Masjidilfadhli-kipumbwi
Masjidilfadhli-kipumbwi
  • 291
  • 244 720

วีดีโอ

SEHEMU YA 18/DARSA YA 4/TARJAMAH-Sheikh Kondo Abul A'aliyah حفظه الله (ARABIC COURSE BOOK 2)
มุมมอง 301ปีที่แล้ว
Subscribe kwa mwendelezo
SEHEMU YA 16/DARSA YA 3/MUKHTASAR-Sheikh Kondo Abul A'aliyah حفظه الله (ARABIC COURSE BOOK 2)
มุมมอง 189ปีที่แล้ว
Subscribe kwa mwendelezo
SEHEMU YA 15/DARSA YA 3/MAZOEZI C-Sheikh Kondo Abul A'aliyah حفظه الله (ARABIC COURSE BOOK 2)
มุมมอง 133ปีที่แล้ว
Subscribe kwa mwendelezo
SEHEMU YA 14/DARSA YA 3/MAZOEZI B-Sheikh Kondo Abul A'aliyah حفظه الله (ARABIC COURSE BOOK 2)
มุมมอง 179ปีที่แล้ว
Subscribe kwa mwendelezo
SEHEMU YA 13/DARSA YA 3/MAZOEZI A-Sheikh Kondo Abul A'aliyah حفظه الله (ARABIC COURSE BOOK 2)
มุมมอง 127ปีที่แล้ว
Subscribe kwa mwendelezo
SEHEMU YA 12/DARSA YA 3/TARJMA-Sheikh Kondo Abul A'aliyah حفظه الله (ARABIC COURSE BOOK 2)
มุมมอง 211ปีที่แล้ว
Subscribe kwa mwendelezo
SEHEMU YA 11/DARSA YA 3/MALENGO YA DARSA-Sheikh Kondo Abul A'aliyah حفظه الله (ARABIC COURSE BOOK 2)
มุมมอง 5442 ปีที่แล้ว
SEHEMU YA 11/DARSA YA 3/MALENGO YA DARSA-Sheikh Kondo Abul A'aliyah حفظه الله (ARABIC COURSE BOOK 2)
KIFO CHA HUSSEIN 02 رضي الله عنه/NANI ALIEMUUA HUSSEIN?-Sheikh Abul Fadhli Kassim Mafuta حفظه الله
มุมมอง 9572 ปีที่แล้ว
KIFO CHA HUSSEIN 02 رضي الله عنه/NANI ALIEMUUA HUSSEIN?-Sheikh Abul Fadhli Kassim Mafuta حفظه الله
HISTORIA YA KIFO CHA HUSSEIN 01/NANI ALIEMUUA HUSSEIN?-Sheikh Abul Fadhli Kassim Mafuta حفظه الله
มุมมอง 1.3K2 ปีที่แล้ว
HISTORIA YA KIFO CHA HUSSEIN 01/NANI ALIEMUUA HUSSEIN?-Sheikh Abul Fadhli Kassim Mafuta حفظه الله
SEHEMU YA 10/DARSA YA PILI/MUKHTASAR-Sheikh Kondo Abul A'aliyah حفظه الله ورعاه
มุมมอง 2942 ปีที่แล้ว
SEHEMU YA 10/DARSA YA PILI/MUKHTASAR-Sheikh Kondo Abul A'aliyah حفظه الله ورعاه
MAJIBU DHIDI YA DR.ISLAM MUHAMMAD 4C-Sheikh Abul Fadhli Kassim Mafuta Kassim حفظه الله
มุมมอง 5542 ปีที่แล้ว
MAJIBU DHIDI YA DR.ISLAM MUHAMMAD 4C-Sheikh Abul Fadhli Kassim Mafuta Kassim حفظه الله
MAJIBU DHIDI YA DR.ISLAM MUHAMMAD 4B-Sheikh Abul Fadhli Kassim Mafuta Kassim حفظه الله
มุมมอง 4052 ปีที่แล้ว
MAJIBU DHIDI YA DR.ISLAM MUHAMMAD 4B-Sheikh Abul Fadhli Kassim Mafuta Kassim حفظه الله
MAJIBU DHIDI YA DR.ISLAM MUHAMMAD 4A-Sheikh Abul Fadhli Kassim Mafuta Kassim حفظه الله ورعاه
มุมมอง 2692 ปีที่แล้ว
MAJIBU DHIDI YA DR.ISLAM MUHAMMAD 4A-Sheikh Abul Fadhli Kassim Mafuta Kassim حفظه الله ورعاه
SEHEMU YA 9/DARSA YA PILI/MAZOEZI-Sheikh Kondo Abul A'aliyah حفظه الله(ARABIC COURSE BOOK 2)
มุมมอง 2672 ปีที่แล้ว
SEHEMU YA 9/DARSA YA PILI/MAZOEZI-Sheikh Kondo Abul A'aliyah حفظه الله(ARABIC COURSE BOOK 2)
SEHEMU YA 8/DARSA YA PILI/TARJAMA-Sheikh Kondo Abul A'aliyah حفظه الله
มุมมอง 2072 ปีที่แล้ว
SEHEMU YA 8/DARSA YA PILI/TARJAMA-Sheikh Kondo Abul A'aliyah حفظه الله
MAJIBU DHIDI YA DR.ISLAM MUHAMMAD 4A-Sheikh Abul Fadhli Kassim Mafuta Kassim حفظه الله ورعاه
มุมมอง 2822 ปีที่แล้ว
MAJIBU DHIDI YA DR.ISLAM MUHAMMAD 4A-Sheikh Abul Fadhli Kassim Mafuta Kassim حفظه الله ورعاه
SEHEMU YA 7/DARSA YA 2/MALENGO YA DARSA HII-Sheikh Kondo Abul A'aliyah حفظه الله
มุมมอง 1682 ปีที่แล้ว
SEHEMU YA 7/DARSA YA 2/MALENGO YA DARSA HII-Sheikh Kondo Abul A'aliyah حفظه الله
SEHEMU YA 6/DARSA YA KWANZA/MUKHTASAR-Sheikh Kondo Abul A'aliyah حفظه الله(ARABIC COURSE BOOK 2)
มุมมอง 3152 ปีที่แล้ว
SEHEMU YA 6/DARSA YA KWANZA/MUKHTASAR-Sheikh Kondo Abul A'aliyah حفظه الله(ARABIC COURSE BOOK 2)
MAJIBU DHIDI YA DR.ISLAM MUHAMMAD 3C-Sheikh Abul Fadhli Kassim Mafuta Kassim حفظه الله ورعاه
มุมมอง 3442 ปีที่แล้ว
MAJIBU DHIDI YA DR.ISLAM MUHAMMAD 3C-Sheikh Abul Fadhli Kassim Mafuta Kassim حفظه الله ورعاه
MAJIBU DHIDI YA DR.ISLAM MUHAMMAD 3B-Sheikh Abul Fadhli Kassim Mafuta Kassim حفظه الله
มุมมอง 3882 ปีที่แล้ว
MAJIBU DHIDI YA DR.ISLAM MUHAMMAD 3B-Sheikh Abul Fadhli Kassim Mafuta Kassim حفظه الله
MAJIBU DHIDI YA DR.ISLAM MUHAMMAD 3A-Sheikh Abul Fadhli Kassim Mafuta Kassim حفظه الله ورعاه
มุมมอง 4972 ปีที่แล้ว
MAJIBU DHIDI YA DR.ISLAM MUHAMMAD 3A-Sheikh Abul Fadhli Kassim Mafuta Kassim حفظه الله ورعاه
MAJIBU DHIDI YA DR.ISLAM MUHAMMAD 2C-Sheikh Abul Fadhli Kassim Mafuta Kassim حفظه الله ورعاه
มุมมอง 4602 ปีที่แล้ว
MAJIBU DHIDI YA DR.ISLAM MUHAMMAD 2C-Sheikh Abul Fadhli Kassim Mafuta Kassim حفظه الله ورعاه
MAJIBU DHIDI YA DR.ISLAM MUHAMMAD 2B-Sheikh Abul Fadhli Kassim Mafuta Kassim حفظه الله ورعاه
มุมมอง 2502 ปีที่แล้ว
MAJIBU DHIDI YA DR.ISLAM MUHAMMAD 2B-Sheikh Abul Fadhli Kassim Mafuta Kassim حفظه الله ورعاه
MAJIBU DHIDI YA DR. ISLAM MUHAMMAD 2A-Sheikh Abul Fadhli Kassim Mafuta Kassim حفظه الله ورعاه
มุมมอง 5602 ปีที่แล้ว
MAJIBU DHIDI YA DR. ISLAM MUHAMMAD 2A-Sheikh Abul Fadhli Kassim Mafuta Kassim حفظه الله ورعاه
MAJIBU DHIDI YA DR. ISLAM WA MOMBASA 1B-Sheikh Abul Fadhli Kassim Kassim حفظه الله
มุมมอง 3282 ปีที่แล้ว
MAJIBU DHIDI YA DR. ISLAM WA MOMBASA 1B-Sheikh Abul Fadhli Kassim Kassim حفظه الله
MAJIBU KWA DR. ISLAM MUHAMMAD WA MOMBASA NO 1A-Sheikh Abul Fadhli Kassim Mafuta Kassim حفظه الله
มุมมอง 6422 ปีที่แล้ว
MAJIBU KWA DR. ISLAM MUHAMMAD WA MOMBASA NO 1A-Sheikh Abul Fadhli Kassim Mafuta Kassim حفظه الله
UONGO WA MASHIA DHIDI YA MASWAHABA رضي الله عنهم- Sheikh Abul Fadhli Kassim Kassim حفظه الله
มุมมอง 982 ปีที่แล้ว
UONGO WA MASHIA DHIDI YA MASWAHABA رضي الله عنهم- Sheikh Abul Fadhli Kassim Kassim حفظه الله
TAHADHARI JUU YA JANGA LA USHOGA NA USAGAJI 1A-Abuu Abdillah Fahad Abdallah Hanein حفظه الله
มุมมอง 2092 ปีที่แล้ว
TAHADHARI JUU YA JANGA LA USHOGA NA USAGAJI 1A-Abuu Abdillah Fahad Abdallah Hanein حفظه الله

ความคิดเห็น

  • @ahmadmzoa74
    @ahmadmzoa74 5 หลายเดือนก่อน

    That's..

  • @ahmadmzoa74
    @ahmadmzoa74 5 หลายเดือนก่อน

    Total approved failure Daawa. Matamanio ya nafsi hana mashiko Qasim. Angeacha khusuma, hasadi na malumbano angekuwa Daai' mzuri. Lakini pia wanaokuzunguka hawakusaidii zaidi ya ushabiki.

  • @ahmadmzoa74
    @ahmadmzoa74 5 หลายเดือนก่อน

    Total approved failure Daawa.

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 7 หลายเดือนก่อน

    Sasa hizi nguvu mngekuwa mnazielekeza watu wa sunna wote kwa makhurafi na mashia ingekuwa jihadi kubwa sana na mngezivunja vunja bidaa na shirki, lakini muda mwengine mnashambliana wenyewe kwa wenyewe ahlsunna tofauti ndogo ndogo mpk mnatoana kwenye sunna, shikamaneni ahlsuna kwa ahlsunna msiwape nguvu ahlu bidaa ingekuwa vzr sana

  • @ahmedabdulwahab5444
    @ahmedabdulwahab5444 10 หลายเดือนก่อน

    Your not addressing issues but personality. Hio ni upuzy. Will not give you any millage on your popularity your looking for. It's only Barking.

  • @ahmedabdulwahab5444
    @ahmedabdulwahab5444 10 หลายเดือนก่อน

    Challenge with Dr Islam on Hiwar or Niqash without any barking?

  • @ahmedabdulwahab5444
    @ahmedabdulwahab5444 10 หลายเดือนก่อน

    Usless repeatation by Kassim Mafuta and his groups without any reference to Quran and Sunna.

  • @twahaabrahman-ev8co
    @twahaabrahman-ev8co 10 หลายเดือนก่อน

    ALLAH ilinde hii ngome

  • @JUMARAJABUKACHEPA-jp3nc
    @JUMARAJABUKACHEPA-jp3nc ปีที่แล้ว

    Mashaallaah

  • @mussakhamis-g8c
    @mussakhamis-g8c ปีที่แล้ว

    HASANAT WA QABIHAT AMESEMA IMAM NAWAWI HIZO NI AINA ZA BIDAA

  • @mussakhamis-g8c
    @mussakhamis-g8c ปีที่แล้ว

    MNATUCHANGANYA HATUWAELEWIIIIIIIIIIII!!!! Mbona Imam Nawawi mnasema kazigawa bidaa nzuri na mbaya au sijamsikia vizuri pale dakika ya 31??

  • @JabirHaji-vj2nf
    @JabirHaji-vj2nf ปีที่แล้ว

    Njoo tumbatu jongowe tukufahamishe historia ya msikitini huo usijisemee tu mambo ambayo huyajui

    • @shahabdallah9407
      @shahabdallah9407 ปีที่แล้ว

      Nlichofuatilia hyu sheikh anaupinga kwa vile Madheheb anayofuata yy hayafanan na madheheb y wtu wnaoushughlkia huo mckiti

  • @Ummy891
    @Ummy891 ปีที่แล้ว

    حفظك الله يا شيخنا

  • @kadiraliigaya444
    @kadiraliigaya444 ปีที่แล้ว

    اجعل هذا الدرس في telegram يا شيخنا بفضلك

  • @abuualbany
    @abuualbany ปีที่แล้ว

    بَارَكَ اللّٰهُ فِيْكَ شَيْخَنَا

  • @AbdallahSalim-fs6ti
    @AbdallahSalim-fs6ti ปีที่แล้ว

    ALLAH akuhifadhi sheikh Abul Fadhli unaeleweka kabisa maneno ambayo hata mtoto anaelewa.

  • @abuumuslim3601
    @abuumuslim3601 ปีที่แล้ว

    ❤ ما شاء الله

  • @maryamhamad4682
    @maryamhamad4682 ปีที่แล้ว

    Jazakallah khayr, tunaomba Darsa la 14-20

  • @seifngane5262
    @seifngane5262 2 ปีที่แล้ว

    Assalam alaykukum warahmatullah, mbona darasa hii haziendelei tena

  • @ilhamb1287
    @ilhamb1287 2 ปีที่แล้ว

    Tunawashuku mno tunafuatilia darsa

  • @abuuuyaynah698
    @abuuuyaynah698 2 ปีที่แล้ว

    جزاك الله خيرا

  • @aminirashid2833
    @aminirashid2833 2 ปีที่แล้ว

    Jazakawallahu khaira

  • @aminirashid2833
    @aminirashid2833 2 ปีที่แล้ว

    Jazakawallahu khaira sheikh

  • @yussufhamad3721
    @yussufhamad3721 2 ปีที่แล้ว

    Hogera sana shekh Allah akuhifadhi

  • @saidisalum1514
    @saidisalum1514 2 ปีที่แล้ว

    جزاك الله خيرا

  • @ilhamb1287
    @ilhamb1287 2 ปีที่แล้ว

    Allah awalipe

  • @ilhamb1287
    @ilhamb1287 2 ปีที่แล้ว

    Maa shaa Allah

  • @amourmakame9795
    @amourmakame9795 2 ปีที่แล้ว

    Masha Allah

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 2 ปีที่แล้ว

    Jazakallah khaillah shehewetu kwa ukumbusho

  • @HashimAli-uh6bo
    @HashimAli-uh6bo 2 ปีที่แล้ว

    MashaAllah sheikh wetu Allah akuhifadhi

  • @selemanismail247
    @selemanismail247 2 ปีที่แล้ว

    BarakAllahu feekum

  • @jamilaawaz7798
    @jamilaawaz7798 2 ปีที่แล้ว

    Allah muhifadhi sheikh wetu

  • @saidkhamisi9592
    @saidkhamisi9592 2 ปีที่แล้ว

    Jazakallahu khaira yaa abal Faadhil Allah akuhifadhi na akubarikie katika Elmu yako

  • @ahmadmzoa74
    @ahmadmzoa74 2 ปีที่แล้ว

    Waharibifu wa Dini.Vijana wanaojinasbisha na Usalafi wanatoa matusi kutoka vinywani mwao.Msiba mkubwa.

  • @ahmadmzoa74
    @ahmadmzoa74 2 ปีที่แล้ว

    Hivi ule muhadhara mmoja tu ndo unazaa raddi zote hizi ???!!!Au kuna jambo jingine. Waislamu wa kweli huwa hata kama wamegombana huchunga mipaka ili wasije ingia ktk aina ya nne ya unafiki "Na pindi wanapogombana hupitukia mipaka "Fortunately enough hapa hakuna ugomvi. Swali kuhusu Manhaj Assalafi lilijibiwa na Dr.Islam kwa mujibu wa kauli ya mwanachuoni mkubwa Shaykh Uthaymin Rahimahu LLAH.

  • @ahmadmzoa74
    @ahmadmzoa74 2 ปีที่แล้ว

    Akiacha Hasadi na maneno ya kejeli atakuwa Dai anaefuta mienendo ya wema waliotangulia. Lakini kwa mwenendo huu ameprove failure.

  • @ahmadmzoa74
    @ahmadmzoa74 2 ปีที่แล้ว

    Hata ziwe raddi Mia moja kwa muhadhara mmoja. Inaonesha namna gani hupendi haki ìzungumzwe na mwingine, uwe wewe tu shekhe wetu. Mche MOLA.

    • @ilyasabdul-malik4571
      @ilyasabdul-malik4571 6 หลายเดือนก่อน

      Kaka bc ata hoja huzisikii bac au hujasikiliza mwanzo mwisho kaka, au just ndo unamchukia shekh kassim tu ata kama anazungumza haqqi??

    • @ahmadmzoa74
      @ahmadmzoa74 6 หลายเดือนก่อน

      @@ilyasabdul-malik4571 Mimi nina flash niliyoipata Dodoma miaka kadhaa ni msikilizaji wa darsa zake na ninampenda kwa ajili ya ALLAH SUBHANAHU WATAALA.Na WALILLAHIL HAMDU chuki si tabia yangu.Tunafaidika na darsa zake. Lakini tutambue yeye kama binadamu wengine sio (Maasumiin) anapatia na anakosea.Na kama sisi tunampenda ki LILLAHI tumsadie. Kuamini hakosei hayo ni mapungufu ktk Aqida sahihi. Tuwe wakweli tuache mihemuko.

  • @ahmadmzoa74
    @ahmadmzoa74 2 ปีที่แล้ว

    Tuache kujitukuza. Dr. Islam amenukulu. Au wewe unamradi kiana almarhum al a'lama Shaykh Uthaymin Rahimahu LLAH. Manake jamii inawalewa nidhamu zenu.Ittaqi sheikh wetu .

  • @ahmadmzoa74
    @ahmadmzoa74 2 ปีที่แล้ว

    Tuache Hasad.Kababaisha nini?!Acha Hasad shekhe. Kwani wewe una hati milking ya huo Usalafi??!!!

  • @hayfsrajnah222
    @hayfsrajnah222 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah, Allah amuhifadhi sheikh wetu. Allahumma amin......

  • @mwantumsaleh1991
    @mwantumsaleh1991 2 ปีที่แล้ว

    Allah akuongeze mafuta baramika

  • @ekishaschool163
    @ekishaschool163 2 ปีที่แล้ว

    Baaraka llaahu fiyka wajazaaka llaahu khayraa

  • @ekishaschool163
    @ekishaschool163 2 ปีที่แล้ว

    Baaraka llaahu fiyka wajazaaka llaahu khayraa

  • @مبغضالبدع-ع9ص
    @مبغضالبدع-ع9ص 2 ปีที่แล้ว

    Haya ametangaza Islam kuwa yuko tayari kwa mjadala, ameambiwa watu wako tayari! Aseme wapi na lini afuatwe! Anacheza na usalafy! Ataporomoka asipo rudi nyuma.

    • @ilyasabdul-malik4571
      @ilyasabdul-malik4571 6 หลายเดือนก่อน

      Dini sio ligi sio masindano au ushabiki ndugu yangu Angalia na kusikiza kinacho zungumzwa

  • @مبغضالبدع-ع9ص
    @مبغضالبدع-ع9ص 2 ปีที่แล้ว

    شكر الله سعيكم وثبتكم الله على الحق.

  • @worldresearcher7423
    @worldresearcher7423 2 ปีที่แล้ว

    Mwambieni sheih mafuta awaradd mahajaawira..,

  • @allyjaffar7072
    @allyjaffar7072 2 ปีที่แล้ว

    Allaah amtie nguvu Shaykh letu Abuwlfadhwl Qaasim Mafuta...

  • @shariftwahir8493
    @shariftwahir8493 2 ปีที่แล้ว

    Allah akuhifadh shekh letu

  • @athumanj.buyogela9295
    @athumanj.buyogela9295 2 ปีที่แล้ว

    Khutba nzur sana Maashaallaah

  • @shariftwahir8493
    @shariftwahir8493 2 ปีที่แล้ว

    Allah akuhifadh