- 57
- 9 398 945
Babusa TV
Kenya
เข้าร่วมเมื่อ 4 เม.ย. 2021
BABUSA TV ni chaneli ya watoto iliyo na nyimbo za kuelimisha na kuburudisha. Nyimbo zetu ziko katika lugha ya Kiswahili na Kiingereza. Mwanzilishi wa chaneli Hii ni Dkt. Hamisi Babusa ambaye ni mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Kenyatta, Nairobi Kenya
Nyimbo za Kiswahili BABUSA TV th-cam.com/play/PLBBEH6nvGCxYwIosx4-zZIxjJvj7ajsfe.html
Nyimbo za Kiingereza BABUSA KIDS th-cam.com/play/PLBBEH6nvGCxa1wNUdRaG_A_jhs6MAXXUD.html
Ukitaka kuwasiliana nasi tuma ujumbe wa arafa au WhatsApp kwa +254728010459 au kwa babusakids@gmail.com
Babusa TV is a kids channel that educates and entertain kids through English and Kiswahili Songs.
English Songs BABUSA KIDS th-cam.com/play/PLBBEH6nvGCxa1wNUdRaG_A_jhs6MAXXUD.html
Kiswahili songs BABUSA TV th-cam.com/play/PLBBEH6nvGCxYwIosx4-zZIxjJvj7ajsfe.html
You can contact us on SMS or WhatsApp +254728010459 or email babusakids@gmail.com
Facebook: hobabusa/

WIMBO WA BENDERA YETU
Huu ni wimbo wa kizalendo unaofundisha watoto maana za rangi za bendera ya Kenya. Wimbo huu pia unawafunza watoto kuipenda bendera na nchi yao na kuwa tayari kuipigania wakati wowote. Ukitaka kuutazama wimbo huu kwa lugha ya Kiingereza THE SONG OF OUR FLAG th-cam.com/video/gFA0tB5evGc/w-d-xo.html
มุมมอง: 11 650
วีดีโอ
NGOMA ZA KITAMADUNI ZA KENYA
มุมมอง 9Kหลายเดือนก่อน
Hii ni video fupi kutokana na WIMBO WA JAMII ZA KENYA. Hii video inaoyesha ngoma za kitamaduni za jamii mbalimbali nchini Kenya. Ni wimbo wa mzuri ambao mwalimu anaweza kutumia kufundishia wanafunzi wake kuhusu ngoma za kitamaduni za Kenya. Ukitaka kuutazama kwa lugha ya Kiingereza TRADITIONAL DANCES OF KENYA bofya th-cam.com/video/R-hZ16EZ88A/w-d-xo.htmlfeature=shared
TRADITIONAL DANCES OF KENYA
มุมมอง 6Kหลายเดือนก่อน
This is an abridged video of SONG OF THE COMMUNITIES OF KENYA shortened because of the smaller kids who will learn about the different traditional dances from regions of Kenya. If you want to watch this song in Kiswahili NGOMA ZA KITAMADUNI ZA KENYA click th-cam.com/video/0pcLiPrLruo/w-d-xo.htmlfeature=shared
TRAILER WIMBO WA BENDERA YETU
มุมมอง 600หลายเดือนก่อน
hii ni tela ya WIMBO WA BENDERA YETU ambao utapachikwa hapa siku ya Jumamosi, tarehe 26 Oktoba 2024.
THE SONG OF OUR FLAG @babusatv
มุมมอง 21K2 หลายเดือนก่อน
The Song Of Our Flag teaches kids about the flag of Kenya and the meaning of its colours. It is a good patriotic song for kids. It teaches them to love their country, their flag and be ready to defend it. The Kiswahilj Version of this song WIMBO WA BENDETA YETU th-cam.com/video/o7JSEW5gN2Y/w-d-xo.htmlfeature=shared
OFFICIAL TRAILER OF THE SONG OF OUR FLAG
มุมมอง 2.6K2 หลายเดือนก่อน
This is the trailer of THE SONG OF OUR FLAG which will premier on Tuesday 1st October 2024 at 10:00 Hours (EAT)
Behind the scene recording of THE SONG OF OUR FLAG
มุมมอง 2.3K2 หลายเดือนก่อน
BABUSA KIDS having fun and dancing after successfully recording THE SONG OF OUR FLAG video which will premier on Tuesday 1st October 2024 at 10:00 HOURS (EAT)
TRAILER of THE SONG OF OUR FLAG coming soon ....
มุมมอง 8222 หลายเดือนก่อน
TRAILER of THE SONG OF OUR FLAG coming soon ....
TUCHEZE PAMOJA @babusatv
มุมมอง 155K3 หลายเดือนก่อน
Huu ni wimbo ambao watoto watacheza na kujifurahisha kwa mitindo ya watoto. Ni wimbo ambao umechanganya mitindo 16 ya kucheza ya watoto ambayo itawatoa kijasho na kufanya viungo vyao viwe na nguvu. pia watu wazima wanaweza kutumia huu wimbo kufanya mazoezi ya viungo vya mwili
SONG OF THE COMMUNITIES OF KENYA the English version of WIMBO WA JAMII ZA KENYA
มุมมอง 36K6 หลายเดือนก่อน
This is the English version of WIMBO WA JAMII ZA KENYA. It is a fast danceable song with African Beats showcasing the diversity of Kenyan Communities and their traditional dances. It is about a group of kids coming from different communities of Kenya singing and being proud of their communities, where they live, their foods and also their traditional dances. it is a song that celebrates the div...
WIMBO WA JAMII ZA KENYA the Kiswahili version of SONG OF THE COMMUNITIES OF KENYA
มุมมอง 182K6 หลายเดือนก่อน
WIMBO WA JAMII ZA KENYA ni wimbo ambao watoto wa kutoka jamii mbalimbali nchini Kenya wanaimba na kila mtoto anajivunia jamii yake, kule alikotoka, chakula wanachokipenda na pia kuwafunza wenzake jinsi ya kucheza ngoma zao za kitamaduni. Ni wimbo unaowafunza watoto kuhusu jamii mbalimbali nchini Kenya, mambo yanayovutia katika sehemu wanazoishi, vyakula na ngoma za kitamaduni za jamii hizo. Kat...
I CAN HEAR MY MOTHER'S VOICE (The English Version of NASIKIA SAUTI YA MAMA)
มุมมอง 19K7 หลายเดือนก่อน
This is a song that is sang by kids when they are being picked by their parents from school at noon when schooling is over. If you want to watch the Kiswahili Version of this song NASIKIA SAUTI YA MAMA click this link th-cam.com/video/NjyyzElR16E/w-d-xo.htmlsi=vQM5BCNPH1qfrwKw
BUZZ BUZZ BEE (ENGLISH VERSION OF MAUA MAZURI YAPENDEZA)
มุมมอง 57K8 หลายเดือนก่อน
BUZZ BUZZ BEE (ENGLISH VERSION OF MAUA MAZURI YAPENDEZA)
GUSA GUSA KICHWA CHAKO @babusakids @babusatv
มุมมอง 103K9 หลายเดือนก่อน
GUSA GUSA KICHWA CHAKO @babusakids @babusatv
WIMBO WA FAMILIA WA KUCHEKA @babusakids @babusatv #children #childrenrhymessongs
มุมมอง 57K11 หลายเดือนก่อน
WIMBO WA FAMILIA WA KUCHEKA @babusakids @babusatv #children #childrenrhymessongs
WIMBO WA FISI MCHOYO SONG OF THE GREEDY HYENA @babusatv
มุมมอง 248Kปีที่แล้ว
WIMBO WA FISI MCHOYO SONG OF THE GREEDY HYENA @babusatv
WIMBO WA SIKU ZA JUMA SONG OF THE DAYS OF THE WEEK
มุมมอง 30Kปีที่แล้ว
WIMBO WA SIKU ZA JUMA SONG OF THE DAYS OF THE WEEK
WIMBO WA HAKI ZA WATOTO, SONG ON THE RIGHTS OF CHILDREN #africancartoons #childrenrhymessongs
มุมมอง 62Kปีที่แล้ว
WIMBO WA HAKI ZA WATOTO, SONG ON THE RIGHTS OF CHILDREN #africancartoons #childrenrhymessongs
NGOMA YA WATOTO (WIMBO WA SEHEMU ZA MWILI, WIMBO WA SIKU ZA JUMA na WIMBO WA KUHESABU) @babusatv
มุมมอง 218Kปีที่แล้ว
NGOMA YA WATOTO (WIMBO WA SEHEMU ZA MWILI, WIMBO WA SIKU ZA JUMA na WIMBO WA KUHESABU) @babusatv
WIMBO WA KUJITAMBULISHA @babusatv #childrenrhymessongs #africancartoons
มุมมอง 1.4Mปีที่แล้ว
WIMBO WA KUJITAMBULISHA @babusatv #childrenrhymessongs #africancartoons
WIMBO WA SEHEMU ZA SIRI @babusatv #africancartoons #childrenrhymessongs
มุมมอง 265Kปีที่แล้ว
WIMBO WA SEHEMU ZA SIRI @babusatv #africancartoons #childrenrhymessongs
NGONGONGO @babusatv #africancartoons #childrenrhymessongs
มุมมอง 80Kปีที่แล้ว
NGONGONGO @babusatv #africancartoons #childrenrhymessongs
WIMBO WA CHAKULA BORA; MAMA NIPE LISHE BORA @babusatv #nyimbozawatoto #africancartoons
มุมมอง 32Kปีที่แล้ว
WIMBO WA CHAKULA BORA; MAMA NIPE LISHE BORA @babusatv #nyimbozawatoto #africancartoons
WIMBO WA USALAMA WA WATOTO; Unafanya nini mtoto wee? @babusatv #nyimbozawatoto
มุมมอง 287Kปีที่แล้ว
WIMBO WA USALAMA WA WATOTO; Unafanya nini mtoto wee? @babusatv #nyimbozawatoto