- 48
- 24 259
Servant Ivan Kibiki
เข้าร่วมเมื่อ 10 มิ.ย. 2022
Am free indeed
KUTOKUSAMEHE KUNAONDOA MATUMIZI BORA YA FURSA
KUTOKUSAMEHE KUNAONDOA MATUMIZI BORA YA FURSA
มุมมอง: 36
วีดีโอ
MAHOJIANO LIVE NA MWAKILISHI WA ONLINE TV. KARIBU SANA UNUFAIKE. Mwl Ivan Kibiki
มุมมอง 74วันที่ผ่านมา
MAHOJIANO LIVE NA MWAKILISHI WA ONLINE TV. KARIBU SANA UNUFAIKE. Mwl Ivan Kibiki
WHO IS SUPPOSED TO BE THE FIRST? Ev Ivan Kibiki
มุมมอง 2414 วันที่ผ่านมา
WHO IS SUPPOSED TO BE THE FIRST? Ev Ivan Kibiki
MWANAMKE AKIOMBA NGUO SIYO KWAMBA HANA
มุมมอง 44514 วันที่ผ่านมา
MWANAMKE AKIOMBA NGUO SIYO KWAMBA HANA
KUNA TOFAUTI KUBWA SANA KATI YA UNYONGE NA UNYENYEKEVU.
มุมมอง 3674 หลายเดือนก่อน
Video from ivankibiki29
SABABU KUU YA MAHUSIANO/NDOA KUVUNJIKA. Mwalimu Ivan Kibiki
มุมมอง 3654 หลายเดือนก่อน
SABABU KUU YA MAHUSIANO/NDOA KUVUNJIKA. Mwalimu Ivan Kibiki
JE, KANISA KATOLIKI LINAPINGA MAOMBI YA SAUTI NA KULIALIA?
มุมมอง 4774 หลายเดือนก่อน
JE, KANISA KATOLIKI LINAPINGA MAOMBI YA SAUTI NA KULIALIA?
ROHO MTAKATIFU NDANI YA AKILI YA MWANADAMU
มุมมอง 945 หลายเดือนก่อน
ROHO MTAKATIFU NDANI YA AKILI YA MWANADAMU
BABA WA FAMILIA FANYA HIVI: Mwalimu Ivan Kibiki
มุมมอง 3587 หลายเดือนก่อน
BABA WA FAMILIA FANYA HIVI: Mwalimu Ivan Kibiki
UNAPOSTAAFU UONGOZI Mwalimu Ivan Kibiki
มุมมอง 3077 หลายเดือนก่อน
UNAPOSTAAFU UONGOZI Mwalimu Ivan Kibiki
TAFUTA MFARIJI SAHIHI UNAPOPATA MATATIZO
มุมมอง 3007 หลายเดือนก่อน
TAFUTA MFARIJI SAHIHI UNAPOPATA MATATIZO
SEMINAR YA WANAUME, FELLOWSHIP YA CITY CENTRE DAR ES SALAAM. Mwalimu Ivan Kibiki
มุมมอง 731ปีที่แล้ว
SEMINAR YA WANAUME, FELLOWSHIP YA CITY CENTRE DAR ES SALAAM. Mwalimu Ivan Kibiki
Naam mwalimu
kaka Barikiwa Sanaa Kwa UJUMBE huu
❤
😅
Sure
Hapo mtumishi kwenye ufundisho hilo bado kuna mapungu ya kimaelezo. Yesu alisema kwa Jina la Baba na mwana na Roho mtakatifu swali je alitaka watu wabatizwe kwa marin mahatma?a Ubatizo wa Yesu ni wa moto na Roho hili pia linahitaji ufafanuzi Lakini kama maana ya batiza ni kuzamisha wawezaje kupata usahihi wa ubatizo katika maji kidogo?
@@dolnaduswege1984 Asante sana kwa mchango wako
Ahsante sana Kaka Ivan kwa mafundisho haya mazuri na kutupa ujuzi mkubwa...
Thank you Papa for the ministry
❤
Amen baba....Asante sana
Ubarikiwe Baba
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu 🙏🙏
UBARIKIWE SANA MTUMISHI KWA MAFUNDISHO YAKO MAZURI
Passwords hizi ...🎉Keys🎉🎉.
Hongera sana Mwl Ivan kwa huduma kubwa unayoifanya ya kumtumikia Mungu.
Mtumishi Mungu aendelee kukuinua sana
Aminaaa
AMINA...Asante baba nimekuelewa vizuriii. Ubarikiwe sana 🙏
Baba endelea kutuelekeza sisi, usiwasililize wasioamini unachokiamini.... Mungu atujalie hekima katika kulielewa neno lake na sio kilikariri
Amina
Amina Baba ukweli mtupu.
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu
Somo zuri sana,,,,Mungu akubariki sana ili uendelee kutupa maarifa haya muhimu kwa maisha yetu
AMINA
Hata mimi naunga mkono sala za sauti. Lakini ni busara kutofautisha kati ya Kupayuka na kupaza sauti. Kulia na Kulialia.
@@GervasLyimo-f7p Kupayuka ni kuongea mambo yasiyo na maana. Yesu ni MUNGU na alisema Kuna watu wanapayuka kwa sababu alikuwa anaona ndani ya mioyo ya watu. Wewe na Mimi huo uwezo tunao hata tuseme watu wanapayuka?
12:10 kiingiacho kinywani si haramu bali kitokacho kinywani.Shida matokeo ya pombe hayatuacha salama kimwili,roho na akili.Yatubidi kutumia kiasi tu.
Mwanaume anafanya kazi ngumu. Mwanamke kazi nyepesi za jikoni tu. Kufua,kupika, kufagia. Huyo ni mwanamke wa karne zileeeeee😂. Mwanamke wa leo ni tingatinga, anapiga kazi inatisha bro!.
Binafsi naamini lengo la fundisho lipo salama kabisaaa
Ubarikiwe sana baba hakika ni ujumbe mzuri sana huu nimejifunza🙏
❤️❤️
mchungaji wewe Pia nimlevi mahandiko Yana sema tusilewe kwa mvinyo Bali tujazwe roho takatifu
Pombe ni najisi na ndiyo maana mungu akaiaramisha.
Pombe ingekuwa mbaya kwanini Mungu aliruhusu iwepo duniani?
Asnteeeeeee Sana mwl
Ongera sana mwalimu Mungu akupe mafunuo mengi zaidi
Great
Mwalimu niko kwenye group lako mwaka wa pili sasa ila leo ndio nimejua una youtube channel
Hongeraa sana mtumishi Mungu amekutumia sana kutuimarisha.Ubarikiwe sana
Huu ni upotovu, mithali20:1 mlevi ana kelele,ni mwenye ungomvi, pia inadhohofisha afya. Pombe pia upotosha maandili. Genesis 19:32-38 baba hakujua akilala na wanawe. Genesis 9:20-27 inaketa laana kwa vizazi. mithali31:3 -7
Ameeee.❤❤❤❤
Nakubaliana na wewe mtumishi,ila ni vyema kukaaa mbali na pombe maana mara nyingi umpelekea mnywaji kufanya matendo ya uovu pasipo kufikiri kwa usahihi,,,,,pombe uzima sub conscious mind.
Amina Baba
Amen. Ameni
Enough is enough in Jesus name AMEN AMEN and AMEN 🙏
Mungu akutunze
Hiki ndio huwa kina sumbua vichwa vya wakristu wengi
Upon vizuri mwalimu
Aksante kwa kutukumbusha mwl
Barikiwa sana mtumishi wa Bwana
Kama unakakuwa mtu safi usinywe pombe
❤🎉🎉🎉🎉 Mungu akubariki na kukupa faraja