Site Tv Online
Site Tv Online
  • 3 316
  • 1 738 955
MTUHUMIWA 1 KATI YA 78 WALIOKAMATWA AKUTWA AKIWA NA VICHWA VITATU.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi SACP-Kaster Ngonyani wakati akitoa taarifa kwa UMMA ya Mwezi Septemba 2024 juu ya hali ya Usalama katika Mkoa huo amesema, jeshi la Polisi kwa kushirikiana na Wananchi na vyombo vingine vya ulinzi na usalama wamefanikiwa kuwakamata watuhumiwa 78, waliojihusisha na vitendo vya kiharifu yakiwemo ya wizi,ukabaji,mauaji huku watuhumiwa 29 kati yao walikutwa na hatia hivyo wamehukumiwa vifungo mbalimbali gerezani.
มุมมอง: 188

วีดีโอ

MWISHO WA CHANGAMOTO YA BARABARA YA BUSOKELO SASA BASI
มุมมอง 3723 ชั่วโมงที่ผ่านมา
MWISHO WA CHANGAMOTO YA BARABARA YA BUSOKELO SASA BASI
WALIOPEWA MAENEO YA UWEKEZAJI NDANI YA HIFADHI NA HAWAJAWEKEZA MAELEKEZO YATOLEWA-WAZIRI CHANA
มุมมอง 1042 ชั่วโมงที่ผ่านมา
WALIOSHIKILIA MAENEO YA UWEKEZAJI NDANI YA HIFADHI NA KUSHINDWA KUWEKEZA KWA MUDA MREFU KUYAACHIA MAPEMA-WAZIRI CHANA. Mhe.Balozi,Dkt. Pindi Chana Waziri wa Maliasili na Utalii ametoa tafadhali kwa Wadau wa uwekezaji waliochukuwa maeneo ndani ya HIFADHI kwa lengo la kujenga hotel au kutoa huduma mbalimbali kwa watalii, baadhi yao wameshikikia maeneo kwa muda mrefu na kushindwa kuwekeza hivyo am...
FUIME AHAMA CHADEMA ATAJA VITENDO VYA RUSHWA NDANI YA CHADEMA.
มุมมอง 762 ชั่วโมงที่ผ่านมา
#chademamedia #actwazalendo#songea
TAMKO LA WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA KWA MKANDARASI WA BAREABARA WILAYA YA RUNGWE
มุมมอง 4822 ชั่วโมงที่ผ่านมา
TAMKO LA WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA KWA MKANDARASI WA BAREABARA WILAYA YA RUNGWE
ZAIDI WANACHI 5000 KUONDOKANA NA CHANGAMOTO YA HUDUMA YA AFYA KATA YA MASOKO
มุมมอง 774 ชั่วโมงที่ผ่านมา
ZAIDI WANACHI 5000 KUONDOKANA NA CHANGAMOTO YA HUDUMA YA AFYA KATA YA MASOKO
WIKI YA MWANAKATAVI TAREHE 25-31 OKTOBA 2024 KUWA YA MOTO ZAIDI MAMBO MAZURI YATAJWA.
มุมมอง 1094 ชั่วโมงที่ผ่านมา
WIKI YA MWANAKATAVI TAREHE 25-31 OKTOBA 2024 KUWA YA MOTO ZAIDI MAMBO MAZURI YATAJWA.
WAKURUGENZI WAPENI KUKU WATAMU MADAKTARI WALE, RC HOMERA AWAPOKEA MADAKTARI BINGWA WA SAMIA MBEYA
มุมมอง 1147 ชั่วโมงที่ผ่านมา
WAKURUGENZI WAPENI KUKU WATAMU MADAKTARI WALE, RC HOMERA AWAPOKEA MADAKTARI BINGWA WA SAMIA MBEYA
DKT TULIA AHAMASISHA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA JIJINI MBEYA
มุมมอง 587 ชั่วโมงที่ผ่านมา
DKT TULIA AHAMASISHA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA JIJINI MBEYA
JIJI LA MBEYA LAWAAPISHA WASIMAMIZI WASAIDIZI WA UCHAGUZI NGAZI YA KATA NA MITAA, WITO WATOLEWA
มุมมอง 889 ชั่วโมงที่ผ่านมา
JIJI LA MBEYA LAWAAPISHA WASIMAMIZI WASAIDIZI WA UCHAGUZI NGAZI YA KATA NA MITAA, WITO WATOLEWA
MAMA NTILIE NAMTUMBO WAPATIWA MAJIKO GESI KATIBU UWT AWAASA MATUMIZI BORA
มุมมอง 239 ชั่วโมงที่ผ่านมา
MAMA NTILIE NAMTUMBO WAPATIWA MAJIKO GESI KATIBU UWT AWAASA MATUMIZI BORA
SONGEA UNITED 2-0 BIGMAN FC MAKOCHA WAFUNGIKA SABABU ZAMATOKEO HAYO
มุมมอง 499 ชั่วโมงที่ผ่านมา
SONGEA UNITED 2-0 BIGMAN FC MAKOCHA WAFUNGIKA SABABU ZAMATOKEO HAYO
SAKATA LA UMEME LACHUKUA SURA MPYA IKUKWA
มุมมอง 8912 ชั่วโมงที่ผ่านมา
SAKATA LA UMEME LACHUKUA SURA MPYA IKUKWA
WANANCHI WAHOFIA MAISHA YAO KWASABABU YA KUZUNGUMZA UKWELI
มุมมอง 5812 ชั่วโมงที่ผ่านมา
WANANCHI WAHOFIA MAISHA YAO KWASABABU YA KUZUNGUMZA UKWELI
VIONGOZI WAVALIA NJUGA SUALA LA ELIMU MBEYA VIJIJINI
มุมมอง 3412 ชั่วโมงที่ผ่านมา
VIONGOZI WAVALIA NJUGA SUALA LA ELIMU MBEYA VIJIJINI
UFAFANUZI WA WAGONJWA KUBEBWA KWENYE TENGA MCHOTEKA TUNDURU.
มุมมอง 14812 ชั่วโมงที่ผ่านมา
UFAFANUZI WA WAGONJWA KUBEBWA KWENYE TENGA MCHOTEKA TUNDURU.
WANANCHI WALIA NA BEI YA ZAO LA PARETO HALI SI SHWALI
มุมมอง 4014 ชั่วโมงที่ผ่านมา
WANANCHI WALIA NA BEI YA ZAO LA PARETO HALI SI SHWALI
TAMKO KALI KWA WANAMARUFUKU KUZIKIA NYUMBANI KUANZIA SASA
มุมมอง 6614 ชั่วโมงที่ผ่านมา
TAMKO KALI KWA WANAMARUFUKU KUZIKIA NYUMBANI KUANZIA SASA
SANTILYA WALIA KWA RC HOMERA CHANGAMOTO YA MAJI
มุมมอง 914 ชั่วโมงที่ผ่านมา
SANTILYA WALIA KWA RC HOMERA CHANGAMOTO YA MAJI
AJALI ILIYOUA WAFANYA BIASHARA MBEYA YAMTOA MACHOZI RC HOMERA MAJERUHI WAELEZA
มุมมอง 37114 ชั่วโมงที่ผ่านมา
AJALI ILIYOUA WAFANYA BIASHARA MBEYA YAMTOA MACHOZI RC HOMERA MAJERUHI WAELEZA
AJALI MBAYA MBEYA WATU 11 WAPOTEZA MAISHA NA 20 WAJERUHIWA CHANZO CHA AJALI CHAWEKWA WAZI
มุมมอง 6916 ชั่วโมงที่ผ่านมา
AJALI MBAYA MBEYA WATU 11 WAPOTEZA MAISHA NA 20 WAJERUHIWA CHANZO CHA AJALI CHAWEKWA WAZI
RAIS DKT SAMIA AZINDUA SHULE YA WASICHANA YA RUVUMA AAGIZA NISHATI SAFI.
มุมมอง 12316 ชั่วโมงที่ผ่านมา
RAIS DKT SAMIA AZINDUA SHULE YA WASICHANA YA RUVUMA AAGIZA NISHATI SAFI.
WANATUGEUZA WENDAWAZIMU NA VICHAA HIZO NI DHARAU RC HOMERA ACHUKIZWA NA VIONGOZI WA BONDE MTO RUFIJI
มุมมอง 14816 ชั่วโมงที่ผ่านมา
WANATUGEUZA WENDAWAZIMU NA VICHAA HIZO NI DHARAU RC HOMERA ACHUKIZWA NA VIONGOZI WA BONDE MTO RUFIJI
UJENZI WA BARABARA YA KM 1.9 YAKABIDHIWA KWA MKANDARASI MAZITO YAELEZWA
มุมมอง 6216 ชั่วโมงที่ผ่านมา
UJENZI WA BARABARA YA KM 1.9 YAKABIDHIWA KWA MKANDARASI MAZITO YAELEZWA
FULSA YA UWEKEZAJI MBEYA YAPEWA KIPAOMBELE RC HOMERA AELEZA
มุมมอง 6019 ชั่วโมงที่ผ่านมา
FULSA YA UWEKEZAJI MBEYA YAPEWA KIPAOMBELE RC HOMERA AELEZA
TRA NA OSHA WAPEWA UJUMBE MZITO KWA WAWEKEZAJI MBEYA
มุมมอง 11619 ชั่วโมงที่ผ่านมา
TRA NA OSHA WAPEWA UJUMBE MZITO KWA WAWEKEZAJI MBEYA
ZAIDI YA BILION 70 KUKAMILISHA MRADI WA UMWAGILIAJI MBARALI
มุมมอง 7619 ชั่วโมงที่ผ่านมา
ZAIDI YA BILION 70 KUKAMILISHA MRADI WA UMWAGILIAJI MBARALI
WANANCHI UZENI MAHINDI YENU NFRA SIO KWA WALANGUZI/DKT SAMIA.
มุมมอง 6719 ชั่วโมงที่ผ่านมา
WANANCHI UZENI MAHINDI YENU NFRA SIO KWA WALANGUZI/DKT SAMIA.
SIKUTEGEMEA NITAKUNYWA MAJI YA BOMBA TENA TUNAMSHUKURU RAIS SAMIA HATUKUWAHI PATA MAJI MATAMU.
มุมมอง 8821 ชั่วโมงที่ผ่านมา
SIKUTEGEMEA NITAKUNYWA MAJI YA BOMBA TENA TUNAMSHUKURU RAIS SAMIA HATUKUWAHI PATA MAJI MATAMU.
UTUMIKISHWAJI WA WATOTO KWENYE MASHAMBA YA TUMBAKU RAS MBEYA ANG'AKA ATOA KAULI NZITO
มุมมอง 11221 ชั่วโมงที่ผ่านมา
UTUMIKISHWAJI WA WATOTO KWENYE MASHAMBA YA TUMBAKU RAS MBEYA ANG'AKA ATOA KAULI NZITO

ความคิดเห็น

  • @upendoeliya9329
    @upendoeliya9329 วันที่ผ่านมา

    Huna lolote!! Mbona hatukufahamu?? Haki unsyoiendea huko CCM ni ipi,??? Kuiba Kura au??

  • @EmmanuelElias-g7b
    @EmmanuelElias-g7b 2 วันที่ผ่านมา

    Hongera sana Mh mkuu wa mkoa wa katavi kwa taarifa rasimi ya maadhimisho ya wiki ya mwana katavi, wafanya biashara ndogo ndogo machinga mkoa wa katavi tunakupongeza sanaa Naaaaam tupo tayari kushiriki kikamilifu katika wiki hio, Katavi yetu Mh Mrindoko wetu

  • @fadhiliosuta1719
    @fadhiliosuta1719 5 วันที่ผ่านมา

    MAshallah

  • @Saidmasaud-vo3ld
    @Saidmasaud-vo3ld 8 วันที่ผ่านมา

    Hapo sawa

  • @meshacknyandongo577
    @meshacknyandongo577 9 วันที่ผ่านมา

    Ndugu zangu hapo mlijiona mko somalia????? Dah

  • @OtiliaPius-dr1be
    @OtiliaPius-dr1be 10 วันที่ผ่านมา

    Waooooow najivunia kua mngon ❤ karibun sana wagen wetu

  • @nikodemmwahangila3334
    @nikodemmwahangila3334 11 วันที่ผ่านมา

    Saaafi kamanda wanajua hamupo kumbe mupo

  • @KaiHavertz-l8b
    @KaiHavertz-l8b 11 วันที่ผ่านมา

    ✍🇵🇾🇵🇾🇹🇿

  • @sophiaponera1881
    @sophiaponera1881 13 วันที่ผ่านมา

    Poleni sana wananamtumbo

  • @AminaHinduka
    @AminaHinduka 14 วันที่ผ่านมา

    Poleni sana

  • @sadickponera2464
    @sadickponera2464 14 วันที่ผ่านมา

    Poleni xana ila kikubwa mlicholopoka kwenye janga

  • @EmmanuelElias-g7b
    @EmmanuelElias-g7b 15 วันที่ผ่านมา

    Piga Kazi mama, katavi iko mikononi mwako 💐

  • @neemafyumagwa7913
    @neemafyumagwa7913 18 วันที่ผ่านมา

  • @EmmanuelElias-g7b
    @EmmanuelElias-g7b 20 วันที่ผ่านมา

    Katavi Oyeeeeeee

  • @EmmanuelElias-g7b
    @EmmanuelElias-g7b 20 วันที่ผ่านมา

    Hongera sana Mh mkuu wa mkoa wa katavi Mh Mwanamvua Mrindoko kwa kuukabidhi mwenge wa uhuru salama kwa majirani zetu kigoma,👍👍👍

  • @HidayaMwakilema
    @HidayaMwakilema 20 วันที่ผ่านมา

    Waje huku uyole nichangamoto kubwa maji tunamwezi mitatu wengine hadi mia tano

  • @SalumMtenje-f4b
    @SalumMtenje-f4b 21 วันที่ผ่านมา

    Kowawaruvuma

  • @SalumMtenje-f4b
    @SalumMtenje-f4b 21 วันที่ผ่านมา

    tunduru

  • @AlexJohnasi-wz6bn
    @AlexJohnasi-wz6bn 23 วันที่ผ่านมา

    Umekamata izo ila jua vijanawako baazi wanajua wamekula chao naapo wangefanikisha wangekuja kutusumbua umu polini

  • @AlexJohnasi-wz6bn
    @AlexJohnasi-wz6bn 23 วันที่ผ่านมา

    Kiongozi ongera sana chunya wamefanya nikichocholo ndiomaana mialo bandia mingi wanakula na viongozi wa madini apa chunya wakipata pesa izo ndio wanakuja kutunyanyasa sisi wanyonge wachimbaji wadogo

  • @GraceMalley-ly2xn
    @GraceMalley-ly2xn 24 วันที่ผ่านมา

    Office ziko wapi kwa sasa

  • @SamsonSimon-x3i
    @SamsonSimon-x3i 25 วันที่ผ่านมา

    Serekali ipigemarufuku mafasiyana

  • @fatmaahmed8637
    @fatmaahmed8637 25 วันที่ผ่านมา

    VIBAO HANITOSHI..Kilo 500 kwa Derewa 2 NI KIDOGO SAANA..BORA IWE ELF 1000

  • @LucyMushi-i2c
    @LucyMushi-i2c 25 วันที่ผ่านมา

    Nashauri madereva wakiwa 2 kwenye basi 1 wasiondoke kwa wakati mmojo watakuwa wamechoka wate, wapange kituo cha kumpokea dereva mwenzake, ili apokee gari akiwa na nguvu.

  • @KilimoMichael
    @KilimoMichael 25 วันที่ผ่านมา

    Kosa la malihemu

  • @zaykipini4761
    @zaykipini4761 26 วันที่ผ่านมา

    Dah 😢😢😢

  • @medaicetz
    @medaicetz 26 วันที่ผ่านมา

    dereva alkua anapita kila mara hyo njia kwahiyo anajua pakoje hata wakiwek bango kubwa kias gan sio kwamba watu hawajui muhim serikali ipunguze mlima huo barabara ilekebishwe hyo S kona haiko vzuri japo madereva ni vizur kuzingatia mwendo mana mwendo wa kasi ni hatari sana

  • @GodfreyMlay-n8p
    @GodfreyMlay-n8p 26 วันที่ผ่านมา

    Hili swala la ajali kwa nchi yangu hii mbona ni lakawaida sana tu kwa viongozi wa usalama barabarani na wenye mamlaka ya kukemea na kuchukuwa hatua za kisheria lakini wote hao uwa wanakaa kimya tu sasa basi linapotekea swala la ajali na watu kupoteza maisha hapo ndipo utasikia mikelele kila kona ya nchi hii kila mmoja akiwa mwalimu na kuzichambuwa sheria ukiwasikiliza wanavyo ongea kwa hisia kali unaweza sema awa ndiyo kwanza wamezaliwa na kushushwa ktk taifa hili awa sasa sijui tuwaiteje maana mm at sielewi wataimba mashairi yao yote yasiyo na vina wakati watu tunamachungu kwa kuondokewa na wapendwa wetu wengine kuachwa yatima wajane hii yote ni uzembe na dharau ya viongozi wetu waliyowekwa kwa ajili ya kusimamia sheria nyie Mungu anawaona tena mgekaa kimya ingependeza sana mnapoongea mnazidi kututia hasira na machungu kaeni kimya kwa kifupi tu tuseme yaliyo ya Mungu apewe Mungu na yaliyo ya kaisari apewe kaisari poleni sana watanzania wenzangu mliyopoteza ndugu na jamaa zenu tuko pamoja na msiba huu ni wetu sote Mungu atawalipia na kuwatia nguvu ktk maisha mapya bila wapendwa wenu Mungu ametoa na Mungu ametwaa jina lake na liimidiwe milele Ameen

  • @tamumumajoka2641
    @tamumumajoka2641 26 วันที่ผ่านมา

    Poleni ndugu na jamaa na marafika walio fikiwa majoz hii😂

  • @AzizaVenansi
    @AzizaVenansi 26 วันที่ผ่านมา

    Duh mungu tunusur

  • @neemamwocha2113
    @neemamwocha2113 27 วันที่ผ่านมา

    Jamani magari ya mbeya tabora ni balaa.watu wanajazwa kwenye gari kama magunia jamani.alafu magari ni mabovu kweli kweli...

  • @ANNAKISIGA-pc5qs
    @ANNAKISIGA-pc5qs 27 วันที่ผ่านมา

    Ajari zikitokea ndo mnajifanya mko siliaz hata mkipigiwa cm hampokei na wala hamji kwneye tukio kwa wakat unakuta trafick wanakula na madereva siku moja mimi nilitoa taarifa ya gar la sumry linaloenda mwanza lakin hakuna msaada nilioupata gari likaondoka hivyo hivyo bovu njia nzima linazima baada ya kufika singida tukatoka std ya mabas mkabala na sher ya lek oili likawwka moto abiri tukatoka ndipo tulipo pata msaada haya mnayasababisha nyie maporis msituchoshe

  • @MariamDeus-u8e
    @MariamDeus-u8e 27 วันที่ผ่านมา

    Polen

  • @JULIANADOMMY
    @JULIANADOMMY 27 วันที่ผ่านมา

    Sio hivyo tu waweke na traffic barabara ya kutoka mbeya kuja Tabora watu wanajazwa sana kwenye bus af makondakta na madereva hata hawajari kabsa yan kiukweli inasikitisha

  • @joycmsokile9220
    @joycmsokile9220 27 วันที่ผ่านมา

    Viongozi hatuko makini hasa traffic police,

  • @joycmsokile9220
    @joycmsokile9220 27 วันที่ผ่านมา

    Serikali iwe makini, mfano njia hii ya Tabora Haina vituo vingi vya kukagua mabasi, ndio maana unakuta dereva anaendesha gari anavyotaka yeye,pili mabasi haya yanajaza watu kupita kiwango.

  • @joycmsokile9220
    @joycmsokile9220 27 วันที่ผ่านมา

    Inauma Sana poleni nyote

  • @aboudasilver6541
    @aboudasilver6541 27 วันที่ผ่านมา

    Mbona huzungumzii kuhusu ufungaji mikanda

  • @LambatyMbalamwezi
    @LambatyMbalamwezi 27 วันที่ผ่านมา

    Sio mwendo tu Ata abilia wanajazwa kama magunia Ata Gali inakosa baransi jitahidini kuangalia balabala inayo toka chunya tabora mjionee

    • @JULIANADOMMY
      @JULIANADOMMY 27 วันที่ผ่านมา

      Kumbe umeona waweke traffic barabara ya chunya yan ni balaa kwa sababu wanawajaza sana watu kwenye bus mnaambiwa tu meridian nyuma inasikitisha

  • @EmmyFesto
    @EmmyFesto 27 วันที่ผ่านมา

    hadi yawakute ndiio muamke haya pole saaana dc

  • @nadiatanzania
    @nadiatanzania 27 วันที่ผ่านมา

    Jaman kabila tuanze safar tuombe tuombe shetan amefunguwa mdomo kumeza watu wa Mungu 😢😢

  • @MashanaMhoni-v6x
    @MashanaMhoni-v6x 27 วันที่ผ่านมา

    Poreni sanawanandugu madureva punguzeni mwend

  • @ARONPaul-bz3ws
    @ARONPaul-bz3ws 27 วันที่ผ่านมา

    Kumbeee wamezimaaa kizibitiii mwendoooo doooo boss kaenda na maji

  • @aishadaba7045
    @aishadaba7045 27 วันที่ผ่านมา

    Innalillahi wainna ilayhi rajioun jamian poleni ndugu kwa msiba Allah Tabaraqa Wata'Alla Awatie nguvu na Awajaze subra wafiwa wakti huu wa huzni 😭😭😭

  • @SHABANIMATONGO
    @SHABANIMATONGO 27 วันที่ผ่านมา

    Innalli llah wa innalillah rajuunny 🙏🙏🙏🙆

  • @vasccomasoko-xm6ld
    @vasccomasoko-xm6ld 27 วันที่ผ่านมา

    😢😢😢 dah Mungu atusaidie

  • @msafiriomary893
    @msafiriomary893 27 วันที่ผ่านมา

    Kira kitu uzembe wa dereva mpaka tunawachoka kwani hakunaga sababu zingine katka ajari barabara mvovu uzembe wa dereva

  • @saidsalum423
    @saidsalum423 28 วันที่ผ่านมา

    Barabara ina vipimo vya😅ke uwezi tengeneza barabara ipite gari moja

  • @NowelaRaymond-zq4ys
    @NowelaRaymond-zq4ys 28 วันที่ผ่านมา

    Eewe Baba wa mbinguni tunaomba huruma yako!!