Tanzania Leadership
Tanzania Leadership
  • 44
  • 5 130
𝐊𝐔𝐏𝐀𝐌𝐁𝐀𝐍𝐀 𝐍𝐀 𝐔𝐌𝐀𝐒𝐈𝐊𝐈𝐍𝐈 𝐆𝐀𝐈𝐑𝐎 𝐊𝐔𝐏𝐈𝐓𝐈𝐀 𝐊𝐈𝐋𝐈𝐌𝐎 𝐂𝐇𝐈𝐍𝐈 𝐘𝐀 𝐏𝐑𝐎𝐆𝐑𝐀𝐌𝐔 𝐔𝐑𝐈𝐓𝐇𝐈 𝐖𝐀 𝐊𝐈𝐉𝐀𝐍𝐈 𝐍𝐀 𝐊𝐈𝐋𝐈𝐌𝐎 𝐌𝐈𝐒𝐈𝐓𝐔
Gairo ni Moja ya Wilaya zilizotajwa kuwa na Kiwango Kikubwa Cha Umasikini kwa mujibu wa Takwimu za NBS za mwaka 2018. Wananchi walio wengi wamejiajiri katika Sekta ya Kilimo. Hata hivyo, Sekta hii bado haijatoa matokeo bora kwa wananchi katika kuwasaidia kuwakwamua katika Umasikini.
Uongozi wa Wilaya umeanza kufanya jitihada za kuwaondoa wananchi Katika Umasikini kupitia Uhamasishaji na Uelimishaji wa Wananchi kubadili Kilimo Chao, kutoka Kilimo Cha Kujikimu kwenda kwenye Kilimo Cha Kibiashara.
Aidha, Wilaya inahamasisha Kilimo Cha Mazao ya Kimkakati yanyoleta faida kubwa ikiwemo zao la Parachichi katika Tarafa ya Nongwe ambayo ina rutuba na hali ya hewa nzuri. Kupitia Programu ya URITHI WA KIJANI na KILIMO MISITU kwa kushirikiana na Taasisi ya SACGOT na AGRIWEZESHA Wilaya inatekeleza Mradi wa Kilimo Cha Parachichi ambapo Kila kaya katika Tarafa ya Nongwe wanatakiwa kuwa na hekari Moja ya Parachichi na kufikia Julai 2025 Jumla ya hekari 2000 zinatarajiwa kupandwa Miche ya Parachichi.
มุมมอง: 653

วีดีโอ

𝐌𝐊𝐖𝐀𝐖𝐀 𝐋𝐄𝐀𝐅 𝐊𝐔𝐋𝐄𝐓𝐀 𝐍𝐄𝐄𝐌𝐀 𝐊𝐖𝐀 𝐖𝐀𝐊𝐔𝐋𝐈𝐌𝐀 𝐖𝐀𝐏𝐘𝐀 𝐖𝐀 𝐓𝐔𝐌𝐁𝐀𝐊𝐔 𝐆𝐀𝐈𝐑𝐎
มุมมอง 1252 หลายเดือนก่อน
𝐌𝐊𝐖𝐀𝐖𝐀 𝐋𝐄𝐀𝐅 𝐊𝐔𝐋𝐄𝐓𝐀 𝐍𝐄𝐄𝐌𝐀 𝐊𝐖𝐀 𝐖𝐀𝐊𝐔𝐋𝐈𝐌𝐀 𝐖𝐀𝐏𝐘𝐀 𝐖𝐀 𝐓𝐔𝐌𝐁𝐀𝐊𝐔 𝐆𝐀𝐈𝐑𝐎
𝗦𝗔𝗠𝗜𝗔 𝗞𝗜𝗟𝗜𝗠𝗢 𝗕𝗜𝗔𝗦𝗛𝗔𝗥𝗔 𝗘𝗫𝗣𝗢 2024, 𝗠𝗦𝗜𝗠𝗨 𝗪𝗔 3 𝗚𝗔𝗜𝗥𝗢
มุมมอง 1533 หลายเดือนก่อน
𝗦𝗔𝗠𝗜𝗔 𝗞𝗜𝗟𝗜𝗠𝗢 𝗕𝗜𝗔𝗦𝗛𝗔𝗥𝗔 𝗘𝗫𝗣𝗢 2024, 𝗠𝗦𝗜𝗠𝗨 𝗪𝗔 3 𝗚𝗔𝗜𝗥𝗢, ni Maonesho ya Kilimo yanayowakutanisha wadau wa Sekta ya Kilimo, Mifugo na Mazingira kwa lengo la kuwasaidia wakulima na Wafugaji kujifunza mbinu na Teknolojia za Kisasa za kuboresha Sekta ya Kilimo na Mifugo kwa kuzingatia Hifadhi ya Mazingira.
𝐑𝐂 𝐌𝐀𝐋𝐈𝐌𝐀 𝐀𝐓𝐎𝐀 𝐖𝐈𝐓𝐎 𝐊𝐖𝐀 𝐖𝐀𝐃𝐀𝐔 𝐊𝐔𝐒𝐇𝐈𝐑𝐈𝐊𝐈 𝐒𝐀𝐌𝐈𝐀 𝐊𝐈𝐋𝐈𝐌𝐎 𝐁𝐈𝐀𝐒𝐇𝐀𝐑𝐀 𝐄𝐗𝐏𝐎, 2024 𝐆𝐀𝐈𝐑𝐎
มุมมอง 643 หลายเดือนก่อน
"SAMIA KILIMO BIASHARA EXPO 2024" ni Maonesho ya Kilimo yanayowakutanisha wadau wote katika Mnyororo wa Thamani wa Sekta ya Kilimo, Mifugo. Maonesho haya yatafanyika Wilayani Gairo kuanzia Tarehe 06 Oktoba 2024 hadi Tarehe 12 Oktoba, 2024. Wadau wanaohusika ni pamoja na;- - Wakulima na Wafugaji - Wauzaji na Wazalishaji wa Pembejeo za Kilimo na Mifugo ikiwemo mbegu Bora za Mazao na Mifugo, viuat...
𝐊𝐮𝐞𝐥𝐞𝐤𝐞𝐚 #𝐌𝐚𝐨𝐧𝐞𝐬𝐡𝐨 𝐲𝐚 #𝐊𝐢𝐥𝐢𝐦𝐨 𝐆𝐚𝐢𝐫𝐨 "𝐒𝐀𝐌𝐈𝐀 𝐊𝐈𝐋𝐈𝐌𝐎 𝐁𝐈𝐀𝐒𝐇𝐀𝐑𝐀 𝐄𝐗𝐏𝐎 2024" 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐮 𝐰𝐚 3, 𝐆𝐚𝐢𝐫𝐨
มุมมอง 1443 หลายเดือนก่อน
𝐊𝐮𝐞𝐥𝐞𝐤𝐞𝐚 #𝐌𝐚𝐨𝐧𝐞𝐬𝐡𝐨 𝐲𝐚 #𝐊𝐢𝐥𝐢𝐦𝐨 𝐆𝐚𝐢𝐫𝐨 "𝐒𝐀𝐌𝐈𝐀 𝐊𝐈𝐋𝐈𝐌𝐎 𝐁𝐈𝐀𝐒𝐇𝐀𝐑𝐀 𝐄𝐗𝐏𝐎 2024" 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐮 𝐰𝐚 3, 𝐆𝐚𝐢𝐫𝐨
𝐌𝐚𝐨𝐧𝐞𝐬𝐡𝐨 𝐲𝐚 𝐊𝐢𝐥𝐢𝐦𝐨 𝐁𝐢𝐚𝐬𝐡𝐚𝐫𝐚 𝐆𝐚𝐢𝐫𝐨
มุมมอง 684 หลายเดือนก่อน
Asilimia zaidi ya 90 ya Wananchi wa Wilaya ya Gairo wanaitegemea Sekta ya Kilimo na Mifugo kama njia ya kujihakikishia Usalama wa Chakula na kupata kipato Cha kumudu gharama mbalimbali za Maisha. Hivyo, Sekta ya Kilimo ni Mhimili wa Ukuaji wa Uchumi na Mapambano dhidi ya Umasikini. Hata hivyo, Sekta hizi zimekuwa zikikabiliwa na Changamoto kadhaa zikiwemo wakulima na wafugaji kutozingatia Kanun...
𝐒𝐄𝐊𝐓𝐀 𝐘𝐀 𝐌𝐀𝐙𝐈𝐍𝐆𝐈𝐑𝐀 𝐆𝐀𝐈𝐑𝐎 - 𝐒𝐔𝐂𝐂𝐄𝐒𝐅𝐔𝐋 𝐒𝐓𝐎𝐑𝐘
มุมมอง 38ปีที่แล้ว
Programu ya URITHI WA KIJANI GAIRO (Gairo Green Legacy) ni Mkakati maalumu Gairo unaolenga kuboresha Sekta ya Kilimo na Mazingira. Katika kipindi Cha Miaka ya hivi karibuni Dunia imeshuhudia athari kubwa za Mabadiliko ya Tabianchi kutokana na kiwango Kikubwa cha uharibifu wa Mazingira. Nchi yetu Tanzania, kadhalika Wilaya yetu ya Gairo tumeshuhudia majanga mbalimbali ambayo yamekuwa na athari k...
𝐒𝐄𝐊𝐓𝐀 𝐘𝐀 𝐊𝐈𝐋𝐈𝐌𝐎 𝐆𝐀𝐈𝐑𝐎 - 𝐒𝐔𝐂𝐂𝐄𝐒𝐅𝐔𝐋 𝐒𝐓𝐎𝐑𝐘
มุมมอง 65ปีที่แล้ว
"Video ni Documentary ya Successful Story ya Sekta ya Kilimo na Mazingira Gairo iliyotazamwa katika mkutano wa SACGOT uliokutanisha Wadau wa Kilimo, Mifugo na Mazingira mkoa wa Morogoro, na baadae kutazamwa katika Mkutano kama huo katika ngazi ya Taifa Gairo ni miongoni mwa Wilaya ambazo kiwango cha umasikini ni kikubwa sana na ndiyo maana, mimi na viongozi wenzangu tuliamua kuchukua hatua madh...
𝐌𝐚𝐨𝐧𝐞𝐬𝐡𝐨 𝐲𝐚 𝐊𝐢𝐥𝐢𝐦𝐨 𝐁𝐢𝐚𝐬𝐡𝐚𝐫𝐚 𝐆𝐚𝐢𝐫𝐨 𝐧𝐚 𝐊𝐢𝐥𝐢𝐦𝐨 𝐌𝐚𝐫𝐚𝐭𝐡𝐨𝐧 2023 𝐲𝐚𝐥𝐢𝐯𝐲𝐨𝐡𝐢𝐭𝐢𝐦𝐢𝐬𝐡𝐰𝐚 𝐤𝐰𝐚 𝐊𝐢𝐬𝐡𝐢𝐧𝐝𝐨.
มุมมอง 226ปีที่แล้ว
Wilaya ya Gairo imehitimisha Maonesho ya Kilimo Biashara na Kilimo Marathon 2023, yaliyofanyika kwa Siku 5. Maonesho haya yaliwakutanisha wadau wote wanaohusika kumuhudumia Mkulima katika Mnyororo wa thamani wa Sekta ya Kilimo lengo likiwa kuwarahisishia wakulima na wafugaji kujifunza mbinu na teknolojia za Kilimo Bora sambamba na kuwasaidia kupata huduma mbalimbali zitakazowasaidia katika kuku...
𝐌𝐀𝐎𝐍𝐄𝐒𝐇𝐎 𝐘𝐀 𝐊𝐈𝐋𝐈𝐌𝐎 𝐆𝐀𝐈𝐑𝐎 2022 /𝐆𝐀𝐈𝐑𝐎 𝐀𝐆𝐑𝐈𝐂𝐔𝐋𝐓𝐔𝐑𝐄 𝐄𝐗𝐏𝐎 2022
มุมมอง 135ปีที่แล้ว
Takwimu zinaonesha kwamba asilimia 98% ya Wananchi wa Wilaya ya Gairo wanaojishughulisha na Kilimo na Mifugo. Pia Sekta mbili zimekuwa na Mchango Mkubwa katika mapato ya Halmashauri pamoja na ukuzaji wa Uchumi wa Wilaya. Hivyo, jitihada za Kuondoa umasikini na kuongeza ukusanyaji wa Mapato haziwezi kuzaa matunda kama Serikali ya Wilaya haijaweza Mkazo kati Sekta ya Kilimo na Mifugo. Changamoto ...
𝗗𝗖 𝗚𝗔𝗜𝗥𝗢, 𝗡𝗔 𝗦𝗔𝗞𝗔𝗧𝗔 𝗟𝗔 𝗕𝗔𝗡𝗗𝗔𝗥𝗜. 𝗔𝗪𝗔𝗧𝗢𝗔 𝗛𝗢𝗙𝗨 𝗪𝗔𝗡𝗔𝗡𝗖𝗛𝗜 𝗪𝗔 𝗚𝗔𝗜𝗥𝗢
มุมมอง 97ปีที่แล้ว
𝗚𝗔𝗜𝗥𝗢, 𝗡𝗔 𝗦𝗔𝗞𝗔𝗧𝗔 𝗟𝗔 𝗕𝗔𝗡 𝗔𝗥𝗜. 𝗔𝗪𝗔𝗧𝗢𝗔 𝗛𝗢𝗙𝗨 𝗪𝗔𝗡𝗔𝗡𝗖𝗛𝗜 𝗪𝗔 𝗚𝗔𝗜𝗥𝗢
#KutokaMaktaba Siasa na Uongozi: Sehemu ya Majadiliano kati ya Jabiri Makame na Chief Odemba
มุมมอง 45ปีที่แล้ว
#KutokaMaktaba Siasa na Uongozi: Sehemu ya Majadiliano kati ya Jabiri Makame na Chief Odemba
𝗗𝗼𝗰𝘂𝗺𝗲𝗻𝘁𝗮𝗿𝘆 𝘆𝗮 𝗨𝗥𝗜𝗧𝗛𝗜 𝗪𝗔 𝗞𝗜𝗝𝗔𝗡𝗜 𝗚𝗔𝗜𝗥𝗢 (𝗚𝗮𝗶𝗿𝗼 𝗚𝗿𝗲𝗲𝗻 𝗟𝗲𝗴𝗮𝗰𝘆) 𝗧𝘂𝗹𝗶𝗸𝗼𝘁𝗼𝗸𝗮 & 𝗧𝘂𝗹𝗶𝗽𝗼, 𝗠𝗮𝗹𝗲𝗻𝗴𝗼 & 𝗠𝗮𝗳𝗮𝗻𝗶𝗸𝗶𝗼
มุมมอง 130ปีที่แล้ว
#GreenLeadership #urithiwakijani #greenlegacy #mazingira Maisha ya mwanadamu hapa ulimwenguni yamekuwa mashakani kutoka na kuongezeka kwa majanga mbalimbali ikiwa ni athari za Mabadiliko ya Tabia ya Nchi (Climate Change). Athari hizo zinajumuisha ongezeko la joto, mafuriko, ukame, vimbunga nk. Ripoti ya Hali ya Mabadiliko ya Tabia ya Nchi Barani Afrika (State of Climate in Africa) inaeleza kwam...
𝐌𝐀𝐓𝐔𝐌𝐈𝐙𝐈 𝐘𝐀 𝐀𝐊𝐈𝐋𝐈 𝐇𝐈𝐒𝐈𝐀 (𝐄𝐌𝐎𝐓𝐈𝐎𝐍𝐀𝐋 𝐈𝐍𝐓𝐄𝐋𝐋𝐈𝐆𝐄𝐍𝐂𝐄) 𝐊𝐀𝐓𝐈𝐊𝐀 𝐔𝐎𝐍𝐆𝐎𝐙𝐈, 𝐃𝐇𝐀𝐍𝐀 𝐍𝐀 𝐔𝐌𝐔𝐇𝐈𝐌𝐔 𝐖𝐀𝐊𝐄
มุมมอง 110ปีที่แล้ว
𝗠𝗮𝘁𝘂𝗺𝗶𝘇𝗶 𝘆𝗮 𝗔𝗸𝗶𝗹𝗶 𝗛𝗶𝘀𝗶𝗮 (𝗘𝗺𝗼𝘁𝗶𝗼𝗻𝗮𝗹 𝗜𝗻𝘁𝗲𝗹𝗹𝗶𝗴𝗲𝗻𝗰𝗲) 𝗞𝗮𝘁𝗶𝗸𝗮 𝗨𝗼𝗻𝗴𝗼𝘇𝗶 Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akifunga Semina Elekezi kwa Mawaziri na Watendaji Wakuu wa Taasisi Jijini Arusha, alieleza kwamba Mada ya Akili Hisia (Emotional Intelligence) imekuwa na msisimuko mkubwa kwa washiriki wa Mkutano huo. Bila shaka ni kutokana na umuhimu wake katika Uongozi na Maisha yetu ya kila Si...
𝗔𝗞𝗜𝗟𝗜 𝗛𝗜𝗦𝗜𝗔/𝗘𝗠𝗢𝗧𝗜𝗢𝗡𝗔𝗟 𝗜𝗡𝗧𝗘𝗟𝗟𝗜𝗚𝗘𝗡𝗖𝗘 𝐍𝐀 𝗨𝗢𝗡𝗚𝗢𝗭𝗜: 𝗗𝗛𝗔𝗡𝗔 𝗡𝗔 𝗨𝗠𝗨𝗛𝗜𝗠𝗨 𝗪𝗔𝗞𝗘
มุมมอง 200ปีที่แล้ว
𝗠𝗮𝘁𝘂𝗺𝗶𝘇𝗶 𝘆𝗮 𝗔𝗸𝗶𝗹𝗶 𝗛𝗶𝘀𝗶𝗮 (𝗘𝗺𝗼𝘁𝗶𝗼𝗻𝗮𝗹 𝗜𝗻𝘁𝗲𝗹𝗹𝗶𝗴𝗲𝗻𝗰𝗲) 𝗞𝗮𝘁𝗶𝗸𝗮 𝗨𝗼𝗻𝗴𝗼𝘇𝗶 Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akifunga Semina Elekezi kwa Mawaziri na Watendaji Wakuu wa Taasisi Jijini Arusha, alieleza kwamba Mada ya Akili Hisia (Emotional Intelligence) imekuwa na msisimuko mkubwa kwa washiriki wa Mkutano huo. Bila shaka ni kutokana na umuhimu wake katika Uongozi na Maisha yetu ya kila Si...
Urithi wa Kijani by Gairo All Stars
มุมมอง 1.1K2 ปีที่แล้ว
Urithi wa Kijani by Gairo All Stars
#Miaka44 ya #CCM na Wajibu wa #Vijana Kuenzi Fikra za Waasisi Mwl. Nyerere na Shekh Karume
มุมมอง 373 ปีที่แล้ว
#Miaka44 ya #CCM na Wajibu wa #Vijana Kuenzi Fikra za Waasisi Mwl. Nyerere na Shekh Karume
#Kampeni za #UchaguziMkuu2020 katika Kata ya #Vingunguti Jimbo la Segerea
มุมมอง 533 ปีที่แล้ว
#Kampeni za #UchaguziMkuu2020 katika Kata ya #Vingunguti Jimbo la Segerea
Uzinduzi wa Jukwaa la #Vijana #Manispaa ya #Ilala
มุมมอง 173 ปีที่แล้ว
Uzinduzi wa Jukwaa la #Vijana #Manispaa ya #Ilala
NAFASI YA #VIONGOZI #VIJANA KATIKA MAPAMBANO DHIDI YA #RUSHWA #TANZANIA
มุมมอง 314 ปีที่แล้ว
NAFASI YA #VIONGOZI #VIJANA KATIKA MAPAMBANO DHIDI YA #RUSHWA #TANZANIA
#Leadership is a Learning Process #TanzaniaLeadershipFoundation
มุมมอง 1384 ปีที่แล้ว
#Leadership is a Learning Process #TanzaniaLeadershipFoundation
#UONGOZI: UONGOZI SIYO MADARAKA. UONGOZI NI MATENDO YAKO, MAAMUZI YAKO #subscribe hapo chini 👇🏼👇🏼
มุมมอง 2574 ปีที่แล้ว
#UONGOZI: UONGOZI SIYO MADARAKA. UONGOZI NI MATENDO YAKO, MAAMUZI YAKO #subscribe hapo chini 👇🏼👇🏼
#Startv #UchaguziMkuu MJADALA #AGENDA YA #MAENDELEO KUELEKEA #UCHAGUZI MKUU 2020
มุมมอง 694 ปีที่แล้ว
#Startv #UchaguziMkuu MJADALA #AGENDA YA #MAENDELEO KUELEKEA #UCHAGUZI MKUU 2020
Vision and organizational culture
มุมมอง 264 ปีที่แล้ว
Vision and organizational culture
FUNZO MUHIMU KWA #VIONGOZI #VIJANA, na ndugu Jabiri Makame katika Kongamano Magufuli Scholars Forum
มุมมอง 574 ปีที่แล้ว
FUNZO MUHIMU KWA #VIONGOZI #VIJANA, na ndugu Jabiri Makame katika Kongamano Magufuli Scholars Forum
Uongozi na Maadili: Hatua muhimu kwa vijana kukuza uwezo wa Uongozi
มุมมอง 2655 ปีที่แล้ว
Uongozi na Maadili: Hatua muhimu kwa vijana kukuza uwezo wa Uongozi
Jabiri Makame akizungumza na wanafunzi wa Chuo Cha DMI, DSM katika Semina ya Kupambana na Rushwa
มุมมอง 405 ปีที่แล้ว
Jabiri Makame akizungumza na wanafunzi wa Chuo Cha DMI, DSM katika Semina ya Kupambana na Rushwa
Speaking on Youth and Leadership at Chuo Life Time 2019 event at the University of Dar es salaam
มุมมอง 105 ปีที่แล้ว
Speaking on Youth and Leadership at Chuo Life Time 2019 event at the University of Dar es salaam
Vijana na Tanzania ya Viwanda, Mlimani TV
มุมมอง 555 ปีที่แล้ว
Vijana na Tanzania ya Viwanda, Mlimani TV
Young people are the agents of change
มุมมอง 165 ปีที่แล้ว
Young people are the agents of change

ความคิดเห็น

  • @abdallahmzuzuri3527
    @abdallahmzuzuri3527 หลายเดือนก่อน

    Kwenye parachichi hapo umefikilia pakubwa sana mweshimiwa. Mm nimelima parachichi njombe na nilikua naona kuna kila sababu ya kufanya hivyo Gailo. Kwasababu hari ya hewa inaruhusu sana kulima.

  • @abdallahmzuzuri3527
    @abdallahmzuzuri3527 หลายเดือนก่อน

    Naomba namba za simu ndugu zangu

  • @Abidonkuyega
    @Abidonkuyega หลายเดือนก่อน

    Jamaa uongozi anauweza

  • @abdallahmzuzuri3527
    @abdallahmzuzuri3527 หลายเดือนก่อน

    Duh unajua kumbe mawazo ya binadamu uwaga yanatembea. Mm nimelima parachichi njombe. Lkn miaka yote nilikua nafikiliaga kuaznisha kilimo hichi gailo sababu ya mazingira yake. Sasa leo nimekutana na hii video nimefurai sana. Nimepata pakuanzia

  • @petermaeda4843
    @petermaeda4843 หลายเดือนก่อน

    Mbegu Bei gani

  • @Udindigwa
    @Udindigwa ปีที่แล้ว

    Amina

  • @abuumussa-db1ny
    @abuumussa-db1ny ปีที่แล้ว

    Safi sana

  • @AbuuMussa-p5i
    @AbuuMussa-p5i ปีที่แล้ว

    Uchambuzi mzuri sana kiongozi, nimekueleaa sana. Wasiotaka kuelewa ni wale wenye maslahi binafsi, wanaonufaika na Mfumo wa sasa

  • @odingaodinga6631
    @odingaodinga6631 ปีที่แล้ว

    🙏🤝💪💪❤❤

  • @batlomeothimoseo7832
    @batlomeothimoseo7832 ปีที่แล้ว

    Iko pw sana blaza nitho umetsha

  • @abuumussa-db1ny
    @abuumussa-db1ny ปีที่แล้ว

    This is so great, shukrani sana

  • @josephmshomi9414
    @josephmshomi9414 2 ปีที่แล้ว

    Unyama xana

  • @vicboymdoz7584
    @vicboymdoz7584 2 ปีที่แล้ว

    Big up my brothers naona jogoo pale @gacs2022 tutarudi Tena mwakani majaliwa..big love toka Kenya

  • @upendoclaviusmhagama6870
    @upendoclaviusmhagama6870 2 ปีที่แล้ว

    Pamoja mkuu

  • @erickdaudi3815
    @erickdaudi3815 2 ปีที่แล้ว

    Nimekubali xana

  • @shabiachalido442
    @shabiachalido442 3 ปีที่แล้ว

    Great

  • @danfordmoya
    @danfordmoya 4 ปีที่แล้ว

    Saf mkuu

  • @dadilukanga1560
    @dadilukanga1560 4 ปีที่แล้ว

    VISION × PASSION ÷ GOALS = DISCOVERY OF LIFE PURPOSE V×P/G =DLP

  • @doricemkiva37
    @doricemkiva37 4 ปีที่แล้ว

    Ooh wow... my take away is Leadership is all about influence 🙏🏻🙏🏻

  • @irynpeter625
    @irynpeter625 4 ปีที่แล้ว

    Keep souring 👏🏽

  • @augustinoevarist6754
    @augustinoevarist6754 4 ปีที่แล้ว

    Mentor

  • @dadilukanga1560
    @dadilukanga1560 4 ปีที่แล้ว

    Shukrani sana Mh. Jabiri Makame CEO Wa TLF! Tumejifunza jana pale uhasibu na Umetuwekea kumbukumbu hapa. Hii ndio training bora ya uongozi ya kufungia Mwaka huu 2020

  • @saidmohamed6556
    @saidmohamed6556 5 ปีที่แล้ว

    Good analysis