- 5
- 36 092
NAYOTH MORAVIAN CHOIR
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 25 พ.ค. 2022
MWIMBIEN BWANA WIMBO MPYA KWA MAANA AMETENDA MAMBO YA AJABU. ZABURI 98:1
INJILI-NAYOTH MORAVIAN CHOIR IRINGA ROAD DODOMA
Injili ni uweza wa Bwana uletao wokovu naamini utabarikiwa na ujumbe huu mzuri karibu kwa kusikiliza na kuufanyia kazi.
มุมมอง: 4 381
วีดีโอ
NAYOTH MORAVIAN CHOIR -NIRUDIENI MIMI IRINGA ROAD DODOMA
มุมมอง 3.8K2 ปีที่แล้ว
Karibu tena upokee ujumbe wa neno la Mungu kwa njia ya uimbaji unaotutaka kumrudia muumba wetu.
NAYOTH MORAVIAN CHOIRI KIONGOZI MWEMA IRINGA ROAD DODOMA
มุมมอง 1.7K2 ปีที่แล้ว
YESU NIKIONGOZI MWEMA KATIKA MAISHA YETU SIKU ZOTE KARIBU USIKILIZE UJUMBE HUU NAAMINI UTABARIKIWE MNO.
NAYOTH MORAVIAN CHOIR -UTUKUFU NA HESHIMA
มุมมอง 4.4K2 ปีที่แล้ว
Naamini utabarikiwa na ujumbe huu wa neno la Mungu karibu sana Mtu wa Mungu.
Nayoth Moravian Choir - RAFIKI MWEMA
มุมมอง 22K2 ปีที่แล้ว
Karibu upokee ujumbe huu utakaobariki maisha yako.
Hata sisi huku ughaibuni tunawapata vilivyo
Nice songo
Wimbo mzuri Sana unanibariki
Wimbo mzuri Sana unanibariki
Mungu azidi kuwainua Zaid ktk viwango vya juu
balikiwe Sana
Bal
Amina Mungu awabariki vijana kutoka jiji la Dodoma
🔥🔥🔥🔥🔥 ameen
Wimbo mzuri nimeupenda ,,,hiyoo ni Elimu tosha kwa watu kama haooo,, lkn MUNGU peke yake anaweza kuwa rafiki mwema
MUNGU Awabariki sana
Injili lazima iendee watu waokoke 🔥🔥🔥🔥🔥🔥am great full 2 b a member of NAYOTH MORAVIAN Kwaya💓💓
Hongereni saana 👍👍
One love my choir Mungu azidi kuwainua❤
🔥🔥🔥🔥
Anointing🔥🔥🔥
Nafurah kuwaona wapendwa wangu .gasto,zai na wengineo mbarikiwe sana
Najiona mm😁😁 MALAFYALE ELECTRICAL WORKS 💡💡.... Kiukwel kazi nzur Sana .. Mungu ibariki NAYOTH MORAVIAN Kwaya 💓💓💓💓💓💓🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Wawoooo
Good wimbo mzuri sana
Amen ,mbarikiwe sana watumishi.
Waoooooo
hongeren marafyale
Kazi nzuri Mungu awabariki
Fantastic, well done NMC Dodoma
Awesome. I have been blest and have shared clip. God bless you big sweet songbirds.
Kazi nzuri sana
Choir and not choiri
Hongereni KAZI nzuri sana
Amina mtumishi
Haleluya hongereni sana mmeimba vizuri sana
Tunamshukuru Mungu
Good job nice vocals sauti poa
Nywele za bandia Mungu anazikataa na Make up na wanawake wafunikenvichwa vyao , siku za mwisho mtajibu hili.
soma maandiko vizuri mkuu
😍😍🙏🙏🙏🙏🙏
Waoooo my favourite song, utukufu kwa Bwana
🔥🔥🔥🔥🔥
Sifa na heshima na kwa Mungu aliyejuu
Barikiweni wapendwa hakika waimbaji ni wahubiri namba 1
Ujumbe mzuri sana, mbarikiwe sana, Kanisa lenu lipo wapi?
Tupo moravian iringa road dodoma karibu na chuo cha st.john karibu sana.
Wimbo mzur sana kwaya ipo vzur
Kazi nzuri sana
Iko fresh
Amina, Mungu awabark sana,hakika Yesu n rafiki mwema.
Hallelujah! Hallelujah! Mfike mbali wapendwa nyimbo zinakimbiza mapepo na waimbaji ni mahubiri wa kwanza
Waimbaji ni wahubiri wa kwanza
Najiona mm .... Mungu tusimamie tukutukeze wew kila ck .... Amina ❤️❤️❤️⛪⛪⛪⛪🇹🇿🇹🇿
Waooo, kazi nzuri, Mungu azidi kuwainua zaidi
Kazi njema sana
Mungu azidi kuwapigania❤️❤️❤️
Now we go NMC, God with us
Rafiki mwema
Waooo hongera sana sifa na utukufu kwa Bwana Yesu
Hakika ni mwema kwetu