Pamoja Digital
Pamoja Digital
  • 49
  • 24 837
KIHENZILE AITAKA DMI KUFUNGUA MATAWI YA CHUO MIKOANI
KIHENZILE AITAKA DMI KUFUNGUA MATAWI YA CHUO MIKOANI
Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile ameutaka uongozi wa chuo cha bahari Dar es salaam (DMI) kuhakikisha wanafungua matawi mikoani ili waweze kutoa fursa kwa watanzania wengi kupata elimu hiyo.
Kihenzile ameyasema hayo baada ya kutembelea chuo hicho na kuona kazi mbalimbali zinazofanya katika chuo hicho pia kukagua Mtambo mpya wa kufunzishia ulioigharimu Serikali zaidi ya Bilioni Mbili.
“Serikali imewekeza katika ujenzi wa Meli na Upanuzi wa Bandari hivyo ni Muhimu kwa chuo hiki kutoa watalaam wengi na waenyesifa hivyo ni muhimu kufungua matawi mikoani ili kutoa fursa kwa watanzania kupata Elimu hii Muhimu”Alisema Kihenzile.
Pia Kihenzile alisma kuwa Serikali ya Awamu ya Sita, inayoongozwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassani, Rias wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imewezekeza fedha Tirioni moja katika sekta ya usafirishaji kwa njia ya maji kwa lengo la kukuza uchumi utokanao na sekta hiyo, hivyo ni muhimu kuwa na watalaam wakutosha hasa wanaozalishwa hapa DMI.
Kwa upande wake Mwenyekiti wa Bodi wa chuo hicho Kaptein Erenest Bupamba amesema kwasasa wameanza mchakato wa kupata maeneo ya kujenga matawi ya chuo katika mikoa ya lindi, Simiyu na Mwanza.
Huku Mkuu wa chuo hicho Dkt. Tumaini Gurumo akitoa wito kwa wazazi kuwasomesha vijana wao elimu ya bahari kwani sekta hiyo inakuwa kwa kasi nchini na inapewa kipaumbele katika mipango ya maendeleo ya nchi.
มุมมอง: 3

วีดีโอ

Taarifa ya Bandari ya Mtwara
มุมมอง 43ปีที่แล้ว
Taarifa ya Bandari ya Mtwara
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan amewasili mkoani Mtwara kwa ziara ya siku Sita Mikoa ya Mtwara .
มุมมอง 697ปีที่แล้ว
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan amewasili mkoani Mtwara kwa ziara ya siku Sita Mikoa ya Mtwara na Lindi.
HAKUNA TOZO TANZANITE
มุมมอง 22 ปีที่แล้ว
HAKUNA TOZO TANZANITE
UTIAJI SAINI UJENZI WA RELI YA KISASA( SGR) MAKUTUPORA - TABORA KM 368 . IKULU DAR ES SALAAM
มุมมอง 152 ปีที่แล้ว
UTIAJI SAINI UJENZI WA RELI YA KISASA( SGR) MAKUTUPORA - TABORA KM 368 . IKULU DAR ES SALAAM
UTIAJI SAINI UJENZI WA RELI YA KISASA( SGR) MAKUTUPORA - TABORA KM 368 . IKULU DAR ES SALAAM
มุมมอง 362 ปีที่แล้ว
UTIAJI SAINI UJENZI WA RELI YA KISASA( SGR) MAKUTUPORA - TABORA KM 368 . IKULU DAR ES SALAAM
UJENZI WA DARAJA LA KIGONGO - BUSISI KUONGEZEWA WATAALAM
มุมมอง 252 ปีที่แล้ว
UJENZI WA DARAJA LA KIGONGO - BUSISI KUONGEZEWA WATAALAM
MAADHIMISHO YA SIKU YA WAHANDISI MWAKA 2021,UKUMBI WA DR. JAKAYA KIKWETE, DODOMA, SEPTEMBA 2, 2021
มุมมอง 113 ปีที่แล้ว
MAADHIMISHO YA SIKU YA WAHANDISI MWAKA 2021,UKUMBI WA DR. JAKAYA KIKWETE, DODOMA, SEPTEMBA 2, 2021
Nyumba za Magomeni Kota wafikia asilimia 98
มุมมอง 93 ปีที่แล้ว
Nyumba za Magomeni Kota wafikia asilimia 98
Meli Mwanza
มุมมอง 234 ปีที่แล้ว
Meli Mwanza
MELI MPYA YAPATA JINA - MWANZA
มุมมอง 144 ปีที่แล้ว
MELI MPYA YAPATA JINA - MWANZA
Ujenzi wa Chelezo waendelea kwa Kasi - Mwanza
มุมมอง 354 ปีที่แล้ว
Ujenzi wa Chelezo waendelea kwa Kasi - Mwanza
UJENZI WA CHELEZO WAFIKA ASILIMIA 55 ZIWA VICTORIA
มุมมอง 274 ปีที่แล้ว
UJENZI WA CHELEZO WAFIKA ASILIMIA 55 ZIWA VICTORIA
WANAWAKE 102 KUPATIWA MAFUNZO YA UDEREVA
มุมมอง 484 ปีที่แล้ว
WANAWAKE 102 KUPATIWA MAFUNZO YA UDEREVA
Ukarabati wa Mv. Victoria na Mv.Butiama unaendelea kwa kufunga vifaa vipya na vyakisasa
มุมมอง 374 ปีที่แล้ว
Ukarabati wa Mv. Victoria na Mv.Butiama unaendelea kwa kufunga vifaa vipya na vyakisasa
Ujenzi wa Meli Mpya waendelea kwa kasi jiji Mwanza
มุมมอง 3244 ปีที่แล้ว
Ujenzi wa Meli Mpya waendelea kwa kasi jiji Mwanza
VIFAA VYA UJENZI WA CHELEZO VYAWASILI MWANZA
มุมมอง 104 ปีที่แล้ว
VIFAA VYA UJENZI WA CHELEZO VYAWASILI MWANZA
MELI KUBWA YA KUBEBA MAGARI ZAIDI YA ELFU 10 YATIA NANGA BANDARI YA DAR ES SALAAM
มุมมอง 835 ปีที่แล้ว
MELI KUBWA YA KUBEBA MAGARI ZAIDI YA ELFU 10 YATIA NANGA BANDARI YA DAR ES SALAAM
SERIKALI YAKARABATI SHULE YA SEKONDARI DODOMA
มุมมอง 215 ปีที่แล้ว
SERIKALI YAKARABATI SHULE YA SEKONDARI DODOMA
Treni ya Tanga mpaka Moshi kutoa ajira kwa vijana zaidi 500
มุมมอง 245 ปีที่แล้ว
Treni ya Tanga mpaka Moshi kutoa ajira kwa vijana zaidi 500
Treni ya Tanga,Korogwe mpaka Moshi
มุมมอง 3635 ปีที่แล้ว
Treni ya Tanga,Korogwe mpaka Moshi
Katibu Mkuu wa Ujenzi awataka Mafundi Sanifu kufanya kazi kwa Bidii
มุมมอง 135 ปีที่แล้ว
Katibu Mkuu wa Ujenzi awataka Mafundi Sanifu kufanya kazi kwa Bidii
Ukarabati wa Reli ya Kati
มุมมอง 465 ปีที่แล้ว
Ukarabati wa Reli ya Kati
Ujenzi wa jengo la tatu la abiria na Mizigo katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere
มุมมอง 155 ปีที่แล้ว
Ujenzi wa jengo la tatu la abiria na Mizigo katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere
Ufafanuzi wa Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo
มุมมอง 1.5K5 ปีที่แล้ว
Ufafanuzi wa Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo
Ufunguzi wa Barabara wa Nyigo Makambako Igawa
มุมมอง 2525 ปีที่แล้ว
Ufunguzi wa Barabara wa Nyigo Makambako Igawa
Rais Dkt John Pombe Magufuli Kufanya Ziara Njombe
มุมมอง 425 ปีที่แล้ว
Rais Dkt John Pombe Magufuli Kufanya Ziara Njombe
Hospital ya rufaa ya Mkoa wa Njombe OPD
มุมมอง 2.9K5 ปีที่แล้ว
Hospital ya rufaa ya Mkoa wa Njombe OPD
Barabara ya Njombe Moronga Makate
มุมมอง 445 ปีที่แล้ว
Barabara ya Njombe Moronga Makate
VYOO VYA WANAFUNZI VYAKOSA MILANGO - NJOMBE
มุมมอง 275 ปีที่แล้ว
VYOO VYA WANAFUNZI VYAKOSA MILANGO - NJOMBE

ความคิดเห็น