHA DULLAH SUNDAY ACADEMY WAPEWA ELIMU YA UDHALILISHAJI KUTOKA ZAFELA
ZMA YARIDHIA ONGEZEKO LA BEI YA NAULI ZA BOTI WASAFIRI WALALAMIKIA HALI
มุมมอง 3982 หลายเดือนก่อน
ZMA YARIDHIA ONGEZEKO LA BEI YA NAULI ZA BOTI WASAFIRI WALALAMIKIA HALI
JAJI ASINA AWAPONGEZA WALIOTEULIWA KUWAANDIKISHA WANANCHI ASISITIZA UWAJIBIKAJI NA KUTENDA HAKI
มุมมอง 423 หลายเดือนก่อน
JAJI ASINA AWAPONGEZA WALIOTEULIWA KUWAANDIKISHA WANANCHI ASISITIZA UWAJIBIKAJI NA KUTENDA HAKI
TUME HURU YA UCHAGUZI YAKUTANA NA WADAU JUU YA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA
มุมมอง 523 หลายเดือนก่อน
TUME HURU YA UCHAGUZI YAKUTANA NA WADAU JUU YA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA
WADAU WA UCHAGUZI TUME HURU KUSHIRIKIANA KWA PAMOJA KUWASHIRIKISHA WANANCHI KUJIANDIKISHA
มุมมอง 593 หลายเดือนก่อน
WADAU WA UCHAGUZI TUME HURU KUSHIRIKIANA KWA PAMOJA KUWASHIRIKISHA WANANCHI KUJIANDIKISHA
THAMANI YA WAZAZI INAZIDI KUIMARISHWA NA KUDUMISHWA HUKO SKULIYA MIKINDANI DOLE, JIMBO LA BUBUBU.
มุมมอง 803 หลายเดือนก่อน
THAMANI YA WAZAZI INAZIDI KUIMARISHWA NA KUDUMISHWA HUKO SKULIYA MIKINDANI DOLE, JIMBO LA BUBUBU.
SKULI YA FARAJA INAZIDI KUWEKA HISTORIA NZURI KWA KUTOA DIVISION ONE ZISIZO NA IDADI.
มุมมอง 424 หลายเดือนก่อน
SKULI YA FARAJA INAZIDI KUWEKA HISTORIA NZURI KWA KUTOA DIVISION ONE ZISIZO NA IDADI.
MPANGO WA KURITHISHA ZANZIBAR YA KIJANI HUKO KATIKA VIWANJA VYA MAONESHO NYAMANZI.
มุมมอง 484 หลายเดือนก่อน
MPANGO WA KURITHISHA ZANZIBAR YA KIJANI HUKO KATIKA VIWANJA VYA MAONESHO NYAMANZI.

ความคิดเห็น

  • @SaidiMohamed-bj2wg
    @SaidiMohamed-bj2wg 10 วันที่ผ่านมา

    Rohombaya ndozao

  • @SaidiMohamed-bj2wg
    @SaidiMohamed-bj2wg 10 วันที่ผ่านมา

    Watu waunguja fanyeni kazi musitegemee vikosi mukiona wenzenu wanafanya biashara munawaonea wivu mukiacha kuwafungia maduka wapemba mwaingia sekta nyingine acheni umwinyi

    • @mohamedisimai
      @mohamedisimai 5 วันที่ผ่านมา

      Tuachieni unguja yetu kwan mmeitwa na ubaguz wako uwo uvivu tu wa kulima mihogo na karafuu

  • @Bistwishs
    @Bistwishs 14 วันที่ผ่านมา

    Nakwanini avunje mwenyewe hiyo kazi ni ya manispaa

  • @HadiaIddi-p4k
    @HadiaIddi-p4k 15 วันที่ผ่านมา

    Hongera sana muheshimiwa rais

  • @SaidShkel
    @SaidShkel 15 วันที่ผ่านมา

    Maisha yakupanga yametawaliwa Sana na uchoyo tu

  • @alinasor8553
    @alinasor8553 16 วันที่ผ่านมา

    Nyumba zina vibla zote wamezidisha zidisha

  • @alinasor8553
    @alinasor8553 16 วันที่ผ่านมา

    Izo chochoro zote washafanya fensi wtu wanatumia pamoja

  • @JandaalHaqeem
    @JandaalHaqeem 17 วันที่ผ่านมา

    Sasa ,wenye nyumba watakunya wapi😢

    • @mohamedisimai
      @mohamedisimai 5 วันที่ผ่านมา

      Usiukize watakunya vip uliza watakunya wapi ukitaka kujua wanakunya vip iangalie ww unakunywa vipi kwa kulala kusi ama kwa kwenda au kupaa 😂😂😂😂

  • @hawrajehan2398
    @hawrajehan2398 18 วันที่ผ่านมา

    Mh waziri huyo meya wa Mji hana maana hata kidogo,hafanyi jazi,hamsaidii Rais na ni mvivu,mitaro inatoa vinyesi Zanzibar anafatw meya anajibu ovyo kabisa wakati yye ndio mweny jukumu km serikali,mpuuzi huyu hafai

  • @MohdJumaa-q3l
    @MohdJumaa-q3l 18 วันที่ผ่านมา

    Imekuwa dunia mbele kuliko akhera. Watoto hawasomi Quran. Dunia bila ya Allah. Ni kiza tu.

  • @ToroliLaparfum-tz5wm
    @ToroliLaparfum-tz5wm 19 วันที่ผ่านมา

    Safi comrade

  • @fatmaahmed8637
    @fatmaahmed8637 19 วันที่ผ่านมา

    Hivi hadi hayoo mnayatoa mitandaoni Ulimwengu wote ujue!!!

  • @R10_Rajab
    @R10_Rajab 19 วันที่ผ่านมา

    Tatizo Masheha hawafanyi kazi zao why mtu tokea yupo msingi Sheha anashindwa kumsimamisha bhana

  • @KhalidMohd-n4q
    @KhalidMohd-n4q 20 วันที่ผ่านมา

    Hivyo kweli Zanzibar tumefikia hivyo jamani lakini tukome tunataka wenyewe na bado dou

  • @SaidShkel
    @SaidShkel 21 วันที่ผ่านมา

    Kwani simpeni elimu tu mpaka mumchkuwe hvo kwanguvu acheni kuwazalilisha wanyonge nyie,mtu pesa yakijio hana atawezaje kulipia gari lakunyonya taka.

  • @allymbarouk5362
    @allymbarouk5362 21 วันที่ผ่านมา

    Ninavyo ijua Zanzibar hapo wahanga watapewa compensation million 2😂😂😂

  • @NassibuSaid-h9t
    @NassibuSaid-h9t 21 วันที่ผ่านมา

    Mipango miji hamuifanyi kazi ipasavyo mnasubiri kujengwa ndio mnavunja wapimieni wananchi maeneo yao muwape muongozo mnasubiri ofisini 😅😮😢

  • @zuwenafakih3345
    @zuwenafakih3345 21 วันที่ผ่านมา

    Madhwalim wakubwa hawa .mm mpaka namba yangu nawapa waje niwape ushahidi .wanadhulumu nyumba nzima wanailipa milioni tisa je nani anweza kuvunja?

  • @IddiKhamis-u6c
    @IddiKhamis-u6c 21 วันที่ผ่านมา

    Hicho walicholipwa kinakidhi mali zao? Au wamepewa tu ilichojisikia serikali ili itoe sababu kua imewalipa?

  • @jumabonge8577
    @jumabonge8577 21 วันที่ผ่านมา

    aaa mjn nyee

  • @ussihussein9264
    @ussihussein9264 21 วันที่ผ่านมา

    Sio nne ni chache sana😊😊

  • @IsmailJuma-zb5ni
    @IsmailJuma-zb5ni 22 วันที่ผ่านมา

    Aaaa jose weee

  • @jeremiaaugustino7187
    @jeremiaaugustino7187 22 วันที่ผ่านมา

    maji ya ziwa...mito tumeyashindwa sasa tunawaza ya mvua

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 22 วันที่ผ่านมา

    Mbona ss hatujalipwa huko magomeni miaka kumi ss tunaxunguswatu

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh 22 วันที่ผ่านมา

      Mbona kuna watu wa magomeni kuna watu wamelipwa pesa mzuri tu

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 21 วันที่ผ่านมา

      @FatimaAli-of4gh magomeni sehem gani ss tupo magomeni. Suna kalibu na mosko kinondoni. Walioi0wa watu.viwanja mabwe pande sstuliyobaki bado mpaka leo

    • @Moc.khalfan
      @Moc.khalfan 21 วันที่ผ่านมา

      hio ni magomeni unguja Zanzibar​@@HanifaOman-oo4pl

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh 21 วันที่ผ่านมา

      ​@@HanifaOman-oo4pl Hii ni Magomeni ya zanzibar karibu na Sogea ndio naizungumzia wifi yangu anakaa huko kwao ilipita barabara watu walilipwa kwa dar sina aidia yoyote ndugu yangu

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 21 วันที่ผ่านมา

      @FatimaAli-of4gh Aha kumbe nilizani Dr. Asante nduguyangu jazakrllah khaillah

  • @Lundege_Hips
    @Lundege_Hips 22 วันที่ผ่านมา

    Safi sana hapa Serekali mupo sahihi

  • @alirashid4887
    @alirashid4887 24 วันที่ผ่านมา

    Roho mbaya tuu inawasumbua kudadeki

  • @FarhiyaMakame
    @FarhiyaMakame 24 วันที่ผ่านมา

    wow kaz pambee❤

  • @tawakalmohammadsalum4252
    @tawakalmohammadsalum4252 25 วันที่ผ่านมา

    Duh hatri jii

  • @husseynomar9523
    @husseynomar9523 26 วันที่ผ่านมา

    Dooh....😢

  • @bindawood978
    @bindawood978 27 วันที่ผ่านมา

    Domo jumba ya maneno

  • @ZalihaSalum
    @ZalihaSalum 27 วันที่ผ่านมา

    😮

  • @SitiKhamis-tj8qy
    @SitiKhamis-tj8qy หลายเดือนก่อน

    Kazi nzry inavutia kwakweli❤

  • @SitiKhamis-tj8qy
    @SitiKhamis-tj8qy หลายเดือนก่อน

    Mashaallah ❤

  • @MwanahawaAusi
    @MwanahawaAusi หลายเดือนก่อน

    Kazi nzri

  • @SATZ-news
    @SATZ-news หลายเดือนก่อน

    Safi sana wewe ndo Rais hongera kwaa kuoendezesha mji... Sio hapa kwetu wanatumbua macho tyuu na wamekwamia kwenye miradi ya Magufuli tu!!!😊

  • @sabraomar7277
    @sabraomar7277 หลายเดือนก่อน

    Zanzibar today muko vizry mno

  • @AbdulrahmanMuhammad-g3x
    @AbdulrahmanMuhammad-g3x หลายเดือนก่อน

    mwakilishi hongrr

  • @AbdulrahmanMuhammad-g3x
    @AbdulrahmanMuhammad-g3x หลายเดือนก่อน

    big work

  • @NasmaMuhunzi
    @NasmaMuhunzi หลายเดือนก่อน

    Wow ❤

  • @NasmaMuhunzi
    @NasmaMuhunzi หลายเดือนก่อน

  • @NasmaMuhunzi
    @NasmaMuhunzi หลายเดือนก่อน

  • @HamadKhamisi-g9x
    @HamadKhamisi-g9x หลายเดือนก่อน

    Dah haya mmb KWELI mn hayasemeki yan hongereni kw kuyaona haya big up

  • @KhadijaSharf
    @KhadijaSharf หลายเดือนก่อน

    Seif hii nikaz nzur sana hongera kwa kutumia vionjo natumbueni tunawafatlia sana nawape❤

    Seif hii kaz nzur sana hongera kwa kutumia vionjo vya misemo pia kamera wenu Big up na kiongoz wenu.na pia twafatilia cn .nawap❤

  • @Gavi_255
    @Gavi_255 หลายเดือนก่อน

    Safi sana

  • @awenamuhammed
    @awenamuhammed หลายเดือนก่อน

    Kusema ukweli Rais mwinyi anahuruma Kwa wananchi wake

  • @BimuAbdulkadir-ci4te
    @BimuAbdulkadir-ci4te หลายเดือนก่อน

    MashaAllah tabarakallah❤

  • @harounali9057
    @harounali9057 หลายเดือนก่อน

    Hongera Vodacom Zanzibar