Issa Tz
Issa Tz
  • 487
  • 561 543

วีดีโอ

UKWELI MTUPU KUMUHUSU MWANAMKE NI HUU | WANAUME TUNATAKIWA JULIJUE HILI.
มุมมอง 5K21 วันที่ผ่านมา
UKWELI MTUPU KUMUHUSU MWANAMKE NI HUU | WANAUME TUNATAKIWA JULIJUE HILI.
GWAJIMA; NINI MAANA YA MAISHA | KWANINI TUNAISHI? | TUNAISHI ILI TUJEKUFA | KWANINI TUMEZALIWA?.
มุมมอง 41421 วันที่ผ่านมา
GWAJIMA; NINI MAANA YA MAISHA | KWANINI TUNAISHI? | TUNAISHI ILI TUJEKUFA | KWANINI TUMEZALIWA?.
UTAPATA MAFANIKIO YA KIMAISHA UKIWA NA TABIA HIZI MBILI | MAISHA HAYAKUSUBIRI | CHUKUA HATUA ZAID.
มุมมอง 874หลายเดือนก่อน
UTAPATA MAFANIKIO YA KIMAISHA UKIWA NA TABIA HIZI MBILI | MAISHA HAYAKUSUBIRI | CHUKUA HATUA ZAID.
TAMAA SI MBAYA KAMA TUNAVYOFIKIRI BALI TAFSIRI ZETU KUHUSU TAMAA SI NZURI.
มุมมอง 688หลายเดือนก่อน
TAMAA SI MBAYA KAMA TUNAVYOFIKIRI BALI TAFSIRI ZETU KUHUSU TAMAA SI NZURI.
MAMBO MENGI UNAYOYAJUA SI KWELI | HISTORIA YA MWANADAMU NI FEKI.
มุมมอง 1.2Kหลายเดือนก่อน
MAMBO MENGI UNAYOYAJUA SI KWELI | HISTORIA YA MWANADAMU NI FEKI.
MWANAMKE ANAWEZA KUWA CHANZO CHA FAMILIA YA KIMASIKINI | MWANAMKE NI MSAIDIZI WA MWANAMKE
มุมมอง 160หลายเดือนก่อน
MWANAMKE ANAWEZA KUWA CHANZO CHA FAMILIA YA KIMASIKINI | MWANAMKE NI MSAIDIZI WA MWANAMKE
UZEMBE KATIKA MAISHA | MAFANIKIO YA MAISHA | UMUHIMU WA KUISHI VYEMA.
มุมมอง 4.2Kหลายเดือนก่อน
UZEMBE KATIKA MAISHA | MAFANIKIO YA MAISHA | UMUHIMU WA KUISHI VYEMA.
ULIYETESEKA NAYE KWENYE NYAKATI NGUMU NA SHIDA HAMTAACHANA MPAKA KIFO KIWAKUTE. #truelove
มุมมอง 4232 หลายเดือนก่อน
ULIYETESEKA NAYE KWENYE NYAKATI NGUMU NA SHIDA HAMTAACHANA MPAKA KIFO KIWAKUTE. #truelove
UKIWA NA MAONO UTAISHI VYEMA KWENYE HII DUNIA | DINI UNAPATA WAFASI WENGI WANAOSHINDWA KUTAFSIRI.
มุมมอง 1.3K2 หลายเดือนก่อน
UKIWA NA MAONO UTAISHI VYEMA KWENYE HII DUNIA | DINI UNAPATA WAFASI WENGI WANAOSHINDWA KUTAFSIRI.
HAKUNA MTU ANAYEWEZA KUMUUMIZA MWINGINE | HUWEZI KUMKASILISHA GHAFLA BALI ALISHAJIANDA KUKASILIKA.
มุมมอง 2543 หลายเดือนก่อน
HAKUNA MTU ANAYEWEZA KUMUUMIZA MWINGINE | HUWEZI KUMKASILISHA GHAFLA BALI ALISHAJIANDA KUKASILIKA.
MATAJIRI WAELEZI SIRI YA MAFANIKIO YAO | HAKUNA TAJIRI AYELETAJIRI KWA MWAKA MMOJA | @issa_Tz
มุมมอง 1123 หลายเดือนก่อน
MATAJIRI WAELEZI SIRI YA MAFANIKIO YAO | HAKUNA TAJIRI AYELETAJIRI KWA MWAKA MMOJA | @issa_Tz
WATU WENIGI WAHUJUI KUPENDA | MTU ANAYEVUNJA MAHUSIANO HAFANIKIWI KWENYE MAHUSIANO MENGINE.
มุมมอง 7063 หลายเดือนก่อน
WATU WENIGI WAHUJUI KUPENDA | MTU ANAYEVUNJA MAHUSIANO HAFANIKIWI KWENYE MAHUSIANO MENGINE.
MWANAUME HAWEZI KUSAMEHE KWA JAMBO LA USALITI | MWANAMKE NI MWEPESI KUSAMEHE ILA HAWEZI KUSAHAU.
มุมมอง 5493 หลายเดือนก่อน
MWANAUME HAWEZI KUSAMEHE KWA JAMBO LA USALITI | MWANAMKE NI MWEPESI KUSAMEHE ILA HAWEZI KUSAHAU.
DIAMOND PLATNUMZ ANAUJUMBE KWA VIJANA | KUWA TAJIRI DUNIANI | USIKUBALI MTU AKUKATISHE TAMAA.
มุมมอง 1253 หลายเดือนก่อน
DIAMOND PLATNUMZ ANAUJUMBE KWA VIJANA | KUWA TAJIRI DUNIANI | USIKUBALI MTU AKUKATISHE TAMAA.
LISHIKE HILI KATIKA MAISHA YAKO | HUWEZI JUA KILA KITU | WAPO WALIOKUZIDI.
มุมมอง 1003 หลายเดือนก่อน
LISHIKE HILI KATIKA MAISHA YAKO | HUWEZI JUA KILA KITU | WAPO WALIOKUZIDI.
UKIPENDWA UTAWEKWA HADHALANI| MAPENZI YA SIRI NI UONGO|MAHABA SIRI MAPENZI HADHARANI#love@issa_Tz
มุมมอง 4233 หลายเดือนก่อน
UKIPENDWA UTAWEKWA HADHALANI| MAPENZI YA SIRI NI UONGO|MAHABA SIRI MAPENZI HADHARANI#love@issa_Tz
MAHUSIANO YA ALLY KAMWE| NILIMPATIA EX WANGU LAKI TISA | SIKU YA MWISHO NITAMGEUZA SUPU YULE MSHENZ.
มุมมอง 6393 หลายเดือนก่อน
MAHUSIANO YA ALLY KAMWE| NILIMPATIA EX WANGU LAKI TISA | SIKU YA MWISHO NITAMGEUZA SUPU YULE MSHENZ.
PESA INALETA FURAHA | HUTAONA FURAHA UKIWA HAUNAPESA | NI MFANO WA MATAJIRI KUWAAMBIA MASIKINI
มุมมอง 754 หลายเดือนก่อน
PESA INALETA FURAHA | HUTAONA FURAHA UKIWA HAUNAPESA | NI MFANO WA MATAJIRI KUWAAMBIA MASIKINI
WADADA WENGI WANAPOTEA KWA KUFANYA JAMBO HILI MAISHANI MWAO.
มุมมอง 624 หลายเดือนก่อน
WADADA WENGI WANAPOTEA KWA KUFANYA JAMBO HILI MAISHANI MWAO.
UMUHIMU WA MAHUSIANO | KUMSOMA KABLA YAKUISHI NAE |USIMOME UKIWA UNAISHI NAE. @issa_Tz #motivation
มุมมอง 4254 หลายเดือนก่อน
UMUHIMU WA MAHUSIANO | KUMSOMA KABLA YAKUISHI NAE |USIMOME UKIWA UNAISHI NAE. @issa_Tz #motivation
SIO KWAMBA HUPENDWI | TATIZO NI WEWE MWENYEWE.
มุมมอง 1424 หลายเดือนก่อน
SIO KWAMBA HUPENDWI | TATIZO NI WEWE MWENYEWE.
KUTAKA VITU AMBAVYO VIPO TAYARI NI HATARI KWA MAISHA YAKO | MWANAUME SAIHIHI WAKUANZANAE CHINI.
มุมมอง 824 หลายเดือนก่อน
KUTAKA VITU AMBAVYO VIPO TAYARI NI HATARI KWA MAISHA YAKO | MWANAUME SAIHIHI WAKUANZANAE CHINI.
KUBISHANA KUHUSU MASWALA YA DINI NIKUPOTEZEANA MUDA | NA HATUJAFA KUJUA KWELI NI IPI.@issa_Tz #fyp
มุมมอง 5824 หลายเดือนก่อน
KUBISHANA KUHUSU MASWALA YA DINI NIKUPOTEZEANA MUDA | NA HATUJAFA KUJUA KWELI NI IPI.@issa_Tz #fyp
MAFANIKIO YAKO YATAANZA UTAKAPO ACHA KULAUMU WATU NA KUFANYIA KAZI MAONO YAKO. @issa_Tz #issa_tz
มุมมอง 4114 หลายเดือนก่อน
MAFANIKIO YAKO YATAANZA UTAKAPO ACHA KULAUMU WATU NA KUFANYIA KAZI MAONO YAKO. @issa_Tz #issa_tz
SABABU ZA WADADA WAZURI KUOLEWA KWAO KUNA KUWA CHANGAMOTO.
มุมมอง 1.4K4 หลายเดือนก่อน
SABABU ZA WADADA WAZURI KUOLEWA KWAO KUNA KUWA CHANGAMOTO.
MANENO YA HEKIMA YA MWANAFALSAFA ALIO MWAMBIE MWANAE.
มุมมอง 1405 หลายเดือนก่อน
MANENO YA HEKIMA YA MWANAFALSAFA ALIO MWAMBIE MWANAE.
MWANAUME AKITOKA NJE YA NDOA HANASHIDA | MWANAUME HAMPENDI MWANAMKE KWASABABU AMETEMBEA NAE.
มุมมอง 1765 หลายเดือนก่อน
MWANAUME AKITOKA NJE YA NDOA HANASHIDA | MWANAUME HAMPENDI MWANAMKE KWASABABU AMETEMBEA NAE.
KUNA KITU CHA KUJIFUNZA KATIKA USHAURI WA MFANYABIASHARA FREDDIE VUNJAA BEI.
มุมมอง 2155 หลายเดือนก่อน
KUNA KITU CHA KUJIFUNZA KATIKA USHAURI WA MFANYABIASHARA FREDDIE VUNJAA BEI.
MANENO YA HEKIMA KITOKA KWA PASTOR.IPM | TUFANYE KAZI | MAOMBI YANAFATA BAADA YA KAZI.
มุมมอง 555 หลายเดือนก่อน
MANENO YA HEKIMA KITOKA KWA PASTOR.IPM | TUFANYE KAZI | MAOMBI YANAFATA BAADA YA KAZI.

ความคิดเห็น

  • @Godfreykayinga
    @Godfreykayinga 4 วันที่ผ่านมา

    Oya iv inakuaje chomoza tv mazungumzo ya Dr elie siyapati kama mwanzo kama kipindi Cha mawazo hakipo Cha chaguo hakipo itakuwa nimekosea wapi kweny TH-cam yangu

    • @GoodluckCharles-d3k
      @GoodluckCharles-d3k 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mi mwenyewe nimetafuta sana sjaiona

  • @PascalKaitani
    @PascalKaitani 4 วันที่ผ่านมา

    Ubarikiwe dr

  • @IbrahimOlenga
    @IbrahimOlenga 12 วันที่ผ่านมา

    Nikweli kabisa watu wamewapangiya jisi yakuwaza

  • @sifakamwela8301
    @sifakamwela8301 15 วันที่ผ่านมา

    Acha hiyoooo ayumkini we ni mzinzi2

  • @jaykitui
    @jaykitui 16 วันที่ผ่านมา

    Anaitwaje huyu jamaa?

  • @gracemasense9975
    @gracemasense9975 16 วันที่ผ่านมา

    Unazungumza bila jicho la kuponya ila unachochea tamaa

  • @gracemasense9975
    @gracemasense9975 16 วันที่ผ่านมา

    Pamoja na hiyo elimu zingatia dhambi ndiyo chonzo Cha haya yote kwa hiyo ni lazima tupige vichochezi vya kutenda dhambi

  • @MCWABIKE
    @MCWABIKE 20 วันที่ผ่านมา

    Gwajima anahakili sana sana

  • @Prosperkisama
    @Prosperkisama 20 วันที่ผ่านมา

    Tunaishi ili tufe ndilo jibu...

  • @odingamalambilo9070
    @odingamalambilo9070 22 วันที่ผ่านมา

    Si kweli

  • @emmanuelngunyale3639
    @emmanuelngunyale3639 22 วันที่ผ่านมา

    Muongo mpotoshaji

    • @aminamjeni9951
      @aminamjeni9951 4 วันที่ผ่านมา

      mungu akusaidie unaye muona dr muongo

  • @luganomwaigomole7441
    @luganomwaigomole7441 22 วันที่ผ่านมา

    Exactly Dr.

  • @mtengwadj9390
    @mtengwadj9390 22 วันที่ผ่านมา

    AhsaNte kwa Elimu Ubarikiwe sanaa Kwamafundishi 🙏

  • @mfungobryceson5530
    @mfungobryceson5530 23 วันที่ผ่านมา

    hi

  • @mikelespritsuperieur1221
    @mikelespritsuperieur1221 หลายเดือนก่อน

    Nampenda sana Dr Elie Baba yangu

  • @ManaseNassary
    @ManaseNassary หลายเดือนก่อน

    Umetusaidia

  • @FatumaSalimu-s1e
    @FatumaSalimu-s1e หลายเดือนก่อน

    Nakuelewa sana tena sana baba yangu.

  • @BwanamutekanoRwambaalexis
    @BwanamutekanoRwambaalexis หลายเดือนก่อน

    Number on 🎉🎉

  • @allahisone6386
    @allahisone6386 หลายเดือนก่อน

    👂🏿🤦🏿

  • @pendosailo1989
    @pendosailo1989 หลายเดือนก่อน

    Kama mnakubaliana katika kupanga na unayaona hayo maendeleo...wanawake wengi katika ndoa wanazalisha then baba anapeleka kwa mwanamke wa nje...no way ataonyeshwa hela ya mke.

  • @mtengwadj9390
    @mtengwadj9390 หลายเดือนก่อน

    Ahsante kwa elimu mbarikiwe sana

  • @josephtesha872
    @josephtesha872 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki babaa🙏

  • @devothasimbi6495
    @devothasimbi6495 หลายเดือนก่อน

    Uko sawa ila wachacbe watakaokuelewa kutokana na sababu za itikadi za dini

  • @devothasimbi6495
    @devothasimbi6495 หลายเดือนก่อน

    ❤❤

  • @amourmtungo623
    @amourmtungo623 หลายเดือนก่อน

    🤔Wapo matajiri wanasema na kufundisha namna ya kufikia mafanikio. Lakini kufanikiwa kuna maana pana sana itategemea na plani au malengo unayotaka kuyafikia

  • @amourmtungo623
    @amourmtungo623 หลายเดือนก่อน

    🤔Hebu bosi nipe tafauti ya “tamaa” na “matarajio”. Asante kwa mchango wenu mzuri tu🤝

  • @princesuleiman.
    @princesuleiman. หลายเดือนก่อน

    Mungu Azidi kukupa maisha marefu yenye afya na upendo zaidi

  • @simpozeboy9490
    @simpozeboy9490 2 หลายเดือนก่อน

    I appreciate sir

  • @TumainiMnzava-vi4dv
    @TumainiMnzava-vi4dv 2 หลายเดือนก่อน

    Safi

  • @EmanuelMayombo1982
    @EmanuelMayombo1982 2 หลายเดือนก่อน

    Dah koment 3 inauma sana

  • @MethodKibiki
    @MethodKibiki 2 หลายเดือนก่อน

    Ukweli ni dawa.

  • @mrsdeborahurio
    @mrsdeborahurio 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki sana!❤

  • @JohariHajj
    @JohariHajj 2 หลายเดือนก่อน

    😢😢 daah an ad najiskia vibaya

  • @RGMHJT
    @RGMHJT 3 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @MathiasNilanga
    @MathiasNilanga 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu awabariki sana tunajifunza vitu vingi sna hata maisha yangu yamebarika kupitia ninyi nafurahi kuona Dr elie

  • @IddiKhamis-u6c
    @IddiKhamis-u6c 3 หลายเดือนก่อน

    Unanikumbusha mbali. Na mi sifikirii kama ntasamehe

  • @alexmuriithi9830
    @alexmuriithi9830 3 หลายเดือนก่อน

    Aisee!! Huyo na wengine wengi wageuzwe kuwa supu ile siku ya kiama, Dah! Nakuunga mkono kaka.

  • @SanzuBoy-j8f
    @SanzuBoy-j8f 3 หลายเดือนก่อน

    Ongera sana sana brother

  • @SanzuBoy-j8f
    @SanzuBoy-j8f 3 หลายเดือนก่อน

    Ongera sana kaka unaongea point 👉 sanaaaaaa

  • @udizungwahimalaya5213
    @udizungwahimalaya5213 3 หลายเดือนก่อน

    Nimesikia mwamba anakataa live huweziiii😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @issa_Tz
      @issa_Tz 3 หลายเดือนก่อน

      Ndo hivyo, watu hawaamini mpaka waone matokeo.

  • @geraldndibalema-dc3wg
    @geraldndibalema-dc3wg 4 หลายเดือนก่อน

    Asante sana Dr

  • @georgekadaga
    @georgekadaga 4 หลายเดือนก่อน

    Dr ellie natamani siku moja nikuone kalibu

  • @geraldndibalema-dc3wg
    @geraldndibalema-dc3wg 4 หลายเดือนก่อน

    Asante Dr

  • @barakaayubu6126
    @barakaayubu6126 4 หลายเดือนก่อน

    Ila huyu jamaa ni mtu muhimu sana katika jamii

  • @DanielYusuph-071
    @DanielYusuph-071 4 หลายเดือนก่อน

    Kwel kabisa Mabishano ya kidini ni ujinga mtupu

  • @barakakambona935
    @barakakambona935 4 หลายเดือนก่อน

    sema baba

  • @furahaabonga6642
    @furahaabonga6642 4 หลายเดือนก่อน

    💯percent correct tunawachezea tu na kuwahacha,awastaili kuolewa ata kidogo. Ndomana wanawake wazuri wengi awamjuwi Mungu.they trust themselves that the beauty they own is everything on the earth na ndo chanzo cha kujiaminisha kuwa awawezi kukosa wanaume wakuwatongoza. Wanawake wote wazuri wapo kwenye mabar,clubs,disco,seemu zote ambazo shetani amezunguka ndiko kuna wanawake wazuri.Mungu atuurumie cos sis wanaume ndo tunaowatumia hao wanawake wazuri.

  • @georgekadaga
    @georgekadaga 4 หลายเดือนก่อน

    My icon in this world

  • @geraldndibalema-dc3wg
    @geraldndibalema-dc3wg 5 หลายเดือนก่อน

    Safi sama

  • @alyumaraos
    @alyumaraos 5 หลายเดือนก่อน

    Nimekuelewa sana sheik