- 470
- 624 625
mohamed masamba
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 31 ก.ค. 2020
Karibuni katika Chaneli hii ya Afya na mambo mbalimbali ya kijamii.
Kwa maelezo zaidi Subscribe Chaneli hii kwaajili ya kujifunza Tiba lishe na mambo mbalimbali ya kijamii.
Kwamawasiliano zaid.
Whatsap number:+255717621732.
Kwa maelezo zaidi Subscribe Chaneli hii kwaajili ya kujifunza Tiba lishe na mambo mbalimbali ya kijamii.
Kwamawasiliano zaid.
Whatsap number:+255717621732.
maajabu ya ubuyu mwilini.
Ubuyu unafaida nyingi mwilini.sikiliza mpaka mwisho usikie maajabu yake #jitibu #magonjwa #nyumbani
มุมมอง: 131
วีดีโอ
usipuuze unga wa ukwaju ni dawa kubwa.
มุมมอง 24016 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Jitibu nyumban kwa unga wa ukwaju. #jitibu #magonjwa #nyumbani
jitibu fangasi nyumbani.
มุมมอง 11419 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Kama ni muhanga wa tatizo la fangasi basi sikiliza mpaka mwisho. #jitibu #magonjwa #nyumbani
usitupe kokwa la embe.
มุมมอง 13321 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Kokwa la embe linatibu magonjwa mengi mwilini .sikiliza mpaka mwisho. #Jitibu#magonjwa#nyumbani
jitibu bawasiri nyumbani
มุมมอง 67วันที่ผ่านมา
Tatizo la bawasiri ni janga linalo wakumba wengi hii ni kwasababu ya mtindo wa maisha tunayoishi.kama ni muhanga wa tatizo hilo sikiliza mpaka mwisho.
dalili za vijiwe katika kibofu na jinsi ya kujitibu.
มุมมอง 713 หลายเดือนก่อน
#jitibu #magonjwasugu #nyumbani
jitibu tatizo la gesi tumboni na kuhara damu kwa njia hii.
มุมมอง 463 หลายเดือนก่อน
#jitibu #magonjwasugu #nyumbani
jitibu kwa ganda la koma manga magonjwa haya.
มุมมอง 1143 หลายเดือนก่อน
#jitibu #magonjwasugu #nyumbani
msongo wa mawazo huzalisha magonjwa haya sugu.(stress)
มุมมอง 173 หลายเดือนก่อน
#jitibu #magonjwasugu #nyumbani
punguza uzito nyumbani(sikiliza mpaka mwisho utanishukuru)
มุมมอง 953 หลายเดือนก่อน
punguza uzito nyumbani(sikiliza mpaka mwisho utanishukuru)
jitibu magonjwa sugu kwa maji ya madafu(green coconut water)
มุมมอง 1905 หลายเดือนก่อน
jitibu magonjwa sugu kwa maji ya madafu(green coconut water)
jitibu magonjwa haya kwa majani ya maboga.
มุมมอง 3695 หลายเดือนก่อน
jitibu magonjwa haya kwa majani ya maboga.
faida na madhara ya juisi ya miwa(sugarcan juice)
มุมมอง 6046 หลายเดือนก่อน
faida na madhara ya juisi ya miwa(sugarcan juice)
jitibu p.i.d,safisha kizazi,uvimbe na fangasi kwa dawa hii.
มุมมอง 3236 หลายเดือนก่อน
jitibu p.i.d,safisha kizazi,uvimbe na fangasi kwa dawa hii.
jitibu nyumbani magonjwa sugu kwa njia hii
มุมมอง 3327 หลายเดือนก่อน
jitibu nyumbani magonjwa sugu kwa njia hii
ukiona unadalili hizi jua unaupungufu wa damu.
มุมมอง 1249 หลายเดือนก่อน
ukiona unadalili hizi jua unaupungufu wa damu.
jitibu magonjwa sugu kwa kutumia bamia.
มุมมอง 2749 หลายเดือนก่อน
jitibu magonjwa sugu kwa kutumia bamia.
Docta jambo kwanza pale na kazi sasa umezu gumuzia maziwa n'a manja no mimi Nina magonjwà wa kisukari afanye je;
Ndy
Minatumiaga manjano nahasali kamanakohoa naninapona
Je mjamzito aeza tumia turmeric na tangawizi iliyochanganywa na asali?
Kama ni mjamzito kitu peke kizuri kwako ni kula tende.lkn pia ktk kutumia huo mchanganyo bdo sijafanya utafit kwa mjamzito na anaenyonyesha
Nina Mama yangu anasukari je? Anaweza kutumia glasi ngap kwasiku?
Samahan naomba unitumie namba yako ya WhatsApp
chukua hapo kwenye discrption
Vp nkichanganya kwenye maziwa fresh
haina shida
Jazakrllah khaillah
Walaki
Zinapatikana wap mkuu hzo mbegu mlonge?
nenda ktk maduka ya tiba lishe au super market au ktk maduka ya wakulima.
Wachina bila kitunguu swaumu hawawez kula achen ufala mbona hawadhuriki😢😢
Inategemea kiwango kip huwa unakula ukizidisha utapata hayo madhara.
Je matunda yake iko fainda Gani kwa mwiri
huondosha magonjwa yasiyo ambukizwa kama vile presha,cancer,kisukari pia hubusti cell hai za damu pia vitamin c iliyopo ktk matunda huboresha afya ya ngozi na kupambana na kemikali hatarishi (free radicals) pia hupunguza cholesterol mbaya na kuongeza cholesterol nzuri.ahsante
Maishallah
Jazakillahu khayra
Sorry brother mm ngozi ina kua kama imepauka na kama kuchubuka kuanzia mwilini had usoni usoni Ata nikipaka lotion inakataa nawashwa sana usoni na mwilini miguu yang inakua kama imebabuka je nitumie asali
Nitafute whatsap kuna maswali nataka kukuuliza ilinijue nakusaidiaje.chukua namba kweny discription hapo juu.
Mwili unauma sana kenye jont sijwahi kutumia hizo mbegu za mlonge nitajaribu kutumia. Asante sana.
Shukran pia
Lazima ya Naz ya kutengeneza mwenyew
Unaweza tumia castor oil (mafuta ya nyonyo) au zaituni.
Gram sielewii
robo kijiko cha chai.
Tueleze vzr kwavjiko vingapii
Robo kijiko cha chai
Habari majani ya nyanya songwe hayo majani jina lingine ni nini
jina lingine sifahamu.chukua namba zangu za whatsap kwenye discription hpo juu ili nikutumie picha yake vizur
Kwani tukiyapika hayo mambengu ndipo yatatowa mafuta Ao haje
Unaanza kuzitoa maganda kisha unazikaanga halafu unazsaga kisha ndio uchemshe
Jamani dockta hii nikweli kabisa inatibu niliwah kumia kuhusu ukavu kwenye uke na nimefanikiwa kabisa
Shukrani
Nimekukubali umeenda shule Asante Kwa shule yako
shukran pia.
Kwa fangas ya ukeni inatumikaje
Hutumika kupaka ktk sehemu iliyoathirika.zingatia usafi kila wakati
Apo kwa moyo ni kwer kaka ishampta ndug yang
Shukran kwakulitambia hilo
Itafkia wakati sasa tutapuuz yani walim jamn n weng atujuw yupi mkwer sasa dah
Huo ndio uhalisia.hakuna chenye faida kikakosa madhara
ASANTE SANA
Shukran pia
Shukran
Shukran pia
Nikitengeneza naweza kuandika Juani au inalaumiwa ndani?
Unaanzia ndani kisha unamalizia kwakuweka juani
Jinzi ya kushusha kisukali
Nitafute whatsap.namba zipo kweny discription
Hata morogoro wana karafuu😂
Shukrani kwa kunikumbusha
Karfuu na mdalasin naasali ukitumia utapt mimba
Sina uhakika
Naiblend bila maji ?? Na kiasi gani...??
Blendi na maji nusu lita kisha kunywa robo kikombe ongezea radha ya asali mbichi kijiko kimoja.
Unafa Kula Kula siku au
Ndio inafaa lkn usile vingi utazulika yaani unaweza kupata hayo madhara
Wangu kaungua na chai kinatos maji maji
Pole pia asali ni dawa .unaweza kumpaka sehemu aliyoungua
Watu wanasema ukila tango naasali unakula kumbe niwaongo
nikweli ukila kwa wingi tango na asali ni sumu
Mungu akubariki sana
Nawe pia
Nashukuru kwa elim busia kenya
Nawe pia
Wapatikana wapi
Huo mmea unaptikana mikoa mingi kama vile iringa,mbeya,dodoma,ruvuma n.k
Xkwente. Tatizo la consitipation mbegu za mlionge
Kula matunda na mboga za majani ili kuboresha mmeng'enyo wa chakula pia tumia mbegu za mlonge
Hivi unaweza uwanike ukasaga ukatumia pia.itasaidia maladhi kutoka?
Ndio.
Shukran sana
Shukran pia
Je naweza kuzisaga namji hayo robo kikombe
Ndio
Dr hawujambo mimba ikiwa na mwezi umoja unaweza kunywa maji uliolowekamo bamia?
pika kula mchemsho kwa faida nying zaidi
Bado ndg. Nahitaji msaada wako maana nasumbuliwa sana na upumuaji wa shida pamoja uric acid nyingi mwilini
Nitafute whatsap number chukua kweny discription hapo juu.
Unakausha . Mbemgu nanini ¿
Kausha kwenye jua kisha ziblend
Badosijatumia hizi mbegu nifamishe kwa kirefu mm sipati. Choo
Mbegu hizi ni nzuri lkn usitumie kama unanyonyesha au mjamzito.kwahyo husaidia kupanga uzazi,kupata choo,kuondosha sumu mwilini n.k
Shukran sana mm nina pressure ya kushuka je naruhusiwa kutumia hii?
Nitafute whatsap.namba ipo kweny discription
Ni siku ya tano sasa natumia bamia lkn sijapata ute ..... Nlieka sindano ya 3 mth tangu nieke kila siku naona spotting shida ni nn doc
Ni mara ya kwanza kuitumia
Nitafute whatsap
Mimi nimeambiwa nikichemsha niwe nakunywa mara Kwa mara inatibu U.T.I
Nikweli.
Niko na mtafuta kwenye ini naweza kutumiya kitunguu saumu?
Sijaekuelewa
Na ukisha paka unaacha kwa dakika ngapi kwa nywele
Dk 10
Nauliza kama naweza nikapakaa mafuta ya karafu kwenye kovu?
Ndio unaweza
Shukran