- 8
- 38 057
Welfare Tanzania
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 23 มี.ค. 2020
Hii ni Welfare Tanzania, Karibu
Welfare Tanzania itakusaidia kujibu maswali mengi unayojiuliza kuhusu afya na maisha
Sasa Jiunge Nasi kwa kubonyeza SUBSCRIBE👇
==============================
Asante sana kwa subscribers🏆
Nov 2020. 50
Dec 2020. 100
Jan 2021. 150

Siri Za Watu Walioishi Miaka Mingi Kwa Kufuata Hizi Tabia Za Kiafya | Jinsi ya Kuishi Maisha Marefu
🍀#welfaretanzania
Je unataka kufika siku za uzee wako ukiwa na mwonekano upi? Sasa fomula ni hii; fanya mazoezi dakika 30 kila siku, kula matunda na mbogamboga za kijana si chini ya mara 5 kwa wiki na mwisho epuka kuvuta sigara na ulevi.
Hivyo ndio vya msingi zaidi lakini katika video hii nimekuandalia tabia saba unatakiwa kuziingiza katika maisha yako ili uishi miaka mingi ya afya imara.
Unatakiwa kufanya hayo na mengine yafuatayo mara kwa mara katika maisha yako isipiti siku tatu au wiki hujafanya haya mambo kwani yatasaidia sana kuweka mwili wako imara, kwa hiyo jichunguze kama hizi tabia hazipo katika maisha yako nisikilize na uanze kuweka katika mfumo wa maisha yako ya kila siku.
Summary🕒: Mbinu 7 za Kuishi Miaka Mingi.
0:00 Utangulizi wa muhimu
0:40 (1) Kula mbogamboga na matunda
1:05 (2) Usistaafu/ endelea kufanya kazi hadi mwisho
1:47 (3) Fanya mazoezi dakika 30 kila siku
2:06 (4) Furahi kila siku
2:40 (5) Acha kuvuta sigara na ulevi
3:16 (6) Kuwa karibu na unaowapenda
3:43 (7) Pata usingizi wa kutosha kwa mpangilio
4:10 TAKEAWAY🚀
====================================
IQ-AKILI-UBONGO: th-cam.com/play/PLTF6ctj5XL7UsUAfODFs3QSnagvz2wIIC.html
JINSI YA KUFANYA KAZI KUTOKA NYUMBANI: th-cam.com/play/PLTF6ctj5XL7UdMfGsOvTXFC2X05K8X4Bm.html
====================================
🍀SUBSCRIBE hapa👉 bit.ly/3pbavBj
All images and additional video segments contained in this video are used in strict compliance with the appropriate permissions and attributions required from www.dreamstime.com and/or www.freesound.org and/or www.pixabay.com in accordance with the TH-cam Partner program, Community Guidelines and TH-cam Terms of Service.
Software made this content: Videoscribe and/or Camtasia.
This video has English Subtitle: CC.
👍LIKE hii video
bonyeza SUBSCRIBE
na bofya alama ya kengele🔔 ili upate videos tunazokuandalia
Mtumie rafiki yako hii video
==============================
Asante sana kwa🏆
SUBSCRIBERS 60
==============================
🍀SUBSCRIBE hapa👉 bit.ly/3pbavBj
❤️Asante kwa kutazama #videozawelfaretanzania
stayblessed🚀

มุมมอง: 862
วีดีโอ
Vitu vya Kufanya Ukiumwa na Nyoka Mwenye Sumu
มุมมอง 2254 ปีที่แล้ว
🍀#welfaretanzania Utafanya Nini Ukiumwa Na Nyoka? Ushawahi kuangalia movie halafu starring akiumwa na nyoka hawezi kumuacha atamuua na kumchoma kwenye moto halafu atamla… Leo nitakuonyesha vitu vya kufanya endapo umeumwa na nyoka na kwanini baadhi ya nyoka wana sumu. Nyoka kumuuma mtu sio kwamba amekusudia ila ikitokea bahati mbaya umemkanyaga lazima akuume, ukimshtua ni lazima ajaribu kukuuma....
Njia 3 za Kujifunza ili Kuelewa Kila Kitu Na Mbinu za Kuzingatia
มุมมอง 6K4 ปีที่แล้ว
🍀#welfaretanzania Je, ni unapata ugumu kujifunza vitu fulani?... Hapa nitakuonyesha njia kuu tatu za kujifunza ili uweze kuelewa karibia kila kitu(muziki, kusoma, kuchora, n.k.). Video hii ni mwendelezo wa video iliyopita kuhusiana na aina kumi za akili na jinsi ya kujua una akili gani. Kama bado hujaiangalia basi ni vizuri ukaiangalia hapa hapa Well Fare th-cam.com/video/yAiFbyIdhBc/w-d-xo.htm...
Mbinu za Kujua Aina Yako ya Akili ili Ufaulu Kila Kitu - Aina 10 za Akili
มุมมอง 30K4 ปีที่แล้ว
🍀#welfaretanzania Je, unajua una akili ngapi? Akili ni uwezo wa mtu kuelewa, kujifunza, kufikiri, kubuni, kupanga au kuiga maarifa na kuyaweka kwenye vitendo. Ndiyo maana unaona mtu huyu yuko vizuri kwenye hesabu, au ala za mziki, au uchoraji au kuelewa mawazo magumu ambayo watu wengine hawaelewei. Aina hizi za akili zinakufanya uweze kujifunza vitu Fulani kwa urahisi sana au usiweze kwa urahis...
Madhara ya Kubana Mkojo Muda Mrefu
มุมมอง 1.2K4 ปีที่แล้ว
🍀#welfaretanzania Huwa unabana mkojo dakika ngapi ndio ukakojoe? Kwanza mchakato unakuwa hivi, unakula na unakunywa na uchafu wa kimiminika unaelekea kwenye kibofu. Mkojo unapofika nusu kibofu vitoa taarifa vya kibofu vinatuma taarifa kwenye ubongo na ubongo unajibu zuia kidogo hadi jamaa akiruhusu. Sasa hii ikiwa ndio tabia yako kubana mkojo basi jua ni kitendo hatari kwa afya yako. Umebana mk...
Jinsi ya Kunawa Mikono Kwa Sabuni Na Maji Tiririka
มุมมอง 2364 ปีที่แล้ว
#videozawelfaretanzania Kunawa mikono kwa maji na sabuni kumethibitshwa kuua virusi vya corona; Huu ni ushauri wa kidaktari jinsi ya kunawa mikono. Kwanza unatakiwa kufungua koki ya bomba na kulowanisha mikono ili kuweka mazingira ya kutengeneza povu. Pili chukua sabuni sugua mikononi mwako na anza kutengeneza povu jingi. Hakikisha unasugua viganja vyako, katikati ya vidole, ndani ya kucha, vif...
Faida Za Kufanya Kazi Kutoka Nyumbani - Iwe Umeajiriwa au Umejiajiri 2020
มุมมอง 1794 ปีที่แล้ว
Angalia ujue faida na manufaa ya kufanya kazi kutoka nyumbani hasa kipindi hiki cha corona, iwe umeajiriwa au umejiajiri. Kwa hiyo kama shughuli zako za kiofisi zinafaa kufanyikia nyumbani, basi video hii inaeleza yote kuhusu faida za kufanya kazi kutoka nyumbani (advantages of working from home). Pia zipo changamoto na hasara za kufanya kazi kutoka nyumbani mfano kukosekana kwa utulivu. Angali...
Njia za Kufanya Kazi Kutoka Nyumbani Kipindi Cha Corona | Work From Home During COVID19
มุมมอง 1084 ปีที่แล้ว
🍀#videozawelfaretanzania Utajua jinsi ya kuweka ofisi na njia za kushirikiana na watu hapo nyumbani kwako. Ofisi nyingi zimerudisha wafanyakazi wake kufanyia kazi nyumbani, maelekezo yake haya hapa. Wote tunajua kuwa tunapaswa kukaa nyumbani ili kupunguza kuenea kwa virusi vya corona. Huu ni muongozo tunaomini utakusaidia kufanikisha majukumu yako yote ya kiofisi iwe umeajiriwa au umejiajiri. •...
🧠🤝
Nipo kundi la 7. Mwana falsafa nisietaka kuandikwa vitabuni 😂
Ahsante Kwa Elimu
❤
6,7,8, ndiye Mimi hapa
Ukiwa na zote haiwezi ikakuathiri labda?
Mimi niko kwa kundi la kwanza na la pili
Ndio 10
Hiyo Number 9 Na 2 Na Ziona Katika Maisha Yangu
Ndio Ndugu Yangu
Asante sana Kwa kuniamsha
Thanks a lot Nakuombea sana mungu akunyanyuwe Nimepata kujua nipo katika kundi Gani la akili!
Asante sana Mungu akubariki Na akunyanyuwe zaidi
Ndio
Mbna mi nina akili nne 5, 6 na 10
Akili yangu ni iyo ya 10
Mbona Nina akili nne ya 7,8,9 na 10
Iko vizuri thanks a lot
Thanks so much 🙏🙏🙏
Thanks
Napenda kuweka bajeti
Ndiyo napenda kupanga mipango nikiwa pikeyangu
Asante kwa elimu
🙏Asante na karbu kama umepata kitu kutoka kwetu
Ndio naweza kugunduwa mtu an@ye nipenda
Ni vitu gani ulitumia ulipoumwa na nyoka?
Nice
So nice
I like this
@Daudi Naibala stay healthy
Fundisho zuri sana katika maisha keep up...
Sawa kabisa...Mpango mzima huo watu wanatakiwa kujua
*NB sorry sauti imepotea kimaajabu, angalia hii video ya kwanza th-cam.com/video/gVMvnwiMpcI/w-d-xo.html
Mara yako ya mwisho kula chainizi ilikuwa lini?
Njia gani wewe unaitumia sana katika hizo njia 3?
Tuambie unaweza kubana mkojo masaa mangapi kabla kibofu chako hakijapasuka???
Mhh kupasuka?
Mim tumbo linaum upand wa kulia
Umegundua una jumla ya akili ngapi???
Ndio naweza kumgunduwa mtu anaye nipenda naanae nichukia
you probably dont give a shit but if you are stoned like me during the covid times then you can stream all of the latest movies and series on instaflixxer. Been binge watching with my brother lately xD
@Isaac Christian Definitely, I've been using InstaFlixxer for years myself =)
Kazi nzuri
Pamoja sana brother :)
Good job vijana nimeongeza kitu
As always tunafurah umefanya hivyo🙆
Nimependa nimekubali all the best!
Thanks Agnetha kwa kufatilia🙌
Kazi nzuri sana hii asante kwa elimu
Kazi nzuri sana ,mmetuelimisha sana kwa kweli!!
Asante sana imekuwa furaha kwetu kusikia hivyo :)