- 202
- 51 084
HABARI MPYA TV
เข้าร่วมเมื่อ 29 พ.ย. 2016
Vugu vugu zilizojificha
Kambuga awa mgeni rasmi Kongamano la 6 la kufunga mwaka 2024 na kufungua mwaka.
Kanisa la saa ya Neema lililopo Manispaa ya Bukoba limefanya Kongamano la 6 la kufunga mwaka 2024 na kufungua mwaka 2025.
Lengo ni kuliombea Taifa pamoja na Mkoa wa Kagera.
Mgeni rasmi katika Kongamano hilo alikuwa Ni Diwani wa kata ya Kashai Manispaa ya Bukoba Mhe Ramadhani Kambuga.
Lengo ni kuliombea Taifa pamoja na Mkoa wa Kagera.
Mgeni rasmi katika Kongamano hilo alikuwa Ni Diwani wa kata ya Kashai Manispaa ya Bukoba Mhe Ramadhani Kambuga.
มุมมอง: 29
วีดีโอ
Nawaakikishia wafanya biashara mlioshiriki Maonyesho haya ya Ijuka Omuka festival mtauza.
มุมมอง 829 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Hajjat Fatma Mwassa azindua maonyesho ya Ijuka Omuka yanayofanyika kwenye uwanja wa Ccm Manispaa ya Bukoba. Katika uzinduzi huwo Mkuu wa Mkoa amewakikishia wafanya biashara waliokuja kushiriki Maonyesho hayo ya Ijuka Omuka festival kuwa watapata wateja wa kutosha. Rc Mwassa amesema kuwa toka Nchi ya Tanzania ipate Uhuru haijawahi kutokea Maonyesho ya kukusanya watu kama w...
WAFANYA BIASHARA MUTUKULA WILAYANI MISENYI MKOANI KAGERA KUNUFAIKA NA JENGO LA NYUMBA YA TAIFA NHC.
มุมมอง 3021 ชั่วโมงที่ผ่านมา
SHILIKA NYUMBA La TAIFA MKOA WA KAGERA.Limepumguza Kodi ya pango kutoka shilingi elfu 6 Kutoka mita moja ya mraba hadi shilingi elfu 3500.Kwa wapangaji wa jengo la biashara la Mtukula Wilayani Misenyi. Akizungumza wakati wa afla ya uzinduzi wa huduma rafiki kwa mteja.Meneja wa nyumba ya Taifa NHC Ndg.Deogratias Batakanwa.Amesema leongo la hafla hiyo ni kuamasisha wafanya biashara kuwekeza katik...
Good Hope English Medium Primary School chaguo la mwanao.
มุมมอง 6921 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Good Hope English Medium Primary School chaguo la mwanao.
Byabato azidi kuupiga mwingi Jimboni kwake.
มุมมอง 10321 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Mbunge wa jimbo la Bukoba mjini Adv Stephen Byabato ashilikiana na wana Group la WhatsApp lijulikanalo kama Bukoba mjini mpya Bendera tatu, wamefanya zoezi la kurudisha zawadi kwenye jamii,ambapo zoezi hilo limeambatana na mazoezi ya asubuhi jogging ,kujitolea Damu, na kula chakula pamoja na watoto yatima wa vituo vya kulele watoto hao wanaopatikana kwenye jimbo hilo. Sambamba na hayo watoto ha...
GODSON Gpyson Rwegasira Ampongeza mkurugenzi wa Shule ya Shule ya ISTIQAAMA.
มุมมอง 5121 วันที่ผ่านมา
Shule ya ISTIQAAMA iliopo Kata Nshambya Manispaa ya Bukoba jana tarehe 30/11-2024 Imefanya mahafali ya Tatu ya kidato cha nne. Katika hafla hiyo Mgeni rasmi ambaye alikuwa Mstahiki Meya wa Manispaa ya Bukoba Gpyson Godson Rwegasira amewapongeza wazazi wanapeleka watoto wao katika shule hiyo ambapo amesema nishule ambayo inafundisha maadili mazuri kwa watoto wao,vilele amempongeza Mkurugenzi Pam...
Mkutano wa Kuwapongeza wananchi wa Kata ya Kashai Manispaa ya Bukoba.
มุมมอง 19221 วันที่ผ่านมา
Wananchi wa Kata ya Kashai Manispaa ya Bukoba wapongezwa kwa kukipa kura za kishindo Chama cha Mapinduzi Ccm kwa kuwapatia wenyeviti wa Serikali za mitaa wanaotokana na chama hicho.
Hizi hapa kauli za madiwani wa Manispaa ya Bukoba kuhusu mkuu wa mkoa wa Kagera Hajjat Fatma Mwassa
มุมมอง 15621 วันที่ผ่านมา
Sisi tunajua tunachomanisha kumsifia mkuu wa mkoa wetu tumeongoza miaka minne tungeanza na mkuu wa mkoa huyu leo hii Kagera na Manispaa ya Bukoba ingekuwa mbali sana.Tunamshukuru Mhe Rais Samia Suluhu Hassan kutuletea mkuu wa mkoa huyu.
Ukisusa sisi tunakula
มุมมอง 7728 วันที่ผ่านมา
Maneno ya aliekuwa Mgeni rasmi Comrade Adv Stephen Byabato Mbunge wa Jimbo la Bukoba mjini kwenye uzinduzi wa Kampeni za Ccm Kata ya Nshambya.
Kata Bilele Tayari ushindi wa kishindo kwa wenyeviti wa serikali za mitaa .
มุมมอง 237หลายเดือนก่อน
Mkutano wa ufunguzi wa kampeni za Ccm Kata Bilele Manispaa ya Bukoba.
Fukang health care" wanaanza rasmi Kutoa tiba.
มุมมอง 48หลายเดือนก่อน
Mabingwa wa dawa za asili Manispaa ya Bukoba na Mkoa wa Kagera wataalamu wa tiba asili kutoka china "fukang health care" wanaanza rasmi kutoa tiba kwa wote wanaosumbuliwa na maradhi ya vidonda vya 'tumbo, kisukari, pressure , maradhi yote ya fangasi,kukosa choo, sumu mwilini, uti, upungufu wa nguvu za kiume kukosa hamu na hisia ya tendo la ndoa, homa ya nk. wapigie no 0784 214 150 Wanapatikana ...
Baraza la Madiwani Manispaa ya Bukoba lamtunukia tuzo ya shukurani Rc Mwassa.
มุมมอง 37หลายเดือนก่อน
Baraza la Madiwani Manispaa ya Bukoba lamtunukia tuzo ya shukurani Rc Mwassa kwa uongozi mzuri uliotukuka. Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba Chini ya Mstahikimeya Godson Rwegasira Gybson kwa pamoja wamekubaliana kumpatia Tuzo ya Heshima Mkuu wa Mkoa wa Kagera Hajat Fatma Abubakari Mwassa kwa utendaji kazi wake uliotukuka hasa katika kuinua Manispaa ya Bukoba na Mkoa Kagera...
Mwanzo mwisho Bukoba kiwanja kipya cha kijanja Rio De Janeiro.
มุมมอง 539หลายเดือนก่อน
Kiwanja kipya na cha kisasa Rio De Janeiro chazinduliwa kwa Kishindo na kupata wapenzi na mashabiki wengi wa burudani mkoani Kagera.
Mjue kijana Nuhu Juma anayependwa na Jamii ya Kashai Manispaa ya Bukoba.
มุมมอง 237หลายเดือนก่อน
Mjue kijana Nuhu Juma anayependwa na Jamii ya Kashai Manispaa ya Bukoba.
Pongezi za Diwani wa Kata ya Bilele Manispaa ya Bukoba Mhe Tawfiq sharif salum.
มุมมอง 175หลายเดือนก่อน
Pongezi za Diwani wa Kata ya Bilele Manispaa ya Bukoba Mhe Tawfiq sharif salum.
Shabani Rashid aongoza WDC yakuwaaga wenyeviti wa mitaa.
มุมมอง 1092 หลายเดือนก่อน
Shabani Rashid aongoza WDC yakuwaaga wenyeviti wa mitaa.
Ccm Kata Kashai yaja kwa kasi kushinda kwa kishindo uchaguzi wa serikali za mitaa.
มุมมอง 6442 หลายเดือนก่อน
Ccm Kata Kashai yaja kwa kasi kushinda kwa kishindo uchaguzi wa serikali za mitaa.
Ccm Kata Kashai yawasha moto.Zaidi ya wanachama wakereketwa na Waliokuwa viongozi Chadema warudi Ccm
มุมมอง 6722 หลายเดือนก่อน
Ccm Kata Kashai yawasha moto.Zaidi ya wanachama wakereketwa na Waliokuwa viongozi Chadema warudi Ccm
Wachimbaji na wafanya Biashara wadogo wadogo wa madini Mkoa wa Kagera kunufaika na chama cha karema.
มุมมอง 582 หลายเดือนก่อน
Wachimbaji na wafanya Biashara wadogo wadogo wa madini Mkoa wa Kagera kunufaika na chama cha karema.
Mkutano wa wachimba madini mkoa wa kagera uliofanyika October 18/2024 Kata Kashai Manispaa ya Bukoba
มุมมอง 2793 หลายเดือนก่อน
Mkutano wa wachimba madini mkoa wa kagera uliofanyika October 18/2024 Kata Kashai Manispaa ya Bukoba
Kaimu Kamanda wa jeshi la polisi ACP Yusuf Daniel aitimisha maadhimisho ya miaka 60.
มุมมอง 633 หลายเดือนก่อน
Kaimu Kamanda wa jeshi la polisi ACP Yusuf Daniel aitimisha maadhimisho ya miaka 60.
Vijana tujitoe kukitumikia chama bila kuchoka.
มุมมอง 853 หลายเดือนก่อน
Vijana tujitoe kukitumikia chama bila kuchoka.
0658782120/0742076655/0686613739/+255718012469📞☎ @mafumbo_garden_lodge
มุมมอง 1313 หลายเดือนก่อน
0658782120/0742076655/0686613739/ 255718012469📞☎ @mafumbo_garden_lodge
Ndio kwanza saa kumi na mbili ligi inayo kuja ya mwakani zawadi zitakuwa moto wa kuotea mbali.
มุมมอง 1163 หลายเดือนก่อน
Ndio kwanza saa kumi na mbili ligi inayo kuja ya mwakani zawadi zitakuwa moto wa kuotea mbali.
Tumekuta Tanzania ipo salama kwasababu ya watu kuwa na uzalendo wa Nchi yao.
มุมมอง 704 หลายเดือนก่อน
Tumekuta Tanzania ipo salama kwasababu ya watu kuwa na uzalendo wa Nchi yao.
Ajali ya moto.Nyumba yateketea watu watatu wa familia moja wanusurika.
มุมมอง 1904 หลายเดือนก่อน
Ajali ya moto.Nyumba yateketea watu watatu wa familia moja wanusurika.
Muda mfupi ujao kiwanja cha nane nane Kyakailabwa Bukoba Manispaa kinaenda kuwa na dhamani kubwa.
มุมมอง 1324 หลายเดือนก่อน
Muda mfupi ujao kiwanja cha nane nane Kyakailabwa Bukoba Manispaa kinaenda kuwa na dhamani kubwa.
SEMINA YA WATARII KUTOKA NCHI YA UJERUMANI PAMOJA NA WADAU KUTOKA MKOA WA KAGERA.
มุมมอง 215 หลายเดือนก่อน
SEMINA YA WATARII KUTOKA NCHI YA UJERUMANI PAMOJA NA WADAU KUTOKA MKOA WA KAGERA.
Mambo ni motoooo. Ila kamera baba haaaa zinatuangusha
Mambo ni mazuri ila kamera zinatia kichefuchefu
Mambo ni mazuri ila kamera hovyo
Makofi mengi kwa mkuu wa mkoa Kagera 🎉
Ongera Mama Mwasa wengi watakuelewa,kumbe ni Ubunifu Mzuri wa kutangaza ,kukuza biashara na kuleta mzunguko wa pesa na Watu Mkoa wa Kagera.
CCM hoyeeeeeeeee📌
No
Naona watu wawilitu
AMINA SANA
makosa ya watu sio mapenzi ya mungu tafadhali chinguza leta taarifa kamili basi msomi unasema mapenzi ya mungu, siku zoote ajali inakinga jamani.
yaani boda boda wachote maji mtoni nakumwagilia nyumba halafu mhe unawqsifia zimamoto kweli hapana hapa nakataa mzee
Mheshimiwa Mkuu wa mkoa Kagera.. Wananchi wa Wilaya ya Kyerwa tunaomba turekebishiwe barabara ya kutoka Mrushaka hadi Nkwenda miundombinu yake ni mibovu pamoja na uhaba wa maji na hutoaji wa huduma za Afya kwa wananchi wa kyerwa ni hafifu hatupati huduma sitaiki tunaomba serikali itusaidie jamani.. Mtu unapanda gari kutoka Mrushaka kwenda Nkwenda unafika mbavu zinauma sababu ya miundombinu ya barabara kuwa mbovu... Asante naomba kuwasilisha
Wakola ekipango
Asante nilimhona msanii wetu johanesboy kishanda❤🎉
Bismillah MashaAllah TabarakaAllah Hajjat Mh. Fatma Abubakar Mwassa, Hijja Mabrour Alhamdulillah.
Hongera sana Hajjat
Hizi iman duuh
hub impact yoyote Ile mdogo wangu punguza njaakuhamia kichwani, miaka 15 muongo nawew una miaka mingapi
...."BATI" MBAYA ndiyo nini ?
Ccm mmeliwa hizo sasa siyo kadi za chadema. Mnaliwa pesa zenu bure siyo wanachama wa chadema. Hongereni wajanja wajinga ndiyo waliwao
Mumeanza lisuu aliongeye kama unahama so jama tuu ni biashala
Ifike wakati itungwe sheria kutoharalisha huu ujinga ndo mana unaonesha huna amani kwakuwa unaunga na wakandamizaja wa haki zawatanzani
Mmhhh!
Upendezeshe mji wetu kiongozi,
Watawanunua mpka wake zetu
ujinga mtupu!
Dhama za Sasa hivi wananchi hawadaganyiki, mfano mdogo ni huu hapa mmeuza badali halafu mnauga mkono kweupe, nyie vipi?
Binafsi siwez kumpa kura kiongoz ambae Hana mwelekeo kamili,kwann uhame kwenda ulipokua unakponda?..je huon anaedanganywa n mwananchi?
Nunuanunua ya mafisiyemu imeanza ila mnanunuliwa kwa pesa ya walipa kodi laana itawatafuna nyie na vizaziz vyenu
Pole Kwa kuendelea kukariri
Njaaa tu zinawatafuna hawa
Good speech camanda
Ongea ukweli daima kaka bukoba yetu
Mpola muno 😮😮
Walikuachia dawati? Ili wanetu waache kukaa chini na kusongamana??
Mungu atajibu
Ni kweli miti mawe havikununuliwa. Mbaneni azioneshe pesa zilipo. Heko kwenu viongozi msiotaka mbambamba.
Mm
Mungu akakubariki sana Dada angu mzuriii.
❤
Sema polisi wa nchini kwetu kuweni wazalendo kwa maslahi ya wananchi wetu,mama samia ashasema msimiliki matumbo ya rushwa na kuwatesa kuwasingizia kesi kwa maslahi ,yenu tuna ndugu zetu jeshi wakiamua kuingilia kati hatutokua na amani.....
😂😂😂 Du safi sana. Upendo kwanza
🎉🎉🎉
😅😅😅
Ibwera yangu
Hilo eneo ni dogo sana.mbona bukoba club pakubwa sana jamani.Anyway ilinoga.
Asante sana, mshikamano nzuri mno🎉🎉🎉🎉
Tubanze tulye.😅😅😅 Watano Watano
Mnasema tuwataje tukiwataja hamuwafatilii kisawasawa. Wakifatiliwa isivyo unawaona mitaani wakitamba sasa hii inapelekea kukatisha tamaa ndo hiyo ""Kakitandugao" inatokea.
Jamaani nyumbani ibwera
Ila mwenye kamela aongeze ubora
Nnachofrahia viongozi wetu wa leo ki ukweli wameamua kujishusha. Umimi Ubwana umewekwa kando. Asanteni sana Heko kwenu mmwaaa.