- 4
- 22 736
KWAYA YA MT. KIZITO KAGEZI
เข้าร่วมเมื่อ 7 มิ.ย. 2024
ATANIBARIKI BY KWAYA YA MT.KIZITO KAGEZI,KIBONDO,KIGOMA
#KWAYA YA MT.KIZITO.KAGEZI,KIBONDO,KIGOMA
#LIVE PERFORMANCE
#MTUNZI FM SHIMANYI
#DIRECTOR ADOMIX +255747440976
#LIVE PERFORMANCE
#MTUNZI FM SHIMANYI
#DIRECTOR ADOMIX +255747440976
มุมมอง: 713
วีดีโอ
NITAMSIFU MUNGU By Kwaya ya Mt. Kizito Kagezi
มุมมอง 19K15 วันที่ผ่านมา
Karibu utazame wimbo huu unaomsifu na kumtukuza Mungu Mtunzi: Jerome Kagoma Waimbaji: Kwaya ya Mt. Kizito-Kagezi Studio: CGen Pro Sound Eng: Duke & F.M. Shimanyi Video Director: F.M. Shimanyi
UZINDUZI
มุมมอง 1692 หลายเดือนก่อน
MKONO WENYE NGUVU_By YUSTO BUGOHE_Kwaya ya Mt. Kizito, Kagezi
มุมมอง 3.5K7 หลายเดือนก่อน
Karibu ubarikiwe kwa wimbo huu Waimbaji: Kwaya ya Mt. Kizito Kagezi Mtunzi: Yusto Bugohe Organist: Jerome Kagoma Video Directo: Shimanyi F.M. Sound Engineers: Duke & Shimanyi Studio: CGen Pro
Safi hongereni sana
Jaman mungu ni mwema karibuni shinyanga. Wapendwa
Asante mungu akubariki na karibu kwetu pia
Hongereni sana
Moto Sana blessings from st Patrick kilifi
❤❤❤❤
Love the melody ❤❤❤ barikiweni
Asanteni Mungu awabariki
Hongera wimbo mtamu
❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
2025 Tunasonga nayo barikiwa sana wanakwaya mnacheza vyema saut safi....organist saf
Nzuri sana 🎉🎉🎉
Hongereni sana wanakwaya mnaimba vizuri phia mmependeza Mungu awaongoze muendelee na utume huu kwel hu wimbo umenipendeza san rohon🎉😂❤️❤️🎉🎉
Heri na barak ziwe kwenu
Hongerenj wapendwa wimbo n mzuri sana pia mmependeza mbarikiwe sana hata mbinguni tutaimba
Hongereni Sana wanakwaya pamoja mtunzi pia ,Mungu awabariki kwa utume huo🎉🎉🎉🎉
Kwakweli hii nyimbo ntakuwa naskiliza kila siku kwani iko na hisia sana 🥲🥲🥲,,, Mungu awabariki sana wanakwaya milele Amina 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
hongereni sanaa, mungu awatangulie
KAZI nzuri wanakwaya kweli
Hakika ni kumsifu Mungu
❤❤❤❤congratulations
Hakikia n mkono wenye nguvu, mmependeza na mnaweza sana❤🎉🎉
Mmependeza hatua nzuli sana, mungu awajalie mafanikio katika uimbaji wenu
Hongeren sana kwa kazi nzul mungu awazidishie vipaji muendelee kuhubili kupitia nyimbo zenu🎉
Mungu awape wepesi katika kazi ya uinjilishaji
Hongereni sana kwa kutuinjilisha vyema 🎉
🎉🎉🎉🎉❤❤
Mungu nimwemaa
NOTA ZA WIMBO HUU NINAZIHITAJI KUTOKEA NCHI KONGO, WIMBO HUU UME NI GUSA NA UMENIFARIGI SANA? HONGERA SANA£
God bless your good work 🙏
Nitumie namba Yako ya wasap
Mungu nimwema tum sifu yesu kirsto
Asanten sana
Asanten sana
Hongrren kwa utume sana, Mungu awabariki
Hongereni sana,naona buhabugari panapendeza
Kazi nzuri 😊
Najivunia kua mkatoliki
my friend ❤❤❤❤
Hakika mmetisha. siamini kwa mmeweza kufanya hivi. Mungu awatie nguvu muimbe zaidi ya hivyo mlivyoimba hatimae mvume tena mjulikane zaidi katika kukitangaza jina la Bwana. Amina
Amina " sana mungu akubariki
Hongereni sana kwa kanzu njema wimbo mzuri na mnaimba kwa shangwe ..inapendeza sana ..MUNGU awafikishe mbali kwa kazi yenu njemaaaaa
Waoooo Kagoma huyooooo hiyo hongereeeeeeeeeni sana 🎉
benedict za siku
Kaz njema Wapendwa hakika sauti mnazo🎉😂 Huyo mpiga kinanda?? Anachanganya ngoma sio poa hakika Mungu awabariki sana
Waaaaaaooooh 😅😅 🎉🎉
Hongereni sana kwa kazi nzuri🙏🙏! Karibuni kwaya ya mt.yosefu UDOM 🖐
Asante mungu akubariki na karibu kwetu kigoma
Asante mungu kutupiania hadi hii hatua.
Hakika mlipendeza
🎉🎉🎉🎉 mungu ni mwemaaaaaaaaaaaaàaàa
Kazi nzuri sana jamani Mbarikiwe kwa injili.
Mungu nimwemaaaa🎉🎉🎉🎉🎉
Kazi nzuli sana jamani
Barikiweni sana Hadi mshangaeee. Tukaze mwendo
hongereni sanaaa kwa kazi nzuri ya munguuuu❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉