Freeman Mbowe
Freeman Mbowe
  • 129
  • 122 425

วีดีโอ

Hii ndio Imani ya CHADEMA anayopaswa kushikwa na kila Mwana-CHADEMA.
มุมมอง 422ปีที่แล้ว
Hii ndio Imani ya CHADEMA anayopaswa kushikwa na kila Mwana-CHADEMA.
SERIKALI ZA MAJIMBO ZIPOJE?
มุมมอง 1.3Kปีที่แล้ว
SERIKALI ZA MAJIMBO ZIPOJE?
Nimetimiza Mwaka Mmoja tangu kutoka Gerezani.
มุมมอง 108ปีที่แล้ว
Nimetimiza Mwaka Mmoja tangu kutoka Gerezani.
Mkutano wa Hadhara wa Mwisho Kanda ya Nyasa (CHADEMA) - Iringa Mjini
มุมมอง 8Kปีที่แล้ว
Mkutano wa Hadhara wa Mwisho Kanda ya Nyasa (CHADEMA) - Iringa Mjini
Mkutano wa Hadhara Njombe
มุมมอง 18Kปีที่แล้ว
Mkutano wa Hadhara Njombe
MSIMAMO WA CHADEMA JUU YA URAIA PACHA.
มุมมอง 1.9Kปีที่แล้ว
MSIMAMO WA CHADEMA JUU YA URAIA PACHA.
Mkutano wa Hadhara Mbeya Mjini
มุมมอง 894ปีที่แล้ว
Mkutano wa Hadhara Mbeya Mjini
PART 1: Hotuba Yangu na Watanzania Waishio Marekani Washington DC.
มุมมอง 83ปีที่แล้ว
PART 1: Hotuba Yangu na Watanzania Waishio Marekani Washington DC.
PART 2: Hotuba Yangu na Watanzania Waishio Marekani Washington DC.
มุมมอง 37ปีที่แล้ว
PART 2: Hotuba Yangu na Watanzania Waishio Marekani Washington DC.
Part 3: Maswali na Majibu Katika Mazungumzo na Watanzania Waishio MarekanI.
มุมมอง 55ปีที่แล้ว
Part 3: Maswali na Majibu Katika Mazungumzo na Watanzania Waishio MarekanI.

ความคิดเห็น

  • @AmusedAstrolabe-iw1qz
    @AmusedAstrolabe-iw1qz หลายเดือนก่อน

    Pamoja makamanda

  • @beinafuu6219
    @beinafuu6219 หลายเดือนก่อน

    Mtpigwaa asubuhi na mapema.

  • @user-qg1iy5ov3u
    @user-qg1iy5ov3u หลายเดือนก่อน

    Mheshimiwa Mbowe tusaidie mikopo ya mitandaoni inatuumiza inatudhalilisha sana liseme hadharani

  • @andrewkissava9184
    @andrewkissava9184 หลายเดือนก่อน

    Chadema mkishinda uraisi mwaka kesho naomba mmpe kazi ya kufagia barabara Amosi makala mtani wangu huyu wa singida huyu sasa mtani wangu makala jiandae kupewa kazi ya kufagia barabara wakati chadema wanapita

  • @andrewkissava9184
    @andrewkissava9184 หลายเดือนก่อน

    Hakika,ninyi ni wapambanaji wa kweli ,hakika mbowe mitano tena hivyo Amosi makala na genge lako kwa wivu wenu juu ya mbowe na chadema nawashauri mjinyonge

  • @kamugishaerneust6672
    @kamugishaerneust6672 หลายเดือนก่อน

    15:26 bado tunalia na mtu wa camera nadhani anahitaji mmsaidie haendi na matukio

  • @maloshasiyantemi6446
    @maloshasiyantemi6446 หลายเดือนก่อน

    Kwa nini Msigwa wanamshambulia alipojiumga na CCM kama CHADEMA wana misingi ya uhuru kwa mtu kuhamia popote?

  • @GidionKombe-h1p
    @GidionKombe-h1p หลายเดือนก่อน

    Kamanda nakushukuru sana bado upo unakomaa Mungu akutia nguvu nakukumbuka

  • @GidionKombe-h1p
    @GidionKombe-h1p หลายเดือนก่อน

    Duuuuuu🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @GidionKombe-h1p
    @GidionKombe-h1p หลายเดือนก่อน

    Kwel wanafeli wapi sioni nyomi hapo kama kawaida yetu

  • @GidionKombe-h1p
    @GidionKombe-h1p หลายเดือนก่อน

    Huo ndy uwanja wangu wa nyumbani nawatazama live nikiwa hapa Afrika kusini

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x หลายเดือนก่อน

    Aisee Catherine umeongea yawaz mama

  • @c2vconnection
    @c2vconnection หลายเดือนก่อน

    Wapigapicha nadhani wanahitaji kutathimini upigaji picha.Wazungushe Camera ili hadhira pia ionekane. Yes, viongozi tunawaona, lakini kuona umati pia ni sehemu muhimu ya video hizi. Maoni yangu haya

  • @SeverinepauloPeter
    @SeverinepauloPeter 2 หลายเดือนก่อน

    Elifuraha Binde

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 2 หลายเดือนก่อน

    Yaani mpaka miaka 62 ya Uhuru Same hakuna maji aibu sana ,alafu ati mnachagua kijani nani kaloga watanzania inasikitisha

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 2 หลายเดือนก่อน

    Wasuya na Wambaga nyie endeleeni kuwachagua kijana mnevonavathivyenu

  • @user-fw6dp9iy4i
    @user-fw6dp9iy4i 2 หลายเดือนก่อน

    Hivi mwanga kuna watu kweli hapo?????

  • @SundaySteven-bz4yq
    @SundaySteven-bz4yq 2 หลายเดือนก่อน

    Waambie hao wajinga wanaojiita wazalendo huku bati ni sh,,20000 ,,,sukari,,,4000 afu mahindi kg 1 nish 400 hapa masikini ambae ni mpiga kura Kwa hayamaccm atajenga,,atakunywa chai

  • @user-my7fj6wn7y
    @user-my7fj6wn7y 2 หลายเดือนก่อน

    🎉tuko pamoja sana luck dude ana ngoma yake, inaitwa tax man,

  • @DeogratiasNsabhi
    @DeogratiasNsabhi 2 หลายเดือนก่อน

    Mwamba

  • @lucaschisamalo2852
    @lucaschisamalo2852 2 หลายเดือนก่อน

    Hicho kidogo bado kinaenda mifukoni mwao inauma sana

  • @lajumaofficial521
    @lajumaofficial521 2 หลายเดือนก่อน

    Uza sera mheshimiwa,Magufuli tulishamzika na aliyoyafanya tunayaona. Sema utaifanyia nini nchi achana na Magufuli

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 2 หลายเดือนก่อน

    Nikiangalia sura za watanzania waliopo hapo walivochoka kimaisha wengi wao alafu nikisikiliza Lema anavyoongea kuhusu rasilimali za nchi zinavyogawiwa kwa manufaa ya kundi fulani huku watanzania tuko hoi machozi yananitoka inatia uchungu sana. 😢

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 2 หลายเดือนก่อน

    Lema Lema shida ya nchi hii ni Elimu Elimu hata useme nini watu walikosa Elimu ikasababisha kukosa upeo wa kutafakari na kujitambua

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 2 หลายเดือนก่อน

    Sio 40 tu huenda mpaka 52 ni joto la ajabu

  • @adelinelyaruu3036
    @adelinelyaruu3036 2 หลายเดือนก่อน

    PENYE MITI HAKUNA WAJENZI

  • @user-wu2du6jy5c
    @user-wu2du6jy5c 2 หลายเดือนก่อน

    Sauti ya bahazi ya watanzamia sio wote

  • @DeogratiasNsabhi
    @DeogratiasNsabhi 2 หลายเดือนก่อน

    Sauti ya watanzania

  • @user-sp2pp9yl8g
    @user-sp2pp9yl8g 2 หลายเดือนก่อน

    CHADEMA ACHENI KUPOTEZA MUDA MKOA WA TANGA HAKUNA KURA ZENU

  • @user-ux8ms6ky9i
    @user-ux8ms6ky9i 2 หลายเดือนก่อน

    Mpambane msije mkafanana na msingwa

  • @davidmpiluka5224
    @davidmpiluka5224 2 หลายเดือนก่อน

    Ukweli mtupu. Tunatakiwa kuchukua hatua.

  • @zawadimbwambo1091
    @zawadimbwambo1091 2 หลายเดือนก่อน

    Hio mitambo inakatikakatika. Karibu Kila mkutano . Irekebisheni mnatunyima vipande vipande vya maana

  • @BorySaronge
    @BorySaronge 2 หลายเดือนก่อน

    Nyinyi endeleeni kuzurura wenzeni wanawapigia kazi wananchi nchi hii haitaki usanii wa kipumbavu kama hawa wapumbavu wanaojenga ujinga katika vichwa vya watanzania na hii yote ni ujinga waliopewa na hao mabwana zao waliowafadhili fedha za kuichezea nchi

  • @KayongoOba-ht2rf
    @KayongoOba-ht2rf 2 หลายเดือนก่อน

    Sina mpango wa kuama chadema

  • @uredmwasembo8579
    @uredmwasembo8579 2 หลายเดือนก่อน

    Jembe letu ilo

  • @generosennko8343
    @generosennko8343 2 หลายเดือนก่อน

    ❤ tunaanza kuipenda chadema kwa hoja zao. Tunaona matumaini kwa taifa kupitia chama hiki kikipata nafasi.

  • @MusaOgwoko
    @MusaOgwoko 2 หลายเดือนก่อน

    Ccm au mafuriko

  • @joachimkalungwana8654
    @joachimkalungwana8654 2 หลายเดือนก่อน

    Vipi mbona haiongei

  • @IssaAlly-lp4uf
    @IssaAlly-lp4uf 6 หลายเดือนก่อน

    Ila kweli mfumo wa zamani ndio ulikua unanafuu

  • @IssaAlly-lp4uf
    @IssaAlly-lp4uf 6 หลายเดือนก่อน

    Nimekuerewa umezungumza mambo ya msingi sana

  • @mussaelisha3733
    @mussaelisha3733 10 หลายเดือนก่อน

    Mahandamano inachelewa

  • @saidsuleiman1753
    @saidsuleiman1753 ปีที่แล้ว

    Rudi kwenu Moshi bandari haikuhusu

  • @frumencekaishe2460
    @frumencekaishe2460 ปีที่แล้ว

    Very True my Chairman I can term this as Zanzibarism combine!

  • @omarmohammed5157
    @omarmohammed5157 ปีที่แล้ว

    Musipate shida itoweni zanzibar kwenye muungno mutuwachia nchi yetu tu

  • @EmmanuelNyinyigwa
    @EmmanuelNyinyigwa ปีที่แล้ว

    Mbowe uko sahii kosa lenu nipale mlipo sema mama ame upga mwingi

  • @judicagodwin6147
    @judicagodwin6147 ปีที่แล้ว

    Jamani nauliza hivi aliyasaini huu mkataba alifumba macho?au hajui kusoma?manake.kwa haya yanayozungumzwa inaogopesha..ni kama Tanganyka tumeuzwa kwa waarabu.halafu zenji wao wamebaki salama. Mhhh.Eeee mwenyezi Mungu tuokoe na hili balaa watanganyika wako

  • @abasgregory3371
    @abasgregory3371 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @wandibaitonge8832
    @wandibaitonge8832 ปีที่แล้ว

    New colonialism

  • @shosengowi5271
    @shosengowi5271 ปีที่แล้ว

    Eee Yesu utuokoe na kongwa hili linaloikabili nchi Yetu.