Classic Finishes Tz
Classic Finishes Tz
  • 96
  • 64 317
Zijue bidhaa zetu zote ( 0735282811)
Off Course sisi ni #Floorsolution tuna aina zote za #Sakafu za #Mbao na # Hiyo ni #Firmfit Sakafu amazing.
Ogopa #Matepeli!🤨🤨
Sisi tunaanza Na wengine wanafta.
Sisi ndio Mabingwa wa Sakafu zote za #Mbao yaaani sisi ni Floor Solution💪😎.
Hivi mnona vizuri hizo #Sakafu zote? Ni hapa hapa Ofisini kwetu #Kariakoo #Gerezani.
Hizi Sakafu zetu ni Bora na #quality tumezingatia na tuna aina zaidi ya Nne.
1️⃣ Tuna #Firmfit Floor hiii ni bidhaa mpya soon kutoka ujerumani ni baba lao
2️⃣ Tuna #Spc Floor za Kisasa zaidi ni mwendo wa Quality tu.
3️⃣Tuna #Laminate Floor nasemaje zote zinapatikana kwetu tu, na laminate tumeweka #Cloudsfm na #cloudsTv ni bora sana.
4️⃣ kubwa Kuliko ni #Mkeka wa mbao namba 1 #trending Tanzania 👌
Kama unataka sakafu za #kishua au unajenga #Dream house tafadhari sana sana hakikisha umetumia Sakafu zetu.
Ni hivi sisi hatuna #tamaa za kukuletea #fake, quality ndogo hapana
👌👌👌
Tunasimamia Ubora kwa wale wanojuwa vitu Bora
✨✨✨✨✨✨✨
Unawezafika Kariakoo Gerezani mtaa wa 📍 Kiungani na Nyamwezi.
Mawasikiano:
☎️0747753566
☎️0735282811
☎️0655819992
Na pia ofisi yetu ya 📍Kawe Mwai Kibaki Road Mbezi ya chini ipo wazi.
☎️0758120002
☎️0675033443
☎️0715756301
Karibuni sana
มุมมอง: 22

วีดีโอ

New Product Wooden Panes 0735282811
มุมมอง 33 หลายเดือนก่อน
Wooden wall panels New Wall product 🔥🔥🔥🔥 Ni aina ya panels za mbao zinazokuja kwa mfumo wa #pisi Ndani ya box zinakaa pisi 13 ambazo ni sawa na #2.9square meter BEI Yake ni #150,000 kwa 📦 box. *Sifa za wooden wall panels* ✅ Zinatumia mfumo wa #interlocking ✅ Haihitaji #grout ✅Hazina vumbi ( ant allergy) ✅Ni sound proof ✅ Hazichubuki (ant scratch ✅Zina muonekano wa mbao asilia ✅Ni rahisi kuweka ...
Wall tiles / perfect tiles zile tiles za Gundi zinakaa juu ya tiles za zamani 0735282811
มุมมอง 253 หลายเดือนก่อน
When #before meets #After Ukubwa wa #wall tiles ni 60 kwa 90, Zinajenga Sqm 3.24. ✨✨✨✍️ bei ni #160,000 kwa box Wall tiles ni nini? Hizi ni tiles za# ukutani tu, #ukuta wa jikoni, #bafuni, #chooni, au sehemu nyingine yoyote #ukutani. 👌👌👌 Maajabu ya #Wall tiles zetu 👉🏻👉🏻Zinakaa juu ya #ukuta wa #plaster.😋 Lakini kubwa zaidi Kuhusu #wall tiles Zinakaa #juu ya #Tiles za Zamani na kuleta Muonekano ...
Mkeka wa mbao Installation with Skirting 0735282811
มุมมอง 83 หลายเดือนก่อน
*MKEKA WA MBAO*(CUSHION VINYL FLOORING COVERING) Mkeka wa mbao ni sakafu ya kisasa inayokuja kwa mfumo wa roller yenye upana wa mita 4 (4m). Mkeka wa mbao unatumia gundi katika uwekaji na unauzwa kwa square meter (mita mraba). Kuna mikeka ya design mbalimbali na mikeka inafaa kwenye majengo ya biashara na majengo ya makazi. *Sifa za mkeka wa mbao* ✅ Mkeka wa mbao hauna utelezi ( Ant- slippery) ...
Wall Tiles / Perfect Tiles Now in Tanzania
มุมมอง 285 หลายเดือนก่อน
Kariakoo Gerezani Mtaa wa Kiungani na Nyamwezi 0735282811
FIRMFIT Floor Launch in Tanzania
มุมมอง 405 หลายเดือนก่อน
Kariakoo Gerezani Mtaa wa kiungani na Nyamwezi 0735282811
Floor Spc Price 130,000 per Box
มุมมอง 165 หลายเดือนก่อน
For More Info call 0735282811, 0747753566
mkeka wa mbao And Spc Floor
มุมมอง 245 หลายเดือนก่อน
Kariaoo Gerezani Mtaa wa Kiungani na Nyamwezi
Lvt, Luxury Vinyl tiles now available price 35000 per Sqm.
มุมมอง 65 หลายเดือนก่อน
Kariakoo Gerezani Mtaa Wa kiungani na Nyamwezi 0735282811 0747753566
Wooden Wall panels Now available
มุมมอง 95 หลายเดือนก่อน
Kariakoo Gerezani Mtaa wa Kiungani na Nyamwezi 0735282811 0747753566
Sisi ni Floor Solution Tuna sakafu zote za Mbao Tupo kariakoo 0735282811
มุมมอง 1246 หลายเดือนก่อน
Off Course sisi ni #Floorsolution tuna aina zote za #Sakafu za #Mbao na # Hiyo ni #Firmfit Sakafu amazing. Ogopa #Matepeli!🤨🤨 Sisi tunaanza Na wengine wanafta. Sisi ndio Mabingwa wa Sakafu zote za #Mbao yaaani sisi ni Floor Solution💪😎. Hivi mnona vizuri hizo #Sakafu zote? Ni hapa hapa Ofisini kwetu #Kariakoo #Gerezani. Hizi Sakafu zetu ni Bora na #quality tumezingatia na tuna aina zaidi ya Nne....
Mkeka wa mbao/ Vinyl flooring installation Site MASAKI Dar es salaam tupo kariakoo 0735282811
มุมมอง 437 หลายเดือนก่อน
New Stock, Mzigo Mpya Wa mkeka wa mbao #mkekawambaotz 👇👇 👉Limited Stock, 👆👆👆 Mzigo mpya tayari uko dukani kwetu👌👌 Tambua kuwa Mkeka Wa mbao Sio #Capeti.🤨 Zijue Sifa za #Mkeka wa mbao. ✅ Hauchubuki ✅Haupauki ✅Hauna ubaridi ✅Hauna uterezi ✅Ni rahisi kuweka ✅Unadumu kwa muda mrefu ✅Unahamishika ✨✨✨✨✨✨✨ Unawezafika Kariakoo Gerezani mtaa wa 📍 Kiungani na Nyamwezi. Mawasikiano: ☎️0747753566 ☎️073528...
Sakafu ya Mkeka wa mbao.
มุมมอง 1307 หลายเดือนก่อน
Kwa sababu #tumefungua Mzigo Mpya wa #mkeka wa mbao Soma kwa Makini Kujua Utofauti wa #mkekawambao na #capeti. #MKEKAWAMBAO , #bestselling good for residential, Semi residential and Commercial areas With the highest Quality. Best Selling Mkeka wa mbao tunauza kwa Sqm moja ambayo ni cm 100 kwa 100 na kujuwa ukubwa wa eneo lako unapima urefu na upana wa eneo lako kwa Cm, Futi, Meter then tuna con...
Wall tiles Juu ya Tiles za Zamani, ukuta wa rangi na ukuta wa plastee.
มุมมอง 388 หลายเดือนก่อน
Wall Tiles bei ni ✅Tsh #190,000/= Ukubwa wa #wall tiles ni 60 kwa 90, Zinajenga Sqm 3.24. ✨✨✨✍️ Wall tiles ni nini? Hizi ni tiles za# ukutani tu, #ukuta wa jikoni, #bafuni, #chooni, au sehemu nyingine yoyote #ukutani. 👌👌👌 Maajabu ya #Wall tiles zetu 👉🏻👉🏻Zinakaa juu ya #ukuta wa #plaster.😋 Lakini kubwa zaidi Kuhusu #wall tiles Zinakaa #juu ya #Tiles za Zamani na kuleta Muonekano bora zaidi🥰 ( wa...
Floor Solution Tanzania
มุมมอง 88 หลายเดือนก่อน
Off Course sisi ni #Floorsolution tuna aina zote za #Sakafu za #Mbao na # Hiyo ni #Firmfit Sakafu amazing. Ogopa #Matepeli!🤨🤨 Sisi tunaanza Na wengine wanafta. Sisi ndio Mabingwa wa Sakafu zote za #Mbao yaaani sisi ni Floor Solution💪😎. Hivi mnona vizuri hizo #Sakafu zote? Ni hapa hapa Ofisini kwetu #Kariakoo #Gerezani. Hizi Sakafu zetu ni Bora na #quality tumezingatia na tuna aina zaidi ya Nne....
Wall tiles, tiles za kisasa zinatumia Gundi tu na zinakaa juu ya tiles za zamani.
มุมมอง 15110 หลายเดือนก่อน
Wall tiles, tiles za kisasa zinatumia Gundi tu na zinakaa juu ya tiles za zamani.
6 March 2024
มุมมอง 410 หลายเดือนก่อน
6 March 2024
Mkeka wa mbao
มุมมอง 38ปีที่แล้ว
Mkeka wa mbao
Tuna sale ya mkeka wa mbao kws sasa Sqm moja ni 25000 tu piga 0735282811
มุมมอง 69ปีที่แล้ว
Tuna sale ya mkeka wa mbao kws sasa Sqm moja ni 25000 tu piga 0735282811
Mkombozi wa Angle korofi amefika l line bei yake 45000
มุมมอง 16ปีที่แล้ว
Mkombozi wa Angle korofi amefika l line bei yake 45000
Wall tiles new product for kitchen, bathroom and toilet rennovation
มุมมอง 19ปีที่แล้ว
Wall tiles new product for kitchen, bathroom and toilet rennovation
4 August 2023
มุมมอง 11ปีที่แล้ว
4 August 2023
Do you know we have the best Spc in Town town Quality
มุมมอง 4ปีที่แล้ว
Do you know we have the best Spc in Town town Quality
Spc Flooring Now Available
มุมมอง 7ปีที่แล้ว
Spc Flooring Now Available
Techincian/ Fundi wetu Akiwa ubelgiji / Belgium kwenywe mafunzo ya kuweka Mkeka wa Mbao
มุมมอง 8ปีที่แล้ว
Techincian/ Fundi wetu Akiwa ubelgiji / Belgium kwenywe mafunzo ya kuweka Mkeka wa Mbao
June 12, 2023
มุมมอง 3ปีที่แล้ว
June 12, 2023
NJIA RAHISI YA KUWEKA MKEKA WA MBAO ILI NYUMBA IPENDEZE
มุมมอง 264ปีที่แล้ว
NJIA RAHISI YA KUWEKA MKEKA WA MBAO ILI NYUMBA IPENDEZE
WPC WALL PANELS
มุมมอง 41ปีที่แล้ว
WPC WALL PANELS
our show room is now open kawe mwai kibaki road/ mbezi chini
มุมมอง 782 ปีที่แล้ว
our show room is now open kawe mwai kibaki road/ mbezi chini

ความคิดเห็น

  • @RamiliKombo
    @RamiliKombo 2 หลายเดือนก่อน

    Tunaomb namb zenu za cm

  • @Subraah1234
    @Subraah1234 5 หลายเดือนก่อน

    Naombeni Namba zenu za sim

  • @PerfectTiles-d9p
    @PerfectTiles-d9p 6 หลายเดือนก่อน

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @nishaabdula5015
    @nishaabdula5015 10 หลายเดือนก่อน

    Mbona hakuna namba

  • @MariamRashid-u4z
    @MariamRashid-u4z 11 หลายเดือนก่อน

    Namba ziko wap

  • @asiaamri3662
    @asiaamri3662 ปีที่แล้ว

    Huo mkeka wa mbao mnauzaje kwa mita

  • @jcafricamediatv4021
    @jcafricamediatv4021 ปีที่แล้ว

    Namba zenu za simu

  • @jcafricamediatv4021
    @jcafricamediatv4021 ปีที่แล้ว

    Namba zenu za simu

  • @paschalchris2955
    @paschalchris2955 ปีที่แล้ว

    Naomba kujua urefu na upana wa mkeke huku ,pia bei ya mkeka pamoja na gundi yake?

  • @cosein
    @cosein ปีที่แล้ว

    Bei gani kwa mita

  • @janelucywambui7015
    @janelucywambui7015 ปีที่แล้ว

    Your contact please

  • @annaandrea2812
    @annaandrea2812 ปีที่แล้ว

    Kwa maeneo ya Arusha mko maeneo gani?

  • @ngwacahnyagwaswa9979
    @ngwacahnyagwaswa9979 ปีที่แล้ว

    Je mtoto akimwaga maji chini hauharibk je unaweza kudeki ukitaka kufanya usafi au unafagia tu?

    • @classicfinishestz
      @classicfinishestz ปีที่แล้ว

      Haualibiki, pia unadekiwa kama sakafu nyingine na Wala haupauki

  • @PudensianaMmassy-dw5vt
    @PudensianaMmassy-dw5vt ปีที่แล้ว

    Pesa ngapi mita mnauza

  • @lightnessmlay4564
    @lightnessmlay4564 ปีที่แล้ว

    Gud

  • @kokuabwakahwa8889
    @kokuabwakahwa8889 2 ปีที่แล้ว

    Natamani sana mpo wapi

  • @mariacerqueira1117
    @mariacerqueira1117 2 ปีที่แล้ว

    Quero, tradução,em, português

  • @НаталияЖамалова
    @НаталияЖамалова 2 ปีที่แล้ว

    Не приятная женщина, смотреть на нее противно🙄

  • @elisatecheragarcia2808
    @elisatecheragarcia2808 2 ปีที่แล้ว

    Buenas tardes querida Yoana hermoso como siempre tus decoraciones los extraño estoy sin conección pronto soluciono y miro tus programas muy bellos como dejan las casas restauradas gran abrazo para ti hermosa Familia tus niños divinos y tú gran esposó tu compañero siempre saludos desde mi país Uruguay

  • @hamzamwaya463
    @hamzamwaya463 2 ปีที่แล้ว

    Toeni namba zenu za simu. Tandahimba Mtwara tunazihitaji

  • @isaacdavidson7115
    @isaacdavidson7115 2 ปีที่แล้ว

    👍 𝕡𝐫o𝕄o𝔰𝓶

  • @blankajohn6016
    @blankajohn6016 2 ปีที่แล้ว

    Nice mko wap na bei

  • @jamesmkude3633
    @jamesmkude3633 2 ปีที่แล้ว

    Watu wa morogoro tunahitaji bidhaa menu

  • @paulinewanjiru628
    @paulinewanjiru628 2 ปีที่แล้ว

    How much and where can I find kirinyaga

  • @luisamunene2608
    @luisamunene2608 2 ปีที่แล้ว

    Does it the housev warm

  • @glory3011
    @glory3011 2 ปีที่แล้ว

    Hi, love the floor. I see u have broken tiles, did you remove them???

  • @aishaddddhh6272
    @aishaddddhh6272 2 ปีที่แล้ว

    Vp kuhusu panya hawatafun

  • @janemwangi2952
    @janemwangi2952 2 ปีที่แล้ว

    How much? and your location please.

  • @BT-rp6by
    @BT-rp6by 2 ปีที่แล้ว

    Wow I like it how much bro🙏

  • @nimmohdenash5064
    @nimmohdenash5064 3 ปีที่แล้ว

    Can i get in nakuru or gilgil??

  • @nancylubango6394
    @nancylubango6394 3 ปีที่แล้ว

    How much this

  • @safinakisembo3411
    @safinakisembo3411 3 ปีที่แล้ว

    How can I get in Uganda?

  • @paulmkenga9249
    @paulmkenga9249 3 ปีที่แล้ว

    Mkuu bei zake

  • @ForeignOfficeKenya
    @ForeignOfficeKenya 3 ปีที่แล้ว

    is it permanent or temprary?

  • @evemogusu2651
    @evemogusu2651 3 ปีที่แล้ว

    How much

  • @venerandamasunga6789
    @venerandamasunga6789 3 ปีที่แล้ว

    kwa dar mnapatikana seem gan

    • @classicfinishestz
      @classicfinishestz 3 ปีที่แล้ว

      Tupo MbeziBeach,Jogoo 0747753566/0735282811

    • @khadijabongwa8787
      @khadijabongwa8787 2 ปีที่แล้ว

      @@classicfinishestz haichaniki

    • @classicfinishestz
      @classicfinishestz 2 ปีที่แล้ว

      @@khadijabongwa8787 Karibu sana Khadija ,hapa auchaniki

    • @WardatJuma-tk4fd
      @WardatJuma-tk4fd 7 หลายเดือนก่อน

      Vipi unawez kiweka ata sehem ambayo umeweka saruj t na si tais​@@classicfinishestz

  • @zainabomar7191
    @zainabomar7191 3 ปีที่แล้ว

    Bei gani per mt

  • @zainabomar7191
    @zainabomar7191 3 ปีที่แล้ว

    Mwapatikana sehemu gani

  • @hb_design_decorationdesign7705
    @hb_design_decorationdesign7705 4 ปีที่แล้ว

    Belka is the best

  • @lusekelokihesya3687
    @lusekelokihesya3687 4 ปีที่แล้ว

    Kuna utofaut gani Kati ya Belka cotton paint na normal PRESITIGE finishes zlzopo kabla ya hii maana naona znatexture km znazofanana na hata upakaji wake n sawa vifaa vya kupakia n sawa... So what's real Belka cotton paint has new ????? Sorry to ask for to much

    • @classicfinishestz
      @classicfinishestz 4 ปีที่แล้ว

      Tofauti zipo nyingi sana moja wapo belka unapaka moja kwa moja kwenye plaster.

  • @lusekelokihesya3687
    @lusekelokihesya3687 4 ปีที่แล้ว

    10kg zinapaka square meters ngap ??????