![MIKIKIMIKIKI TV](/img/default-banner.jpg)
- 384
- 86 510
MIKIKIMIKIKI TV
เข้าร่วมเมื่อ 21 พ.ย. 2014
Yoshua Makori Mwanaspoti ni Mwanahabari wa Michezo ambaye anatangaza kwa lugha ya Kiswahili. Kwa sasa anafanya KAZI katika stesheni ya NTVKENYA ya Nation Media Group. Yoshua huandaa taarifa za spoti na kuzisoma Mbashara wakati wa NTV Adhuhuri na NTVJIONI. Kila Ijumaa saa SITA Hadi saa saba mchana yeye huiteka anga anapodundadunda katika kipindi cha NTVSASAMIKIKIMIKIKI. Yoshua Makori Mwanaspoti amewahifanya kazi katika runinga ya kipekee ya Swahili nchini Kenya iitwayo QTV na pia inayomilikiwa na Kampuni ya Nation Media Group. Pia aliwahitangaza mpira pamoja na taarifa za spoti katika Redio ya QFM.
วีดีโอ
Nakuibia Siri ya Kesho Isiyofika. #MunguNiMkuu #IndeBobe
มุมมอง 16หลายเดือนก่อน
Video from Mwanaspoti
Nakuibia Siri ya Kuitunza afya ya akili yako. #MunguNiMkuu #IndeBobe
มุมมอง 19หลายเดือนก่อน
Video from Mwanaspoti
Nakuibia Siri ya Mabadiliko. #MunguNiMkuu #IndeBobe
มุมมอง 14หลายเดือนก่อน
Nakuibia Siri ya Mabadiliko. #MunguNiMkuu #IndeBobe
Nakuibia Siri ya Maisha Storibuku #MunguNiMkuu #IndeBobe
มุมมอง 12หลายเดือนก่อน
Nakuibia Siri ya Maisha Storibuku #MunguNiMkuu #IndeBobe
Nakuibia Siri kuangazia yanayokuhusu #MunguNiMkuu #IndeBobe
มุมมอง 12หลายเดือนก่อน
Nakuibia Siri kuangazia yanayokuhusu #MunguNiMkuu #IndeBobe
Nakuibia Siri ya Mambo ni TOFAUTI na vile unayaona ukiwa nje. #MunguNiMkuu #IndeBobe
มุมมอง 15หลายเดือนก่อน
Nakuibia Siri ya Mambo ni TOFAUTI na vile unayaona ukiwa nje. #MunguNiMkuu #IndeBobe
Nakuibia Siri ya watu waliofanikiwa. #MunguNiMkuu #IndeBobe
มุมมอง 8หลายเดือนก่อน
Nakuibia Siri ya watu waliofanikiwa. #MunguNiMkuu #IndeBobe
Nakuibia Siri ya Nyani na Mamba #IndeBobe #MunguNiMkuu
มุมมอง 16หลายเดือนก่อน
Nakuibia Siri ya Nyani na Mamba #IndeBobe #MunguNiMkuu
Nakuibia Siri ya Kandanda ya Bongo #MunguNiMkuu #IndeBobe
มุมมอง 64หลายเดือนก่อน
Nakuibia Siri ya Kandanda ya Bongo #MunguNiMkuu #IndeBobe
Nakuibia Siri ya Majaribu. #IndeBobe #MunguNiMkuu
มุมมอง 32หลายเดือนก่อน
Nakuibia Siri ya Majaribu. #IndeBobe #MunguNiMkuu
Nakuibia Siri ya Mwanadamu. #MunguNiMkuu #IndeBobe
มุมมอง 72 หลายเดือนก่อน
Nakuibia Siri ya Mwanadamu. #MunguNiMkuu #IndeBobe
Kazi safi kabisaaaa
Ukweli mtupu 🎉
Kazi kuntu kabisa Makori
My all time best football commentator. JoS
Maa Shaa Allah Makori pia Yuko sawa umefata nyayo za Jack Oyoo
❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂❤❤❤Asante xan jack ndo kwnz nakuona kw video Masha'Allah kipaji nyumbn ak
❤❤😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤
But things went against expectations 😂
Kazi safi Makori 😊
Asante Sana
Ukweli kabisaaaa 😊
Kazi safi kabisa 🎉🎉
Kazi murwa Joshua Makori 🙏,,
Asante Sana
Wah 5 views
Enzi hizoo ya radio cassette
Rudi KAZI bana vijana wameshindwa
Safi kabisa .
GSU kali huyo. Kazi mzuri mwanaspoti yoshua
What is the next programme after the news?comment forme I will see it
Kaka Jack Oyo Sylvester , Aliyenifunza kiswahili
Mmmh kali
I was nicknamed Kaka Jos, at Ebusiratsi Elukongo Primary School for reading passages mimicking him. It was such an amazing feeling. Good memories. Like him, I would read the whole passage fully approved by the class and my Swahili teacher, Mrs. Epha Andraza. We shall remember
sulute kaka
Yoshua pana Talanta hapa Tizama mkisii tv Kuza talanta Kijana kamulikwa Hadi na Alikauleni
Nafurahia sana Jack Oyoo Sylvester nimekupoteza sana ,nilitamani nikuone lakini bila mafanikio uko wapi?
I grew up listening to Kaka Jos this one reminds me of my childhood
Kiswahili mfuti
I like this legend
Kumbuka mzangazaji wako maruufu ni Jack oyooo Sylvester 👌😍😍😍😍😍
vipaji mnavyo jamani,,,,MUNGU AWABARIKI NA AZIDI KUWAPA NGUVU NA PUMZI KOCHOKOCHO.
Kaka Jose wanikumbusha ukitanga Kenya vs Cameroon Akitaja Solomon olembe Mac Vivian foe Rigobert song Jeremi njitap Kenya wakiongozwa na Mike okoth John odhiambo barezi Francis onyiso Tom ogweno Tambo Titus mulama yellow man Waaaaaaa ubarikiwe
Daaah nakumbuka enzi zile miaka ya tisini ukitangaza wachezaji maarufu kama kina Henry Motego wa Kenya Breweries.... Daaaah
Daaah na kumbuka .... Na wachezaji kama john othiambo .....
Jack is a gifted guy
Kijana mdogo na shughuli pevu #IpoSiku
Nampenda xana....
Nampenda sana
Yoshua si ulikuanga NTV?...Ulitoka mbona?
Bado niko ntv
Jack Oyoo silvesta is the Best
Mwalimu wangu was fasihi.at Dr.Aggrey H.bay.
Mzee wa kazi huyo
SAFI KAKA YANGU