- 19
- 952 735
umma bora خير امة
Kenya
เข้าร่วมเมื่อ 5 เม.ย. 2017
umma bora ndio sisi ummat MUHAMMAD (S.A.W) TUNAKATAZANA MAOVU NA KUAMRISHANA MEMA. Tuna jaribu kupitisha ujumbe na kueleimishana kwa kutumia filamu fupi fupi. Kulingana na zama hizi za leo movie chafu zimejaa mitandaoni, tukaonelea tutengeze movie zenye maadili ya kiislamu ili kuelimisha watu. Tunajitahidi sana na pale tunapokosea tunamuimba Allah atusamehe. Tunatarajia kuwa munapendelea kazi zetu sana. Shukraaaan kwa wote munatusupport katika kazi zetu hizi.
Musisahau ku subscribe share na ku like kwani hizi ndio zinatufanya sisi tuwe na bidii zaidi kufanya kazi Tena na Tena..
Wasalam aleikum warahmatullah wabarakaatuh
Musisahau ku subscribe share na ku like kwani hizi ndio zinatufanya sisi tuwe na bidii zaidi kufanya kazi Tena na Tena..
Wasalam aleikum warahmatullah wabarakaatuh
+18. WASIA KWA BWANAHURUSI. SHK. MUHAMMAD YUNUS
+18. WASIA KWA BWANAHURUSI. SHK. MUHAMMAD YUNUS
มุมมอง: 138
วีดีโอ
SUBRA YA MTUME MUHAMMAD (S.A.W) Shk. RISHARD RAJAB
มุมมอง 141ปีที่แล้ว
SUBRA YA MTUME MUHAMMAD (S.A.W) Shk. RISHARD RAJAB
WASIA KWA BWANA HARUSI... SHEIKH BISMET
มุมมอง 8082 ปีที่แล้ว
WASIA KWA BWANA HARUSI... SHEIKH BISMET
Inauma nasheed afaizu luheta
มุมมอง 330K3 ปีที่แล้ว
nasheed ya afaizu luheta ... inauma. #inauna hii ni nasheed nzuri sana kutoka kwa ndugu yetu #afaizu #luheta
kisa.. kutawakal kwa Allah
มุมมอง 1.2K3 ปีที่แล้ว
hizi ni filamu fupi sana za kiswahili zilizobeba mafundisho mengi sana, tunajarubu sana kutangaza dini kwa kutumia nacting ama kwa kutumia uigizaji fulani ili kufikisha ujumbe. alhamdulillah tuanajaribu kadri tunavyoeza, na mahali tunapokosea Allah atausamehe. tunatarajia munapenda sana kazi zetu, shukraan sana
kisa DUNIA HADAA. islamic short movie with english subtittles
มุมมอง 2.5K3 ปีที่แล้ว
assalam aleikum warahmatullah wabaeakaatuh.. hii ni movie fupi ya kuonesha ubaya wa marafiki waovu na uovu wa kufanya shirki... movie hii umebeba mafunzo makubwa sana na kuonesha hatima ya mtu anapochagua marafiki wabaya ambao hawamuogipi Allah. kulingana na hii movie khalid angekua amepata rafiki mzuri na kumshauri mema asingepata maafa yote yaliomkuta. lakini rafiki yake mbaya ndio alimtumbuk...
kisa..Umuhimu wa kusamehe.... short islamic movie
มุมมอง 1.3K3 ปีที่แล้ว
hii ni movie fupi sana ya kuonesha umuhimu wa kusamehe na thawabu zake. kwani Allah (S.W.A) anamlipa pepo mwenye kuzuia hasira na mwenye kusamehe...وَسَارِعُوا إِلَىٰ مَغْفِرَةٍ مِنْ رَبِّكُمْ وَجَنَّةٍ عَرْضُهَا السَّمَاوَاتُ وَالْأَرْضُ أُعِدَّتْ لِلْمُتَّقِينَ ١٣٣ Na yakimbilieni maghfira ya Mola wenu Mlezi, na Pepo ambayo upana wake ni mbingu na ardhi, iliyo wekwa tayari kwa wachamngu, الّ...
kisa.. HUSNUL KHATIMAH. mwisho mwema islamic short movie, with english subtittles
มุมมอง 8753 ปีที่แล้ว
hii ni movie fupi kutuonesha husnul khatima, tusichoke kufanya ibada wala tusione uvivu wa kufanya ibada huenda ikawa mwisho wetu wa kuondoka wka hii dunia tukapata husnul khatima. Allah atuujaalie tupate husnul khaatimah. Amin
kisa.. DHULMA . Islamic movie with english subtitles
มุมมอง 4K3 ปีที่แล้ว
movie ya kislamu nzuri sana iliobeba mafunzo mazuri sana kuonesha mwisho wa dhulma. hii movie iko na kisa cha ukweli kiliwahi kutokea. natarajia mutajifunza vitu muhimu sana kuhusu dhulma na mwisho wake. shukraan sana musisahau ku subscribe na ku share.
kisa.. HIKMA movie nzuri yenye mafundisho
มุมมอง 2.6K3 ปีที่แล้ว
islamic short movie... hii ni movie fuoi sana kuhusu kupeana amana na kutumia hikma. muhimu kupeana amana kuwe na shahidi ama kuandikishiana. na inaonesha umuhimu wa kutumia hikma wakati wa kuhukumu baina watu wawili. natarajia mutafurahia movie hii. shukraan jazakumullah kheir...
Nitajibu nini kwa mola wangu
มุมมอง 9633 ปีที่แล้ว
nitajibu nini kwa Mola wangu... hii ni clip fupi sana iliobena mafunzo mengi sana. Allah atuhifadhi ana atuongoze katika njia ya Mitume na Manabii na waja wema. amin
kisa.. RIDHIKA.. islamic short film. movie yenye mafundisho #swahili #movie
มุมมอง 2.3K3 ปีที่แล้ว
ridhika na ulichonacho. kwani Allah amempa rizki kila binadamu. kuna wengine hawana kabisa. na kumbuka namna ulivyofungukiwa na rizki yako jua utaulizwa siku ya qiyama ulipata vipi na vipi ulitumia. hii ni movie fupi sana yenye mafundisho mengi sana. usisahau ku subscribe comment like na kushare. shukraan. #swahili #islamic #movie
kisa. UBAYA WA DHANA. movie yenye mafunzo mengi sana. islamic short film #swahili #movie
มุมมอง 4.4K3 ปีที่แล้ว
kisa. UBAYA WA DHANA. movie yenye mafunzo mengi sana. islamic short film #swahili #movie
Aina 7 za wanawake waovu.. Skh. JUMA AMIR
มุมมอง 14K4 ปีที่แล้ว
Aina 7 za wanawake waovu.. Skh. JUMA AMIR
OTHMAN MAALIM maisha ya ndoa #othmanmaalim #ndoa
มุมมอง 102K4 ปีที่แล้ว
OTHMAN MAALIM maisha ya ndoa #othmanmaalim #ndoa
yan kusema ukweli tuchaguwe marafik wa kuwa nao 😭💔💔💔💔 3:04
Mashallah
Wallahi this mashed made just cry and fell the pain ❤❤❤❤😢
Inauma sana 😭😭😭😭
😂😂😂😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Mashallah❤
😢😢😢
❤
mganga anasijida mmmmmmmmmh
😢😢
Masha allah ❤️🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Jazaaka llahh lkhayr ❤❤❤
Masha Allah
Ilike his voice so much It made me sleep
Ilike his voice so much It made me sleep
may Allah forgive our sins Ameen
No matter Mimi Ni mkrist but kunachakujifunza😢
❤❤❤
1:23
Mashallah hii nashd
Don't worry
❤❤❤❤
Inauma
Mimi nime hofika sana
Mimi nime hofika sana
Hongera kaka unakitu utafika mbali xana
Unauma kwel😮😢
Allah atupe xubiraa😂😂
😢😢😢 duh inauma kwel
Mashallah
Very sweet song kwa kweliiiii❤❤❤❤
Mwenyezimungu tujalie mwisho mwema
Mashalla❤❤
𝐭𝐚𝐦𝐚𝐚 𝐦𝐛𝐞𝐥𝐞
Mashallah mung akulip ujir mwem shekh wet ,🤲 tunamuomb Allah akuepush na macho y hasid waso pend kuelimish waislam🤲 ,, man so wat wot wanaopend,, lkn sis waislam tunajivunia sn shekh wet Allah akujaalie kila la kher katik ndoa yako na uwendelee kutupa darsa na sisi mung akitujaaliy kuingia kweny ndow tupat kuyafnyia kazi inshllah🤲
Wallahi inauma
Mashallah❤
Mashaallah
Masha Allah
Nimelia wallah
😂😂😂😂😂
Subhanallah inasikitisha sana
Mash allah
😢😢inauma sana
Maashaallah sio vizuri kumtoa mama kafala kwa sababu mama ni pepo yetu ya dunia
😢😢😢
Mashallah a great nasheed I have ever seen
Awedhm dhbm❤🎉❤
Mashaallaah wee kaka Allah akuzidishie ❤❤❤