Dear Choir members and all involved , A GREAT MANY THANKS for giving the world THIS VERY GREAT and GOOD WORK. It is LOVELY , BEAUTIFUL and VERY ARTISTIC . We love it. May OUR LORD bless you always.
J'aime cette chanson je ne sais pas comment dire je l' écoute du lundi jusqu ' à dimanche merci pour le travail que Vous avez fait que notre Seigneur Jesus Christ Vous benissent
Great catholic song, Our Mother Mary pray for all those who prepared this song to Jesus Christ your son, pardon all their sin, bless them, protect them against the evil ones
yanii kweli mbingun ni raha jamn nikianglia huu wimbo nahic km nipo mbinguni mmbarikiwe sana 😘😘😘nawatakia utume mwem natamn na mm cku moja kwaya yetu ya mt paul wa pilii tuimbe kama hawaa
Merci Seigneur pour cet groupes sauti ya watu Gospel Bravo c est formidable Que Dieu Soit Bénis Partout Sur la terre comme au ciel . Soyer Bénit Au Nom puissant De Jésus Amen. Victoire
❤❤❤🎉🎉🎉
ewaaaaaaaa, raha sana
How can i get the lyrics of this song
Wimbo mtamu
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Wimbo mzur Sana hongeren 🌹😍
Dear Choir members and all involved , A GREAT MANY THANKS for giving the world THIS VERY GREAT and GOOD WORK. It is LOVELY , BEAUTIFUL and VERY ARTISTIC . We love it. May OUR LORD bless you always.
I ,zg😊
Great work
Niceeeeee
What a nice song
J'aime cette chanson je ne sais pas comment dire je l' écoute du lundi jusqu ' à dimanche merci pour le travail que Vous avez fait que notre Seigneur Jesus Christ Vous benissent
Kazi nzuri Sana hongeleni
Mbarikiwe sana
hongereni san wimbo mzr sanaaa
Great catholic song, Our Mother Mary pray for all those who prepared this song to Jesus Christ your son, pardon all their sin, bless them, protect them against the evil ones
Wimbo mzuri sana . mbarikiwe sana watumishi wa bwana.
Makirikiri ya kihehe sjui niwapenda mbarikiwe
Nice song .Nice message .keep it up.
Nimewapenda bure kwa nyimbo nzr
Hongera wapendwa
Nmependa ubunifu MUNGU awabarik sanaa...hakka Mbinguni ni raha#kuimba ni kusali mara mbili
Keep up the spirit be blessed indeed the doors are closed but if only we read the bible and reflect it deeply the door will be opened
Asanteni sana nyimbo inaujumbe kweli mulango umefungwa
Bigap sna mungu awabaliki
Mko Vizur Mbarikiwe Sana
Asante sana waimbaji mnatubali sana Mungu awe pamoja nanyi.
yanii kweli mbingun ni raha jamn nikianglia huu wimbo nahic km nipo mbinguni mmbarikiwe sana 😘😘😘nawatakia utume mwem natamn na mm cku moja kwaya yetu ya mt paul wa pilii tuimbe kama hawaa
Hngrn xn naomb copy ya wmb
Sifa ya MTU MPE jamani. Wimbo nzuri sana unagusa hisia za ndani kabisa. Hongereni sana Wanyalukolo
Nice dance and singing
Asanten Sana Wana Kwanya Mungu Awabariki🙏
Kweli wimbo mtamu hakika mbinguni raha tupu
Wimbo mtamu wenye ujumbe uliotaalamika.
mmenyofoa amri mbili za Mungu 1 . USIJIFANYIE SANAMU YA KUCHONGA 2. IKUMBUKE SIKU YA SABATO UITAKASE someni Biblia kutoka 20 1.18
wow
Merci Seigneur pour cet groupes sauti ya watu Gospel Bravo c est formidable Que Dieu Soit Bénis Partout Sur la terre comme au ciel . Soyer Bénit Au Nom puissant De Jésus Amen. Victoire
mbarikiwe sana watunzi wa huu wimbo kwa kunikumbusha amri kuu za mungu
jamani siwafich mwenzenu naumwa kwaajili ya raha ninayoipata hapa
God bless
hongera vanyalukolo Bwana aendelee kuwaongoza
Nimebarikiwa wasap tafadhari 0765469057.
Hongereni sana mko juu kweli mlango umefungwa tusali kwa bidii ili mlango Wa mbingu ufunguliwe
beautiful song ,thanks and may the good lord bless you.
Niwimbo mzuli nawenye ujumbe mzuli
wawoooo mko vizur sana.utume mwema
To be brief this is how a song should be composed. Nasikiliza wimbo yaani ni raha tupu. Mungu awabariki sana wanakwaya
KAZI NZURI SANA KWA UJUMBE MZURI HATA KUISIKILIZA!
Mungu awainue zaidi mko vizuri sana jamani, wimbo mzuri una ujumbe mzuri big up kwa mtunzi na waimbaji
Nice song
mpiga kinanda abalikiwe sana
mbarikiwe sana nice song
Ulwimbo lunogie swee na lwihutufundisa lidzo lwa nguruvi
jamani wimbo mzuri kweri mpiga kinanda naye ameutendea haki mbarikiwe waimbaji
Mungu awabaliki kwa wingilishaji
wimbo mzuri naupenda naomba namba za huyu mwa; m.s.maduka
wimbo mzuri sana kwa kweli, mungu awape moyo wa uvumilivu katika uinjilishaji. Huu wimbo upo kwenye swahili music notes? naombeni msaada
M/mungu awabariki sana Kwa uimbaji hakika