Dydah's Kitchen
Dydah's Kitchen
  • 23
  • 387 569

วีดีโอ

PIKA MAHARAGE YA NAZI HIVI / MAHARAGE YA TUI LA JUU
มุมมอง 18K3 ปีที่แล้ว
maharage ya kuchemsha nusu chumvi kitunguu maji 1 boga / hoho 1 kitunguu thomo tui jepesi vikombe 3 tui zito kikombe 1
DONASI ZA MAFUTA
มุมมอง 10K3 ปีที่แล้ว
DONASI ZA MAFUTA
Jifunze kupika laddu za kiswahili./ Easy swahili laddu recipe
มุมมอง 8K3 ปีที่แล้ว
BARAFU ZA MAZIWA RECIPE - th-cam.com/video/wjdcK-H26BQ/w-d-xo.html BHAJIA ZA UNGA WA DENGU RECIPE - th-cam.com/video/PFrodZC6FN4/w-d-xo.html VISHETE / VIKOKOTO RECIPE - th-cam.com/video/-fGKP2wgS3A/w-d-xo.html
Chocolate cake ya mayai mawili (2 eggs) kwa kutumia food processor na kuoka/bake kwa gas
มุมมอง 1.6K3 ปีที่แล้ว
Chocolate cake ya mayai mawili (2 eggs) kwa kutumia food processor na kuoka/bake kwa gas
Njia rahisi ya kupika barafu za maziwa
มุมมอง 79K3 ปีที่แล้ว
Njia rahisi ya kupika barafu za maziwa
mkate wa nyama mtamu
มุมมอง 17K3 ปีที่แล้ว
INSTAGRAM - dydelias_kitchen
Jinsi ya kupika pilau ya kuku haraka/easy chicken pilau recipe
มุมมอง 1.4K3 ปีที่แล้ว
Jinsi ya kupika pilau ya kuku haraka/easy chicken pilau recipe
Bhajia za dengu /jinsi ya kupika bhajia za unga wa dengu rahisi
มุมมอง 6553 ปีที่แล้ว
Bhajia za dengu /jinsi ya kupika bhajia za unga wa dengu rahisi
jifunze kupika vishete / vikokoto
มุมมอง 1K3 ปีที่แล้ว
jinsi ya kupika mitai ⤵️ th-cam.com/video/p_0Jn87dvs4/w-d-xo.html
Jinsi ya kupika biriani ya kuku / chicken biriani
มุมมอง 82K3 ปีที่แล้ว
Jinsi ya kupika biriani ya kuku / chicken biriani
Jinsi ya kupika mabuyu / ubuyu wa kizanzibar mtamu sanaaaaa
มุมมอง 85K3 ปีที่แล้ว
Jinsi ya kupika mabuyu / ubuyu wa kizanzibar mtamu sanaaaaa
jinsi ya kupika mahamri / mandazi laini sana
มุมมอง 1.1K3 ปีที่แล้ว
Scotch eggs recipe th-cam.com/video/tY0Wk3XD4cM/w-d-xo.html Chapati recipe th-cam.com/video/j37xDTn4qFE/w-d-xo.html Mkate wa sinia recipe th-cam.com/video/WNH6ssft82Y/w-d-xo.html Donasi za kuku recipe th-cam.com/video/N3rVLOgacas/w-d-xo.html Podini recipe th-cam.com/video/Kd-h41MdF9g/w-d-xo.html Juice ya parachichi th-cam.com/video/WvLG4YuAR74/w-d-xo.html
jinsi ya kupika chapati laini na zakuchambuka / how to cook soft chapati
มุมมอง 20K3 ปีที่แล้ว
jinsi ya kupika chapati laini na zakuchambuka / how to cook soft chapati
Jinsi ya kupika mkate wa sinia /mkate wa kumimina /mkate wa mchele mlaini sana (COLLABORATION)
มุมมอง 11K3 ปีที่แล้ว
Husna laltia mkate wa kuku👇 th-cam.com/channels/a0DYCvTG7hF7D5g4YWMN-w.html Rukia laltia mkate wa sausage👇 th-cam.com/users/RukiaLaltia Najla's kitchen mkate wa mayai👇 th-cam.com/channels/boRPpzBaSVilIqFXiSP_mw.html
Jinsi ya kupika donasi za kuku / chicken doughnuts (COLLABORATION)
มุมมอง 2.5K3 ปีที่แล้ว
Jinsi ya kupika donasi za kuku / chicken doughnuts (COLLABORATION)
Jinsi ya kupika podini ya mayai bila kutumia oven (COLLABORATION)
มุมมอง 22K3 ปีที่แล้ว
Jinsi ya kupika podini ya mayai bila kutumia oven (COLLABORATION)
Jinsi ya kupika mathobosha / Vipopo kwa njia rahisi (COLLABORATION)
มุมมอง 3.3K3 ปีที่แล้ว
Jinsi ya kupika mathobosha / Vipopo kwa njia rahisi (COLLABORATION)
jinsi ya kutengeza juice ya parachichi (AVOCADO JUICE COLLABORATION)
มุมมอง 5283 ปีที่แล้ว
jinsi ya kutengeza juice ya parachichi (AVOCADO JUICE COLLABORATION)
Jinsi ya kupika scotch eggs (Collaboration)
มุมมอง 8653 ปีที่แล้ว
Jinsi ya kupika scotch eggs (Collaboration)
Jinsi ya kupika mitai ya shira ya nje rahisi sana
มุมมอง 21K3 ปีที่แล้ว
Jinsi ya kupika mitai ya shira ya nje rahisi sana
Jinsi ya kupika viazi karai
มุมมอง 7913 ปีที่แล้ว
Jinsi ya kupika viazi karai
Jinsi ya kupika kaimati za shira ya nje
มุมมอง 1.2K3 ปีที่แล้ว
Jinsi ya kupika kaimati za shira ya nje

ความคิดเห็น

  • @EllyNabora
    @EllyNabora 9 วันที่ผ่านมา

    Corn flour Nini kiswahili?

  • @MariamJosiah-zf8kp
    @MariamJosiah-zf8kp 19 วันที่ผ่านมา

    Mbona nyeusi hivyo

  • @SitiKassim-d9r
    @SitiKassim-d9r หลายเดือนก่อน

    Hongera dada kwa biriyani pambe

  • @aminashaib6956
    @aminashaib6956 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤

  • @GloryYeremia
    @GloryYeremia 2 หลายเดือนก่อน

    Mbona haukauki sana unakuwa na unyevu unyevu

  • @SarahStephen-f8b
    @SarahStephen-f8b 2 หลายเดือนก่อน

    Zaonekana tamu dana

  • @GladysStephen-g4e
    @GladysStephen-g4e 2 หลายเดือนก่อน

    Napenda maelezo yako

  • @moureenkivuyo
    @moureenkivuyo 2 หลายเดือนก่อน

    Samahani kama ubuyu haukauki nafanyaje?

  • @Shakila-t3c
    @Shakila-t3c 3 หลายเดือนก่อน

    Masha Allah ❤❤

  • @balkissMuhammad-sk1ic
    @balkissMuhammad-sk1ic 3 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah

  • @mohsinmerali
    @mohsinmerali 3 หลายเดือนก่อน

    Asante sana. Damu Ya Yeshu inatosha. Amen.

  • @ShafiiSeif-u8y
    @ShafiiSeif-u8y 3 หลายเดือนก่อน

    Kwaiyo dada naweza kutumia Mchele wowote?

  • @JaneNeyma
    @JaneNeyma 3 หลายเดือนก่อน

    Wow❤

  • @JamilaBakari-l9k
    @JamilaBakari-l9k 3 หลายเดือนก่อน

    Asante sister kwa pishy lako zuri lakini nauliza apo kwenye maji ya mchele ni mpaka yakauke tu atakama haujaiva au mpk mchele uive?

  • @hawagomba598
    @hawagomba598 3 หลายเดือนก่อน

    Unauza sh ngapi hizo Ili upate pesa

  • @faizaabdu1665
    @faizaabdu1665 4 หลายเดือนก่อน

    Sukari kiasi gani?

  • @happyjaccob7555
    @happyjaccob7555 4 หลายเดือนก่อน

    Nmepika imekua Nzuri kweli Asante mamy🙏😊

  • @BiubwaMuhammed-un3dt
    @BiubwaMuhammed-un3dt 4 หลายเดือนก่อน

    Korn flower inasaidia nini

  • @rahmajumaan6819
    @rahmajumaan6819 5 หลายเดือนก่อน

    Allahbarik

  • @rahmajumaan6819
    @rahmajumaan6819 5 หลายเดือนก่อน

    Umeeleza vizuri kabisa

  • @FelicianiShine
    @FelicianiShine 5 หลายเดือนก่อน

    Rangi ya mabuyu yanapatikana wapi?

  • @NancyOnyangi
    @NancyOnyangi 5 หลายเดือนก่อน

    Mbona yangu hayaweki unga

  • @Siti-fo1ro
    @Siti-fo1ro 6 หลายเดือนก่อน

    Mashallah mapishi mazur

  • @Samiah2756
    @Samiah2756 6 หลายเดือนก่อน

    Kwani Ni lazima Na corn flour 😊😊

  • @abdimariam-kq9rm
    @abdimariam-kq9rm 6 หลายเดือนก่อน

    😂 very good to me thanks 😢😢🎉

  • @sheikhobarey
    @sheikhobarey 6 หลายเดือนก่อน

    Waleikum us salaam warahmatULLAHI wabarakatuhu, We mwana wangu hukuni alika MashaALLAH ALLAH humma barik. Mdomo imejaa maaji. Maula akuleteye baraka, AAMEEN. JazakALLAHukhairan

  • @asyaabdallah3009
    @asyaabdallah3009 7 หลายเดือนก่อน

    MashaAllah

  • @AmneMohamed-d5n
    @AmneMohamed-d5n 7 หลายเดือนก่อน

    Kiasi cha maziwa hujaweka

  • @ramadhanmusa
    @ramadhanmusa 7 หลายเดือนก่อน

    Masha Allah

  • @linahlymo8745
    @linahlymo8745 7 หลายเดือนก่อน

    Naweza kupika kwenye microwave?

  • @NuraynAllyMakoye
    @NuraynAllyMakoye 7 หลายเดือนก่อน

    Usipotia vanilla haitoki vizur au

  • @BububuDukani-gk2gv
    @BububuDukani-gk2gv 7 หลายเดือนก่อน

    Je ao kuku wanatakiwa kukaangwa au japonica kuchemsha

  • @ZenaIssa-u4z
    @ZenaIssa-u4z 8 หลายเดือนก่อน

    Contra ni nini sijakupata hapo

  • @MarryKayombo-h5u
    @MarryKayombo-h5u 8 หลายเดือนก่อน

    asantee my kwadalasa my sani mm nashida na hayo makalatasi yanapatikana wapi

  • @MarryKayombo-h5u
    @MarryKayombo-h5u 8 หลายเดือนก่อน

    asantee my kwadalasa my sani mm nashida na hayo makalatasi yanapatikana wapi

    • @judithking1087
      @judithking1087 8 หลายเดือนก่อน

      Masokoni wanapouza vifungashio, vifaa vya keki kariakoo

  • @MarryKayombo-h5u
    @MarryKayombo-h5u 8 หลายเดือนก่อน

    asantee my kwadalasa my sani mm nashida na hayo makalatasi yanapatikana wapi

  • @ShamemaaAli
    @ShamemaaAli 8 หลายเดือนก่อน

    I like the cooking

  • @kiplagatmichaelt.6863
    @kiplagatmichaelt.6863 9 หลายเดือนก่อน

    Upishi murwa sana. Swali tu; kuna jinsi upishi huu unaweza fanyika bila kutumia mafuta kingi vile kwa sababu za kiafya? Kazi nzuri.

    • @dydahskitchen6907
      @dydahskitchen6907 9 หลายเดือนก่อน

      Ndio unaweza punguza mafuta kiasi utakacho

  • @AshuraAdam-r6b
    @AshuraAdam-r6b 9 หลายเดือนก่อน

    Jamani natamani kujua kupoka dada

  • @khadijahemed6975
    @khadijahemed6975 9 หลายเดือนก่อน

    Shukran

  • @MwanamisiMuna
    @MwanamisiMuna 9 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah daa uko n utaratibu mzur❤❤❤❤

  • @KADALAtv255
    @KADALAtv255 9 หลายเดือนก่อน

    Coni flower ndio nini dada

    • @HalimaMbena-mx6cx
      @HalimaMbena-mx6cx 9 หลายเดือนก่อน

      Coni flower ni unga wa mahindi machanga huo unapatikana supermarket

    • @NduwimanaZena
      @NduwimanaZena 2 หลายเดือนก่อน

      Assalam aleikum. Kwenye lita tano ya maziwa unaweka cornflower kiyasigani

  • @RamlatHaji
    @RamlatHaji 9 หลายเดือนก่อน

    hii ni zanzibar pizza utamu wake ni noma unaweza toroka kwenu

  • @ZaitunMussa-m1t
    @ZaitunMussa-m1t 10 หลายเดือนก่อน

    Mashaall asanteh

  • @MariamAa-zh7yu
    @MariamAa-zh7yu 10 หลายเดือนก่อน

    Asante dada kesho Najalibu

  • @hamidarashid5650
    @hamidarashid5650 10 หลายเดือนก่อน

    Wow taamu sanaa

  • @RemzyJr
    @RemzyJr 10 หลายเดือนก่อน

    Contra ni nini my

  • @RamaKenga-l6s
    @RamaKenga-l6s 10 หลายเดือนก่อน

    Love it

  • @jastmijastmi9063
    @jastmijastmi9063 10 หลายเดือนก่อน

    MashaAllah 💕

  • @NuruMshani-m5i
    @NuruMshani-m5i 10 หลายเดือนก่อน

    Asant San dada