Kapagi TV
Kapagi TV
  • 126
  • 59 075

วีดีโอ

VITA VYA LEBANONI NA GAZA NI UNABII WA SIKU ZA MWISHO UNATIMIA
มุมมอง 63816 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Katika video hii, tutachunguza jinsi vita vya Lebanon na Gaza vinavyolingana na unabii wa siku za mwisho unatimizwa. Tutajadili jinsi vita hivi vinavyoathiri eneo hilo na kujua ni kwa nini ni muhimu kwa kila mtu kuzingatia.
WATAMBUE MALAIKA WANAOIPIGANIA VITA ISRAEL
มุมมอง 54814 วันที่ผ่านมา
Jifunze juu ya nguvu ya unabii ambayo inaweza kubadilisha maisha yako leo! Watambue malaika wanaoipigania vita Israel na jinsi wanavyoathiri maisha yetu leo.
CHAPA 666 IPO TAYARI SASA NA WATU WATAIPOKEA KIURAHISI PASIPOKUJUA MADHARA YAKE
มุมมอง 73521 วันที่ผ่านมา
Katika video hii, tunajadili kuhusu Chapa 666, bidhaa mpya ambayo tayari ipo sokoni. Ingawa watu wanapokea bidhaa hii kwa urahisi, ni muhimu kuelewa madhara yake yanayoweza kutokea. Tunakuletea maelezo ya kina kuhusu matumizi ya Chapa 666 na hatari zinazohusiana nayo. Je, umewahi kujiuliza ni nini kinatokea mwilini mwako unapoitumia? Tafadhali angalia video hii ili kupata ufahamu zaidi na kuwa ...
MALAIKA WA SITA AMEKWISHA KUMIMINA KITASA JUU YA DUNIA
มุมมอง 1.6K28 วันที่ผ่านมา
MALAIKA WA SITA AMEKWISHA KUMIMINA KITASA JUU YA DUNIA
UTAKASO WA NAFSI ZILIZOTIWA UNAJISI NA JINI MAHABA
มุมมอง 219หลายเดือนก่อน
UTAKASO WA NAFSI ZILIZOTIWA UNAJISI NA JINI MAHABA
USHUHUDA - UNYAKUO NA JEHANAMU YA MOTO
มุมมอง 489หลายเดือนก่อน
USHUHUDA - UNYAKUO NA JEHANAMU YA MOTO
BUBUJIKO LA MACHOZI
มุมมอง 87หลายเดือนก่อน
BUBUJIKO LA MACHOZI
JIANDAE NA SAFARI YA KWENDA MBINGUNI
มุมมอง 1292 หลายเดือนก่อน
JIANDAE NA SAFARI YA KWENDA MBINGUNI
FARASI MWEUPE YEYE ALIYEMPANDA ANA UTA
มุมมอง 3162 หลายเดือนก่อน
FARASI MWEUPE YEYE ALIYEMPANDA ANA UTA
NDOA ZA KIPINDI CHA NUHU NA WAKATI ULE WA SODOMA
มุมมอง 1293 หลายเดือนก่อน
NDOA ZA KIPINDI CHA NUHU NA WAKATI ULE WA SODOMA
WANAWALI WATANO WAPUMBAVU NA WATANO WENYE BUSARA
มุมมอง 1493 หลายเดือนก่อน
WANAWALI WATANO WAPUMBAVU NA WATANO WENYE BUSARA
TAZAMA WINGU KUBWA LA WANADAMU WALIOPANDA FARASI WAKIJA PAMOJA NA BWANA YESU
มุมมอง 1673 หลายเดือนก่อน
TAZAMA WINGU KUBWA LA WANADAMU WALIOPANDA FARASI WAKIJA PAMOJA NA BWANA YESU
MIAKA 40 JANGWANI YATOSHA SASA TUNAINGIA KAANANI
มุมมอง 1594 หลายเดือนก่อน
MIAKA 40 JANGWANI YATOSHA SASA TUNAINGIA KAANANI
BUSTANI YA EDENI IPO KATIKA NCHI GANI?
มุมมอง 1.5K4 หลายเดือนก่อน
BUSTANI YA EDENI IPO KATIKA NCHI GANI?
KUFUNULIWA WAZI KWA SIKU YA KUNYAKULIWA KWA KANISA
มุมมอง 3164 หลายเดือนก่อน
KUFUNULIWA WAZI KWA SIKU YA KUNYAKULIWA KWA KANISA
KIZAZI HIKI HAKITAPITA HATA HAYA YOTE YATIMIE
มุมมอง 2294 หลายเดือนก่อน
KIZAZI HIKI HAKITAPITA HATA HAYA YOTE YATIMIE
HASARA YA MWANAMKE KUITAWALA NDOA YAKE
มุมมอง 1704 หลายเดือนก่อน
HASARA YA MWANAMKE KUITAWALA NDOA YAKE
KWA NINI DAUDI ALIKATA KICHWA CHA GOLIATH WA GATH
มุมมอง 1265 หลายเดือนก่อน
KWA NINI DAUDI ALIKATA KICHWA CHA GOLIATH WA GATH
NJOONI TUINGIE NDANI YA SAFINA YA NUHU
มุมมอง 1075 หลายเดือนก่อน
NJOONI TUINGIE NDANI YA SAFINA YA NUHU
UNABII WA MTO FLATI KUKAUKA UMETIMIA
มุมมอง 24K5 หลายเดือนก่อน
UNABII WA MTO FLATI KUKAUKA UMETIMIA
DAMU YA YESU NI ZAIDI YA BOMU LA NYUKLIA KWA MIZIMU
มุมมอง 4195 หลายเดือนก่อน
DAMU YA YESU NI ZAIDI YA BOMU LA NYUKLIA KWA MIZIMU
MLANGO WANAOUTUMIA MIZIMU KUTUUMIZA NA KUTUTESA
มุมมอง 1096 หลายเดือนก่อน
MLANGO WANAOUTUMIA MIZIMU KUTUUMIZA NA KUTUTESA
BWANA YESU AMESHINDA MAUTI, MIZIMU NA KUZIMU
มุมมอง 1106 หลายเดือนก่อน
BWANA YESU AMESHINDA MAUTI, MIZIMU NA KUZIMU
MASHIMO YA MISUMARI HATA SASA ANAYO
มุมมอง 856 หลายเดือนก่อน
MASHIMO YA MISUMARI HATA SASA ANAYO
MADENI NI KAMA NYOKA ZA MOTO
มุมมอง 1096 หลายเดือนก่อน
MADENI NI KAMA NYOKA ZA MOTO
FEDHA YA KUKOPA HAINA THAMANI PART 5
มุมมอง 176 หลายเดือนก่อน
FEDHA YA KUKOPA HAINA THAMANI PART 5
FEDHA YA KUKOPA HAINA THAMANI PART 4
มุมมอง 126 หลายเดือนก่อน
FEDHA YA KUKOPA HAINA THAMANI PART 4
FEDHA YA KUKOPA HAINA THAMANI PART 3
มุมมอง 256 หลายเดือนก่อน
FEDHA YA KUKOPA HAINA THAMANI PART 3
FEDHA YA KUKOPA HAINA THAMANI PART 2
มุมมอง 126 หลายเดือนก่อน
FEDHA YA KUKOPA HAINA THAMANI PART 2

ความคิดเห็น

  • @NyanyaMbuli
    @NyanyaMbuli วันที่ผ่านมา

    Kwahiyo Yessu akiondoka kwetu sisi WAKIRISTO tunakuja na nani?

    • @jekoniarubeni4609
      @jekoniarubeni4609 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Yesu hata shuka duniani kabisa unyakuo utakuwa tayar wateule wameondoka na kurudi tena miaka mitatu na nusu baada ya karamu ya mwanakondoo itayofanyika mawinguni

  • @Eliasikyejo
    @Eliasikyejo วันที่ผ่านมา

    Mungu akubariki mtumishi wa mungu nipo kasumbaresa Zambia.

  • @SamweliFundimtega
    @SamweliFundimtega วันที่ผ่านมา

    Shida ni kwamba hujui ninimaana ya isirael na isirael nian

  • @jegelusinge2976
    @jegelusinge2976 2 วันที่ผ่านมา

    Yesu anakuja kulichukua kanisa na kila mtu atamwona akishuka kwa hiyo ujio wa Yesu mara ya pili siyo siri tena (unyakuo), wanadamu wote watakaobaki watakuwa wamekufa wote kipindi hicho shetani hatakuwa na mtu wa kumdanganya Ufunuo 20:1 - hicho ndicho kifungo cha shetani miaka elfu moja.

  • @Martindavid-g5x
    @Martindavid-g5x 3 วันที่ผ่านมา

    Mungu isaidie Israel

  • @RahabWanjiru-e6d
    @RahabWanjiru-e6d 3 วันที่ผ่านมา

    Amina

  • @EzekiaMyila-u1d
    @EzekiaMyila-u1d 4 วันที่ผ่านมา

    Watu mnataka kusikia dunia ya uongo ukweli hamtaki acheni Nemo la mungu lihubiliwe waisilam hawataki kusikia neno

  • @PeterMahona-zd3oz
    @PeterMahona-zd3oz 5 วันที่ผ่านมา

    Yesu nisaidie na dunia

  • @fredrickvenance6933
    @fredrickvenance6933 5 วันที่ผ่านมา

    Kwamba mto ukauke ndio mataifa yavuke?? Really?? Kuna drones...ona, walivyomuua yule kiongozi wa Hamas Iran walivukaje? Basi assume ni too physical, wanashindwa kujenga madaraja? Mbona kuna treni ndani ya bahari? Acheni theories. Pia nchi kupigana ni kawaida sana, haya mambo yapo toka mataifa yameanza kuwepo. Matetemeko ni tabia nchi....jamani turudi darasani. Najisikia hadi aibu.

    • @thomasmanyama326
      @thomasmanyama326 3 วันที่ผ่านมา

      haya mambo yako juu ya darasa lako bro

  • @fredrickvenance6933
    @fredrickvenance6933 5 วันที่ผ่านมา

    Na kwanza mchungaji unachohubiri pia ni kama hujasoma biblia aisee. Mbona hata kama ni unabii uko wazi? Kwanza issues za unyakuo unahubiri nadharia na pia fixions za kwenye kitabu kinachoitwa "The Keys of This Blood". Hakuna ukombozi wowote baada ya Yesu kurudi. Kasome biblia vizuri kisha uje upya. Mto kukauka ni mabadiliko ya kimazingira. Mfano bwawa la Kariba Zambia limekauka. Napo kuna unabii? Mnatakiwa mkasome aisee...

  • @fredrickvenance6933
    @fredrickvenance6933 5 วันที่ผ่านมา

    Me sielewi mnawapinga watu wenye historia yao na manabii wao. Wanayasoma sana maandiko yao ila nyie mnataka kuwageuza mazuzu. Nawaambieni, mnahubiri theories tu na tulipaswa tuwaige, wao wanatoa kafara kwa Mungu wao ila nyie Waafrika mkiambiwa kutoa kafara mnasema ni uchawi. Ndio maana hatuendelei

    • @jekoniarubeni4609
      @jekoniarubeni4609 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Unaelewa maana ya sadaka lakini? Au unaongea unavyowaza wew okoka tu nakushauli isije siku mbaya zaidi kwako soma biblia MATHAYO 24;1-56 YESU MWENYEWE ANASEMA

  • @eliakazilo6078
    @eliakazilo6078 5 วันที่ผ่านมา

    Sio vizuri kusema hovyooo. Wewe Kama unaona maka ndiio mji mtakatifu..Basi ujue na huo una uchafu mwingi..Tena pale ndio kimbilio la mashetani. Na maka na Madina ndio kambi yapo.watu wanajua mengi,Lakini kwA heshima wanamezea,hawamtaki kuyamwaga..kaa na dini yako na Imani yakooo. Acha tabia hiyoo

    • @PeterMahona-zd3oz
      @PeterMahona-zd3oz 5 วันที่ผ่านมา

      Hujamwelewa nimji uliyo wagano siyo kwamba wenyedhambi hawapo mambo yamungu niyakilosana. bila kuwa namacho yakiloho huwezikuwelewa pia huwa ineema hadi usome neno uombe ufunge lohomtakatifu akunulie huyo wanadamu wasiyo mjua wengine unamkufu wengine.wanaiga vitu kamahivyo

  • @mbulabalenzi3790
    @mbulabalenzi3790 5 วันที่ผ่านมา

    Yesu tusaidie dhiki hii isitukute.Hongera mtumishi

  • @RiahsDaughter
    @RiahsDaughter 6 วันที่ผ่านมา

    Aminaa

  • @NancyTemu
    @NancyTemu 6 วันที่ผ่านมา

    Bora ufunge kinywa chako ,usije ukamkosea Mungu,maana adhabu ya kumkufuru Mungu unaijua

  • @MosesSteven-t7k
    @MosesSteven-t7k 6 วันที่ผ่านมา

    Mungu akubark mtumish mm nafwatilia mahubil yako

  • @Gide-dq3wq
    @Gide-dq3wq 7 วันที่ผ่านมา

    Haya ayana bud kutokea

  • @reachglobal9939
    @reachglobal9939 7 วันที่ผ่านมา

    Amina somo zuri funzo zuri mwenye maskio na askie Moto upo na Mbinguni kwetu kupo

  • @mgishafuraha
    @mgishafuraha 7 วันที่ผ่านมา

    Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu hakika najifunza kila siku

  • @GeofreyKihupi
    @GeofreyKihupi 8 วันที่ผ่านมา

    najiskia muhito wa ki Mungu ninapo sikia mahubiri haya

  • @JimmyKimaro-z6b
    @JimmyKimaro-z6b 8 วันที่ผ่านมา

    Amina mtumishi nakuona move niliangalia yakikorea wanawekewa chip inaitwa cycle

  • @nanguniMtaita-hz4zt
    @nanguniMtaita-hz4zt 8 วันที่ผ่านมา

    Muhubiri tafadhali ACHA kuropoka mambo usiyoyajua alafu utuaminishe utulishe uwongo wako. Utapotea mwenyewe. Sivyo unabii wa Yohana unachimaanisha. Hayo ni mawazo na ujinga wako.

  • @japhetmasai9954
    @japhetmasai9954 9 วันที่ผ่านมา

    🙏 amen 🙏 amen 🙏 mungu akubariki mtumishi

    • @japhetmasai9954
      @japhetmasai9954 9 วันที่ผ่านมา

      Mungu akubariki sana mtumishi wa mungu amen 🙏

    • @japhetmasai9954
      @japhetmasai9954 9 วันที่ผ่านมา

      Amen 🙏

  • @jeanefelix70
    @jeanefelix70 12 วันที่ผ่านมา

    Huongo mtupu, acha ni kupime na maandiko matakatifu ya Mungu, neno linasema wafu wako makaburini awajuwi neno lolote watakatifu na waovu wote wamelala makaburini, ayo ni mafundisho ya shetani.

  • @venancemwanya4212
    @venancemwanya4212 12 วันที่ผ่านมา

    Mbona hata hapo saud kuna mashoga?

  • @JohnSiyame-r5n
    @JohnSiyame-r5n 12 วันที่ผ่านมา

    Hayo ni mapokeo tu

  • @RahabWanjiru-e6d
    @RahabWanjiru-e6d 14 วันที่ผ่านมา

    Muchungaji na shukuru mungu kwajili yako

    • @isayakapagi4259
      @isayakapagi4259 14 วันที่ผ่านมา

      Karibu kwa kumjengea Mungu kwa sadaka yako

  • @magdalenawerema1658
    @magdalenawerema1658 14 วันที่ผ่านมา

    Amina Amina Amina

  • @Mwesige-s8q
    @Mwesige-s8q 14 วันที่ผ่านมา

    Asante sana mtumishi wa Bwana 🙏🙏🙏

  • @EllySteven-l1j
    @EllySteven-l1j 20 วันที่ผ่านมา

    Haya mafundisho ya hawa wahubili wanamafundisho tofauti sana ukimskiliza mwingine atakufundisha hivi mwingine atakufundisha vile saa nyingine unashindwa umwamini yupi na umwache yupi na wote wanatumia biblia saa sijui ni kwa sababu ya vyuo vingi vya biblia akina gamanywa nao Wana mafundisho Yao kuhusu haya mambo

    • @isayakapagi4259
      @isayakapagi4259 20 วันที่ผ่านมา

      Mwambie Rohomtakatifu nielekeze kweli yote, atakufundisha, kwani ni eneogani hujalielewa?

  • @JoshuaGabriel-f7v
    @JoshuaGabriel-f7v 21 วันที่ผ่านมา

    Asante saana mtumishi nimebalikiwa saana mungu akubariki sana

    • @isayakapagi4259
      @isayakapagi4259 21 วันที่ผ่านมา

      Amina mtu wa Mungu hongela kwa kusikiliza naomba shere na wengine, amina

  • @sophiamwanjabala3096
    @sophiamwanjabala3096 22 วันที่ผ่านมา

    Asante Baba kwa habari njema iokoayo na ya ukombozi.

  • @magnifiquekwizera5616
    @magnifiquekwizera5616 22 วันที่ผ่านมา

    Barikwa sana

  • @PaulLuziga-bn1zv
    @PaulLuziga-bn1zv 22 วันที่ผ่านมา

    Nyakati za Yesu kutunyakua sasa

  • @magnifiquekwizera5616
    @magnifiquekwizera5616 23 วันที่ผ่านมา

    Asante sana mtumishi wa MUNGU

  • @magnifiquekwizera5616
    @magnifiquekwizera5616 23 วันที่ผ่านมา

    Mtumishi wa MUNGU barikiwa sana, mimi ni Murundi naishi Bujumbura napenda sana mafundisho unayotufunza kupitia neno la MUNGU Barikiwa sana

  • @markleonardo8634
    @markleonardo8634 25 วันที่ผ่านมา

    Au Baba Askofu Kakobe

  • @RachelBriervanity1
    @RachelBriervanity1 26 วันที่ผ่านมา

    Amen Amen

  • @ryobanchagwa2499
    @ryobanchagwa2499 26 วันที่ผ่านมา

    Nitumia namba zako

  • @sarahmeshack3842
    @sarahmeshack3842 26 วันที่ผ่านมา

    Amina tujiandae

  • @HappyPaul-nj9ri
    @HappyPaul-nj9ri 26 วันที่ผ่านมา

    Hubiri mapambo pia siyo manabii na mitume waongo tu hubirini ukweli kuhusu machukizo nyie wachungaji mtakosa mbingu kwasababu hamuwaambii watu wa Mungu ukweli

  • @HappyPaul-nj9ri
    @HappyPaul-nj9ri 26 วันที่ผ่านมา

    Siyo wote manabii namitume wa waongo wapo wa kweli ,hata wapo wachungaji wa waongo sana achene kukosoa huduma ya Mungu usijumuishe wote

    • @nanguniMtaita-hz4zt
      @nanguniMtaita-hz4zt 8 วันที่ผ่านมา

      Huyu anahubiri utumbo. Hana Cha unabii wa kweli. Kaoteshwa na njozi za shibe ya kula makande.

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 5 วันที่ผ่านมา

      Siyo wote na Hakuna Manabii na Mitume kwa sasa Nikiwasikia Tu siamini ,sikulelewa kwenye manabii na mitume mimi

  • @MsangoDiesel
    @MsangoDiesel 26 วันที่ผ่านมา

    Watu wachache ndio wanaongoza dunia wanavyo taka kutengeneza magonjwa,mbegu za GMO,kuvuluga ndoa,kupoteza maadili na kubadilisha tamaduni zetu

  • @franksoah6405
    @franksoah6405 26 วันที่ผ่านมา

    naomba kuuliza, je? huo mto toka umekauka mpaka saivi una muda gani toka umekauka?

    • @isayakapagi4259
      @isayakapagi4259 14 วันที่ผ่านมา

      Samahani kwa kutokujibu, mto Frati umekauka tangu mwaka 2022

  • @NuruNyanginywa
    @NuruNyanginywa 27 วันที่ผ่านมา

    Soma maandiko vizuri uelewe Mungu akisema amesema hiyo ni nchi takatifu itabaki hivyo

  • @KoomeNzima-e2v
    @KoomeNzima-e2v 27 วันที่ผ่านมา

    Nipe andiko yakusherekia sikuku ya kusaliwa kwa yesu

  • @sirpleasureb
    @sirpleasureb 27 วันที่ผ่านมา

    1 TIMOTHY 2;8

  • @MussaDaudi-ex3ww
    @MussaDaudi-ex3ww 28 วันที่ผ่านมา

    Mhmm niokoke, nisije kukosa vyote

    • @christinamkongwa3407
      @christinamkongwa3407 26 วันที่ผ่านมา

      Fanya Hivyo Haraka ,Mpe Yesu Maisha Yako Na Uamini Ya Kwamba Ni Bwana Na Mwokozi Wa Maisha yako

  • @JonasaniBulegea
    @JonasaniBulegea หลายเดือนก่อน

    Mtumishi nipo kigoma kibondo nimekuelewa najisikia kunyanyuliwa kiroho kabisa

    • @JonasaniBulegea
      @JonasaniBulegea หลายเดือนก่อน

      Naitwa Damian Raphael ubarikiwe mtumishi nakusikiliza saaana baba

  • @MosesSteven-t7k
    @MosesSteven-t7k หลายเดือนก่อน

    Asante sana mtumishi umesema nami na hili nineno kutoka kwa mungu kutukumbushaa hakika tupo mwishoni mm na nyumba yangu tumepokea hayaa na tupo tayali

    • @isayakapagi4259
      @isayakapagi4259 หลายเดือนก่อน

      Hongela sana tuendelee kujitakasa roho zetu, Yesu siku chache sana Yesu kristo anakuja kulinyakua kanisa hapa duniani siyo kwetu kwetu ni kule juu mbinguni kazana kusikiliza masomo haya na jiweke tayari