Richard Mwaikenda
Richard Mwaikenda
  • 1 709
  • 279 085
BALOZI NCHIMBI APIGA KURA KILIMANI DODOMA
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amepiga kura yake katika Kituo cha Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Kilimani, kwa ajili ya kuchagua viongozi wa Serikali ya mtaa anaoishi, eneo la Kilimani, jijini Dodoma, leo tarehe 27 Novemba, 2024.
Dkt. Nchimbi akiweka kwenye kisanduku kura yake.
Dkt. Nchimbi akihakikiwa jina lake kwenye kitabu cha orodha ya wapigakura.
Akiwa kwenye foleni tayari kwenda kupiga kura.
มุมมอง: 10

วีดีโอ

MKISHINDA MKAJIEPUSHE NA DHULUMA NA RUSHWA - DKT. NCHIMBI
มุมมอง 716 ชั่วโมงที่ผ่านมา
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV "Na nitumie nafasi hii kuwataka wagombea wetu, walioteuliwa na Chama Cha Mapinduzi kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi huu wa Serikali za Mitaa kuienzi na kuilinda heshima kubwa ambayo Chama Cha Mapinduzi kinapewa na wananchi. Tunaamini bila shaka yoyote kuwa mtachaguliwa. Lakini tunawasihi mkichaguliwa mkaendeleze uaminifu wenu kwa wananchi. Mkajiepushe na v...
ANNE MARIE
มุมมอง 1414 วันที่ผ่านมา
Mbunge wa Bukoba Vijijini, ambaye pia ni Mkurugenzi na mmiliki wa Shule ya ST Anne Marie, Dkt. Jasson Rweikiza akiwaelekeza maeneo mbalimbali ya Bunge wanafunzi wa shule hiyo waliotembelea kwa lengo la kujifunza mwenendo wa bunge hilo jijini Dodoma Novemba 6, 2024. Dkt. Rweikiza ametimiza aliyowaahidi wanafunzi wa darasa la 7 kwamba wakipata ufaulu wa alama A watatembelea Bunge..
WANAFUNZI ST. ANNE MARIE WAFURAHIA KUTEMBELEA BUNGE
มุมมอง 3614 วันที่ผ่านมา
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV Mbunge wa Bukoba Vijijini, ambaye pia ni Mkurugenzi na mmiliki wa Shule ya ST. Anne Marie ya Dar es Salaam, Dkt. Jasson Rweikiza akiwaelekeza maeneo mbalimbali ya Bunge wanafunzi wa shule hiyo waliotembelea kwa lengo la kujifunza mwenendo wa bunge hilo jijini Dodoma Novemba 6, 2024. Dkt. Rweikiza ametimiza aliyowaahidi wanafunzi wa darasa la 7 kwamba wakipata ufaulu...
TANZANIA KUWA KITOVU CHA MATIBABU YA KIBINGWA AFRIKA
มุมมอง 10714 วันที่ผ่านมา
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV Naibu Waziri wa Afya, Dk. Godwin Mollel amesema kuwa Tanzani itakuwa kitovu cha matibabu ya kibingwa Afrika. Ameyasema hayo alipokuwa akijibu hoja za wabunge bungeni Dodoma Novemba 8, 2024 wakati wa kuhitimisha Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa unaokusudiwa kutekelezwa na Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026 pamoja na Mapendekezo ya Mwongozo wa Maandalizi...
UWEKEZAJI SEKTA YA AFYA WAIPAISHA SERIKALI YA RAIS SAMIA
มุมมอง 6914 วันที่ผ่านมา
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema kuwa uwekezaji mkubwa katika sekta ya afya umeipaisha Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan. Ameyasema hayo alipokuwa akijibu hoja za wabunge bungeni Dodoma Novemba 8, 2024, wakati wa kuhitimisha Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa unaokusudiwa kutekelezwa na Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026 pamoja na Mape...
MWANYIKA AIBANA SERIKALI KUHUSU UJENZI WA MNARA KIJIJI CHA ULIWA
มุมมอง 2014 วันที่ผ่านมา
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV Mbunge wa Njombe Mjini, Deodatus Mwanyika ameihoji serikali bungeni Dodoma Novemba 8, 2024 kwamba ni lini ujenzi wa mnara wa mawasiliano Kijiji cha Uliwa Njombe utakamilika?
MWANYIKA AZIDI KUPAMBANIA UJENZI WA BARABARA NJOMBE MJINI
มุมมอง 2314 วันที่ผ่านมา
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV Mbunge wa Njombe Mjini, Deodatus Mwanyika amezidi kubana serikali bungeni, kuhusu ujenzi wa barabara katika jimbo hilo.
WAZAZI CCM KUCHANGIA MARATHON ZA KUSAIDIA UJENZI WA MAKAZI YA WATOTO WENYE UHITAJI ZANZIBAR
มุมมอง 7414 วันที่ผ่านมา
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV Mwenyekiti wa Umoja wa Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Fadhili Maganya ameahidi kuchangia mbio za za kuchangia fedha za kujenga makazi ya watoto walioathiririwa kijinsia Zanzibar.
MWANYIKA MCHANGO
มุมมอง 614 วันที่ผ่านมา
MWANYIKA MCHANGO
SERIKALI IWEKE MSUKUMO MKUBWA KWENYE MAZINGIRA YA UWEKEZAJI
มุมมอง 4621 วันที่ผ่านมา
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV Mbunge wa Njombe Mjini, Deodatus Mwanyika ameishauri serikali kuweka msukumo mkubwa kwenye mazingira ya uwekezaji alipokuwa akichangia mapendekezo ya Mpango ifa wa Maendeleo kwa mwaka 2025 - 2026 na mwelekeo wa Bajeti ya serikali kwa mwaka 2025 - 2026. Pamoja na kupambania mambo mengine amesema kuwa mradi wa Liganga na Mchuchuma tuuharakishe na ukianza utasaidia kub...
MULUGO AIBANA KOO SERIKALI UJENZI WA BARABARA SONGWE
มุมมอง 24521 วันที่ผ่านมา
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV Mbunge wa Songwe, Philip Mulugo ameitaka serikali kuharakisha ujenzi wa barabara ya Chang'ombe mpaka Magamba ambayo mkandarasi amekimbia. Ameyasema hayo wakati wa kipindi cha maswali namajibu bungeni Dodoma Novemba 6, 2024, na swali hilo kujibiwa na Naibu Waziri wa TAMISEMI, Zainab Katimba.
MTATURU AUPONGEZA MPANGO, MWELEKEO WA BAJETI 2025/26
มุมมอง 4021 วันที่ผ่านมา
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV Mbunge wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu amepongeza Mpango wa Maendeleo 2025/2026 namna ambavyo serikali imeutekeleza. Akizungumza jijini Dodoma leo Novemba 5,2024 Mtaturu amesema kuwa mwaka huu wa mwisho wa mpango wenyewe ni kujipima namna ambavyo umefanyika. Mtaturu amesema kuwa pato la taifa limeongezeka kila mwaka hali inayoonyesha mwenendo mzuri wa mpango wa ...
NYOKA AKUMBUSHA AHADI YA RAIS SAMIA UJENZI WA RELI YA MTWARA-MBAMBA BAY
มุมมอง 20921 วันที่ผ่านมา
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Ruvuma, Mariam Nyoka amepongeza ahadi ya Rais Samia Suluhu Hassan ya ujenzi wa Reli ya Kusini ya Mtwara hadi Bandari ya Mbamba Bay Ruvuma na kutaja faida lukuki zitakazopatikana kutokana na mradi huo ukitekelezwa. Pamoja na mambo mengine ameyasema hayo bungeni Dodoma Novemba 5, 2024, alipokuwa akichangia mjadala wa mapendekezo ya Mpang...
DK. RWEIKIZA AIBANA SERIKALI KUPELEKA UMEME KWENYE VITONGOJI BUKOBA VIJIJINI
มุมมอง 4621 วันที่ผ่านมา
DK. RWEIKIZA AIBANA SERIKALI KUPELEKA UMEME KWENYE VITONGOJI BUKOBA VIJIJINI
AMAR AIJIA JUU TRA KWA UZEMBE WA UKUSANYAJI KODI
มุมมอง 5421 วันที่ผ่านมา
AMAR AIJIA JUU TRA KWA UZEMBE WA UKUSANYAJI KODI
AMAR: RAIS SAMIA HATUMDAI, BALI ANATUDAI WANA-NYANG'WALE
มุมมอง 11621 วันที่ผ่านมา
AMAR: RAIS SAMIA HATUMDAI, BALI ANATUDAI WANA-NYANG'WALE
KAWAWA APONGEZA, ATAHADHARISHA MWELEKEO WA BAJETI 2025/26
มุมมอง 29821 วันที่ผ่านมา
KAWAWA APONGEZA, ATAHADHARISHA MWELEKEO WA BAJETI 2025/26
GENZABUKE AITAKA SERIKALI KUJENGA SOKO LA MUHOGO KIGOMA
มุมมอง 12721 วันที่ผ่านมา
GENZABUKE AITAKA SERIKALI KUJENGA SOKO LA MUHOGO KIGOMA
MBOGO AIHOJI SERIKALI, NI MTAALA GANI UNAFUNDISHWA KWENYE VYUO VYA MAENDELEO YA JAMII?
มุมมอง 20221 วันที่ผ่านมา
MBOGO AIHOJI SERIKALI, NI MTAALA GANI UNAFUNDISHWA KWENYE VYUO VYA MAENDELEO YA JAMII?
NYOKA AIBANA SERIKALI USHIRIKISHWAJI WA WAVUVI UNUNUZI WA BOTI ZA UVUVI
มุมมอง 5621 วันที่ผ่านมา
NYOKA AIBANA SERIKALI USHIRIKISHWAJI WA WAVUVI UNUNUZI WA BOTI ZA UVUVI
NEEMA MWANDABILA ANENA MAKUBWA AKICHANGIA RIPOTI YA LAAC
มุมมอง 1021 วันที่ผ่านมา
NEEMA MWANDABILA ANENA MAKUBWA AKICHANGIA RIPOTI YA LAAC
NEEMA MWANDABILA APAMBANIA STAHIKI ZA WATUMISHI NCHINI
มุมมอง 13621 วันที่ผ่านมา
NEEMA MWANDABILA APAMBANIA STAHIKI ZA WATUMISHI NCHINI
MBUNGE 'MSHUA' AIBANA SERIKALI UJENZI WA MABWAWA MAKUBWA
มุมมอง 6021 วันที่ผ่านมา
MBUNGE 'MSHUA' AIBANA SERIKALI UJENZI WA MABWAWA MAKUBWA
MWANYIKA AMBANANISHA NAIBU WAZIRI BUNGENI
มุมมอง 4221 วันที่ผ่านมา
MWANYIKA AMBANANISHA NAIBU WAZIRI BUNGENI
NJEZA ALONGA MAKUBWA AKIWASILISHA MAPENDEKEZO YA MPANGO WA TAIFA WA MWAKA 2025/2026
มุมมอง 7421 วันที่ผ่านมา
NJEZA ALONGA MAKUBWA AKIWASILISHA MAPENDEKEZO YA MPANGO WA TAIFA WA MWAKA 2025/2026
KAPUFI AIBANA SERIKALI KUHUSU KUSUASUA KWA MRADI WA UMWAGILIAJI MWAMKULU MPANDA
มุมมอง 3628 วันที่ผ่านมา
KAPUFI AIBANA SERIKALI KUHUSU KUSUASUA KWA MRADI WA UMWAGILIAJI MWAMKULU MPANDA
NJEZA AIKOMALIA SERIKALI UJENZI WA KIWANDA CHA MADINI AGHALI MBEYA VIJIJINI
มุมมอง 7628 วันที่ผ่านมา
NJEZA AIKOMALIA SERIKALI UJENZI WA KIWANDA CHA MADINI AGHALI MBEYA VIJIJINI
HAJI AMOUR ALONGA MAKUBWA BUNGENI MJADALA TAARIFA YA PIC
มุมมอง 9428 วันที่ผ่านมา
HAJI AMOUR ALONGA MAKUBWA BUNGENI MJADALA TAARIFA YA PIC
MWANYIKA 'ASHUSHA NONDO' MJADALA TAARIFA YA PIC BUNGENI
มุมมอง 8528 วันที่ผ่านมา
MWANYIKA 'ASHUSHA NONDO' MJADALA TAARIFA YA PIC BUNGENI

ความคิดเห็น

  • @Frolian-j9o
    @Frolian-j9o 23 วันที่ผ่านมา

    Ww uliza maswar hayo ukiona mda umekalibia mda wa uchaguzi ndo unajitoa 2025 utoboh tulia kwanza

  • @stellamwasenga6205
    @stellamwasenga6205 24 วันที่ผ่านมา

    Ni kweli ?

  • @NatashaJonhson-es8si
    @NatashaJonhson-es8si 27 วันที่ผ่านมา

    bamedi wewe

  • @ChristinaWengae-ps5jr
    @ChristinaWengae-ps5jr 29 วันที่ผ่านมา

    Jamani mim kwetu chemba vijijin lakini mvua ikinyesha barabra hazipitiki jamani kama kutoka kwamtoro mpaka sanzawa njia nimbaya sana tunapata shida jaman

  • @faustinluambano2958
    @faustinluambano2958 หลายเดือนก่อน

    Inazidi kuwa ya kisiasa. Tulitegemea maeneo kama Magomeni hadi UBUNGO,Temeke na ILALA kuna makazi yaliyojengwa na NHC ofisi za Serikali siyo kazi ya NHC

  • @Nyanimzee
    @Nyanimzee หลายเดือนก่อน

    Kwapalinatoajasho

  • @JoelMhagama
    @JoelMhagama หลายเดือนก่อน

    Kweli kabisa

  • @JoyceKabula-in1sh
    @JoyceKabula-in1sh หลายเดือนก่อน

    Cuwe na shukrani dadachademawalikubeba sana hhufai ccm wanakutumia kwa taalifa yako hulambi hata ubbarozi kalale

  • @BedaSon-v2x
    @BedaSon-v2x หลายเดือนก่อน

    dada mnatutesa watanzania mpaka vita ipigwe ndo muerewe au

  • @KhaleedHamad-vl7lz
    @KhaleedHamad-vl7lz หลายเดือนก่อน

    Njaa mbaya nilikua namkubali huyu dada lkn saivi namuona nguruwe nyama

  • @DenisonTheonest-yj3mk
    @DenisonTheonest-yj3mk หลายเดือนก่อน

    Wewe Malaya tu

  • @SaidiMussa-x9y
    @SaidiMussa-x9y หลายเดือนก่อน

    Naomba mtu fikilievija nasisi wadalasalasaba

  • @SaidiMussa-x9y
    @SaidiMussa-x9y หลายเดือนก่อน

    Jamboafande natanguliza kwanza nasamahani kamanitako seakuuliza swalilangu vpi kuhusu ssivjanawazalendo wadalasalasaba mbonaume tu wekanyumasana kwenye na fasihizi zajeshi

  • @JosephBaltazar-m7d
    @JosephBaltazar-m7d หลายเดือนก่อน

    wewe hujui lolote nenda kalale huko mbwa koko wewe

  • @AthumanKinyange
    @AthumanKinyange หลายเดือนก่อน

    Asante sana dada chadema chama Cha matapeli Asante sana kutupa ukweli ulio wazi

  • @ashahamad-mq3iz
    @ashahamad-mq3iz หลายเดือนก่อน

    Nenda wewe ni chawa fisadi mkubwa njaa kali wapenda ufisadi

  • @PendoSamwel-vc4eg
    @PendoSamwel-vc4eg หลายเดือนก่อน

    Labda mungu shetani kamuweka. Ila sio Mungu aliye umba mbingu na nchi.

  • @TwahirBurhan
    @TwahirBurhan หลายเดือนก่อน

    Safi sana dada hakika umesemakweli CHADEMA SIO CHAMA NI SACCOS YA MBOWE

  • @HamisWawila
    @HamisWawila หลายเดือนก่อน

    Upended upoviri sana ww ni mzalendo wakweli chadema ulikua unapotea

  • @Mligobmligo
    @Mligobmligo 2 หลายเดือนก่อน

    Da nlikuw nakukubali sn, lkn mmh, pole pendo

  • @MichaleMwakyambiki-pq4co
    @MichaleMwakyambiki-pq4co 2 หลายเดือนก่อน

    Acha unafiki,

  • @joycemfuru4752
    @joycemfuru4752 2 หลายเดือนก่อน

    Hujielewi wewe tafuta kula yako ulale

  • @dianaleo6067
    @dianaleo6067 2 หลายเดือนก่อน

    Haya maigizo sijui yataisha lIni 😂😂😂maandamano marufuku wananchi marufuku kupaza sauti halafu yeye anafanya ziara na kampeni za kiaina dah! Huu uonevu sijawahi ona. HATUKUTAKI BWANAAA!!!!!

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 2 หลายเดือนก่อน

    Mama yupo na wajukuu safii sana love mama Mungu akulinde tunaendelea kukuombea.

  • @MichaleMwakyambiki-pq4co
    @MichaleMwakyambiki-pq4co 2 หลายเดือนก่อน

    Hio ufisadi upo ccm, acha kuipaka chadema matope

  • @alphoncewilliam4325
    @alphoncewilliam4325 2 หลายเดือนก่อน

    Safi sana

  • @gadafimgolozi2730
    @gadafimgolozi2730 2 หลายเดือนก่อน

    Nyinyi ccm mnakura ichi peke yenu

  • @RhodaKibona
    @RhodaKibona 2 หลายเดือนก่อน

    Eeheeeee,

  • @DanielKuzenza-qv3zr
    @DanielKuzenza-qv3zr 3 หลายเดือนก่อน

    Hakika kazi yako inaonekana Mungu azidi kukupa afya njema Mkuu

  • @DanielKuzenza-qv3zr
    @DanielKuzenza-qv3zr 3 หลายเดือนก่อน

    Ahsante bosi

  • @EricklascarSteven
    @EricklascarSteven 3 หลายเดือนก่อน

    n kweli nafas za ajila jkt zimetoka

  • @AlexDottokubingwa
    @AlexDottokubingwa 3 หลายเดือนก่อน

    Huo ND uzarend wa kwel

  • @AlexDottokubingwa
    @AlexDottokubingwa 3 หลายเดือนก่อน

    Huo ND uzarend

  • @BahatiJeremiah-v7p
    @BahatiJeremiah-v7p 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu awabariki wachungaji wetu Mungu awapiganie katika kazi ya Mungu

  • @BahatiJeremiah-v7p
    @BahatiJeremiah-v7p 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki Sana Baba 🙏🙌

  • @FocusmachumuMwizarubi
    @FocusmachumuMwizarubi 3 หลายเดือนก่อน

    Nyie ndo mnaleta shida kwenye hii nchi kwani ni mtanganyika huyo ni kweli yote hayo ni kwasababu kuwa yeye siye

  • @SuleimanHassan-i6h
    @SuleimanHassan-i6h 3 หลายเดือนก่อน

    Tunaomba ruzuku jamani

  • @ramadhanmwandambotuntufye5972
    @ramadhanmwandambotuntufye5972 3 หลายเดือนก่อน

    Mheshimiwa nchimbi tusaidie kusukuma huko kwa wenye dhamana ya kulipa fidia kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege kigoma. Tumefanyiwa tathmini ila malipo bado ni mmwaka na kidogo sasa tangu tathmini ifanyike

  • @PlsFinancialServices-j6g
    @PlsFinancialServices-j6g 5 หลายเดือนก่อน

    Amina watu wa Mungu mubarikiwe sana

  • @KamekaKameka
    @KamekaKameka 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu amtunze huyu mh Oran Njeza ni moja kati ya madini yanayotembea wakati bado upo tuendelee kumuombea afya njema

  • @AntidiusMathias
    @AntidiusMathias 5 หลายเดือนก่อน

    nipe no za cm za shule yenu

  • @fatumakale7004
    @fatumakale7004 6 หลายเดือนก่อน

    Maashallah. ❤❤

  • @msifunilazaro6225
    @msifunilazaro6225 6 หลายเดือนก่อน

    Mama kaboyoka mimi ni CCM wa kweli ndiomana nimeamua kukupongeza kupitia jitihada zako zakuibana serekali kupeleka maendeleo ya barabara ya lami ndungu hata sasa barabara hiyo ya mkomazi ndungu kisiwani same haijafikia 55% kama naibu waziri alivyo sema sio kweli japo mimi sio mtaalam lakini kwa macho yangu yanaona vizuri sana barabara yetu naweza kusema imefikia asilimi 30% kama sio 28% hivyo basi naiomba wizara yenye dhamana kufatilia ili kuona uhalisia nasio kupokea ripoti ofisini kwaniaba yawana ndungu wote tupenda kumshukuru Mh. Dr. Samia suluhu hassan rais wa awamu ya sita wajamuhuri ya muungano wa tanzania kutukumbuka kwenye huduma mbali mbali ikiwemo afya bora elimu bora maji bora umeme kata zote vijiji vitongoji na mitaa kilimo bora mbolea na madawa bil.3.5 ukarabati waskimu ya kilimo cha mpunga viwanja vya makazi vyenye hati miliki. ekar 300 kwa vijiji vitatu sekondari kijiji cha misufini daraja lajuu la dimbwi zahanati kata ya kalemawe na sekondari gari jipya la wagonjwa kituo cha afya ndungu namengine mengi sana nitayasema wakati mwingine MUNGU ambariki mama samia wakati wote nasiku zote ila tunamuomba mama barabara ya lami nasiku moja amlete mh. makonda mkoa wa Kilimanjaro kuwa mkuu wa mkoa anafanya kazi kwa maslahi ya wengi chama chake cha CCM naserekali ya jamuhuru ya muungano wa tanzania chini Dr samia suluhu hassan

  • @STEPHANOKAPENULO
    @STEPHANOKAPENULO 6 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @danieljoseph1610
    @danieljoseph1610 6 หลายเดือนก่อน

    Hili ni bunge la nchi gani linalotumia mic ya kushika mkononi kama mhubiri wa mitaani?

  • @LoisaJumma
    @LoisaJumma 7 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤ ongelen mungu awazidshie

  • @MimaKhamis-wr7qz
    @MimaKhamis-wr7qz 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu awabariki watoto wazuri mmejitaid ila mzidixhe bidii na mazoez kwa wing nawapend wote ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @allyomary2271
    @allyomary2271 7 หลายเดือนก่อน

    Ukweli usemwe kuna mambo hayako sawa kwenye muungano wetu Zanzibar imeimeza Tanganyika inaserikali yake kamilifu Tanganyika tunaserikali moja tu ya Tanzania ambayo inaunganisha Tanganyika na Zanzibar