- 506
- 744 274
Jimbo Kuu la Mwanza | JKM Online tv
เข้าร่วมเมื่อ 12 ธ.ค. 2021
The Archdiocese of Mwanza covers some 19,062 square kilometres with a total of 450,775 Catholics per 2016 statistics representing 21.9% of all residents in Mwanza. The number of Catholics grew to 478,367 in 2019. There are 62 parishes, 25 designated parishes, 11 deaneries and 2 chaplaincies. There are 103 diocesan priests and 44 missionary priests rendering services in the Archdiocese. In addition to evangelization as its core business, the Archdiocese of Mwanza also offers social services including health and education services at different levels. It has established educational institutions from primary to higher institutions of learning as well as health centres and hospitals.
STEVE MAGUFULI Azungumza katika mahafali ya 12 kidato cha nne Archbishop Mayala
STEVE MAGUFULI Azungumza katika mahafali ya 12 kidato cha nne Archbishop Mayala
มุมมอง: 195
วีดีโอ
FUTUHI watoa burudani katika mahafali ya 12, Shule ya Sekondari ya wasichana Archbishop Mayala
มุมมอง 43019 ชั่วโมงที่ผ่านมา
FUTUHI watoa burudani katika mahafali ya 12, Shule ya Sekondari ya wasichana Archbishop Mayala
ANTONY MAYALA GIRL'S SEC. SCHOOL, MISA TAKATIFU KUWAAGA KIDATO CHA NNE
มุมมอง 29820 ชั่วโมงที่ผ่านมา
ANTONY MAYALA GIRL'S SEC. SCHOOL, MISA TAKATIFU KUWAAGA KIDATO CHA NNE
Mha. Baba Askofu Michael Msonganzila Ashiriki Nyimbo Jubilei ya Miaka 40 Parokia ya Igumangobho.
มุมมอง 3152 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Mha. Baba Askofu Michael Msonganzila Ashiriki Nyimbo Jubilei ya Miaka 40 Parokia ya Igumangobho.
Watoto wampokea Mha. Baba Askofu Michael Msonganzila Parokia ya Igumangobho.
มุมมอง 6162 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Watoto wampokea Mha. Baba Askofu Michael Msonganzila Parokia ya Igumangobho.
Adhimisho la Misa Takatifu Dominika ya Kristu Mfalme Parokia ya Kristu Mfalme Kiseke.
มุมมอง 4679 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Adhimisho la Misa Takatifu Dominika ya Kristu Mfalme Parokia ya Kristu Mfalme Kiseke.
ADHIMISHO LA MISA TAKATIFU DOMINIKA YA KRISTU MFALME, VIWAWA WAUNGANA KIJIMBO PAROKIANI MISUNGWI
มุมมอง 38712 ชั่วโมงที่ผ่านมา
ADHIMISHO LA MISA TAKATIFU DOMINIKA YA KRISTU MFALME, VIWAWA WAUNGANA KIJIMBO PAROKIANI MISUNGWI
WIMBO WA ASKOFU NKWANDE - SHIRIKISHO LA KWAYA PAROKIA YA KUNG'ARA BWANA WETU YESU KRISTU - MABATINI
มุมมอง 71812 ชั่วโมงที่ผ่านมา
WIMBO WA ASKOFU NKWANDE - SHIRIKISHO LA KWAYA PAROKIA YA KUNG'ARA BWANA WETU YESU KRISTU - MABATINI
ADHIMISHO LA MISA TAKATIFU, ZIARA YA ASKOFU PAROKIA YA KUNG'ARA BWANA WETU YESU KRISTU MABATINI.
มุมมอง 75514 ชั่วโมงที่ผ่านมา
ADHIMISHO LA MISA TAKATIFU, ZIARA YA ASKOFU PAROKIA YA KUNG'ARA BWANA WETU YESU KRISTU MABATINI.
MAKABURI YA MAPADRE NA ASKOFU BUTIBUBAGE YABARIKIWA
มุมมอง 1.5K16 ชั่วโมงที่ผ่านมา
MAKABURI YA MAPADRE NA ASKOFU BUTIBUBAGE YABARIKIWA
Adhimisho Kuwaombea Marehemu Mapadre Waliofanya Utume Jimbo la Mwanza | Seminari ya Nyegezi
มุมมอง 1.1K19 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Adhimisho Kuwaombea Marehemu Mapadre Waliofanya Utume Jimbo la Mwanza | Seminari ya Nyegezi
ZIARA YA ASKOFU MKUU, 98 WAPATA KIPAIMARA | PAROKIA YA MT. MAGRETI WA SKOTLAND - MAJENGO
มุมมอง 1.3Kวันที่ผ่านมา
ZIARA YA ASKOFU MKUU, 98 WAPATA KIPAIMARA | PAROKIA YA MT. MAGRETI WA SKOTLAND - MAJENGO
Pd. Richard Makungu | TUTAMBUE KWAMBA KUNA MWISHO
มุมมอง 312วันที่ผ่านมา
Pd. Richard Makungu | TUTAMBUE KWAMBA KUNA MWISHO
Pd. Damian Dotto Awaasa Mabalozi wa Amani
มุมมอง 21514 วันที่ผ่านมา
Pd. Damian Dotto Awaasa Mabalozi wa Amani
Zaidi ya BILLION MOJA zakusanywa katika harambee ya Cathedral 2024, Askofu mkuu atangaza.
มุมมอง 1.6K14 วันที่ผ่านมา
Zaidi ya BILLION MOJA zakusanywa katika harambee ya Cathedral 2024, Askofu mkuu atangaza.
MODERATOR Pd. Celestine Nyanda Ataja Parokia na Makundi yaliyofanya vizuri na Zawadi zao
มุมมอง 1.1K14 วันที่ผ่านมา
MODERATOR Pd. Celestine Nyanda Ataja Parokia na Makundi yaliyofanya vizuri na Zawadi zao
MADEKANO wakiwasilisha taarifa za michango ya harambee ya ujenzi wa Cathedral kutoka Parokia zote.
มุมมอง 2.4K14 วันที่ผ่านมา
MADEKANO wakiwasilisha taarifa za michango ya harambee ya ujenzi wa Cathedral kutoka Parokia zote.
Misa Takatifu Yaadhimishwa Ndani ya Cathedral ya Mt.Yohane Paulo II Kawekamo kwa Mara ya Kwanza 2024
มุมมอง 10K14 วันที่ผ่านมา
Misa Takatifu Yaadhimishwa Ndani ya Cathedral ya Mt.Yohane Paulo II Kawekamo kwa Mara ya Kwanza 2024
Mkurugenzi wa Idara ya Habari, Mawasiliano na Mahusiano ya Umma, Pd.Kelvin Mkama anatualika-harambee
มุมมอง 85121 วันที่ผ่านมา
Mkurugenzi wa Idara ya Habari, Mawasiliano na Mahusiano ya Umma, Pd.Kelvin Mkama anatualika-harambee
CATHEDRAL YA MT. YOHANE PAULO WA PILI - KAWEKAMO ( MAKALA MAALUMU )
มุมมอง 15K21 วันที่ผ่านมา
CATHEDRAL YA MT. YOHANE PAULO WA PILI - KAWEKAMO ( MAKALA MAALUMU )
PAROKIA MBILI ZAUNGANA KUFANYA USAFI MAKABURINI
มุมมอง 45828 วันที่ผ่านมา
PAROKIA MBILI ZAUNGANA KUFANYA USAFI MAKABURINI
RATIBA FUPI | Mazishi ya Mama Leticia Tabu Ntwale
มุมมอง 51328 วันที่ผ่านมา
RATIBA FUPI | Mazishi ya Mama Leticia Tabu Ntwale
BALOZI WA JAPAN NCHINI TANZANIA AZINDUA JENGO HOSPITALI YA SUMVE
มุมมอง 326หลายเดือนก่อน
BALOZI WA JAPAN NCHINI TANZANIA AZINDUA JENGO HOSPITALI YA SUMVE
KARIBUNI HARAMBEE YA UJENZI WA CATHEDRAL TAREHE 10 NOV 2024
มุมมอง 1.2Kหลายเดือนก่อน
KARIBUNI HARAMBEE YA UJENZI WA CATHEDRAL TAREHE 10 NOV 2024
Misa Takatifu Jubilei ya miaka 30, Seminari ya wasichana Mt. Yosefu - Jimbo kuu la Mwanza.
มุมมอง 1Kหลายเดือนก่อน
Misa Takatifu Jubilei ya miaka 30, Seminari ya wasichana Mt. Yosefu - Jimbo kuu la Mwanza.
MHASHAMU ASKOFU MKUU RENATUS NKWANDE ANATUALIKA KUSHIRIKI HARAMBEE YA UJENZI WA CATHEDRAL NOV. 2024
มุมมอง 1.7Kหลายเดือนก่อน
MHASHAMU ASKOFU MKUU RENATUS NKWANDE ANATUALIKA KUSHIRIKI HARAMBEE YA UJENZI WA CATHEDRAL NOV. 2024
ASKOFU NKWANDE ATEMBELEA CHUO CHA UFUNDI KALWANDE, AZINDUA JENGO JIPYA LA WORKSHOP.
มุมมอง 1.4Kหลายเดือนก่อน
ASKOFU NKWANDE ATEMBELEA CHUO CHA UFUNDI KALWANDE, AZINDUA JENGO JIPYA LA WORKSHOP.
NENO LA MHASHAMU BABA ASKOFU MKUU RENATUS NKWANDE UZINDUZI KANGAYE.
มุมมอง 360หลายเดือนก่อน
NENO LA MHASHAMU BABA ASKOFU MKUU RENATUS NKWANDE UZINDUZI KANGAYE.
ASKOFU MKUU AMTAJA PADRE FESTO SHIKU PAROKO WA KWANZA WA PAROKIA YA MT. PETRO MTUME - KANGAYE
มุมมอง 1.1Kหลายเดือนก่อน
ASKOFU MKUU AMTAJA PADRE FESTO SHIKU PAROKO WA KWANZA WA PAROKIA YA MT. PETRO MTUME - KANGAYE
Misa Takatifu Uzinduzi wa Parokia ya Mt.Petro Mtume - Kangaye
มุมมอง 2.2Kหลายเดือนก่อน
Misa Takatifu Uzinduzi wa Parokia ya Mt.Petro Mtume - Kangaye
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
🎉🎉🎉🎉
Hongereni
Hongera sana baba askofu kwa kutimiza miaka 40 ya daraja la upadri.
Amina baba. Nimekukumbuka sana.
Hongera sana watoto Kwa kumpokea askofu.🎉🎉🎉
Inafurahisha watoto hawa
❤🔥
Atukuzwe Mungu milele
Mungu mwema
Viwawa ni nguvu kazi ya taifa Pongezi sana
Vijana wa nguvu sana Kwaya ya viwawa parokia teule ya Ng'wasonge ❤
PADRI WANGU ALIKUWA JIMMY EBO
Nibebatizwa hapo, nimesoma mafundisho hapo, nimekulia hapo, MWL WANGU MWL GODFREY, MAKATEKISTA WANGU WOTE WAPO HAPO NIMETUMIKIA HAPO KUANZIA NIKIWA DARASA LA NNE MUNGU MWEMA PALIPEWA DHAMANA YA PAROKIA NA ASK R.I.P ANTONY PETRO MAYALLA
Raha ya Milele uwape eee Bwana......Na Mwanga wa Milele Uwaangazie. Wapumzike kwa Amani
BABA ASKOFU ANTONY PETRO MAYALLA ASKOFU JIMBO KUUU LA MWANZA
Marehemu Maaskofu na mapadre wetu waliohudumu jimbo kuu la Mwanza,Mungu awajalie Huruma yake wapumzike kwa amani,amina🙏
Pumziko la milele wapewa na Tunaziombea roho za marehemu wote zipokelewe mbinguni
Marehemu Maaskofu na Mapadre wetu waliohudumu katika Jimbo letu la Mwanza wapate rehema kwa Mungu, wapumzike kwa Amani
Hongereni sana parokia ya mwamashimba. Paroko na viongozi wa parokia, hongereni sana.
Ee Yesu wa Ekaristi ninakutumainia.
Pumziko la milele uwape ee bwana, na mwanga wa milele uwaangazie, mapadri wetu wapumzike kwa amani. AMINA.
Amen
Amina
Asante kwa hii
Naipenda parokia yng ya ihago mtaa wng ni wa nazarety Jumuia ya Mt Antony Mungu akiinue kigango chetu cha Nazarety from kenya🇰🇪
Najivunia kuwa sehemu ya ujenzi wa hili kanisa! Litakamilika hakika
Hongereni sana wanamwanza .pia pongezi nyingi kwa wana kwaya.❤❤❤🎉🎉🎉
Aleluyaaa
Hongera jimbo kuu la mwanza
Dah hongereni sana wana mwanza hatimae leo mmesalia kwenye kanisa mliolijenga kwa mda mrefu sana
Kwaya ipo vizuri sana hongereni sana 👏👏
Rip mhashamu askofu mkuu Anthony petero Mayala kwa wazo la kuanza kujenga kanisa la kijimbo
Amina
Amen
Mungu ni mwema hakika
🎉🎉🎉🎉
Hongereni Jimbo kuu la mwanza🎉🎉🎉❤❤
Hongereni Sana
Wakatoriki Nawakubali kwa utoaji mbarikiwe sanaa❤❤
Tuko pamoja Nyumba yetu ya Ibada itakamilika vizuri sana Karibu Askofu Usagara tunabarikiwa sana
Hongereni wana Jimbo kuu la Mwanza kwa utume na majitoleo yenu hasa katika Ujenzi wa Kanisa Kuu la kiaskofu (Cathedral)
Kanisa letu litakuwa linabeba watu wangapi?
6000
Waliokaa 6000!! Mungu apewe sifa @@WilleTheo
Hongereni
Naleta jina LA mwanangu Dicky nae aombewe. Mi sio ni mkatoriki lakini namini katika Hilo mbarikiwe saana wapendwa wangu🙏🙏🙏🙏
Naleta jina LA mwanangu Dicky nae aombewe. Mi sio ni mkatoriki lakini namini katika Hilo mbarikiwe saana wapendwa wangu🙏🙏🙏🙏
Amina Amina wakristo wenzangu nawapata nikiwa omani ipo siku nitakuja kwetu Tanzania mwanza missungwi majengo
😅Tu est Petrous,est Super Hanc petram edificabo ecclesium meum.
Baba tunakuja
Jamani tuendelee kumchangia baba nkwande