ORIONI CHOIR
ORIONI CHOIR
  • 2
  • 33 919
#ORIONI CHOIR: GOLIATI AMEANGUKA { Official Video }
1SAMUELI 17:45
Ndipo Daudi akamwambia yule Mfilisti, Wewe unanijia mimi na upanga, na fumo, na mkuki, bali mimi ninakujia wewe kwa jina la Bwana wa majeshi, Mungu wa majeshi ya Israeli uliowatukana.
46 Siku hii ya leo Bwana atakuua mkononi mwangu, nami nitakupiga, na kukuondolea kichwa chako, nami leo nitawapa ndege wa angani na wanyama wa nchi mizoga ya majeshi ya Wafilisti, ili kwamba dunia nzima wajue ya kuwa yuko Mungu katika Israeli.
47 Nao jamii ya watu wote pia wajue ya kwamba Bwana haokoi kwa upanga wala kwa mkuki; maana vita ni vya Bwana, naye atawatia ninyi mikononi mwetu.
48 Ikawa, hapo Mfilisti alipojiinua, akaenda akamkaribia Daudi, ndipo Daudi naye akapiga mbio, akalikimbilia jeshi ili akutane na yule Mfilisti.
49 Daudi akatia mkono wake mfukoni, akatwaa humo jiwe moja, akalitupa kwa kombeo lake, akampiga Mfilisti katika kipaji cha uso; jiwe hilo likamwingilia kipajini, akaanguka chini kifudifudi.
มุมมอง: 12 460

วีดีโอ

#ORIONI CHOIR: BWANA NI MWEMA { Official Video }
มุมมอง 21Kปีที่แล้ว
#ORIONI CHOIR: BWANA YU MWEMA { Official Video } Moyo wangu msifu Bwana, Nafsi yangu m-bariki Kwani neema yake mpya, mchana kucha. Bariki Bwana Moyo wangu na vyote vilivyo ndani yangu visifu jina lake takatifu.