Kndege Parish
Kndege Parish
  • 113
  • 9 762

วีดีโอ

HIVI NDIVYO UNAVYOWEZA KUWATAMBUA MANABII WA UONGO
มุมมอง 14421 ชั่วโมงที่ผ่านมา
sehemu ya mahubiri ya misa takatifu dominika ya pili ya majilio na padre Mallya
HERE IS THE TRUE MEANING OF THE NAME 'NABI' MEANING PROPHET ACCORDING TO FATHER MALYA
มุมมอง 3021 ชั่วโมงที่ผ่านมา
In our parish of Kndege there is a special English service which is held every Sunday from 4 a.m. and this is part of a sermon from Father Malya discussing the true meaning of the word prophet.
HII NDIYO COUPLE YETU BORA KWA WIKI HII
มุมมอง 31วันที่ผ่านมา
HII NDIYO COUPLE YETU BORA KWA WIKI HII
HILI NDILO TATIZO KUBWA LINALOWAKABILI VIJANA KWA HIVI SASA AFYA YA AKILI
มุมมอง 80วันที่ผ่านมา
Baadhi ya vijana wameshiriki semina ya vijana inayofanyika hapa parokiani kila jumapili ya mwisho wa mwezi ambapo moja ya mambo yaliyozungumzwa ni suala la afya ya akili kwa vijana.
MAKALA MAALUM YALIYOJIRI KATIKA SAFARI YA BMTL JIJINI ARUSHA.
มุมมอง 15621 วันที่ผ่านมา
nakukaribisha kutazama makala maalum kuhusu Safari ya kwaya ya BMTL jijini Arusha iliyofanyika hivi karibuni ambapo ilikuwa ni katika kushiriki tamasha la kwaya ya KMC Arusha ambapo walikuwa wakiadhimisha miaka 60 ya kwaya hiyo kwaya ya BMTL ni miongoni mwa kwaya zilizoshiriki na zilifanya vizuri sana katika tamasha hilo.
KWAYA YA SHIRIKISHO K NDEGE YESU KRISTO NI MFALME
มุมมอง 22921 วันที่ผ่านมา
KWAYA YA SHIRIKISHO K NDEGE YESU KRISTO NI MFALME
PAROKO AKEMEA WANAENDEKEZA ULEVI WA POMBE ZA BEI RAHISI MTAANI .......
มุมมอง 12721 วันที่ผ่านมา
PAROKO AKEMEA WANAENDEKEZA ULEVI WA POMBE ZA BEI RAHISI MTAANI .......
WANANDOA HAWA WAPEWA MAKAVU WAELEZWA JINSI WANAVYOPASWA KUISHI KATIKA FAMILIA..
มุมมอง 4221 วันที่ผ่านมา
WANANDOA HAWA WAPEWA MAKAVU WAELEZWA JINSI WANAVYOPASWA KUISHI KATIKA FAMILIA..
VIWAWA KNDEGE WAJITOKEZA KWA WINGI KUFANYA USAFI KANISANI KUELEKEA SIKU YA VIJANA DUNIANI
มุมมอง 6021 วันที่ผ่านมา
VIWAWA KNDEGE WAJITOKEZA KWA WINGI KUFANYA USAFI KANISANI KUELEKEA SIKU YA VIJANA DUNIANI
TUNAMSHUKURUY MUNGU KWA ZAWADI YA WANANDOA HAWA WALIOFUNGA NDOA HAPA KANISANI TAR.23 NOV. 2024
มุมมอง 8321 วันที่ผ่านมา
TUNAMSHUKURUY MUNGU KWA ZAWADI YA WANANDOA HAWA WALIOFUNGA NDOA HAPA KANISANI TAR.23 NOV. 2024
MPIGA NGOMA KUTOKA KWAYA YA KMK MAKUBURI AKIONESHA UWEZO WA HALI YA JUU KATIKA UPIGAJI WA NGOMA.
มุมมอง 59321 วันที่ผ่านมา
MPIGA NGOMA KUTOKA KWAYA YA KMK MAKUBURI AKIONESHA UWEZO WA HALI YA JUU KATIKA UPIGAJI WA NGOMA.
HII NDIYO TEAM KIMBUNGA BMTL
มุมมอง 2028 วันที่ผ่านมา
HII NDIYO TEAM KIMBUNGA BMTL
SEHEMU YA MAHUBIRI KATIKA IBADA YA MISA TAKATIFU PAROKIA YA MOYO SAFI WA BIKIRA MARIA ARUSHA
มุมมอง 20128 วันที่ผ่านมา
SEHEMU YA MAHUBIRI KATIKA IBADA YA MISA TAKATIFU PAROKIA YA MOYO SAFI WA BIKIRA MARIA ARUSHA
VIBE LA KWAYA YA BMTL PAROKIA YA MOYO SAFI WA BIKIRA MARIA UNGALTD ARUSHA
มุมมอง 29928 วันที่ผ่านมา
VIBE LA KWAYA YA BMTL PAROKIA YA MOYO SAFI WA BIKIRA MARIA UNGALTD ARUSHA
HIVI NDIVYO KWAYA YA BMTL ILIVYOIMBA KATIKA PAROKIA YAUNGA LIMITED ARUSHA.
มุมมอง 33128 วันที่ผ่านมา
HIVI NDIVYO KWAYA YA BMTL ILIVYOIMBA KATIKA PAROKIA YAUNGA LIMITED ARUSHA.
WANANDOA HAWA WALIPATA BAHATI YA KUBARIKI NDOA YAO SIKU YA SHEREHE YA WAWATA.
มุมมอง 8428 วันที่ผ่านมา
WANANDOA HAWA WALIPATA BAHATI YA KUBARIKI NDOA YAO SIKU YA SHEREHE YA WAWATA.
SHANGWE LA WAUMINI LEO KNDEGE ILIKUWA NI ZAIDI YA FURAHA
มุมมอง 156หลายเดือนก่อน
SHANGWE LA WAUMINI LEO KNDEGE ILIKUWA NI ZAIDI YA FURAHA
HIVI NDIVYO ASKOFU MKUU WA JIMBO KATOLIKI DODOMA ALIVYOWASILI KANISANI KNDEGE
มุมมอง 131หลายเดือนก่อน
HIVI NDIVYO ASKOFU MKUU WA JIMBO KATOLIKI DODOMA ALIVYOWASILI KANISANI KNDEGE
WAWATA WALIVYOINGIA KANISANI KATIKA IBADA YA WAWATA PAROKIA YA KNDEGE
มุมมอง 30หลายเดือนก่อน
WAWATA WALIVYOINGIA KANISANI KATIKA IBADA YA WAWATA PAROKIA YA KNDEGE
HUYU NDIYE MTAKATIFU MWENYE HISTORIA YA KUSISIMUA ANATAJWA KAMA MWOMBEZI WA YALIYOSHINDIKANA
มุมมอง 69หลายเดือนก่อน
HUYU NDIYE MTAKATIFU MWENYE HISTORIA YA KUSISIMUA ANATAJWA KAMA MWOMBEZI WA YALIYOSHINDIKANA
KATIKA UTUME WA VIJANA NA RITHA UTANUFAIKA KIMWILI NA KIROHO.
มุมมอง 39หลายเดือนก่อน
KATIKA UTUME WA VIJANA NA RITHA UTANUFAIKA KIMWILI NA KIROHO.
HAYA NDIYO MALENGO YA UTUME WA MTAKATIFU RITHA WA KASHIA
มุมมอง 30หลายเดือนก่อน
HAYA NDIYO MALENGO YA UTUME WA MTAKATIFU RITHA WA KASHIA
PAROKO AWAVUNJA WATU MBAVU KWA KICHEKO KANISANI ASIMULIA KISA CHA WANANDOA HAWA.....
มุมมอง 144หลายเดือนก่อน
PAROKO AWAVUNJA WATU MBAVU KWA KICHEKO KANISANI ASIMULIA KISA CHA WANANDOA HAWA.....
KARIBU UWATAKIE NENO LA BARAKA MAHARUSI WETU WALIOFUNGA NDOA MUDA HUU
มุมมอง 146หลายเดือนก่อน
KARIBU UWATAKIE NENO LA BARAKA MAHARUSI WETU WALIOFUNGA NDOA MUDA HUU
KISHINDO CHA KWAYA YA AGUSTINO WALIVYOWAIMBIA MAHARUSI WETU LEO
มุมมอง 106หลายเดือนก่อน
KISHINDO CHA KWAYA YA AGUSTINO WALIVYOWAIMBIA MAHARUSI WETU LEO
UJUMBE MZITO KUTOKA KWAYA YA BMTL
มุมมอง 71หลายเดือนก่อน
UJUMBE MZITO KUTOKA KWAYA YA BMTL
SAUTI YA TATU SI YA MCHEZOMCHEZO WANASEMA NI SAUTI ZA WALIMU WA KWAYA
มุมมอง 390หลายเดือนก่อน
SAUTI YA TATU SI YA MCHEZOMCHEZO WANASEMA NI SAUTI ZA WALIMU WA KWAYA
WIKI HII VIJANA WA RITHA WANAANZA NOVENA VIJANA JITOKEZENI KUSHIRIKI.
มุมมอง 20หลายเดือนก่อน
WIKI HII VIJANA WA RITHA WANAANZA NOVENA VIJANA JITOKEZENI KUSHIRIKI.
VIBE LA WAWATA PAROKIA YA KNDEGE KATIKA PAROKIA YA NKUHUNGU
มุมมอง 119หลายเดือนก่อน
VIBE LA WAWATA PAROKIA YA KNDEGE KATIKA PAROKIA YA NKUHUNGU

ความคิดเห็น

  • @tinukamlowe2134
    @tinukamlowe2134 2 วันที่ผ่านมา

    Nakuona mukasa hapo

  • @DianaGasper-j2t
    @DianaGasper-j2t 8 วันที่ผ่านมา

    ❤❤

  • @vicentsanane4167
    @vicentsanane4167 8 วันที่ผ่านมา

    But it's good to join with them at least a one service, ili uweze kuwasaidia vizuri waumini wako, Badala ya kudhani unawajenga kumbe unapoteza hata ya kwako wasiyaelewe! Kila original ina feki yake pia, na kila palipo na feki na original itakuwepo mahali fulani. Ndivyo ilivyo. Ndiyo maana si busara kuwaambia juu ya feki tu kana kwamba hakuna original hivyo ni kumfanya Mungu aonekane hana chake ila shetani tu ndiyo mwenye kitu! Issue ya kukanyaga mafuta si vema kupuuza moja kwa moja kwamba si halali, kwa vile tu hufanyi hivyo kutokana na mfumo wa dini yako Huo nadhani utakuwa ni ufunuo aliofunuliwa mtumishi wa Mungu kwa ajili ya mateso waliyo nayo katika kusanyiko hilo wala si utamaduni. Na ndiyo maana baada ya watu kutii maelekezo hayo wanapona na kufunguliwa mateso hayo. Hii inawezekana ni pamoja na baadhi waumini wako waliofunguliwa kupitia huduma hiyo. Sasa unavyowaambia hivyo huku huna msaada mbadala kinyume chake unawaambia "hili halifanyiki katika dini yetu"! Mtu wa Mungu! Mtu anateseka na magonjwa uchumi haueleweki, madeni yamemfanya augue ugonjwa wa moyo, ndoa nayo ni kama haipo, na ukawa unamwambia ajisifie dini! Upande mwingine kila leo anaona na kusikia kwenye vyombo vya habari wengine wanavyofunguliwa baada ya kukanyaga hayo mafuta na mengine kuyaa anointing kwenye makazi yao, biashara zao ni. Ni rahisi wakienda huko hawatarudi kwako. Maana ni watu wazima Hata kama ni wanafunzi watasimliwa na wanafunzi wenzao shuleni yale Mungu anatenda kupitia watumishi wengine wa Mungu Ni vizuri tuwaambie positive na negative Issue ya "wanaambiwa kutoa hela ili wakanyage mafuta"!! Hilo sijui maana sijawahi kuhudhuria Ibada pa hivyo, siwezi kupajibia Lakini kwamba"wanasistizwa sana kutoa kwa hiyo ni ishara hapo ni kwa manabii wa uongo! Mh! Kwenye Ibada zako huwaambii kutoa? Kama hawatoi wewe unakula cha kutoka wapi? Mafuta ya Gari lako huwa inanyesha mvua ya mafuta unakinga na kutumia. Unavaa vizuri sana na kwa unadhifu mkubwa hata kuwa mfano mzuri unaopaswa kuigwa na jamii nyingine, hayo mavazi bila waumini kutoa sadaka michango mbali mbali, wewe utapata wapi mtumishi wa Mungu Unataka kutuaminisha kwamba siku hizi kwenye Ibada waumini hawatoi? Au watu hawapaswi kutoa kwenye huduma zingine za kiroho ila kwenye Ibada zako tuu! Yesu alisema "na Kondoo wengine ninao wasio wa zizi hili nao imenipasa niwalete" Lakini mitume nao kabla hawajatakaswa mioyo yao walikuwa na wivu, hata wakati fulani wakashitaki kwa Yesu, maana walitaka mazuri yatoke kwao tu "Bwana tuliona mtu anatoa pepo nae afuatani nasi, tukamkataza maana hafuatani nasi"! "Yesu akawaambia, msimkataze asiye kinyume chetu yu upande wetu..." Kiongozi wa kiroho anatakiwa kuomba hekima sana kipi azungumze mbele ya watu wake, unaweza kutawanya badala ya kukusanya Yesu alisema"asiyekusanya pamoja nami hutawanya" Tumfuate Bwana wetu kiongozi wetu mkuu wa wokovu Na vizuri zaidi kufuatiria kwenye vyombo vya habari wanavyotumia wahubiri hawa kwa Ibada nzima ili kujua kitu gani hasa watu hawa wanaambiwa, kufanyiwa au kugundishwa ili tuwe na ushahidi wa kutosha. Nikodemo ailiwaambia mafarisayo "Torati yetu inamuhukumu mtu bila kumsikia"? Ni kibiblia kabisa kusikia kwanza mwenyewe siyo kuambiwa ili uwe na sababu ya kuhukumu Mafeki menyewe yapo tu na tusichoke kwa kweli kutahadharisha ila iwe kwa msingi wa Neno la Mungu, siyo sawa msimamo wa Imani za dini zetu Iwe ni KAMA YANENAVYO MAANDIKO. Barikiwa mtu wa Mungu kufuatiria ujumbe huu! Ni katika kukumbushana tu, kadri tuonavyo siku ile inakaribia

  • @MtumeElvis
    @MtumeElvis 8 วันที่ผ่านมา

    bitter truth

  • @MtumeElvis
    @MtumeElvis 8 วันที่ผ่านมา

    bitter truth

  • @luisevarist4819
    @luisevarist4819 13 วันที่ผ่านมา

    Organist hongera zake

  • @ReverienTwin
    @ReverienTwin 17 วันที่ผ่านมา

    Jaman tunaomb title y wimbo huu.Mungu awabarik sana

  • @andreayohane5800
    @andreayohane5800 17 วันที่ผ่านมา

    Jina la wimbo

  • @simonkisasembe0075
    @simonkisasembe0075 22 วันที่ผ่านมา

    Pombe zote sio za bei rahisi tu

  • @RobsonNdika
    @RobsonNdika 28 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤❤❤❤

  • @RobsonNdika
    @RobsonNdika หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @RobsonNdika
    @RobsonNdika หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤

  • @WAWATAKNDEGE
    @WAWATAKNDEGE หลายเดือนก่อน

    WAWATA Dekania ya Paulo wa Msalaba hongereni sana

  • @WAWATAKNDEGE
    @WAWATAKNDEGE หลายเดือนก่อน

    😂😂😂

  • @KMMM-KNDEGEDODOMA
    @KMMM-KNDEGEDODOMA หลายเดือนก่อน

    Hongera kwa wawata wetu, walituwakilisha vema🎉🎉🎉 Wamchongo + Katunzi kwenye 1 na 2 👏👏👏👏 💪Tesha📽️🎬

  • @FauKwav
    @FauKwav หลายเดือนก่อน

    ❤❤

  • @EpitasBoniface
    @EpitasBoniface หลายเดือนก่อน

  • @EpitasBoniface
    @EpitasBoniface หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @nestorykanyetto213
    @nestorykanyetto213 2 หลายเดือนก่อน

    Jumuiya gan? Hii

  • @RobsonNdika
    @RobsonNdika 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤❤

  • @RobsonNdika
    @RobsonNdika 2 หลายเดือนก่อน

    ❤🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @RobsonNdika
    @RobsonNdika 2 หลายเดือนก่อน

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @milleniumkibasa8773
    @milleniumkibasa8773 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤

  • @NoelaStanslausi
    @NoelaStanslausi 2 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉🎉 HONGEREN MNO😊😊😊😊

  • @NancyHyera-cq5zb
    @NancyHyera-cq5zb 3 หลายเดือนก่อน

    🔥👏👏👏

  • @leticianganyagwa4184
    @leticianganyagwa4184 3 หลายเดือนก่อน

    Asante sana Baba 🙏

  • @villyupdates457
    @villyupdates457 4 หลายเดือนก่อน

    Shukrani kwa mafunzo haya

  • @NoelaStanslausi
    @NoelaStanslausi 4 หลายเดือนก่อน

    NICE 🎉🎉❤❤

  • @Clemenceollomy
    @Clemenceollomy 4 หลายเดือนก่อน

  • @villyupdates457
    @villyupdates457 4 หลายเดือนก่อน

    Hongera san parokia hii ya k ndege kwa utararibu huu

  • @leticianganyagwa4184
    @leticianganyagwa4184 4 หลายเดือนก่อน

    God Bless you my fr Mutambo❤ 🙏

  • @leticianganyagwa4184
    @leticianganyagwa4184 4 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤🎉

  • @gracemtega5183
    @gracemtega5183 4 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

  • @KhadijaSimba-v1z
    @KhadijaSimba-v1z 5 หลายเดือนก่อน

    🔥🔥🔥

  • @gracemtega7996
    @gracemtega7996 5 หลายเดือนก่อน

    Hongereni sana Kndge parish

  • @samwelgodwinofficial
    @samwelgodwinofficial 6 หลายเดือนก่อน

    🙏🙏

  • @thadeytesha5031
    @thadeytesha5031 6 หลายเดือนก่อน

    Vijana k ndege hatari sna🎉🎉

  • @KMMM-KNDEGEDODOMA
    @KMMM-KNDEGEDODOMA 6 หลายเดือนก่อน

    Pongezi kabisa kwa vijana wetu 🎉

  • @gracemtega7996
    @gracemtega7996 6 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉

  • @BonifaceCharles-wi1cz
    @BonifaceCharles-wi1cz 6 หลายเดือนก่อน

    Tumeupiga mwingi

  • @BonifaceCharles-wi1cz
    @BonifaceCharles-wi1cz 6 หลายเดือนก่อน

    Tumeupiga mwingi

  • @AdamKudra-lp1ue
    @AdamKudra-lp1ue 6 หลายเดือนก่อน

    Hongereni sana vijana piah karibuni tena na tena Parokia ya KIBASIRIKA ❤

  • @laitonbatista4293
    @laitonbatista4293 6 หลายเดือนก่อน

    Hongereni sanaaaa

  • @AgnessMwalyagile
    @AgnessMwalyagile 6 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana viwawa kndge mnafanya kazi nzuri❤❤❤

    • @BeltyKayombo
      @BeltyKayombo 6 หลายเดือนก่อน

      Waoooow 💥🥰dada ety mwenyewe upo vizuri da g🔥🔥 Mungu akuongoze katika utume wako🥰

  • @AgnessMwalyagile
    @AgnessMwalyagile 6 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana viwawa kndge mnafanya kazi nzuri❤❤❤

  • @AgnessMwalyagile
    @AgnessMwalyagile 6 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana viwawa kndge mnafanya kazi nzuri

  • @AgnessMwalyagile
    @AgnessMwalyagile 6 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana viwawa kndge mnafanya kazi nzuri

  • @AgnessMwalyagile
    @AgnessMwalyagile 6 หลายเดือนก่อน

    Hongereni sana Viwawa kndege mnafanya kazi nzuri

  • @gracemtega7996
    @gracemtega7996 6 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉 Tukutane kizota

  • @augustinenjesi3215
    @augustinenjesi3215 6 หลายเดือนก่อน

    Wow 🔥🔥