- 307
- 111 333
KUSINI YETU ONLINETV
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 2 ก.พ. 2022
Karibu Kusini Yetu Online Tv.
Hapa utapata taarifa na matukio yote yanayotokea ndani na nje ya Tanzania.
Usisahau Kusubscribe kama bado haujafanya hivyo kwa kubonyeza alama ya kengele ili uwe wa kwanza kupata taarifa zetu.
Lakini pia unaweza kuwasiliana nasi kwa namba +255682907172 au Email Adress yetu ya kusiniyetuonlinetv@gmail.com
Hapa utapata taarifa na matukio yote yanayotokea ndani na nje ya Tanzania.
Usisahau Kusubscribe kama bado haujafanya hivyo kwa kubonyeza alama ya kengele ili uwe wa kwanza kupata taarifa zetu.
Lakini pia unaweza kuwasiliana nasi kwa namba +255682907172 au Email Adress yetu ya kusiniyetuonlinetv@gmail.com
KLINIKI MAALUMU YA KUTATUA CHANGAMOTO ZA WAALIMU YAFIKA MTWARA
Zaidi ya Waalimu 1,000 kutoka katika Wilaya mbalimbali za Mkoa wa Mtwara, wamejitokeza kwenye Kliniki maalum ya kutatua changamoto za Waalimu inayofahamika kama "Samia Teachers Mobile Clinic).
Kliniki hiyo imefanyika Januari 13, 2025 kwenye Ukumbi wa Halmashauri ya Wialaya ya Masasi na kuwahusisha wataalam kutoka OR-TAMISEMI, Wizara ya Elimu sayansi na Teknolojia, kwa uratibu wa Chama Cha Waalimu Tanzania CWT.
Makamu rais wa CWT Taifa Suleman Ikomba, amesema kuwa lengo la Kliniki hiyo ni kuwafikia waalimu na kutatua changamoto zao ambazo zingewalazimu kusafiri hadi Dodoma.
Nao waalimu wa mkoa wa Mtwara wameshukuru kwa kutembelewa na kriniki iyo na kusema umewapunguzia gharama za ufwatiliaji wa changamoto zao.
Kliniki hiyo imefanyika Januari 13, 2025 kwenye Ukumbi wa Halmashauri ya Wialaya ya Masasi na kuwahusisha wataalam kutoka OR-TAMISEMI, Wizara ya Elimu sayansi na Teknolojia, kwa uratibu wa Chama Cha Waalimu Tanzania CWT.
Makamu rais wa CWT Taifa Suleman Ikomba, amesema kuwa lengo la Kliniki hiyo ni kuwafikia waalimu na kutatua changamoto zao ambazo zingewalazimu kusafiri hadi Dodoma.
Nao waalimu wa mkoa wa Mtwara wameshukuru kwa kutembelewa na kriniki iyo na kusema umewapunguzia gharama za ufwatiliaji wa changamoto zao.
มุมมอง: 7
วีดีโอ
KAYA 16,275 KUNUFAIKA NA MAJIKO YA GESI YA RUZUKU MKOANI MTWARA*
มุมมอง 66วันที่ผ่านมา
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Patrick Sawala amemshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kupeleka mradi wa majiko ya gesi (LPG) ya kilo sita kwa ruzuku ya 50% wananchi wa maeneo ya vijijini mkoani hapa. Ametoa shukrani hizo leo Januari 2,2025 Ofisini kwake Mkoani Mtwara wakati wa kuutambulisha mradi na mtoa huduma atakayesambaza majiko hayo mkoani humo ambaye ni Kampuni ya Taifa Gas uliofanyw...
WATUHUMIWA 17 WAKAMATWA NA JESHI LA POLISI MTWARA
มุมมอง 99หลายเดือนก่อน
Jeshi la polisi mkoani Mtwara kupitia operesheni na misako limeendelea kuimarisha ulinzi na usalama kwa kushirikiana na jamii. Kuanzia Novemba 01, 2024 hadi Disemba 12, 2024 lilifanikiwa kuwakamata watuhumiwa 17 kwa tuhuma za kujihusisha na mauwaji , kulawiti, kupatikana na pombe haramu ya moshi (gongo) na mitambo ya kutengeneza pombe ya moshi, wizi wa pikipiki Kamanda wa polisi mkoani Mtwara S...
WATUMISHI WA IDARA, WATAKIWA KUWATUMIKIA VYEMA WAFANYABIASHARA-RC MTWARA
มุมมอง 22หลายเดือนก่อน
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Patrick Sawala, amewataka watendaji kuhakikisha wanaweka mazingira mazuri kwa wafanyabiashara, ili wafanye shughuli zao kwa usalama na uhuru. Mkuu wa mkoa ametoa maelekezo hayo leo Novemba 21, 2024, wakati akifungua kikao cha Baraza la Biashara Mkoa wa Mtwara kilichofanyika kwenye Ukumbi wa Benki Kuu Mtwara. Amesema wafanyabiashara wanapaswa kuandaliwa mazingira ra...
VIJANA WA CHAMA CHA MAPINDUZI WATAKIWA KUYASEMEA MAZURI YANAYOFANYWA NA MWENYEKITI WAO RAIS SAMIA
มุมมอง 17หลายเดือนก่อน
VIJANA WA CHAMA CHA MAPINDUZI WATAKIWA KUYASEMEA MAZURI YANAYOFANYWA NA MWENYEKITI WAO RAIS SAMIA
MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI AFANYA ZIARA MKOANI MTWARA
มุมมอง 52หลายเดือนก่อน
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Hamza S. Johari amefanya ziara ya kikazi mkoani Mtwara leo Novemba 14, 2024 yenye lengo la kukutana na wadau mbalimbali wa sheria mkoani humo. Akiwa Mkoani Mtwara, Mhe. Johari amemtembelea Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Patrick Sawala, kwa ajili ya kujitambulisha na kumueleza lengo la ziara yake ambayo ni ya kwanza mkoani humo tangu ateuliwe na Mhe.Rais Dkt.Sami...
WAKULIMA WA KOROSHO WA KOROSHO WALIPWA BILIONI 655
มุมมอง 452 หลายเดือนก่อน
Wakulima wa korosho nchini wameuza korosho tani 216,000 zenye thamani ya Sh bilioni 743.57 katika minada ambayo imefanyika ndani ya wiki nne baada ya kufunguliwa kwa minada ya korosho Oktoba 11, mwaka huu. Mkurungezi Mkuu wa Bodi ya Korosho (CBT) Francis Alfred amewaambia wanahabari mapema leo kuwa bilioni 655 kati ya Sh bilioni 743.57 zimeshalipwa kwa wakulima
RC MTWARA AZINDUA USAJILI WA KOROSHO MARATHON
มุมมอง 202 หลายเดือนก่อน
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Patrick Kenan Sawala amezindua usajili wa mbio za Korosho Marathon kwa msimu wa mkwa 2024, ambazo zinatarajia kufanyika Oktoba 26, 2024 mkoani hapa. Akizungumza na Waandishi wa Habari lOktoba 15, 2024, Kanali Patrick Sawala ametoa wito kwa wadau kushiriki na kujisajili ili kuitangaza Korosho na bidhaa zake kwa kuliongezea thamani zao hilo.
DC MWAIPAYA AHAMASISHA WANANCHI KUJIANDIKISHA, KUGOMBEA NA KUPIGA KURA
มุมมอง 943 หลายเดือนก่อน
Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, mkoani hapa, Mhe. Abdallah Mwaipaya ametoa wito kwa wakaazi wa wilaya hiyo kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura, kujitokeza kugombea nafasi za uongozi na kushiriki kwenye zoezi la kupiga kura ili kutimiza haki yao ya msingi ya kikatiba, katika uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika Novemba 27, mwaka huu. Mwaipaya ametoa wito huo leo Oktoba 5, 2024, wakati ak...
WANAMTANDAO WA KUPINGA RUSHWA YA NGONO WASHANGAA MAPENDEKEZO YAO KUPUUZWA
มุมมอง 544 หลายเดือนก่อน
Wanamtandao wa Kupinga Rushwa ya Ngono Tanzania kutoka Asasi zaidi ya 200, wamesema wanashangazwa na hatua ya kuendelea kwa mchakato wa kufanyika kwa mabadiliko ya sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ya Ngono kifungu cha 10(b), ambapo wamedai kuwa kuwepo kwa kifungu hicho katika sheria kinahalalisha kuendeleza matumizi mabaya ya mamlaka kwa njia kumhukumu mhanga wa rushwa ya ngono, kama mbi...
JELA MAISHA KWA KUMUINGILIA KINYUME NA MAUMBILE MTOTO WA MIAKA MINNE
มุมมอง 9895 หลายเดือนก่อน
Mahakama ya wilaya ya Mtwara imemhukumu kwenda jela maisha, kijana aitwaye Danford Gervas John mwenye umri wa miaka 23, mkazi wa Shangani west, wilaya ya Mtwara mkoani Mtwara, kwa kosa la kumuingilia kinyume na maumbile mtoto wa miaka minne. Kulingana na taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara SACP Issa J. Suleiman amesema siku ya tukio mama wa mtoto huyo aliondoka nyum...
TAKUKURU YABAINI VYUMBA VYA MADARASA KUJENGWA CHINI YA KIWANGO TANDAHIMBA
มุมมอง 695 หลายเดือนก่อน
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa -TAKUKURU mkoani Mtwara, imebaini uwepo wa dosari za kutokidhi viwango vya ubora wa tofali na zege lililotumika kwenye utekelezaji wa ujenzi wa mradi wa vyumba vinne vya madarasa, katika shule ya msingi Litehu iliyopo wilaya ya Tandahimba, mkoani hapa. TAKUKURU imesema kuwa, katika ufuatiliaji wake imegundua tofali 500 hazikukidhi viwango vya ubora unaot...
MAGOGONI FC WAIBUKA KIDEDEA MASHINDANO YA PIGA KURA ,PIGA MPIRA YALIYOANDALIWA NA DIWANI ARIF
มุมมอง 565 หลายเดือนก่อน
Timu ya Mpira wa miguu ya Magogoni imeibuka kidedea na kujipatia zawadi ya kiasi cha shilingi milioni moja, katika fainali ya mashindano ya PIGA MPIRA, PIGA KURA JIANDIKISHE yaliyoandaliwa na Diwani wa Kata ya Mayanga Mhe. Arif Premji.
MWALIMU JELA MIAKA 30 KWA KURUHUSU KULAWITIWA NA MWANAFUNZI WAKE
มุมมอง 2236 หลายเดือนก่อน
Mwalimu wa shule ya Sekondari Naputa wilaya ya Tandahimba mkoani Mtwara, Ramadhani Said Nanyalika (32) amehukumiwa kwenda jela miaka 30, kwa kosa la kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile . Akitoa taarifa kwa Waandishi wa Habari Kamanda wa Polisi mkoani Mtwara SACP Issa Suleiman amesema mwalimu huyo siku za nyuma alijenga urafiki shuleni hapo na mwanafunzi wa kidato cha Nne mwenye umri wa miak...
MKUU WA MKOA WA MTWARA ACHANGIA MATIBABU YA MTOTO OZIL ANAYEJISAIDIA HAJA KUBWA PEMBENI YA TUMBO
มุมมอง 916 หลายเดือนก่อน
MKUU WA MKOA WA MTWARA ACHANGIA MATIBABU YA MTOTO OZIL ANAYEJISAIDIA HAJA KUBWA PEMBENI YA TUMBO
MUME ACHANGIA MKEWE KUGOMBEA NAFASI YA UWENYEKITI WA MTAA
มุมมอง 728 หลายเดือนก่อน
MUME ACHANGIA MKEWE KUGOMBEA NAFASI YA UWENYEKITI WA MTAA
ANYWA SUMU BAADA YA KULAZIMISHWA KUOLEWA
มุมมอง 1610 หลายเดือนก่อน
ANYWA SUMU BAADA YA KULAZIMISHWA KUOLEWA
JESHI LA POLISI MKOANI MTWARA LINAWASHIKILIA WATUHUMIWA 18 WA WIZI
มุมมอง 7111 หลายเดือนก่อน
JESHI LA POLISI MKOANI MTWARA LINAWASHIKILIA WATUHUMIWA 18 WA WIZI
WADAU WAOMBWA KUPAZA SAUTI DHIDI YA MATUKIO YA UKATILI WA KIJINSIA MKOANI MTWARA
มุมมอง 11ปีที่แล้ว
WADAU WAOMBWA KUPAZA SAUTI DHIDI YA MATUKIO YA UKATILI WA KIJINSIA MKOANI MTWARA
MTOTO WA MIAKA 12 ALAWITIWA MKOANI MTWARA
มุมมอง 209ปีที่แล้ว
MTOTO WA MIAKA 12 ALAWITIWA MKOANI MTWARA
TRA MTWARA YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA HOSPITALI YA NANGURUWE
มุมมอง 62ปีที่แล้ว
TRA MTWARA YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA HOSPITALI YA NANGURUWE
RADI YAUA WATU SITA NA KUJERUHI WATANO WILAYANI MASASI MKOANI MTWARA
มุมมอง 141ปีที่แล้ว
RADI YAUA WATU SITA NA KUJERUHI WATANO WILAYANI MASASI MKOANI MTWARA
TPDC KUTEKELEZA MIRADI YA BILIONI MOJA - MSIMBATI MTWARA
มุมมอง 55ปีที่แล้ว
TPDC KUTEKELEZA MIRADI YA BILIONI MOJA - MSIMBATI MTWARA
SERIKALI KUWATATHMINI WAKANDARASI WA REA NCHINI
มุมมอง 27ปีที่แล้ว
SERIKALI KUWATATHMINI WAKANDARASI WA REA NCHINI
MASHABIKI WA YANGA WATAMBA BAADA YA KUICHAPA SIMBA GOLI TANO
มุมมอง 40ปีที่แล้ว
MASHABIKI WA YANGA WATAMBA BAADA YA KUICHAPA SIMBA GOLI TANO
Na wale waliomrawiti binti wnajeshi kesi imefika wapi afande
Mtihani
Naomba mawasiliani yao.
wayahudi jengo lao la kuabudia haliitwi msikiti bali hekaru.pia msikiti huo kipidi hicho haukuwapo
Ndiyo Israel haikuwepo msikiti ulikuwepo
Enzi za Musa kulikuwa na msikiti Jerusalem unaoitwa Al-Aqsa?
😂
Ndio ulikuepo
Msikiti ulijengwa na nabii suleiman na daudi baba yake Waezrail wao walikuwa hawana mahala baada ya kutoka misri
Maisha n magumu wazazi wakipewa M wanakausha, labda Allah,atusitiri,hivhiv hatutoboi,
😅😅😅😅😅😅😅😅
Afungwe tu😢
alisoma ili akabake, maana bado hata hajaajiriwa. pole Sana. Mungu akisamehe tu.
love job
I love my country but we need more investment in our army
Hii😢
Walim ndo kazi zao mbona sema tuu wazazi wengi wanapewa kitu kidogo yanaisha
nyie media ndio mna eneza ukatili dhidi ya mtoto mtandaoni. sasa kama mnamuhoji mtoto kama huyo mbele ya media ili mpate nini.. hichi chombo inabidi kifungiwe hakijazingatia maadili ya mtoto kabisa na laani
Kama miaka 30 hataakitoka miaka 44 shabashi atajifuza kweli
Na hukumu yake vipi
HasbiyaAllaah waneemmah lwakeeel….kaka humuhifadhi nduguye…Allaah Allaah Amlaani iblisi shetwanii
Jamani 😭😭😭💔💔💔
Subuhanallah jamani mtihani Allah atustili na watoto wetu
Pole Sana boda boda mwenzangu, MUNGU anaweza,
Kaka zangu wa nguvu hao nawakubali sana Mungu awatunze mnoo
Hongera sana. Wasalimie sana hao jamaa zetu. Maoni yao ni chanya sana.
😒
Hivi ni nani anaedit hizi video ? .meshindwa hata kusema ni lining, na km ngapi na ngapi , zitafanyika wapi ?
Mh
mbona sauti hamna nyie
Polisi unafanyaje mauaji!!!! Tena polisi saba! Duuuuu!
Iyo gesi ainamanufaa kwa watanzania ipo kwahajili yawatu mahalumu
Chief
Pole sana dada nakushauri nenda kwenye maombi Mungu atakuponya
Upuuzi. Unacheza na kifo.
Konde boy
Pole kaka utapona pia mungu awabariki Hawa wahandishi
Pole sana Tatizo lako liko kwenye moyo Hizo dalili za tumbo kuvimba na miguu kuvimba ni heart failure yaani moyo haifanyi kazi
Liuaji hill mana,liuwawe.
😂😂😂
Uchawi huo,Mujgu atashughulika na hiyo michawi.
Poleni Mungu jamani msikae karibu na misitu labda muwe na bunduki
Lalahaulala wala kuwata ila bilah hapana mola anafaaa kubudiwa ila allalah mtihani mungu atakuwafu ishaalah hiili na jengine ishaalah hao watadhalika dunia na akhera😮
Hii mtihani. Mkubwa huo mungu atunusuru na baala hizo aaa 😮 hii majambazi tu mungu ajalie apone nishaalah watu wabaya hao😮
Pole sana mama mwenyezi MUNGU akujaalie uzima.
Daaa AISSEH pole sana Bibi kwa mtihani uliokukuta
Pole mama mungu atakuponya
Waking'ata ndio utajua
Huyo mtoto anatafuta maradhi huyo mtu nzima mshenzi ni mtihani hii maluni huyo hajikisi ovyoo 🎉😮
Rama ngwena hapa
Tamaa itawaponza fanyeni kazi leo umepata hayo kesho je utapata zaidi yahayo ulimtakianini mtumzima kitonga kibaya watoto
👍🏾
Allah atakupa shifaa isije akawa anatatizo la moyo